Duuuh hii show hatare nmejifunza kitu kikubwa respect kwako Dr mwaka mungu akubarik Dr.mwaka pamoja na team mzima y women matters
@ngianasiakisamo95574 жыл бұрын
Dr Mwaka yuko sahihi kabisa, hiyo ndio asili ya wanaume kama ilivyo asili ya wanawake.Gonga like kwa Dr Mwaka
@issackjimmy4 жыл бұрын
This guy(Mwaka) nilikua namchukulia poa sana. But he has the profound knowledge in relationship. I recommend him to speak in whatever platform discussing marriage issues in our country. Watu wamualike popote pale wanapozungumzia mahusiano. Many Kudos to him
@albertmwankenja3004 жыл бұрын
Doctor mbona unasema wanawake tulio kaa hapa hata ww ni mwanamke nn
@abduliwhryj4ftnassor233 Жыл бұрын
Doctor umeongeya points sana
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Hayo mahangaiko ya kuutosheleza mwili huwa hayakomi usipotumia utashi Mungu aliokupa ili kukutofautisha na wanyama wengine ni kweli kabisa,ni tamaa tupu hapo
@FatmaJ-v7f5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@imakimaro693 ай бұрын
Limefeli limepewa taraka na mkewake shoga hilo😂😂😂
@leylamohamed99394 жыл бұрын
I just love it, Dokta Mwaka.. Umeongea yote kabisaa.. Nimejifunza kitu 100%
@najma32684 жыл бұрын
Doctor mwaka wallah leo umenifungua pakubwa sana, nimejifunza kitu Na maswali ya kila cku nimepata majibu
@abdulabassingova38244 жыл бұрын
Kweli ni kile ukifanyacho mm wife alimtunza Mama yangu akiwa mgonjwa hilo sitomsahau mke wangu.
@jayblack43134 жыл бұрын
Very good wife you have bro mashaa Allah god bless you and your family nuff respect big man
@juweiriyawanjiku44434 жыл бұрын
Oohh hii show kali yani nitaitizaa kila week mara tatu "religiously" taking notes... lessons za Doc. Mwaka poa sana
@naphtalolekingori70944 жыл бұрын
Dr Mwaka unatisha kwa uelewa wako. Somo la Leo limenifungua macho na akili. Wanaume na WANAWAKE zaidi wapate somo hili. Auntie Sadaka ni psychologist ninayemheshimu sana, lakini hapa naona hata yeye amemkubali Dr Mwaka kwenye somo hili. Dr Mwaka asante sana na hongera.
@clementmgelwa69614 жыл бұрын
Dr Mwaka you are a genius,you made my day.
@j...8764 жыл бұрын
No no no!! He is intelligent
@deboramrema28614 жыл бұрын
Yani namshukuru sana doctor Mwaka anafafanua jambo mpaka linaeleweka nimekuelewa sana na nimejifunza vitu vingi tutoka kwako tunaomba izidi kufundisha unatuokoa wengi
@mrishongwikwi64484 жыл бұрын
Washiriki wameishiwa na maswali ndani ya dakika 20 tu, Dr Mwaka wewe ni therapist makini sana umeelezea mambo kwa logic na ushahidi wa kweli. Ugonjwa uliochafua dhamira za mapenzi ni imani za dini zilizopo hapa duniani.
