Mimi nimependa sana mbowe nae agombee,najua lisu anashida,ila kipimo ni hiki,je ataweza kulinda ushindi wake dhidi ya mbowe,kama akiweza basi kwanza umarufu wake utaongezeka zaid na pia atawahakikiashia watu kwamba anaweza kupambana ccm,ila kama hawezi kulinda kula zake ndani ya chama anawezaje kulinda dhidi ya ccm,so hiki ni kipimo kwake watu waone sare zake katika field
@aminattai267615 сағат бұрын
Na naomba lisu ashinde na akishashinda ndio atajua ana deal na watu gani kwenye CHADEMA.
@dezruh14 сағат бұрын
Hawa hawapaswi kupewa Nchi kabisa wepesi sana hawa... kuwaanini hawa ni kuuza nchi mchana kweupe... Hii inesaidia saba kuwafahamu, Mungu ni mwema sana.
@MathewNathan-yb2bz13 сағат бұрын
Ww mjinga kweli.Hawa ndio wenye uwezo na wakipewa nchi wataiongoza vizuri sana.Tatizo sisi watanzania ni taifa la watu wajinga na tulivyo wajinga tunaamini kuwa ni ccm pekee ndio wenye uwezo wa kutawala na kutuongoza kumbe sivyo.Mbona kuna nchi kibao za Afrika zimefanya mabadiliko na zinaongozwa vizuri tu.
@MariamJeremia-u7e10 сағат бұрын
Umefirisika kimawazo wewe Kuna kiongozi Gani ccm mwenye uwezo kama vipngoxi wa chadema???????? Kiongozi Bora ni yule anaesimamia haki za watu ,
@YOHANAOLEKIBUDA19 сағат бұрын
Muwe makini sana kwenye uchaguzi wenu maadui wasije wakapata mianya ya kuwavuruga.
@SaumuSaidi-z2v18 сағат бұрын
Sasa lisu Naya anagombea mwenyeki au uraisi?mn mboya naye anagombea uenyekiti au urais
@MashakaMagesa15 сағат бұрын
Na ndiyo kinatafutwa ila Tundu Lisu Sina Imani nae muda wowote anakimbia Uberigiji CCM wameona chadema ndiyo chama sumbufu Sasa wanataka kukivuruga
@chikiragamba485244 минут бұрын
Mwacheni Mbowe agombee.... Mama mitano tenaaaa.......
@dennisezakiel338017 сағат бұрын
Achia ngazi mbowe , acha tamaaa
@MICHAELWILLIAM-p7h17 сағат бұрын
You must Go
@SalumuRamadhani-y4y15 сағат бұрын
Hawa ndio wanataka nchi kweli wenyewe hawaelewani
@LevinaAloyce-g7h19 сағат бұрын
Lisu kanadi Sera akiwa mw/ kit ataweka ukomo was madaraka,kuondoa ukupe na udkteta ktk chama Kama huu was miaka 21, atatengeneza idara mahusus usimamiz was pesa za chama,nidhamu, haki na uhadilifu,,mbowe anasema anataka ajiuzulu umri wa akina mzee mtei hiyo ndyo Sera ya mbow chadema kweli Kuna watu ndyo wanataka dola wawatoe ccm ,,pita kule,,
@ce-0818 сағат бұрын
Huyu kinachombakisha pale anapiga hela za wafadhiri juz juzi tu wametoka kuingia billion 7 kutoka kwa wadhamini kwaajil ya uchaguz mwakan sasa hiz hela zote zipo chini ya mwenyekiti hakuna kitengo maalum chakutunza pesa sasa mbowe hatak kuachia ulaji huo hapa Bora Ccm ibaki madarakan tu kwahuyu mwenyekiti mbowe tuendelee tu na kijan
@RamadhanKichele18 сағат бұрын
Mmh! Yani unatamaaa ya madaraka mpaka unajivunjia heshima we miaka 20 kwenye uenyekiti ujatosheka tu, sasa uenyekiti tu unakutoa roho hv, ukiingia ikulu siutagoma kutoka madalakani
@masoudabdoul844716 сағат бұрын
Ulafi wa madaraka. Tupishe Mzee ... Miaka 20+ unataka nini tena
@SaumuSaidi-z2v5 сағат бұрын
@@masoudabdoul8447 kumbe nanyi mnayajua hayo,mnalaumu tu ccm
@saimonseleka879219 сағат бұрын
Uyu dingi uyu Dah...😂😂😂😂😂
@patrickmbeya669617 сағат бұрын
Kwann iwe mitano ya mwisho wakati wanachama ndio wamekushawishi kugombea VIP wakisema tena baada ya hiyo.
