RC MAKONDA ATOA YA MOYONI MBELE YA MWAMPOSA WATUMISHI KUTUMIA NENO KURUBUNI WANANCHI ARUSHA

  Рет қаралды 1,071

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 18
@EmmyMwashimanga
@EmmyMwashimanga 3 сағат бұрын
Huwezi ukawa maarufu kwa kumchonganisha mtu na selikali ili uendelee kuwa juu wewe hiyi haipo.Kumbukeni kutubu siku yenu yaja
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 сағат бұрын
Huyu jamaa anaga akiri analazimisha kuitetea selikali juu ya mauaji na utekaji kupitia madhabahu
@rosebeniel
@rosebeniel 4 минут бұрын
Wewe una akili gani kwani😂
@EmmyMwashimanga
@EmmyMwashimanga 3 сағат бұрын
Kweli Mungu hayupo Tanzania. Na ukiweka siasa na neno la Mungu ni shida. Ila Mungu awape macho ya kuona bado cjaona kitu hapo ila kwakuwa mungu yupo ataonekana tu
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 2 сағат бұрын
AFANDE MWINGINE ATUMA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE..! kzbin.info/www/bejne/ipfSfnqDrJZmsLc BAGAMOYO. Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.

@nswilahebronhans9550
@nswilahebronhans9550 54 минут бұрын
Tiini mamlaka zilizopo duniani maana mamlaka zote zinatoka kwa Mungu 😂😂😂 we puuza serikali yako
@josephlorri431
@josephlorri431 10 минут бұрын
Makonda hapana hapana hapana... hapo anawananga Katoliki kwa kuhoji watu wanaopotea/kufa,wamasaai wa ngorongoro. Makonda umefika mwisho wa fikra..JPM naye alipambana na akina Archbishop Ruwaichi.. sambamba na kuhubiri neno la Mungu, Katoliki walitoa huduma za afya,elimu,maji maeneo yasiyofikika kirahisi tangu kabla ya uhuru
@michaelmwakhatala5678
@michaelmwakhatala5678 3 сағат бұрын
MMMMH SIJAMUELEWA
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 сағат бұрын
Jua huwa ni la kushukuriwa linapochomoza tuyaone , tuyasikie ,tuyapime na Kuyatazma yanakoelekea !!!!! Hii hapa ni VIDEO au IGIZO ???
@khadi-z4o
@khadi-z4o 3 сағат бұрын
ANAMUIGA TUNDU LISU MAKONDA AKIONGEYA BAADHI YA MDA😂
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 45 минут бұрын
basi demokrasia ni ushetani
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 49 минут бұрын
acha kudanganya watu kundi hilo likipotea kwa kupotea kwao unamchango kama mnakosea kwanini msibadilike mnahitaji maombi ndio maombi na kuandika waraka pamoja na kukemea uovu wanaonya ni waganga njaa
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 13 минут бұрын
Watanzania wengi ni wajinga elewa neno ujinga, yule sio nebukadreza bana alikuwa farao mbona uongo hadharani na nyie watu wa dini mnapiga makofi uongo huu
@AhobokileKiyamba
@AhobokileKiyamba 11 минут бұрын
Mmmm na huyu
@dingoomagawa6950
@dingoomagawa6950 3 сағат бұрын
Tanzania yangu hii duuh Aya Mungu asimame, dini na siasa sijui nilitakaa kusema nn ila Mungu asimame
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 947 М.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 6 МЛН
THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 15 MKOJANI - SAMOFI - MTANGA
26:14
MKOJANI GANG
Рет қаралды 28 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 947 М.