@daulatsleiman324 жыл бұрын
Hakika maneno mazima nanimejifunza kitu
@anethmahera44534 жыл бұрын
Walikua kimya
@nyakaimafwele38124 жыл бұрын
DR.MWAKA GENIUS BEST INTERVIEW EVER BORA UMETUWAKILISHA
@haskao774 жыл бұрын
The best episode of this show. Nimeanza kuangalia hii show mwaka huu
@williamngogo55284 жыл бұрын
Dr Mwaka kaitendea haki sana hii Mada na ametuwakilisha vizuri wanaume
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Shukran kwa mlo shiriki, nimejifunza mengi.Mungu awalinde mzidi kutuelimisha🤲🤲🤲🇰🇪
@khadeejaabdullah70834 жыл бұрын
Ahsante WOMEN MATTERS Daah tulikumis Dr mwaka tunashukru sana karbu tena
@ngwayatv27984 жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya uzuri na utamu
@consolathalesika30134 жыл бұрын
🔛🔛😃
@anthonykimweri37054 жыл бұрын
Huyo mama tuko sahihi sana tamaa ndizo zinazowaponza wanaume wengi na selfishness yaani ubinafsi kwa sababu ukweli ni kwamba mwanaume anayejitambua hapaswi kuchepuka na kutoa sababu kwa sababu kabla ya kuchepuka fikiria watoto wako fikiria jamii inayokuzunguka
@tumainiaretas25594 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa huo ufahamu mzuri na mafanikio yatakuwa makubwa sana na nikwambie unapotembea na mwanamke tofauti na uliyeoa kuna agano flani la damu unaingia but kibinadamu hatujui hiyo ni kiroho zaidi
@zahara86134 жыл бұрын
sana dokta yani kama uko sahh kabissa hujadanganya ata kidogo umepita mulemule
@raziunaabdalah55924 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa
@azizakwileka16864 жыл бұрын
"Mwanamke jinsi ulivyo kuna kitu umekivaa ambacho kinamuogopesha mwanaume... Cha thamani sanaa hakitongozwi hovyo" huu mstari ni sahihi kabisa dokta Mwaka
@jettymandizanohainamfano7704 жыл бұрын
baa
@kessyrojas95494 жыл бұрын
Ahsante sana JJ mwaka kwa kutuwakilisha ipasavyo wanaume 👏!!
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
@@jettymandizanohainamfano770 kwani chani??
@magrethsagini72574 жыл бұрын
Ni kweli Dr mwaka ktk utii alichozungumza namuelewa sana maana ni Bo's wangu ananyookaga hana kupindisha mambo
@MrKirumbuyo4 жыл бұрын
Dr Mwaka.....umeliweka hili swala katika Perspective sahihi kabisa. I like the way ume-approach suala zima. Kuna mambo yanaweza kuisumbua jamii kwa kua tu: Uelewa na mtizamo sio sahihi
@jafafibashiri42464 жыл бұрын
Dada!! Katika kipindi chako, Hii ndiyo mada bora katika mwaka huu. Sidhani kama kuna mada itakuja tokea yenye kuelimisha jamii katika kipindi chako mwaka huu.🙏🙏
@najmaomari81274 жыл бұрын
Kbsa
@sharifaabdullah72593 жыл бұрын
Asante doctor mwaka,nimejifunza vingi nilikuwa sifaham
@bayudacamp72174 жыл бұрын
Nani amemuelewa Dr anipe like
@nasraabdallah8503 жыл бұрын
Nimejifunza kitu sio sir Shukran sn dr mwaka
@suudarlaz53334 жыл бұрын
The best women matters ever big up kwa Dr mwaka
@kashindikasukulu29193 жыл бұрын
Lili mwasha acha kusali kama uko pamoja na wanaume
@masimelwabandji54512 жыл бұрын
Hv6
@jovithamatungwamulima7704 жыл бұрын
Asante dr Mwaka. Unajua kweli. Endelea kutupa elimu mpaka tutaelewa tu
@martinwangwe89664 жыл бұрын
Dr Mwaka ametuwakilisha vizuri...na huyo mama mwenye ushungi wa blue bahari ameongea vizuri sana
@aishamuyama38564 жыл бұрын
Dahhhhh. Nimerowana.. Kiukweliii. Habariii iyiii imezidi. Utamu kwa kweli docta mwaka. Mungu akulipe
@rhodamkungu42374 жыл бұрын
Yaani Dr Mwaka ktk siku ulizoelezea kuhusu mahusiano, hii umeelezea vizuri sana, kwa kweli inabidi watu waambiwe ukweli tu ndio iliyobaki ili kuponya ndoa na mahusiano ya watu wengi. Aalikwe tena huyu atupe nondo...!! Maana kama ni shule basi mwalimu tumempata. Mbarikiwe
@rashidselemani15814 жыл бұрын
Hongera Muheshimiwa Dr Mwaka kwa kufafanua uhalisia. Huyu Lilian yanamgusa sana anahuruka ndivyo sivyo.
