Tunashukuru Wananchi pamoja na Vyombo vya dola kwa jitihada zao. Ila pia vyombo vyote vya uokoaji ikiwemo na raia wasisahau kuvaa kofia za usalama, hayo maeneo ni hatari sana. OSHA na Jeshi la zimamoto wawe vipaumbele katika kuhakikisha hili.
@AbubakarRajab-u1h2 ай бұрын
Poleni sana
@mtakatifutv21012 ай бұрын
Kinachosikitisha wamekuja kuokoa wakiwa wameshika mitutu wengin alf cha ujinga zaidi kuna watu wanashangilia kama ni YESU kashuka dah bado kidg kuna mtu atahojiwa hapo atatoa shukuran kwa samia
@ibrahimally80732 ай бұрын
Nenda ukaibe mali zilizozaga zaga hapo kwenye tukio ndio utaelewa kazi ya hiyo mitutu..
@THOMASSG-vi8tr2 ай бұрын
Umeona eeee
@MajaliwaMhungati2 ай бұрын
Sasa hizo bunduki ni za nn...hv hii Nchi tunajielewa kweli... jeshi la police inatakiwa mji chunguze msiendekeze siiifa
@damasmarungu25202 ай бұрын
Bomu la machozi mzee Kuna mda watu huwawanagoma kusogea lazima kutumia nguvi
@ibrahimally80732 ай бұрын
Nenda ukaibr mali zilizozaga zaga hapo kwenye tukio ndio utapata jibu la swali lako la kipuuzi
@allymohamed27242 ай бұрын
Ichimbwe barabara ipatikàike njia
@stephanomkwambe26472 ай бұрын
Mnazingua wasafi mnaningusha
@tumlakimwaitumule2 ай бұрын
Hivyo vifaa vikwapi?
@Elisha-cj2mm2 ай бұрын
😢
@kelvinmalyango48382 ай бұрын
Yaani walienda utazani wanaenda kwenye harusi guys 😣
@PerfectLina2 ай бұрын
Wanajeshi wenyew wamefika watatu😊
@damasmarungu25202 ай бұрын
Jengo lililoanguka Moja unataka kikosi kizima kije
@asimweishengoma68662 ай бұрын
@@damasmarungu2520 watatu hawatoshi
@FrankElemsi2 ай бұрын
Media kubwa ila maiki mbovu, shenzi kabisa
@MwitaSenso2 ай бұрын
,😂 mwanangu tupo kwenye majonz ww unatuna
@FrankElemsi2 ай бұрын
@MwitaSenso wanazingua yaani utadhan wana record kwa kutumia infinix