@T_Darius8 сағат бұрын
Hicho ni kiteteo tu
@michaelkavavila73715 сағат бұрын
Lisu hakuchukua fomu...ili mboe asigombeee.....na ninavo mjua lissi hapendi vitu rahusi......ni mtu anaye nyoka na huwa anaamini ktkt ushindani wa haki.....mboe ni mjanjamjanja na chama ni cha mkwewe. Kipi kimaslai ya kufamilia zaidi....kiukweli mboe na chadema yake mvuto umeisha.
@anyelwisyemwakalinga-iz1ej14 сағат бұрын
Madaraka matamu msipime, miaka mitano tena kwa Mbowe😂😂😂😂😂. Niishie hapa maana na mimi nisiwe nikashawishika kisha nikaenda kukata kadi na kugombea uenyekiti cdm😊😊😊.
@DavidLeonard-p5n12 сағат бұрын
Mda wako umeishA mzee washauli Kwan Huna au niuroo wamadaraka
@marysichinsambwe770817 сағат бұрын
Mbowe must go
@dorothmsuya168616 сағат бұрын
Waacheni wafu wazikane!😂😂😂😂😂
@DismasJohn-o6c9 сағат бұрын
Sema mbowe
@khalidiiddilema91632 сағат бұрын
Haya ndo masaaa 28😂😂
@bakhresakanu262115 сағат бұрын
Hapo ndio tushajuwa Akuna chama. Hapo mtaweza kuongoza nchi nyie
@hamzahamid626218 сағат бұрын
Hamjashika Dola, mkipewa nchi itakuaje?
@AllySule-t9g2 сағат бұрын
😂😂😂😂ndio nilikuwa najiuliza
@prosperjuma9052 сағат бұрын
Huyo akichukua dola hatoki ng'o
@DamianLucas-k2d17 сағат бұрын
Hawa wote hawafai kushika nchi hata siku Moja
@isaacemily188913 сағат бұрын
Lissuuuuu
@ameirzapy1318Сағат бұрын
Hawa 😂wawili ndio wataweza kuongoza nchi kweli 😅? Chama tu mafumbo mengi, kusemana vibaya
@PrinceHendry-hp8vv46 минут бұрын
Tushajua mbowe ni dictector kushika nchi sahau haita kaa itokee unaweza ukafia ikulu kama mugabe
@jamesbayo19103 сағат бұрын
MBOWE CHADEMA SI MALI YAKO ZINGATIA DEMOKRASIA MIAKA 20 KAMAIJASAIDIA HIYO MITANO UNAYOSEMA ITASAIDIA ACHA ACHA UDIKTETA
@richarddavidmk14 сағат бұрын
Hili jamaa limetusaliti wajumbe tuleteeni Lisu
@elvisnzovu828214 сағат бұрын
Huyo kumbe nae ana tamaa sana ya uongozi.
@AgustaZaileСағат бұрын
Chama cha wachaga hiki
@JacksonMbites18 сағат бұрын
MUDA SIYO MREFU MTAKOSANA DALILI NAZIONA SIONI MKIENDA MBALI
@BHALEEALI6 сағат бұрын
eti nihame chama nimuachie nani??? hahahaaa hata Maalim Seif Sharif Hamad alihama CUF na wewe utang'oka tu, sie tunamtaka TUNDU LISU
@AgustaZaileСағат бұрын
Chama kinachoendeshwa na mchaga ni kuwa makini nacho sana
@dezruh14 сағат бұрын
Neno nimuachie nani lilikuwa linakuja likagomea njiani!
