KINATA MC AMUIBIA MWANAMKE BIHARAMULO AMWAGA MACHOZI KAMA MTOTO | HIVI NI KWELI?

  Рет қаралды 36,775

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 177
@PeninaRoger-me4vo
@PeninaRoger-me4vo 6 ай бұрын
Huyu dada tunaomba bongo movie imchukue anajua kuigiza sana
@exclusvetztv9011
@exclusvetztv9011 6 ай бұрын
Ni bonge movie tayari
@marryezekiel
@marryezekiel 6 ай бұрын
Demu mwenyewe muigizaji huyu mbona Kuna tamthilia kibao yumo😅😅😅
@eliasndima7130
@eliasndima7130 6 ай бұрын
Katika tamthilia ya HAIKUFUMA ya JB
@PriscaKiure
@PriscaKiure 6 ай бұрын
Mbn ni muigizaj huyu dada ameigiza kwenye tamthilia ya mwali dstv
@Ucheshi
@Ucheshi 6 ай бұрын
Yupo kwenye gemu mbona ni muigizaji azam tv
@tuyisaberamadhan8084
@tuyisaberamadhan8084 6 ай бұрын
Dada ametisha sana salute 🫡 😊
@RashidiRehani-v1l
@RashidiRehani-v1l 6 ай бұрын
Uyu dada nimkal saaa❤ aaan
@E.U.J.C_UGANDA
@E.U.J.C_UGANDA 6 ай бұрын
Kitu kizuri ni iyo Sala ambayo Kinata MC ame sali kila kitu niku weka Allah mbele ya yote…….. big up Motown Sanya na team yote kwa hard work munayo fanya tuna penda saana kipindi…. We here from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@EustacheKasongo-j5g
@EustacheKasongo-j5g 6 ай бұрын
Daah na wakubali ila duh 😢😢muna zinguwa Sawa 😢Kaka yangu kaliya adi basi 😢😢
@antonyjuma2566
@antonyjuma2566 6 ай бұрын
Huy dem yupo kiwandan Sema ndo iv kiwanda hakion talent km hiz ila manzi anajua sanaaaaa 😂😂😂😂😂
@GiverLiquid
@GiverLiquid 6 ай бұрын
Daaah mwanamke anajua sana kuigizaaa daaah
@erickmagnus4945
@erickmagnus4945 6 ай бұрын
Crown ilibidi anze na wew Mwanetu Sanya sio Mchaga😢 Diamond afanye jambo kwako kabla mwaka haujaisha Inshallah....Uko talented Broh✊💯
@little_nardieh
@little_nardieh 6 ай бұрын
Mooo 🙌🏾🙌🏾 so talented
@ramadhanihot1945
@ramadhanihot1945 6 ай бұрын
Daimond platinum ❤❤❤❤❤❤
@fredanthony740
@fredanthony740 6 ай бұрын
Dada anajua sana 🎉🎉🎉
@decoderhealthusa
@decoderhealthusa 6 ай бұрын
Demu linajua sana kuigiza
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 ай бұрын
Bongo Movie wangekua wanaigiza hivi tungefika mbali
@Q_Lax
@Q_Lax 6 ай бұрын
Tulizimiss sana kazi zako mo
@Almadrasatwaqf-ud7sv
@Almadrasatwaqf-ud7sv 6 ай бұрын
Hii imeenda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@matildamoris3641
@matildamoris3641 6 ай бұрын
We mdada unamjua vzr kinata wew😂😂 sie tunaemjua amekustiri sana😂😂😂
@MahreenhassaniMwinjo
@MahreenhassaniMwinjo 5 ай бұрын
😂😂😂🥰😂Ila hi ni Kali Kati ya zote Dada anajuwa saaana jamani🙌🙌🙌🤣😂kinat Amelia baaan😢😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 6 ай бұрын
Yaani nimecheka kwa nguvu leo eeeh komosava jamani!!! Hii kali!!! Zuchu imeishi
@NeemaKayugwa
@NeemaKayugwa 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉dada kajuaaa tenaa kawezaaaaaaa
@mg_panther
@mg_panther 6 ай бұрын
Daaah 😮😅 noma sana bhana sanya
@Airboy-star
@Airboy-star 3 ай бұрын
It's so emotional
@matatamwaipopo-rp4vz
@matatamwaipopo-rp4vz 6 ай бұрын
