No video

KWANINI KODI YA MAJENGO TUILIPIE KWENYE LUKU| KAZI YA TANESCO SIYO KUKUSANYA KODI

  Рет қаралды 15,069

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 166
@GodblessNyongole
@GodblessNyongole Ай бұрын
Mzee wa kaliua leo umeongea vizuri Sana ...... Upigaji mwingi Sana .... Kodi zetu zingekuwa zinaelekezwa kwenye miradi yenye tija hii kopakopa ingepunguaa sana
@muthegreat3667
@muthegreat3667 Ай бұрын
Kodi zimekua nyingiii sana halafu hakuna maendeleo yeyotee .
@davidboazi2619
@davidboazi2619 Ай бұрын
Iko bomba hii serikali ya tz ingekuwa kenya aisee sijui wangekimbilia wapi wasafi mpewe 🎉🎉🎉 yenu
@eddyology7304
@eddyology7304 Ай бұрын
Double taxation. Mzee wa Kaliua leo umetisha sana. Chukua form babu
@mwalimudavidkizazihuru
@mwalimudavidkizazihuru Ай бұрын
Kwakweli tukiendelea kutumia media kama hivi kusemea wananchi. Media zitakuwa na mchango mkubwa sana ktk maendeleo ya wasilizaji wake. Hongereni sana. 👏🏿
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Lakini siyo channel ten, pale hutapata utetezi wa hoja za wananchi!
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Misiwaamini kabisa hawajamaa
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
wananyooshwa na crown media
@FahmiNassor
@FahmiNassor Ай бұрын
Kodi zetu cc tunawalipia viongozi wajaze matumbo yao ndio maendeleo tuyapatayo kuona wakitembea na magari ya kifahari suti kubwa na vitambi tu
@allymusira2153
@allymusira2153 Ай бұрын
Mimi nampongeza sana waliobuni kuweka kodi kwenye luku imetupunguzia kwenda TRA kupanga foleni na kupoteza muda mwingi la muhimu ni mpangaji na mwenye nyumba kuweka makubaliano ndani ya mkataba pindi unapolipa kodi ya nyumba ikatwe pesa ya kadi ya jengo , hata mimi nafanya hivyo kwa wapangaji wangu na tunaelewana vizuuri
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku Ай бұрын
Uko vizur sana
@tracyjohn2957
@tracyjohn2957 Ай бұрын
siyo wenye nyumba wote ni waelewa kama wewe kaka wengine hawataki Hata kusikia ukiwaambia hivyo
@gabumkono
@gabumkono Ай бұрын
Wewe una nyu.ba wewe nyambafu
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Sio sahihi kufurahia uzembe wako..nyie ndo mmetufikisha hapa
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Huna akili😮
@user-ep9cx8lm4w
@user-ep9cx8lm4w 2 күн бұрын
Kazi ya Tanesco ni kutupatia nishati sasa kodi ya majengo wapi na wapi kodi ni nyingi sana TZ
@robertzamani5612
@robertzamani5612 Ай бұрын
Waandishi ndio tunataka muwe mnajadili hoja kama hizi za kulijenga taifa
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Kaka nahisikama hawajamaa wameotea tu wesubirikesho utawasikia tu kaupigamwingi
@geofreynyakana
@geofreynyakana Ай бұрын
Tunaumizwa sana wapangaji na kwa sasa kodi ya pango ni sh.2000 kutoka sh.1500
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Ай бұрын
Bila ivo wabongo hatuwezi kulipia Kodi ya majengo
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 Ай бұрын
Hapa Serikali inatuibia sana na kutuletea umasikini mkubwa. Hapa tumepanga nyumba moja familia 8 lakini vyumba tofauti na kila chumba kina mita yake. Tunaonewa sana.
