Mwamba anaupendo wa dhati ndio maana kamuacha kuna muda unatakiwa umuache unaye mpenda ili aijue thamani yako respect ❤
@MarthaMoris-zg2bj7 ай бұрын
Sujawahi kua naukalibu na x wangu hata mmoja kifupi sijawahi ludi nyuma
@SuzanA-up4pr7 ай бұрын
Kwer kabisaa
@AlbinMsechu7 ай бұрын
@@MarthaMoris-zg2bj akikutafuta je
@mkapakifoda89367 ай бұрын
Mwamba yupo sawa respect bro huo ndo wanaume 💪
@iddsomboko26197 ай бұрын
Huyo demu mi Malaya mshikaji yupo sahihi Mwanangu big up sana
@shebynizertechnicallyskill30057 ай бұрын
Nimekuappreciate sana mwanangu you are perfect man
@RechaelEasily7 ай бұрын
🎉
@SafayaPlatnum-zz1dz5 ай бұрын
Duh jamaaa anamaamuzi ya kibabe mtu pw sana zompaaaaaah 🔥 🔥
@festohaule97167 ай бұрын
Mtu anapokudanganya ni mbaya sana .Anakuonaje ..anakuchukuliaje!!!!Unasepa zako ubaki na Amani 🎉🎉🎉🎉🎉
@wilsonmagogwa24286 ай бұрын
Oya mwamba kaua flani hiviii... Kinyamwezi sanaaa ... Same life style man😂
@PeterEnosi7 ай бұрын
Mchizi kama mm kabsa yan✊🏼... Gentlemen needs to be like that 💪🏼
@DEBOLAZENDA5 ай бұрын
Mmmmh mwanamke mwenzangu hayo cyo maish bint ukipendwa pendeka
@SuarezAmissi7 ай бұрын
Broo big up sana kbx kwa mahamuzi hayo
@CherryEdward-r6sАй бұрын
Mdad mweu sana huy😅
@ashazuber65487 ай бұрын
We kaka njoo tuyajenge mwaya niko single huu mwaka wa 5 😢❤❤😊😊
@FaridaKizenga7 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@ashazuber65487 ай бұрын
@@FaridaKizenga Nipen namba yake
@JudyLee-hf9cy7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ashazuber65487 ай бұрын
@@JudyLee-hf9cy sasa mbon mwanicheka mwambien akuje
@engineerernest44257 ай бұрын
😂
@AnthoniaGeorge-tr7rd6 ай бұрын
Kaka vizuri sana usije ukapata ukimwi bure
@roseshonyera99293 ай бұрын
Msichana mjinga uyooooo husije ata kumrudia broooo
@NICOLAUSERASTOАй бұрын
Mwamba yupo sahihi Uyo demu wakupiga chini tuu
@beatrcidavid33187 ай бұрын
Tumuombe Mungu sana saiv ukimw nje nje
@fidonsostenes7 ай бұрын
Mwana kulitaka mwana kulipata 😅😅😅 demu kaumbuka mbele ya camera dadeki
@Americabeautifulland7 ай бұрын
Nakubali mwamba yuko sawa uyo demu ni malaya tu anawataka wote mdagaji t
@RechaelEasily7 ай бұрын
Unahasira
@deogratiusyudatadei56587 ай бұрын
@@RechaelEasilyhii ndiyo ukweli huyo demu ni malaya tu
@salimmalaka2567 ай бұрын
@@RechaelEasilyHASIRA LAZIMA SABABU ANAIJUWA HALAFU ANASUMBIWA WATU.
@johasaeed3917 ай бұрын
Tatizo wote mlienda kwa Mr right kutafuta mpenzi ndo hilo tatizo😅😅😅😅😅
@IRENEKOMANYA7 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@JENIPHAARON7 ай бұрын
Mbn uko kwa mr right uyu Dada anajiita Lisa af uku n faymomo duh
@johasaeed3917 ай бұрын
@@JENIPHAARON umeona mambo hayo yaani hawo wote ni malaya mtu kama unajielewa kabisa huwezi endajianika mbaya zaidi wanaume hawazaliliki anakuchukua anenda kukutumia nahata kama ataamua kuanza safari ya maisha juwa kabisa ipo siku atakutukana nilikutoa sehem fulani yaani kiufupi wanaume hawanaga msimamo maalum piga uwa galagaza 😄🤣
@nancyg86646 ай бұрын
@@JENIPHAARON😂😂maigizo yale
@chax2554 ай бұрын
nikadhani namfananisha
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج7 ай бұрын
😂😊😂😂😂mie huyooooo ,,,, siyo akil yake kuna ma x wako km wanga ata utake kuacha kuongea nae huwez😅😅😅😅.
@Officialsamiahassan5 ай бұрын
Hahahahaha hiyo sababu imeniamsha kwny usingzi maana hata me nlikua na tabia hiyo na nlikatazwa jmn uuuuwiiiii sinto ludia tena jameniii😅😅😅😅
@georgegeraz45577 ай бұрын
Kama Zompa hamtaki atuachie tu tuishi nae😂😂😂
@mtotiimkwizu7 ай бұрын
😂
@jaclinejohn3327 ай бұрын
bro sorry kwakupata mwanamke Malaya.
