Rais wa Young Yuko vzr sana natamani Rais makini na anayejali kama Heris Unyamani
@moshielfesty79923 ай бұрын
President yupo smart Sana 🎉🎉🎉🎉
@salimucvales74953 ай бұрын
Fantastic spearhead
@EmanuelSimonZolle3 ай бұрын
Simba jamani inabibi kusaji Mabeki bora hasa jaman
@henelckneatunga27203 ай бұрын
AKIENDELEA HIVI UTAULA SASA HIVI SERIKALINI KTK KITENGO CHA MICHEZO
@GOLDIANEDRICK-sm6xk3 ай бұрын
Hahaha edo ni kipimo cha watu wa ovyoo
@sarafzungu98203 ай бұрын
Karafuu ni azam Alaf ao nyati ni simba kama una d mbili uwez elewa
@Lusindehalima-si3ej3 ай бұрын
Hivi mnajitoa ufahamu kama yanga wamefungiwa mpka walipe fedha zinazodaiwa na ockra
@ummusumayyah-e8k3 ай бұрын
Labda uwe hujui kama walishafunguliwa.@@Lusindehalima-si3ej
@RhodaMloge3 ай бұрын
@@Lusindehalima-si3ej😂😂 hebu fatilia tena hiyo habari yako
@kichefuchefu23823 ай бұрын
Cjajua kwann wana lazmisha sana Chama kuja Yangu
@majaliwambembela24393 ай бұрын
😂😂😂
@EmanuelSimonZolle3 ай бұрын
2:01
@ShabaniAthumani-e5w3 ай бұрын
Umbea tuu 😂😂😂
@proisolution71663 ай бұрын
wewe@user-rv3ml6cf7e ujitambue kuwa wewe siyo malaika,yaani kila linalongelewa kama hupendi ni kutukana si ukae kimya,?wewe unayetukana watu we nani?ulijikuta tu Duniani au ulizaliwa,ukweli ni kuwa ujitathmini.KUTUKANA SIYO SIRAHA YA MTU.