@deogratiasmlacha90474 жыл бұрын
Haaaaa
@alicekwizera49852 жыл бұрын
The very special thing na ninacho jivuniya sana, ni Christu Mwana wa Mungu aliye nauwezo wa kuuteka na kuuponda ponda moyo wa mme wangu nakumfanya asichepuke
@Jassmin-media-official4 жыл бұрын
I just love Doctor mwaka he is honest na mjanja ndo maana umeoa wake wengi because una hekima fulani
@kijanahodari20804 жыл бұрын
Safi sana Dr ila kuengezea ni kuwa mwamume anaweza Kushinda na kukesha na mkewe ila asubuhi ikifika akatoka nnje akaona chombo chengine na hisia zikaja ila mwanamke hawez pata hisia hizo isipokuwa kw anae fanya tendo hilo kw hela,well said Dr, mke wa mtu ukitongozwa maana yake hauna thamani upo chini sana ...frm 25🇰🇪 flo
@indivirabonnymatenje72904 жыл бұрын
I'm watching all the way from Nairobi Kenya na follow up🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ednamarwa86124 жыл бұрын
Lily unanikosesha mami! Mwaka kiboko,nimuelewa sana zaid ya sana! Asante kwa uwepo wa hiki kipindi!! Amazing
@lilsome63314 жыл бұрын
dr . nakukubali na nakufahamu sannna majibu yako veryvery bright indead . woow!!!😘
@mireillemadogo45763 жыл бұрын
Kwa kweli Dr Mwaka ni King namukubali , I 'm watching from Kampala
@mwalimulucas35222 жыл бұрын
Webale nyabo
@cleverluwole66924 жыл бұрын
Nikweli kuna kipindi nilimpenda mtu mpk nilikuwa kila nikiona mwanamke mzuri njiani.. kwanza naanza kumuwaza mtu wangu.. alaf napotezea wengne.. 👏
@emmyaugustine40244 жыл бұрын
We ndo unafaa sasa🙌
@najimyahya79014 жыл бұрын
@@emmyaugustine4024 na mm nafaa pia
@emmyaugustine40244 жыл бұрын
@@najimyahya7901 hahahahah😂
@emmyaugustine40244 жыл бұрын
@@najimyahya7901 wewe naona dini inakuruhusu... Hayo ya mmoja hutayaweza ndugu yangu 😂
Dr.Maneno mazuri sana na nikweli kabisa unavo sema,wanaume ni watu wenye tamaa sisi wanawake hatufahamu tunapenda sana kuamini mapenzi
@fortheloveoffootball45044 жыл бұрын
Dah ww ni zaidi ya dokta unakipaji mashaallah.
@cresensiandimbo41954 жыл бұрын
Safi sana,nimekupenda Dr kwa ukweli wako.
@mashakalonka94074 жыл бұрын
Mwaka you are so genius brother!, you've said the truth!.
@enockngohel57374 жыл бұрын
Mwaka ni bonge la mtaalam doc kweli
@aishaally27304 жыл бұрын
Mashallah nice topic nimejifunza mengi ALLAH awabarik
@valeriamtenga33844 жыл бұрын
Asante,upendo ni tunda la roho! Tamaa ni tunda la mwili! Galatia 5:1-6 Chagua tu ,tumepewa kuchagua
@pherozkissaro97623 жыл бұрын
Dr Mwaka Umeweka wazi vizuri sana Thank you
@ukhtyhalimaismailbakari49314 жыл бұрын
Masha Allah Ahsante nimejifunza vitu vingi mnoo Allah awabariki sana 🙏🙏
@zainabjuma75054 жыл бұрын
Wonderful Dr.Mwaka nmejifunza mambo mengi xna kutoka kwko thnx so much nikioleka ntakumbuka maneno yko
@khadijaangore44084 жыл бұрын
💯💯💯💯💯 hongera team nzima ya WOMAN MATTER👍👍👍👍👍
@saidmwakulika7064 жыл бұрын
Shukran Sana kwa kutuelimisha nimefurahi wallah na Allah awape mwingi wa kutuelimisha inshaallah
@avitrujweka21134 жыл бұрын
The best women matters show I have ever watched, big up to Dr. Mwaka, he is the best of all guests ever invited! 👏👏👏👌💯🔥🌍🔥
@hajihassan54334 жыл бұрын
Hujaangalia lakini unampa 100% Dr. Mwaka kuliko wengine why? Kafanya vizuri ingawa kanikera kidogo katoa siri zetu wanaume kuna vitu tulikubaliana tusiseme!