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw5 ай бұрын
DAAA. ebhana ni kweliiii kabisaa,,mi mwenyewe MTU muongo simpendi hata robo
@luckfury98275 ай бұрын
Em nipe hizo namba za Feimomo tumsitiri huku wauni😊
@Nelly-s3h6 ай бұрын
Dada jingaaa hili limetuanhushaloooh kaka bora umepiga chini
Big up bro😊 usipelekeshwi wew nikidume,Good decision
@Amriisihaka-o4x5 ай бұрын
Nakumbali sana maamuz ya mwana skuiz hatubembelez penz ukielekezwa huwelew pita ivii. Tulishaachaga iyo michongo*
@RanuFeisal-md4jb6 ай бұрын
Kaka uwamuzi ulofanya wa sawa kuachana naye❤❤hafai huyo dada
@AgnesZephania-p5k7 ай бұрын
Kizungu chako bana daahh Kenya Wana shanga iti Bola useme kiswahil
@nancyg86646 ай бұрын
😂😂😂nawewe ongea kiingereza maana kiswahili amna
@essyrugomora45617 ай бұрын
Mimi n mama wa miaka minginsiwez kukubali kijana wa watu aumie n vizur aendelee na.maisha yake na kamwe usirudiane nae kwasababu mwanamke unatakia umpende mwenzako katika shida na raha kuchat na EX N TABIA MBAYA na kama mlikuwa hamjamalizana kwann uongee na mwingine.mwanangu hongera sana sana katika ushaur wako.alafu huna aibu unasema mlikuwa mnapemdana hapana hapana uamuz n mzur hata kuja hapo haukutakiwa uje uengeendelea na mambo yako
@mayasahassan56987 ай бұрын
Mr right njoon muek right wapez went huku wameangukiq kwa Mr uk 😅😅ila kitu mtandaoni
@NICOLAUSERASTOАй бұрын
Zompa katuwakilisha vizuri
@JamilaMbago-w4j7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 ngoja kwanza nicheke😂😂😂😂 kumbe kweli sababu ipo 😂😂😂😂
@rahimmbera60887 ай бұрын
ila huyu demu jini aiseeeeeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🏃🤣🏃🤣
@najmahhassan78537 ай бұрын
Wanaume wote kuen kama zompa💪 safi sana, hakuna urafiki kati ya ex na ex.
@NawaalMallya7 ай бұрын
Aaaaah zompaa kauwaa sanaa hayoo ndoo maamuzii ya kumee hakunaa kulazimishanaa asipoo epewaa kila mmojaa afanuee yakee😂😂
@yohanakipako79347 ай бұрын
Mwamba yuko sahih kabisah awo watakumbushiana tu bro achana naye tu
@festohaule97167 ай бұрын
X wako unawasiliana na unambaba Mwingine....upo sahihi kuondoka na usiludie nyuma tena🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AgnesDavid-et3zn7 ай бұрын
Aibu naona mm😂😂
@SelestineKulwa7 ай бұрын
zompa respect sana
@angeimruma7 ай бұрын
Jina tu zompa muachoooo toshaaa🙄🙄🙄😃👌😝
@Issaya-d3f6 ай бұрын
I like this man 😅
@aznatfrida55777 ай бұрын
Jamaa yupo sawa kabisaaa, kama alimununulia lain mpyaaa na bado akaendelea kuchat nae , aaaaah achana na huyu dada mapemaa kabisaa
@Thumaommy7 ай бұрын
Wa kwanza nimewah naomba like jaman ..team strong huyu😂😂🎉❤
@RoseIssaya7 ай бұрын
Ni kitafunio 😂😂
@AgnesDavid-et3zn7 ай бұрын
Aibu hauna unaomba like za nin kama mchawi
@JudyLee-hf9cy7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂@@AgnesDavid-et3zn
@Thumaommy7 ай бұрын
@@AgnesDavid-et3zn mchawi ni mamaako ..nguruwe ww hvi comment section yote unaona mm tu..msenge sana ww....chefuuu😏😏
@AgnesDavid-et3zn7 ай бұрын
@@Thumaommy mmezidi sana waomba like paka mnakera boya wew
@celinapatrick38567 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅dah Asante san hii ni tabia yangu 😂😂
@nurventnurvent6 ай бұрын
Kwann uchart nae😂😂😂😂
@neemareuben3117 ай бұрын
Zompa yupo sahiii sana kumbe dem ndio malaya huyoo
@jamesgeorge82797 ай бұрын
Wanazinguaga sana mm pia ndiyo mana nikizinguliwa napiga chini nacheki maisha yangu hao ukiwaendekeza utakuja kufa siku si zako aiseee
@Zengeni-gz8fe7 ай бұрын
Yani ili jike xenge hili.broo saluti kwako hongera sana kwa maamuzi ya kiume 😂😂😂❤
@BenisonInoccent7 ай бұрын
Mie naona bro upo sawa kabisa kwa hayo maamuzi
@LloydsTech3 ай бұрын
bro ana mind set kubwa sana,thats how man should be
@Ms.Shansha6 ай бұрын
Nyieeeee DEAR EX🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aminamaulid73717 ай бұрын
Mwanamke mwingi huyu, mwamba yuko vizuri mnooh na anampenda sanaa ila upendo wa kweli ni kumuacha unayempenda aende kwa anayempenda 😂😂
@MariamAbuubakar-e5o7 ай бұрын
Kweli ww dada hujielewi kabisa😅😅
@Denismayeye187 ай бұрын
Kabisa brother uko sawa kabisa
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج7 ай бұрын
😅😅😅😅 ndio ugeuke panya utafune line ya mwenzio dah
@KhadijaJacob7 ай бұрын
Uyu dada kajiharibia mwenyewe! Kaka songa mbele!