@PrinceHendry-hp8vv49 минут бұрын
Hahaaaaa mbowe anataka wamalize na mama Abdul miaka mitano ndo mtuachie makapi.. Kweli mkifanya ubazazi tutamshauri lisu waungane na zito act kama chadema haijawa tadea
Kilasiku mwakani sigombei ukifika uchaguzi Ana ng'ng'ania Huyu mzee hatali kademokrasia akiwa Akiwa Raisi si atakua mseven huyu
@DamianLucas-k2d17 сағат бұрын
mpo nalichma mda mrefu hata maendeo yachama hayapo Leo nchi ndio mtaweza matope matup
@kelvinirichard408017 сағат бұрын
Kama kunamaamuzi ya kura kupigwa bila vikwazo kura siipigwe2 ila Kama mbwe ana Bado miaka yake mitano amaliziye maishab mengine yaendelee
@hollymore490418 сағат бұрын
Imetosha mkuu
@GraceYohana-n4s17 сағат бұрын
Chama nicha mtu binafsi naona! Hatuwaamini .
@suleimanh182616 сағат бұрын
Lissu atajitoa dakika za mwisho amuachie Mbowe. Tusubiri tuone huu ni mchezo
@T_Darius8 сағат бұрын
Lissu kile kichwa hukijui vizuri, hanaga hiyo michezo yule ding😅
@DavidCurtis-e4c29 минут бұрын
2:40 to 2:45 kama vile amemaanisha nanukuu nihame hiki chama nihamie wapi nihame hiki chama nimu.......(wachie nani) anachoongea kwa public na anachomaanisha akilini mwake ni vitu viwili tofauti. Na je leo ndio amejua wote ni mafahari? Alizoea kuwachinjia wengine baharini na kurudi kwa public na kuwachafua na kuonekana wasaliti wa chama kumbe tatizo ni yeye. Mambo kama haya ndio yanayotuchelewesha waafrika.
@MwesigeMwesige24 минут бұрын
Chagueni sula mpya sisi wananchi tunaumiya
@SuolFat15 сағат бұрын
Sasa unaogopaje kinyago chake mwenyewe
@CelinTonny16 сағат бұрын
Mimi nahisi wanatuchezea akili hii ni kiki 😂😂😂😂
@hassanlikwenangu847119 сағат бұрын
LISSU 2015 : "SIJAWAHI KUONA MWAKA AMBAO WAGOMBEA WA CCM WANATOFAUTIANA NA KUPIGANA VIJEMBE KAMA MWAKA HUU".. LIKWENANGU 2024 : "SIJAWAHI KUONA WAGOMBEA WA CHADEMA WANATOFAUTIANA NA KUPIGANA VIJEMBE KAMA MWAKA HUU "
@bakhresakanu262115 сағат бұрын
Sasa wenyewe mnagombana kuna chama hapo
@AbelChiragwile-dq3onСағат бұрын
Fanya kama nyerere aling'atuka akiwa na umri wa miaka 63 /64 maisha hayawez kufanana kwanin ufananishe na waasisi?
@GuidoLadislausСағат бұрын
Achana na mkwaraaa wewe Mbowe ni mpuuzi hatukutaki maana chama sio chakooo
@MsevenSaudisaidi17 сағат бұрын
Mbowe inatosha kaaa pembeni
@prosperjuma9052 сағат бұрын
Kagame😂
@JUMAMNYAMBWA8 сағат бұрын
Umuli wakusitaafu upiwakusitaafu
@sammohung150612 сағат бұрын
Pumzika kidogo mbowe
@DamianLucas-k2d17 сағат бұрын
mwenyehakili ameelewa hapo hakuna chama Wala viongoz wa chama ni uhuni mtup
@AmosiMganyizi14 сағат бұрын
Hata ccm huwa wanafarakana mwishowe wanaelewana
@silvergold585519 сағат бұрын
Kuna kitu kimeeditiwa kwenye hii video
@Jabiridihimba16 сағат бұрын
Nilikoment juzi huyu anagombea na Hawa wanachama alipange yeye waende kwake
@ramadhaniOsujacki12 сағат бұрын
Wwe mwaachie lisu uongozi wetu wa chama chetu ya chadema wewe huwezi kuiongoza chama hiki huwezi achia lisu anaweza zaidi yako huna kitu wewe
@alphoncembasa59216 сағат бұрын
Duuu
@aminattai267615 сағат бұрын
Uko na uhakika huwezi kuwa raisi wa Tanzania na haitowezekana kabbisa wewe kuwa raisi,sasa iyo miaka mitano unayoitaka hesabu hazijakaa sawa bado ndio unataka kumalizia mahesabu? Halafu umesema tusitake useme mengi,lisu unamsikia jamaa uyo kwa maana iyo anataka kusema yuko na siri zako nyingi,jipange.