@anathorykajwahulakajwahula59404 жыл бұрын
Doctor Mwaka is a man in men. You speak for men. If women knew men like Doctor Mwaka no man on Earth would ever leave {abandon} a woman. Big up Doctor.
Asante sana doctor mwaka nimejifunza kitu kutoka kwako
@marialadslaus73874 жыл бұрын
Mke mmoja mme mmoja Hadi kifo kote huko no tamaa Yesu atosha
@jacklinhanc82434 жыл бұрын
Hahahahaha nimecheka jamani kweli wakumpnda ni mmoja wakutamani ni wengi,,, upendo haugawanyiki bana
@hajihassan54334 жыл бұрын
Unagawanyika, hivi wewe upo Tanzania una mpenzi hivi unadhani huwezi kuona mtu mwengine duniani ukampenda au misingi tu ya dini.
@gloryr94974 жыл бұрын
Kweli kabisaaa
@amourjuma14414 жыл бұрын
Kiukwwli kabsa uko right japo wengi hua tunakataa hatupendi zungumza ukwel tunapenda kuzungumz kw kuridhisha nafs Dr unachosema ni kweli
@barikielathuman00764 жыл бұрын
Big up doctor mwamba vyote ulivyoongea ni point tupu kaka
@HarunaYassin8 ай бұрын
Mwashaa unaharibu flow ya points za Dr bingwa wa mahusiano
@jaycee90674 жыл бұрын
Dr Mwaka nakukubali sana. Unajua!
@rwenenahomechannel16344 жыл бұрын
Doctor Mwaka is right. Hata utajiri ni hivyo...
@samirahassan28344 жыл бұрын
Doctor mwaka Asante sana 🙏❤
@mohammedsaid76454 жыл бұрын
Hongera Dr Mwaka Ila cc binadam anayetujua ni mwenyezi Mungu na yy ndo katuhalilishia wanawake zaidi ya mmoja mathalani muislam ameamrishwa akitaka kuoa bac aanze na 2...maneno ya mungu
@maggymm73024 жыл бұрын
Mwanaume akienda nje, its not about his wife/gf.. that is well said n stated loud and clear. Sante Mwaka na violet kwa kumpa mkono.