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 Ай бұрын
2000 kwa mwezi ndogo! Hebu acha kulalamika, halafu Kuna utaratibu kama nyumba Ina mita nyingi mnaandika barua inalipia mita moja
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Ай бұрын
Mwenye chumba yupo atakubali mita yake ndo yapitie malipo na unahisi wengne watamsaidia? @kibasamohamedi8029
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
​@@kibasamohamedi8029hata kama ni shilingi 100 huo ni uwizi wapangaji sio wamiliki wa jengo na sio wapangaji wanaotakiwa kuandika barua tanesco..wenye nyumba wengi ni wahuni na ndio sababu huu mzigo umetupiwa wapangaji which is unacceptable
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds Ай бұрын
Mtu saidie kupaza sauti maana ni shida kuanzia leo nitakuwa nawafuatilia kwa point hizo ila tatizo siyo tanesco ni serikali ya CCM na bunge lake ndo wameleta tatizo hilo
@Alute-son2003
@Alute-son2003 Ай бұрын
Oscar uko vizuri natamani ugombee Uraisi mwakani unaupiga mwingi kuliko hao wanaosema..oooh anaupiga mwingi
@mustafakimalio9129
@mustafakimalio9129 Ай бұрын
Kila mwenye maoni mazuri anafaa kuwa rais,,,,
@user-jq7dd6jo3y
@user-jq7dd6jo3y Ай бұрын
😂😂😂😂
@Alute-son2003
@Alute-son2003 Ай бұрын
@mustafakimalio9129 Ndio si wanatoka hadharani tunawapigia kura za wazi atakayeshinda anaongoza nchi,lakini isiwe hizi chaguzi za mimi Raisi afu nateua watu wakinisimamia kura za nchi nzima afu baada ya kazi mimi huyo huyo nawalipa hela 😀😀😀
@jumannemalungo5018
@jumannemalungo5018 Ай бұрын
1000 mda mfupi 1500 sasa 2000 inchi ngumu hii Tanesco inakuaje lakini ndio ivo tukubali tu
@manoramatv858
@manoramatv858 Ай бұрын
Fact broo naitwa rama nipo temeke dsm
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Waleteni Kayombo wa TRA na Waziri wa fedha..waseme kufikia leo wamekusanya shingapi. Na hili zoezi litakoma lini maana sikuizi unakuta compound moja ina zaidi za hata nyumba kumi na kila nyumba ina luku yake na kila luku inakatwa hio kodi. Huu ni UWIZI! Wenye nyumba wengi hawawarudishi wapangaji hio hela na pia kodi inalipwa zaidi ya standard rate kama wapangaji ni wengi. Hili ni tatizo kubwa. Taarifa ya madeni waliotoa TANESCO NI YA UONGO!
@amaniurio5655
@amaniurio5655 Ай бұрын
Swal Kwa zile nyumba za kupanga zenye MITA Zaid ya 4 Kwa jengo Moja wanakataje awakufukiria Hilo au walifanya maamuz tu
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j Ай бұрын
Tunapigwa sana wapangaji ndio tunaumizwa . Simu nazo wanatuchukulia pesa nchii hii Mungu anawaona
@user-wq2fh5rx4s
@user-wq2fh5rx4s Ай бұрын
Hamuna nch hapa wazulumaji tu et nimeweka umeme wa 13000 nimepewa wa 2000 nimekatwa 10500 hamuna nch hapa ipo ck watajua hawajui
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Wakati hata hilo deni halikuhusu walipaswa kumalizana na mwenye jengo
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 Ай бұрын
Wasenge hao si uku wameanza kutukata 2000 toka mwaka jana ,bila taalifa yoyote
@IssaTayari
@IssaTayari Ай бұрын
Kod yajengo kulipa kwenye luku Siyo sawa kabsa kunawatu tumepanga
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Kweli inabidi tupaze sauti kuhusu hili..wanashindwaje kuwapata wenye majengo ama mchana majengo hayaonekani?