@thelivingwordchannel902715 сағат бұрын
Du!
@BensonMpete17 сағат бұрын
Achia na wengine
@AndreaMathias-y2f3 сағат бұрын
Wewe ulikuwa wp ulifanya nn
@robertmigabe87212 сағат бұрын
Uyu mjinga anang’ang’ania madaraka2 si aondeke aachie watu wapige kazi
@obadiamwakatuma416214 сағат бұрын
Tamaa tuu!..
@MashakaMagesa15 сағат бұрын
Lisu Sina Imani nae muda wowote ule anaenda Uberigiji CCM wanataka kuiua chadema kupitia Lisu mbowe usikubali
@MariamJeremia-u7e10 сағат бұрын
We hakili zako hazitoshi ubeligiji alienda kwa furaha???? Si alikuwa kwenye matibabu ?? Ye ni mtanzania sio mbeligiji,
@subiralema16 сағат бұрын
Akuna maelewano tena apo lisu tafuta chama chako sasa
@magrethsanga562219 сағат бұрын
Mbowe kumwa mwenyekiti risu makamu basi
@RBMBAKARI-bv6wn19 сағат бұрын
Ccm ni chama imara sana nimegundua hilo kwa miaka arubaini toka mwalim achie madaraka sio kama hawatofautini lah ila wanakanuni ambazo zinamfanya mwanachama ajihukumu mwenyewe kama ataleta kusigina na nidhamu ya chama .kwanza unaitwa dodoma ukajieleze ile kanuni imeleta nidhamu sana ndani ya chama.aaa ccm itatawala miaka hamsini ijayo huo ndio ukweli
@samkitwima793317 сағат бұрын
Kwa staili hii CCM 100 tena. 😂😂 Inaniuma mpaka basi
@HermanMzule-n4r12 сағат бұрын
Mh
@samkitwima793318 сағат бұрын
Ule msemo wa "Useful Idiot" aliopewa Carlson Tucker na Hilary Clinton baada ya interview na Putin nahisi unamfaa huyu jamaa😂😂 Najuta kwa nini miaka 10 iliyopita nilikuwa Shabiki wa Chama hiki. Huyu Jamaa anatumika na Sysytem since day 1. Chadema akirudi huyu inakuwa CUF chap tu.
@T_Darius19 сағат бұрын
Hawa jamaa wakija kupata nchi hawatokuja kutoka, na sio kutoka kuna uwezekano wakabafilisha katiba rais aendelee 😅
@mutabebwa171318 сағат бұрын
Ni kweli kwa hili inaonyesha wazi huyu akipata uraisi basi atakuwa kama raisi. wa nchi jirani yetu anayesema hawezi kuondoka madarakani ngo.
@magrethsanga562219 сағат бұрын
Tumpigie kura mbowe jamn
@T_Darius19 сағат бұрын
Miaka 21 bado mawazo yale yale😅
@UrassaGodliving-dm3lp16 сағат бұрын
Watu wanadhani kuongoza chama cha upinzani ni rahisi, hebu imagine kipindi kile angeshinda uenyekiti sumaye,
@issaakena197012 сағат бұрын
Tutolee uchaga wako
@alfredfaustin44419 сағат бұрын
Kweli ningetamani mbowe umalize miaka mitano ya mwisho
@martinegeorge469618 сағат бұрын
Muda wako unatosha achia kistarabu vision na mission umeishiwa