@aishahassan41424 жыл бұрын
Daah asante sana doctor mwaka nime jifunza kitu huhimu kutoka kwako
@zainabtumba11864 жыл бұрын
Well done!!! JJ Mwaka or Dr Mwaka. Hivi Wewe ni Kijuku cha Mtumee (S.A.W) Nini? Mhh Kwani Unajielewa haswa kiukamilifu Sababu na Maana za kuwa na wake hawaaa 3 Si mchezooo Nakumbuka nilikuekea comments kwenye kipindii chako Kilichopita cha kwanza "topic ilee "Dr Mwaka na wake zake 3" Nilisema Mwaka punguza Cheko brooo You loose me! We need you. Nilikujua Kua uko smart ktk hii topic. Yes! Ahsante umetusikia fun zako. You made its this time calmly na waziii kabisa. Nina imani wengii tulikua Baridi km maji Mtungini! Points Understoood! Wake kwa Waume na Imani nyengine dah Amiin. Mhhh Ukweli Unaumaa! Ndoa Mafungu kubali usikubali vyenginevyo Michepuko tuu! Fuzo Chachandukaa na Tungo tamu za penzi lako Usijajilinganishe na mwanamke mwenzako. Jamanii Ndoa ndoana lakini. Kwa Sisi Waislamu topic deep lkn Dr. Mwaka Ameifafanua ki undanii kabisaa. Hata Mtume S.A.W Wake ni 4. Mke lovely ni Aishaa R.A. Bi Khadija R.A. Nae alikuwa na ubora wake Mzuri mno pia Ndoani! Ingawaa alikua mkumbwa kiumri. HONGERA MASHAALLAH BRO UNAJUA KUENDESHA IYO SUNNAA DAHH! AHSANTENI COME BACK AGAIN JJ MWAKA💥 NIMEFARIJIKA NA TOPIC MAULANA BLESS YOU ALL. FROM:🇹🇿/🇺🇸
@faeshanoor41294 жыл бұрын
Angekuwa kjukuu cha mtume ajiconduct na wake zake waskae uchi hadharan..kama anatoa mafunzo ya dini he would atelast consider dat kujionsha kama kioo cha jamii and kama funzo la kidini too...
@mamunote35074 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Shukran sana Dr Mwaka
@saidnassoro10604 жыл бұрын
The best ever on women matters, this man gave it all i have enjoyed the show.
@kidafuritogolani36054 жыл бұрын
Duuuuh balaaa
@masumbukoaugustin53274 жыл бұрын
Kweli kusema,ukweli ni vema
@zawadikitime2334 жыл бұрын
Dr mwaka duuuuuuu
@zawadikitime2334 жыл бұрын
Kweli tupu
@zawadikitime2334 жыл бұрын
Yooooooo mungu tusaidie
@ljm48674 жыл бұрын
ASANTE Sana Dr Mwaka na timu nzima ya kipindi hiki MUHIMU Sana kwa wanawake.... Special thanks to Lilian Mwasha.. nimejifunza mengi sana 🙏
@lemooliltiraso92783 жыл бұрын
This man is very wise surey,mafunzo yako is amazing, watching from kenya 🇰🇪
@yugsondavid35194 жыл бұрын
Dr uko vizuri unatoa elimu nzuri sana
@jacobomondi51114 жыл бұрын
All the ladies have been educated beyond what they imagined. Dr.Mwaka has put facts on the table you can decide to take or leave.Let me tell women that is the way it is
@trizahmacharia29394 жыл бұрын
tumegongwa na butwaa
@yasintagerald29134 жыл бұрын
Asante sana lilian mwasha na dr mwaka.mimi hata mumewangu anajua kipindi hiki kimetubadilisha na kutengeneza amani na heshima ndani ya ndoa yetu,,,,tunajivunia kwakweli.hiki kipindi aliepata wazo la kukulianzisha abarikiwe sana sana
@isdorysilivery57224 жыл бұрын
Kama umemuelewa Dr.mwaka gonga like
@jumakasim87843 жыл бұрын
Nimerudi tena 2021 kumuangalia Dr mwaka fundi wa interview
@godwinraphael70444 жыл бұрын
Hakuna Kiwango cha utoshelevu,ubunifu ,style mapambo wala chochote kile kinachoweza kumfanya mwanaume asitulie. Mwanaume asiye na hofu ya Mungu anawezafanya lolote popote na mtu yeyote hata kama huko kwako unampa kila kitu. Lakini pia Dk Mwaka aache kutumia sababu anayoiita sababu ya upumbavu wa wanaume kwa yeye kuendelea kuongeza wake,sio kweli,kama anasababu nyingine ya kwann anaongeza wake ni bora aitumie hiyo na sio kingine,maana anachotaka kutuonesha mwaka hata baada ya kuoa hao wake wanne ambao kwa mujibu ya dini yao wakikimalika bado ataendelea kutembea na wanawake wengine maana si anadai yeye anakaupumbavu,huo upumbavu usioisha ni uhuni,wanaume tusiunge mkono hili.