@eddyology7304
@eddyology7304 Ай бұрын
Bajeti ya kununua magari ya Tamisemi ni bilioni 189. Tunakamuliwa ili wanunue mavi eiti
@user-tz8wq1dj7j
@user-tz8wq1dj7j Ай бұрын
Wabunge wa ccm tupige chini wote inch nzima ni wabunge nyumbu tu
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 Ай бұрын
Gen Z ya Tz iko na Mishangazi
@richardc270
@richardc270 Ай бұрын
TRUE
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Ай бұрын
Hii inasababisha wapangaji kumlipia mwenye nyumba hii ni mbaya sana
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Yaani TRA hawataona hata kuta za Mbinguni
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k Ай бұрын
Hadi sasa kuna nyumba zinalipia kodi ×2 kwa nyumba moja,zenye mita zaidi ya moja.
@robertmigabe8721
@robertmigabe8721 Ай бұрын
Osika umeongea kitu Cha akili Sana toka nikujuwe...kama pale napo ishi tunaishi wapangaji2 ikifika mwisho wa mwezi ukinunua umeme unakatwa ..Sasa kitu Cha kujiuliza nakatwa Kodi kwani mim ndo mwenye nyumba ..selikal ya hovyoo sana wanafanya vitu bila kufikilia
@user-uh3eg5cj2r
@user-uh3eg5cj2r Ай бұрын
Hapo TANESCO WALIFELI
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Tumefanya sensa juz tu majengo
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Kodi ya majengo kulipa kwenye luku ni wizi wa waziwazi na kushindwa watu kazi, wizara ya fedha in vihio wengi bdio maana hawana uwezo wa kujua kodi ya majengo maana yake nini, mfano wewe huna nyumba lkn umepanga kwenye jengo na kutaka separate meter na hapo inabidi ulipe kodi ya majengo wakati huna nyumba why.
@jumamkwelengala4599
@jumamkwelengala4599 Ай бұрын
Wezi sana hao ila wakumbuke Mungu yupo
@gosppediapinnacle4230
@gosppediapinnacle4230 Ай бұрын
tunayachangia majizi kodi zetu, jioni yakutane kugonga cheazi
@lucymtui8680
@lucymtui8680 Ай бұрын
Katiba ibadilike tu Viongozi watakuwa na heshimaa😢😢 Itakuwa zaid ya kenya
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 Ай бұрын
sasa kwa dizaini hii wasafi mtapata wasikilizaji wengi
@user-qx4pc3rx8g
@user-qx4pc3rx8g Ай бұрын
Safi sana osca huyo mwenyew kupata kakaa kichawa sana watangazaji kama hao hawafai kbsa
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Tunashangaa sasa hivi wameongeza imekuwa 2000 yaani makodi yamekuwa kibao. Wanyonge hao eti tunasikiluzwa.
@NehemiahBashahu
@NehemiahBashahu Ай бұрын
Yan Tanesco kwa kweli wameingilia kazi sio yao ili watudhulumu haki zetu wapangaji. Jana tar 08/07/2024 nmenunua umeme wa 3000 napew unit 2.8KW halafu nabiwa nmekatwa 2000 kod ya jengo?