Huyu dada kwa kweli hanaweza kuigiza yupo vizuri
@AzizSultan-fc7rn
@AzizSultan-fc7rn 6 ай бұрын
Leo unyama kipindi n hot...🎉
@iwenikigodi5419
@iwenikigodi5419 2 ай бұрын
Hata mimi nilijua kweli aise
@SimonSteven-d5o
@SimonSteven-d5o 5 ай бұрын
Kinata kanipigia BAAH kusini iyo 😂😂😂😂
@neyney1907
@neyney1907 6 ай бұрын
This girl did it well❤❤ 🎉
@BasuleBasule
@BasuleBasule 6 ай бұрын
Kibaba Kimemwaga Chozi Manina😢😢😢😢
@Naamtitu
@Naamtitu 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 had analia jmn
@theblackfiredancers9051
@theblackfiredancers9051 6 ай бұрын
Kinataaaa mtu wa dini❤❤❤
@ElizabethRaju-sx2vu
@ElizabethRaju-sx2vu 5 ай бұрын
Hata kama jamani anamtukana😢😢
@Chinaomary-rn3qf
@Chinaomary-rn3qf 6 ай бұрын
Nimecheka mpaka macho jaman hawa jamaa wanavyopita hy nyimbo
@faridakidoti6734
@faridakidoti6734 6 ай бұрын
Huyu dada ni bongo movie ndo maana kaweza
@rashidimuhibu6832
@rashidimuhibu6832 6 ай бұрын
Huyo sister anajua ila ttz aache matusi tu
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 6 ай бұрын
Mimi nilishaa lia na mwamba pole sans😢🎉😂😂😂😂
@SaidMponela-xu9iq
@SaidMponela-xu9iq 5 ай бұрын
Dah! sema sanya unajua bro!! aloo😮🙄😅
@MuttaPerfect-x5d
@MuttaPerfect-x5d 6 ай бұрын
Hii kalii kuliko zote aisee uyo dada kauaa sanaaa😂😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 ай бұрын
Eti natukanwa alaf mnashuti😅😅😅
@mosesobunde
@mosesobunde 6 ай бұрын
Dada ana performance nzuri sana, nataman sikumoja tu play pamoja.
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 6 ай бұрын
Mungu wang wew kaka😢😢😢
@petromwakilasa8241
@petromwakilasa8241 4 ай бұрын
Yan bongo move inawatu wa hovyo afu kunavpaji vinazulura huku…!!
@Mkiga_junior
@Mkiga_junior 6 ай бұрын
Shekhee sharifu majin
@saidseleman2829
@saidseleman2829 6 ай бұрын
Sanya duuh hiki chuma cha leo ni 🔥🔥🔥
@FrolaMchomvu
@FrolaMchomvu 6 ай бұрын
Nimepaliwa KWA kucheka mo sanya soda yangu natakaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AishaMasali-lw8pc
@AishaMasali-lw8pc 6 ай бұрын
Shekhe sharifu majin nusu yapande kinata kapatikana😂😂😂😂
@ngido255
@ngido255 6 ай бұрын
Dah kinata kalia damu yangu kusingiziwa kunauma sema mi nngempga kiti cha kichwa huyo dem angejuta kufanya prank😢
@mixtapetvonline
@mixtapetvonline 5 ай бұрын
Kinata ndio msanii wa singeli ambaye sio muhuni na havuti bangi ana hofu ya mungu ndani yake
@marioodancer1532
@marioodancer1532 5 ай бұрын
Umjuhi kinata tuulize sis tunao ishi nayo
@HenryWisaka
@HenryWisaka 6 ай бұрын
Huyu dem alitegeka na Denny c tv kenya 😂😂😂 golddigger
@SherryFadhil
@SherryFadhil 6 ай бұрын
Hii kubwa sanya😂😂😂😂
@juniorking7123
@juniorking7123 6 ай бұрын
Dah demu anajua sana
@AzizSultan-fc7rn
@AzizSultan-fc7rn 6 ай бұрын
😅😅😅 tok hap nitakuharibu na sura yako nyeupe 😂😂😂😂
@Kilindimot
@Kilindimot 6 ай бұрын
Nimecheka kinomaa😂😂😂
@carlixtz4594
@carlixtz4594 6 ай бұрын
Huyo Dada anaitwa aqwelina mwali yuko vizuri
@teclanembuka
@teclanembuka 6 ай бұрын
Alafu kinata anaheshimu wanawake mana hajampiga ht kofi jmn.