@faeshanoor41294 жыл бұрын
Aiwaaaaaah safi kabisa...unaongza use logcal reasons sio ujinga
@jamesswai16832 жыл бұрын
Hawa ndugu zetu wanajaribu kuupamba uhuni wao kwamba ni udhaifu wa wanaume..wapo wanaume wanawapenda na kuwaheshimu wake zao na hawahangaiki na wanawake Wengine....
@adelinaamosi943726 күн бұрын
Hawapoo Hawajakamatwaa tuu@@jamesswai1683
@therlmahweezle55294 жыл бұрын
I really enjoyed watching this Nimejifunza zaid Mungu awalipe
@MMUNGAHOSEA4 жыл бұрын
Huyo mama hanyangaywe Mic 🎤 man maana anaongea sana sisi tuna sikiliza Doctor kwa story nzuri 😂😂😂
@annamichael14334 жыл бұрын
We mbwa umenichekesha
@خسنموس4 жыл бұрын
Dr. Mwaka cku zote akoseagi nimejifunza mengi ambayo sikua na experience nayo..Shukran kipindi kizur maashallah
@benbenedict27204 жыл бұрын
wagiriki wametofautisha aina za mapenzi kuna agape, phileo, Eros na storge . Eros ni penzi Kati ya mwanamke na mwanaume, na kwenye ndoa mwanaume ameambiwa ampende mkewe kwa pendo la agape , penzi la agape likiingia kwenye eros hilo haligawanyiki, na siku mwanaume akigusa hapo hutasikia kaoa mke mpya, anaweza kuchepuka kwa tamaa tu (eros bila agape) na tabia mbaya lakini atatulia na mkewe ampendaye hata kama ana uwezo na dini inamruhusu. Agape na eros ni combination hatari sana ndio maana unaweza kuona watu wanauana kwa mapenzi. Au mtu anakuwa chizi kwa ajili ya mapenzi. Ukiona mwanaume anataka kuongeza wake ujue bado hajafika bei kwenye mapenzi yaani haja onja combination ya Eros na agape, wengine wanaweza kuoa hata 300, wakidhani ni tamaa tu kumbe bado hawajapata combination ya Eros na agape. Hayo mapenzi ya storge na phileo ndio hayo yahayohusu ndugu, jamaa, jamii na marafiki. Agape ni unconditional love ya Mungu kwa binadamu. Na mwanaume anapo mpenda mkewe anaambiwa ampende kwa pendo la agape, yaani bila pendo bila masharti wala kipimo.
@maigagoodluck14814 жыл бұрын
Akili yenye hekima hii... safi sana
@giftielinganga31284 жыл бұрын
Nikweli hapo wote wanaongea kwa mizingira waliyopitia yani ukawaida
@lydiaokobi17024 жыл бұрын
Hekima si ya kila mtu,hongera kaka popote ulipo Mungu akutunze
@irenesimba57363 жыл бұрын
Point kubwa sana Dr Mwaka. Nakusikiliza kwa umakini mno
@uwimanauwimana73034 жыл бұрын
DK. mwaka maneno mazima kabisa kuna mwanaume anapenda mwanamke kutokana na tambiya nzur kwa familia y’a mume na mke 🙏🏾🙏🏾
@ingabireritha37404 жыл бұрын
Ooooh my God Lilian Doctor Mwaka ni hatari sana I like the show so bad thanks you so much again !
@biyemaalim62234 жыл бұрын
King NAILED IT!! Understanding men more everyday
@lickylaizer16194 жыл бұрын
Dr mwaka big up hawa wanawake hapo umeshamaliza umeongea ukweli Ila tatizo la wanawake wa siku hizi hawajitambui
@SuperKibwana4 жыл бұрын
One of the best for sure!