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile Ай бұрын
Wananchi wa Kenya Havana mchezo
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 Ай бұрын
Wapi huko taarifa za kukata umeme Huwa zinatolewa maana mi Nina zaidi ya miezi 6 wanakata bila taarifa,,,Jana nimenunua umeme luku ya 5,000/ nikapewa unit 8, wizi au unyang'anyi?,,,,Sasa mi Nina mita ya kazini na nyumbani halafu nakatwa ya nyumba yangu na ya mwenyewe
@EM4CBeatz
@EM4CBeatz Ай бұрын
Mnaambiwa nyinyi tu dar uko kuhusu kukatika kwa umeme msijizungumzie pekeenu
@muganyiziluharara9668
@muganyiziluharara9668 Ай бұрын
Iyonikweli viongoziwetu wanamasikio lakini hawayasikii hayo sisi wapangaji kweli tunaumia
@zebedayobiswalo1924
@zebedayobiswalo1924 Ай бұрын
Hii nchi ya ovyo sana it's very sada
@christianlutego1288
@christianlutego1288 Ай бұрын
Wachumi wetu hao wasiotaka kuumiza vichwa vyao, badala yake ni kututwika mitozo Kila sehemu, MUNGU ata jibu soon tu
@naldclever
@naldclever Ай бұрын
Hii wizara ya fedha na Tra lazima ijitafakari... Kwa mfano hii wanayokata kwenye umeme wanasema n kod ya pango la ardhi, sasa mm kwenye ardhi yangu 1 nmejenga nyumba ya wapangaji na ndani ya ardhi hiyo 1 kuna Luku 7 kwa room 14, sasa kwann wanakata elf2 2 kwa kila Luku kila mwezi wakati luku zote ni za mmiliki mmoja, na ardhi pamoja na room zote ziko kwenye nyumba moja!!? Huu ni unyonywaji wa wazi kwa wananchi.. Wapangaji wanalipa kodi la pango la ardhi isiyowahusu kivipi ? Waziri anasubiri nn madarakani ?
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Ajitafakari tena sana
@BituroPaschalKazeri
@BituroPaschalKazeri Ай бұрын
Mkuu ulikuwaje mwandishi wa habari- mwajiri mbona anakusanya PAYEE
@gabumkono
@gabumkono Ай бұрын
Huna unachokijua... Ninani alikwambiq oscar ni mwandishi wa habari
@BituroPaschalKazeri
@BituroPaschalKazeri Ай бұрын
@@gabumkono ni kweli ningekuwa najua nisingestaajabu
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 Ай бұрын
Hii nchí tunajadili matatizo zaidi ya ubunifu
@abdallahabdulghani9150
@abdallahabdulghani9150 Ай бұрын
Na kwa wanaotumia umeme wa solar ambao hawana hiyo luku,je ulipaji wao wa kodi ya jengo watalipia vipi?? From TaNgA CiTy..
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 Ай бұрын
Wanalipa kupitia sisi wenye umeme ndo mana wanaongeza tu kodi
@FeristaKoku-it9nx
@FeristaKoku-it9nx Ай бұрын
Nacha kuongezea unakuta nyumba moja ina mita mbili zote zinakatwa kama sio wizinini?
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 Ай бұрын
Mi naona ni unyang'anywaji wa hela zetu tu
@JitinyaIzengo
@JitinyaIzengo Ай бұрын
Liangaliwe
@user-qv6ye6ty5r
@user-qv6ye6ty5r Ай бұрын
Mimi nimetumia pia 8000 unit moja point mbili
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 Ай бұрын
Wenye nyumba wenyewe majeuri , wanakwambia kama hutaki kulipa kaa gizani
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Ай бұрын
JAMANI KWANINI HAMNAGA JEMA:VIJANA?? KWANI MPANGAJI HATUMII BARABARA? MIMI NIULIZENI NIMEENDESHA MAGARI BARABARA ZA MIAKA YA 79-80 DODOMA- DAR SUKU2;
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 Ай бұрын
Oska unaongea ukweli ila ,watu wa kampeni ,wataanza kukusumbua,washenz
@EdibiliSalum
@EdibiliSalum Ай бұрын
Watatoaje taalifa wakati wanatumudu
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Ай бұрын
Unaweza kukuta kuna watu tunawalipia madeni yao apo😂😂😂😂
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 Ай бұрын
Mambo ya hovyo sana haya.
@nikky4757
@nikky4757 Ай бұрын
Alafu pia unakuta nyumba moja ikiwa na luku zaidi ya moja zote wanakata unakuta nyumba moja ikiwa na luku mbili unalipia kodi mora mbili
@FabianiNguvumali
@FabianiNguvumali Ай бұрын
Wanakata cod nyng elfu mbili kwamwez tanzania kunanyumba ngpi zenye umem
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Hapo usiwalaumu Tanesco,lawama ziende kwa wabunge walioleta sheria ya kutuibia mpaka huku kijijini. Tulikua hatulipi ila sahivi tunalipa na barax2 hakuna maji pia hakina ni huduma gani tunalipia
@gililwise
@gililwise Ай бұрын
Huo ni uonevu mkubwa wabunge hilo hawashughuliki nalo wana kazi us kumuadhibu mpina anayetutetea.