@StanelyDaniely
@StanelyDaniely 6 ай бұрын
Ila sanyaa😂😂😂😂😂😂
@AbigalPeter
@AbigalPeter 6 ай бұрын
Sijapenda 😅
@danielsemkiwa9802
@danielsemkiwa9802 5 ай бұрын
Huyo dada anajua sema apunguze matusi
@ElizabethRaju-sx2vu
@ElizabethRaju-sx2vu 5 ай бұрын
Ana matusi kweli
@BlackyNay
@BlackyNay 6 ай бұрын
Anajua sna huyo dada 😅😊
@rutimarlon
@rutimarlon 5 ай бұрын
Uyoo demu napataje namba zake
@Africanzigianeth-dt1il
@Africanzigianeth-dt1il 6 ай бұрын
Anaitwa aqwelina uyo ni noma wazee💥🐐
@junglemovies2623
@junglemovies2623 5 ай бұрын
😂😂😂😂shida
@BungahboyTZ
@BungahboyTZ 6 ай бұрын
Daaah sema mwanangu mpole huyu kama ni mm lazima ale moja nzito kwanza ndy tiongee vizuri amanini
@SellemaniJapheti
@SellemaniJapheti 5 ай бұрын
Mwangu mtu akikuazishia vulugu usimpinge hasa Wana wake 🦂🦂
@fredsanga9461
@fredsanga9461 6 ай бұрын
Dah huyo demu ameitendea haki nafasi yake😂 hadi master kamwaga chozi😂😂
@mrloveboy
@mrloveboy 6 ай бұрын
Haw ndio wanaume tanzania wanategemeaa waende maandamona😂😂😂
@KhadijaMaulid-cf3vz
@KhadijaMaulid-cf3vz 6 ай бұрын
Eti hapa nilipo nasikiliza 😂😢
@RobsonLugomi
@RobsonLugomi 6 ай бұрын
Dada unavotaka ndonataka dadekiii😂😂😂😂😂😂
@l.marley_2542
@l.marley_2542 6 ай бұрын
Iyo ni unkwepecable thwings 😂😂😂
@fredanthony740
@fredanthony740 6 ай бұрын
Sister katisha sana
@JIGGABoy-my6qc
@JIGGABoy-my6qc 6 ай бұрын
Dada katisha sana 😂😂
@elishabrand9625
@elishabrand9625 6 ай бұрын
Hii pochi huijui😅😅😅
@robisongodiwnmushi9304
@robisongodiwnmushi9304 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wee mootan umetisha
@ShakaZulu-v3y
@ShakaZulu-v3y 4 ай бұрын
Hii kali kuliko zote
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 ай бұрын
Kinata anahic kama anaota😅😅😅
@Tashmaorg
@Tashmaorg 6 ай бұрын
Mwanaum halii😂😂😂😂😂
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 6 ай бұрын
Dada yupo kwenye haikufuma ya JB
@kareemShimudra
@kareemShimudra 3 ай бұрын
Sema mnazingua mjue
@LinnahLaizer-jg8ok
@LinnahLaizer-jg8ok 6 ай бұрын
Daaaaaaah ase mmeua
@adamdatch1558
@adamdatch1558 6 ай бұрын
Kinata analia h😂😂😂😂
@geraldlucas844
@geraldlucas844 5 ай бұрын
Kinata yupo so humble nenden mkamuone balaa mc
@eggysulle7988
@eggysulle7988 6 ай бұрын
Uyu dada clam anamfaa kufnya nae kaz😂😂😂
@jacktonjoseph3479
@jacktonjoseph3479 6 ай бұрын
KWANI HAWA WANA WANAIMBA NINI😅😅😅😅
@antonyjuma2566
@antonyjuma2566 6 ай бұрын
Ila moo unazngua mwang mwana kamwaga chozi unajua Sema huy manzi bhn anajua sanaaa
@FrolaMchomvu
@FrolaMchomvu 6 ай бұрын
Kali kali kaka da hatar
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 6 ай бұрын
Huyu dada sio poa adi qilio jmn😂😂😂😂
@Ucheshi
@Ucheshi 6 ай бұрын
Dada aliigiza tamthiliya ya haikufuma huyu😅😅
@SadickJoshua-u1d
@SadickJoshua-u1d 6 ай бұрын
😂😂😂 Dah aisee nyie watu kunasiku mtakuja kufanya mtu aumie
@BilaliSwaleh
@BilaliSwaleh 6 ай бұрын
Was kumbusu kinata necessary??😢😢
@mirajboy-wv9eg
@mirajboy-wv9eg 6 ай бұрын
Dah mmemzingua sana jamaa,yaan mpaka na mm nimelia yaan.
