SADIKI WA IRINGA AJINYONGA KISA MADENI, MZAZI MWENZAKE AELEZA "ALINITAFUTA NIMSAIDIE SIKUMSIKILIZA"

  Рет қаралды 9,302

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@FATHIYA002
@FATHIYA002 16 күн бұрын
Mungu amsamehe nasisi mungu atupe safari njema
@FakihBakari-vt5tz
@FakihBakari-vt5tz 16 күн бұрын
Mtu akishajijonga mnaongea mengi ila wakati mtu akitaka usidiz mnakatalia na pia akieleza matatizo yake anaambiwa vumilia ndio maisha yaani binaadam ni waajabu sana
@SharyMary-s8t
@SharyMary-s8t 16 күн бұрын
Yaan 😢
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 14 күн бұрын
Na wewe je? Unasaidia watu au unalaumu tu?
@FausterKidili
@FausterKidili 12 сағат бұрын
Pole sana kaka,
@DINASSOUR
@DINASSOUR 17 күн бұрын
SADIKI ALICHOFANYA HAKUTATUA TATIZO....NDIO AMELIONGEZA TATIZO NA HUKO ALIKOKWENDA NDIO KUNA BALAA ZAIDI ,SADIKI UMEJIANGAMIZA ,
@LatifahPambe
@LatifahPambe 17 күн бұрын
Yan watu hawaelewi tu kujiuwa syo njia ya kupunguza tatzo unaiuwa nafsi kwa kujidhulumu unakimbia deni dunian na akhera unakwenda kukutana na aliyekupa hiyo nafsi uliyoidhulumu anakudai na deni la hao uliowakimbia bado utadaiwa mpaka kisimame kiyama. Ewe ALLAH tunajikinga kwako kutokana na madhara haya yote. Aamiyn
@sangavilley2792
@sangavilley2792 16 күн бұрын
Umewahi kufa? Maana unaeleza na ushahid,acha mtu akapumzike kwa raha zake.
@Ahmad-yo9pk
@Ahmad-yo9pk 16 күн бұрын
​@@sangavilley2792uko anakooenda ndio wazimuuu akampuzke kwani vitabu vya Dini vinasemaje Kwa mtu atakae jizulumu Sio kujiuwa t hata kutamani kifo kwasababu yatabu unazopitia haipendezi
@angelazizi4831
@angelazizi4831 17 күн бұрын
e mungu 😢naomb uwapatie nguvu wafiwa ktk kipind hiki kigumu wanachopitia...
@elishaelishaedward9454
@elishaelishaedward9454 17 күн бұрын
Daaah vijana tuache kamali cio ndyo kupata hela kwa halaka
@AsiaChesco
@AsiaChesco 15 күн бұрын
Mmmh kwel leo ndo naamin msemo wa inasemwa maiti sembuse mtu hai jaman tumuombee mungu ampunguzie adhabu ya kabri na c kumsema hatuna uhakika na maneno yanayoongeleka ila ukwel anao marehemu hvy tupunguze midomo na hata mnaosema sadick msenge hayajawakuta magumu wallah,, innah lilah waainnah lilah rajiun
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 17 күн бұрын
Sasa apo mke halali ni yupi dah Mungu awatie nguvu wafiwa 😢
@farajiissa560
@farajiissa560 16 күн бұрын
Sadiki msenge kwel
@ismaelzeno
@ismaelzeno 17 күн бұрын
Wa kidato daaa!!
@MWAMPAMBA
@MWAMPAMBA 17 күн бұрын
Roho kujinyonga inatembea sana iringa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 17 күн бұрын
Wahehe kujinyonga kwao ni ibada
@DINASSOUR
@DINASSOUR 17 күн бұрын
Ni akili mbovu
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 12 күн бұрын
Mkwawa alihasisi akaacha iyo Roho
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 17 күн бұрын
Kazurum nafsi yake pia kafa na madeni Innalilahi Mungu amsamehe makosa yake 😭😭🙏
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 15 күн бұрын
Kama alikua hodari wa kucheza kamari bas ndo tatizo hilo mie nimeshamkataza mdogo wangu lakin hasikii
@Daniel-g2f6v
@Daniel-g2f6v 16 күн бұрын
Watu wanataka hela ya kulipa madeni si ushauri
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 14 күн бұрын
wanadamu tunashikwa na huruma mtu kafa, angekuwa hai hayo mazuri msinge ongea na huo msaada asinge pata, ndio maana kachugua mamuzi magumu.
@Ahmad-yo9pk
@Ahmad-yo9pk 16 күн бұрын
Wanamuiga babalevo mwendo wa kamari t
@magesadaudi86
@magesadaudi86 16 күн бұрын
Duuuh!!!
@JusteneAllykimbavala-l2z
@JusteneAllykimbavala-l2z 17 күн бұрын
Daa itabidi niache avieta
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 16 күн бұрын
Kajinyonga mshenzi kabisa yuda eskariyote hawezi samehewa kaikoseya nafsi yake huyo.motoni kuna muusu.
WATOTO WAWILI WA MAMA MMOJA WASHAMBULIWA NA MBWA HADI KUFA
8:29
Wasafi Media
Рет қаралды 12 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
#zandaani MOMO ATUMIWA UJUMBE MZITO SAKATA LA DUBE / APEWA ONYO
9:35
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Shughuli za kiuchumi katika mji mdogo wa  Ilula Iringa.
32:40
ITV Tanzania
Рет қаралды 6 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41