@omaar56934 жыл бұрын
34:06 aaaaah doc, hapo omeongea kupitia experience,, ukwuli umeongea ukweli,,, danidani ni kweli twawaridhisha tu
@lileterames8634 жыл бұрын
Ensjskakskajbaje ajska abjs⁰
@halimamanoary74034 жыл бұрын
Mnampa mwanamke kazi nyingi sana kwa kumfurahisha mwanaume..mnatukandamiza sana
@irenemacha74574 жыл бұрын
Aisee na sisi tutafute michepuko ili itunogeshe na itupambe
@hajilipotha96584 жыл бұрын
@@irenemacha7457 Tafuta utaona faida yake!!!!!
@baparma30514 жыл бұрын
@@hajilipotha9658 hahaha
@wilbatnyato4252 жыл бұрын
Fanya unachoweza at your own risk
@safiasuleiman31194 жыл бұрын
Kwa kweli nairejea kuiangalia hii mada kila siku dah Dr unanikosha 😘
@petermsangi27014 жыл бұрын
Dr. Mwaka your such a genius.
@Kidotii4 жыл бұрын
Yaan leo Dr.Mwaka umetuwezaa hakuna mabishano,leo nikusikilizaaa tu!
@pistechniciantz48784 жыл бұрын
Dr mwaka u'r the best umeongea point na nimejifunza kitu kikubwa sana
@magrethsamson96232 жыл бұрын
Nilikuwa nagombana sana na mume wangu ila baada ya kueasikili now I understand hongereni sana
@AthanasGabriel-j9p9 ай бұрын
Hongera
@jacobelias91004 жыл бұрын
Doctor mwaka umetuokoa sisi wajuba kunywa soda nalipa🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamothman74044 жыл бұрын
😁😁😁😁
@joventjohansenmushwaimi19884 жыл бұрын
Wajuba katubeba sana big up Bro
@kweka14l354 жыл бұрын
Eti mjuba maana yake ni nini ??? 😁😁
@arakazakinglight42534 жыл бұрын
😂😂😂😂 🇧🇮
@bengang32654 жыл бұрын
hahhahahahahaaaa
@SitheyCuteradhia Жыл бұрын
sibasi tena😂😂😂 upendo huo kwiyoo😅😅ukipenda umependa tu wala hauna sababu na upenda haugawanyiki abadali mtu akisema anaeza gawa upendo sio kweli❤nawapenda nyote kwa meza❤❤❤
@bjzee19814 жыл бұрын
Wanawake wa sasahivi hawa tishiwi kwakua wengi wame soma na wana pesa. Zamani wanawake walikua wanyenyekevu manake ilikua akisha olewa huyo mume ndio kila kitu Kama alivyo kua ktk matunzo ya wazazi wake. Yani niki ondoka hapa nita enda wapi na kuishi vipi
@musafambi12554 жыл бұрын
Dr umemenipa darasa. Thank u
@kemarsimba64584 жыл бұрын
aisee uyu jamaa kaongea vitu vya maana kuliko umli wake 👍
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Tena sana
@luluyussuf81264 жыл бұрын
Mashalla nimejifunza sana dr mwaka unaongea vitu reality
@josephmponda27114 жыл бұрын
Doctor Leo umeongea vitu mpaka nimerudia kuangalia Interview mara mbili,
@rehemamasoud36874 жыл бұрын
Dk uko sawa mie ni mama umenifundisha kitu asante sana ubarikiwe
@osodowilberforce23214 жыл бұрын
Kweli kabisa Dr Mwaka,mawaitha unoyotowa ni ya muhimu sana kwa mahusiyano.Lilian,kipindi chako ni kizuri sana na kina manufaa mengi sana.Nakitazama kila wakati nikiwa na time.Thank you.
@beatricemwendo1551 Жыл бұрын
Nonsense upuuzi mtupu mapenzi ya ndoa sio upendo unaouongelea hapo...Adamu aliumbiwa mwanamke mmoja
Jaman kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni kwa msaada wa Mungu tu
@alasiri22752 жыл бұрын
very true Dkt.....X-wife wangu baada ya kutengana ninacho kikubuka alikua mpishi hodari haswa chakula chakiasiri, nishaaoa tena ila chakula kama kile sijapata kamwe,,,,,