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 Ай бұрын
Tanesco na mabando ya sm bado kodi kubwa,alaf kuna REA,EWURA na VAT
@ommyzubery8358
@ommyzubery8358 Ай бұрын
Kuwa mzalendo hivi nyinyi wapangaji hamjuani kuwa mwezi huu mwezi huu kuna kalipa na kumfanyia mchango na kumrudishia. Pili unapolipa kodi ya pango kwa mwenye nyumba kaaeni naye chini iliafanye makto katika kupokea zile fedha zake. Hakika wananchi wengi sio wenye kutoa bila kushurutishwa.huu ni udhaifu wetu ndio serikali inafanya mitindo hoi ya ajabu. Eleza ukifanya ukaguzi unaweza kuonawenye nyumba hajalipa kodi ya jengo miaka 10 mpaka ishirini haya tunaisaidiaje serikali
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Nme nunua umeme wa buku 5 napata unit 6 😡 😡 😡 😡 hivi wana dhani ela tuna okota inabidi ni nunue solar 😢
@MtuSafi
@MtuSafi Ай бұрын
Sasa Mbona mm wa 4,000 nimepata unit 1
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
​@@MtuSafi😂😂😂😂pole
@jimmymushi2357
@jimmymushi2357 Ай бұрын
Fact
@bminawandu
@bminawandu Ай бұрын
Sisi tuna lipa Kodi hongera na vigelegele anapigiwa mama Samia alafu Kila siku tuna lipa kodi
@msochamouddy7742
@msochamouddy7742 Ай бұрын
Baada ya kuwanunulia watoto matokeo ya mitihani kwa muda mrefu leo wamekuwa viongozi na haya ndio matokeo yake,nchi inakuwa ya hovyo tunalazimishana kuwa wazalendo.
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Ай бұрын
Nakuna vijumba vyamradi vmejengwa kama nguzo hakuna jengo hukinunua umemeunalpia kod yapango napango halo hatar
@KenedyDesigner
@KenedyDesigner Ай бұрын
Yani ni Usumbufu Juu ya Usumbufu Kuna nyumba zina MITA luku 3 na sisi wapangaji hatuna muda wa kuenda TANESCO kujieleza Hapa mjini tukobize ukimwambia mmiliki anasema nendeni TANESCO
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Wamiliki wana vichwa vigumu sana na majibu yasiyo ridhisha..Mwigulu ajitafakari kwa hili kuwabebesha Watanzania mizigo mizito sababu yeye na huyo Kayombo wa TRA wameshindwa kufikiri
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Wewe Mha, nani alianzisha huu utaratibu na wakati huo mbona hatukukusikia ukitoa hoja yako? Uliogopa nini, kipotezwa?
@SeciliaKasian
@SeciliaKasian Ай бұрын
Kumbuka kunanyumbanyingi hukukwetu hazina umeme nao wanalipaje
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Haya majamaa kilasiku yana madilika wasafi hongoleni achaneni na mamboya anaupiga mwingi
@tarimojoshua6336
@tarimojoshua6336 Ай бұрын
Hivi bill zimepadishwa tena naona wanakatà 5000 saiz sijaielewa
@bakarimahenge
@bakarimahenge Ай бұрын
kwaiyo wenyenyumba ambao hawatumii umee inamaana wao hawalipi kodi yamajengo
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 Ай бұрын
Singida Big Star Bingwa 2024/2025 😂😂😂 Singida Big Star Juu...😮😮 D 2
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Ай бұрын
hatar sana
@DaudadamMwansasu
@DaudadamMwansasu Ай бұрын
Halafu wamepandisha ni 2000 jaman kweli
@edistidiusmutalemwa5758
@edistidiusmutalemwa5758 Ай бұрын
Wizi, maana yake ni kuchukua kisicho chako kutoka kwa mwenyenacho bila idhini yake. Swala la kuvizia fedha za watu,katika manunuzi yao ya umeme ni WIZI kama wizi mwingine.Jamani,kodi ya jengo kulipwa kwenye manunuzi ya umeme wapi na wapi. Nyie watu (Mwigulu na wenzio) mnatukosea sana. Ila naamini yana mwisho.