@Mbokaicon
@Mbokaicon 6 ай бұрын
Acha uongo😂😂😂😂
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 6 ай бұрын
Ningekua mm ningeend kumgonga kwel huyo demu
@DemungaKisimba
@DemungaKisimba 6 ай бұрын
Noma
@bizzyjunior_tz
@bizzyjunior_tz 6 ай бұрын
Huyu dada anajua Hadi so powa
@DadysBoy.
@DadysBoy. 6 ай бұрын
uyu dada akikupeleka mahakaman ata kama huna kosa basi jua umekwisha.
@omarinhomoudy
@omarinhomoudy 6 ай бұрын
Dada anajua saaana aseee, hapo bila skript
@eliadaniel216
@eliadaniel216 6 ай бұрын
😅😅 haya mdogoangu imekaa poa
@bboyseck6680
@bboyseck6680 6 ай бұрын
Kalia
@silahamichael1676
@silahamichael1676 6 ай бұрын
Ichi kipind ni really 😂
@salumbadalu3456
@salumbadalu3456 6 ай бұрын
Ivi Sanya una chukua muda gn kuwaza jambo km hli😊
@Ucheshi
@Ucheshi 6 ай бұрын
Huyu dada kuna tamthiliya aliigiza kitambo kidogo azam tv anajua sana huyu kwenye scene za kulia lia na kulalamika
@mshumbusideogratias9567
@mshumbusideogratias9567 4 ай бұрын
Oy town sanya umeua
@MathiasSimon-ek2jx
@MathiasSimon-ek2jx 6 ай бұрын
Watu wafupi ukiwachanganya kidogo tu wanalia😅😅😅😅😅😅
@thonycbtv5954
@thonycbtv5954 6 ай бұрын
Bonge moja la pindi😂🙌
@thecoolestkid6486
@thecoolestkid6486 6 ай бұрын
Need more episodes with her She did very well, I enjoyed watching it
@SELEMANIMOHAMEDI-b5j
@SELEMANIMOHAMEDI-b5j 4 ай бұрын
Nope, audience will get used to her and becoming bored
@BurjiJuma
@BurjiJuma 6 ай бұрын
Et Allah amjaze nguvu mwamba 😂😂😂
SHEMEJI KAFUNGUKA UKWELI WOTE
9:07
Mr Uky
Рет қаралды 69 М.
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
KAYUMBA  WENZAKE WAKAMATWA NA POLISI FEKI NI MTITI
32:46
Wasafi Media
Рет қаралды 28 М.
IRENE NI NANI?? MKE AMTUKANA MUME WAKE, UMEBADILIKA SANA
9:28
CHINO AIBIWA GARI MAZINGIRA YA KUTATANISHA 🤣🙌  ALIA KAMA MTOTO
32:16
TAMAA
8:43
Joti TV
Рет қаралды 292 М.
SABABU YA ZOMPA KUMUACHA FAY MOMO
10:31
Mr Uky
Рет қаралды 61 М.
HATONGOZEKI
9:13
Joti TV
Рет қаралды 405 М.
MR MWANYA AMCHAPA KOFI MOTOWN SANYA MIMI SIWEZ KUIBA LAKI MBILI
32:30