@rozzymossesshayo68447 ай бұрын
Bora amekuacha ki roho safi watu wanauana ujue hongera kijana
@MerinaMihayo7 ай бұрын
Bora leo umebadilisha nguo😂😂
@TasmiaDulla7 ай бұрын
Daah noma san bro umetisha unamaamuzi Makali san😂
@deeh73224 ай бұрын
Zompaa njoo unywe pepsi kwanza umetuwakilisha vzuri uwanaume
@IssaMkane5 ай бұрын
Role model wetu 😂😂
@neykombe88315 ай бұрын
Kuachwa tu unauliza watu wameachwa na mimba na awajauliza sembuse ww😂😂😂
@Zubaiba5 ай бұрын
Kweli chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉
@LovelyRacingHelmet-iv6ti5 ай бұрын
Daah mwamba kama mm vile sinaga kushangaa nikisha kujuwa demu ni mwongo then ni.esha kuambia husikii piga chini fasta
Mmamaaaaa 😂😂😂😂 kimekurambaaa shoga poleeee sana ww rud tu kwa ex wako mwache mwamb atfte akufanana nae Kila la kheri broo kunywa soda zompa nakuja kulipa 😂😂😂😂😂😂😂
@VeroMaketu7 ай бұрын
X tang lini ukachat nae na mpenzi wako ajue alaf useme c kwa ubaya 😂😂😂
@amanomary14825 ай бұрын
Kwenye Ile Mr right mwamba ni Bora angemchagua yule dada mwenye gauni jeusi ila hapa aligonga Mwamba😢 huyu demu anaonekana mapepe tu
@jafarysoahsoah85307 ай бұрын
Mr u unaweza my brother
@henricknazarius91806 ай бұрын
Mademu mambo ya kisenge sana Nikuite
@juniorsonofgod56757 ай бұрын
Sema Mr UK unaboa kitu kimoja tu. Punguza mapozi kwenye kuongea pia juwa kutofautisha R na L... Jitaidi sana kijana. Unakosea hio sector. Kula R na L
@FAUSTAMBAGA7 ай бұрын
we iyo sio kazi yako kama mapozi yanakuboa left group
@devociltergoldwyne56517 ай бұрын
Hatuachana vibaya 😂😂😂😂😂😂😂ngombe kabisa sipendi kweliii
@InnocentJulius-pn1yj7 ай бұрын
Mwishoni umesemaje Mr uky😮😅😅
@JoshuaMwakifuna7 ай бұрын
Really gentleman big up bro
@NahlaRashed7 ай бұрын
Broo hataki stress ex ni ex tu hakuna ex mzuri Kam mzuri c ungbaki nae tu 😂😂😂😂😂
@eggysulle79887 ай бұрын
Af kard kwa x wake tyr anampnzi wake yy nafas hana tena 😄😄et s kwa ubaya 😄😂x akuone unapndza afrai kasema nan Zaid atafanya akuharbie
@zuwenasalim27947 ай бұрын
Huyu momo kafanana na ngosha 😂😂😂
@J.N8376 ай бұрын
Umekosea sana man, ilitakiwa umtanye awe single mother ndio umuache, awa mbwa nikiwateea ad kaburini
@sophykivuyo7 ай бұрын
Zompa umepigaje apo😂😂😂😂
@araphatwalibu12587 ай бұрын
Ila zompa na handsome 😂🥰
@angelmsalilwa5177 ай бұрын
We zompaa weweh🙏 Achana naee
@ElizabethMgeni-jo5vl3 ай бұрын
Aliitafuna laini😅😅
@themanofgod75627 ай бұрын
Keep it up Mzee Baba too much fishies in the sea.
@Eddyx217 ай бұрын
Ur perfect than kiredio🔥🔥
@DavidChilongola7 ай бұрын
Leo ndo nimegundua kuwa mademu NI viazi 🤣🤣🤣uyu dada hana akiri totally