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Rudia hii tena kwa sauti. Mwigulu na Kayombo wa TRA wanatuumiza wapangaji. Wakaona wametoa solution ya kimataifa..🙄
@amotvtz1302
@amotvtz1302 Ай бұрын
Hii seriksli ni ya wezi tu wanajiona kama hawatakufa kazi Yao kuiba .tu tunaongozwa mbwa
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats Ай бұрын
Serikali inatumai matatizo yetu kwama mitaji yao kisiasa. Wanasahau zama zimebadilika wanaendelea na mambo yale yale toka uhuru. Ngoja watuaribie amani yetu wakituibia na kututia hasira wananchi wa kawaida.
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx Ай бұрын
Kusema ukweli walikosea sana kuleta huu utalatibu insnikela sana hii la kulipa pango kila mwenzi
@allymaulid9391
@allymaulid9391 Ай бұрын
Ni wizi kabisa hii nchi iko siku
@ExcitedCave-cx9rx
@ExcitedCave-cx9rx Ай бұрын
Mhhh hii ndio tz ,bado tumelala.sana sijui nani katuroga wa tz ila ipo siku yatahisha haya wacha watupige mpka tukome ili tuamje
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti Ай бұрын
Tatizo sio TANESCO tatizo ni serikali yetu ndio inayopaswa kutatua changamoto zetu
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Wao TANESCO ni moja ya hili tatizo kwa nini walikubali swala la kijinga kama hili?
@hajjisanga789
@hajjisanga789 Ай бұрын
Imekua ni rahisi wengi walikuwa hawalipi kwahiyo tumefanyiwa urahisi wapangaji si waelewane na wenye nyumba
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Bado sio sahihi wanachokifanya..ni sawa na kumlipia nchi jirani deni ambalo halituhusu
@saidaliomar
@saidaliomar Ай бұрын
mm naunga mkono kodi iendelee kama wewe umelipia kodi ya aridhi si unaonesha kwa mwenye nyumba akulipe
@user-hp6bf5lh2d
@user-hp6bf5lh2d Ай бұрын
Hii inatuumiza Sana sisi wapangaji Tunalipa Kodi Tunalipa umeme Tena tunalipia Kodi ya nyumban daaaah Inaumiza sana😢
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Ай бұрын
Kulipa umeme n jukumu lako
@user-hp6bf5lh2d
@user-hp6bf5lh2d Ай бұрын
@@trecygohy7847 Sijazungumzia umeme, nmengungumzia Makato ya tanesco ya pango la nyumba ndugu sio jukumu letu Kama wapangaji, lakini tunakatwa kuptiaanunuzi ya umeme
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Mwigulu na Kayombo wawajibishwe kwa hili maana ni uwizi. Wameshindwaje kuwakamata wakwepa kodi kisha kuwatwisha wapangaji mzigo huu. Mbona ukuta zinachorwa X wakati wakuvunja..wazunguke nchi nzima sababu kufikia mda huu wenye nyumba walitakiwa kua wameshajisalimisha ili wapangaji wasiendelee kubeba huu mzigo
@user-hp6bf5lh2d
@user-hp6bf5lh2d Ай бұрын
@@naturelle1097 hapo tupo sawa ndugu
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Ай бұрын
@@user-hp6bf5lh2d ungefafanua hivyo ili watu wakuelewe na sio kusema kulipa umeme
@ramadhankombe2643
@ramadhankombe2643 Ай бұрын
Nawapongeza xn tanesco kiukwel imepunguza xn msongamano tra.kikubwa mwenye nyumba apange utaratibu na wapangaji wake.
@rashidingole1588
@rashidingole1588 Ай бұрын
Utaratibu upi?? Kuna baadhi ya nyumba za kupangisha kila mpangaji na mita yake, Sasa hapo inakuwaje?????
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Ай бұрын
Xavi mtupu
@JamesAloyceMabicha
@JamesAloyceMabicha Ай бұрын
Oscar wewe ni mpanga ndiyo maana hujuwi sisi wenye nyumba tulivyo pata unafuu wa kulipa hiyo Kodi ya nyuma wewe fanya hivi wakati unalipa Kodi kata kabisa Kodi ya nyuma serekali unajuwa Kila anayekaa kwenye nyuma ndiyo mwenye nyumba
@mkumbwatv8087
@mkumbwatv8087 Ай бұрын
Pia tanenesco niwezi tunaishi sehemu Moja nyumba Moja unatumia yuniti 20 kwamwezi upo kwenye matumizi makubwa mwigine umeme wa 9000 tu unit 75 Mimi nikitaka hizo ninatakiw niwe na 27000 kweli niwezi
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Ай бұрын
Hesabu zako haziko sawa. Why 9,000 kwa unit 75 ??? Sijakuelewa
@mkumbwatv8087
@mkumbwatv8087 Ай бұрын
Zipo sawa maana matumizi makubwa nayakati niyapi
@mkumbwatv8087
@mkumbwatv8087 Ай бұрын
Kwanza ni lazima ufahamu kwamba Tarrif hii iliwekwa maalumu kwaajili ya watu wenye maisha ikawada kwa kulizingatia hili ukawekwa unafuu wa Kununua umeme na yakawekwa mashart kwa mteja alie katika taarif 4 anatakiwa kutumia unit zisizo zidi 75 Kwa mwezi mzima kwa maana ya kwamba umeme anao nunua hautakiwi kizidi kiasi cha Pesa cha Tsh 9150 na wastani wake wa matumizi kwa miezi mitatu au sita hautakiwi kuzidi unit 75. Sasa endapo utazidisha Matumizi haya basi mfumo
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Ай бұрын
@@mkumbwatv8087 mtu akinunua umeme wa 10,000 anapata unit ngapi ?
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 Ай бұрын
Tuna viongozi wanawaza kutupiga hela tu.
@devangandhl2255
@devangandhl2255 Ай бұрын
Tanesco wameshinikizwa tu na mifumo tu.kwani waliopanga hiyo taratibu hawajui shida yake.
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
But kwa nini walikubali?
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 Ай бұрын
Mimi ni mpangaji sina mambo mengi kwenye matumizi hapo nyumba nilikuwa natmia umeme wa 1000 kwa mwezi nilinunua umeme wa elfu tano siku umeisha nikaweka 5000 ninunue umeme walikata hela yangu yote,
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c Ай бұрын
,😂😂ht mm Ivo just natumiag wa buk
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 Ай бұрын
@@user-ub3xh7ug6c 😀😀😀 kazi kweli kweli
@bonfacemlay2233
@bonfacemlay2233 Ай бұрын
zakura
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 Ай бұрын
Saiz mnatasema sana GEN Z wa bongo, vp MILLENIERS mmefanya nin mkiwa kama role modes wetu
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c Ай бұрын
Oscar kuna time's hua anaakili kumbe
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Ukiona hivyo juwa na yeye kimemlamba 😂😂
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 Ай бұрын
NYUMBA INA MITA LUKU 7 TUNALIPIA MITA IPI? AU YOTE WANAKATA?
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Wanakata Kwa MITA zote 7
@esromkanubo815
@esromkanubo815 Ай бұрын
Nimambo ya hovyo kabisa
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 95 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 35 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 24 МЛН
I was deported from the UK after they stole my military plane idea | Tuko TV
54:51