MAKALLA AWAKA "CCM HAIWEZI KWENDA MAPORINI" |VIONGOZI WAPANGE HOTUBA ZAO KABLA YA KUHUTUBIA UMMA

  Рет қаралды 6,683

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@pauleranga2621
@pauleranga2621 2 ай бұрын
Roho Mtakatifu yupo kazini dhamira yako ndiyo inayokuongoza utake usitake. tuombeane mema. nasiyo mabaya kwani wote tunatamani kuishi kadiri ya mapenzi ya Mungu na si yalbilisi anayetuzingira kilauchao. Ni kwa neema tu jahazi litafika salama. Amina sana.
@harounali9057
@harounali9057 2 ай бұрын
Msisahau na Zanzibar polisi waliambiwa kaeni pembeni ccm tuna jeshi la kutosha la kuwashugulikia.
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 ай бұрын
Jamani tambueni kwamba mdomo unaiba mambo yako uliyoficha moyoni kuna ukweli sana hwaw wote hakuna aliyesema uongo tena hawa mbingu ni yao ndio ukweli huo
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 2 ай бұрын
Bado ile kauli iliyotokea Bukoba kuwa ccm tukiwapoteza nyie polisi msiwatafute
@rakastv3558
@rakastv3558 2 ай бұрын
Hapo kwenye kutajana hapo myafanya watu watumbuliwe...😅
@BITEBOKHALID
@BITEBOKHALID 2 ай бұрын
Hicho ndicho wanachokifanya C.c.m hata Huku Zanzibar ndivyo wanavofanya
@ipyanamwasampeta653
@ipyanamwasampeta653 2 ай бұрын
CCM bila pori hawawezi kushinda. CCM ni watu wa giza, ni watu wanaomini sana mambo ya giza. CCM bila kutia kuwatia hofu watu kwa kuwateka watu na kuwapoteza hawana ubavu wa kushinda. Makala hana hoja, DC wa zamani Longindo ndiye aliye sema ukweli, Nape kasema ukweli, mwenyekiti wa UWT Lindi kasema ukweli na bado wataendelea kusema ukweli.
@JumanneGibson
@JumanneGibson 2 ай бұрын
Makala aache kutufanya Mazuzu kauli hizo znaeleweka hata kwa elimu ndogo
@JohnsonMichael-c2x
@JohnsonMichael-c2x 2 ай бұрын
Neno likishatoka mdomoni haliwezi kurudi tena
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
Sasa watawaitaje na kuna ukweli labda wawapoteze na mtu km nape hawawez mgusa nchi itasimama
@rakastv3558
@rakastv3558 2 ай бұрын
Hilo ni Jini Linawatafuna
@CathelineMagawa
@CathelineMagawa 2 ай бұрын
Kuna muda wamungu ambao lazima ukweli ujulikane
@MasoudMgudisho
@MasoudMgudisho 2 ай бұрын
YULE MAMA ASHA KUFA
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 ай бұрын
Huyo DC alitokea wapi? Kama siyo kada aliyeteuliwa kutoka huko
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 2 ай бұрын
Kwani huyo alio sema wanawashuulikia watu maporini ni chama gani ? Kama ni ccm ambayo ndio serikali huyo makala yeye yupo ccm ipi?
@NasoldoChinga
@NasoldoChinga 2 ай бұрын
😊
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 ай бұрын
Babeli
@GraceWogas
@GraceWogas 2 ай бұрын
Du aibu take aibu yenu wenyewe si ni watazamaji tu,
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 ай бұрын
Sasa kama wanafanya kuna ubaya gani?
@mxfsedtirz
@mxfsedtirz 2 ай бұрын
Majoring =maporini
@mxfsedtirz
@mxfsedtirz 2 ай бұрын
Siyo CCM haiwezi kwenda majoring! Walishaenda .Ni desturi yao kwenda. Bila pori hawana uwezo wa kujizuia kwenda maporini kwani ni watu wa giza,wauaji,wezi wa kila kitu kuanzia uchaguzi! Amos Makala unakumbuka ulitenguliwa ukuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kushindwa kupora ushindi wa Madigan wawili wa upinzani japo uliomba msamaha!
@goodluckstephanmasige3450
@goodluckstephanmasige3450 2 ай бұрын
Tatizo ccm wananufaika na ujinga wa raia wao, sasa Makala anaonge nini ili tumuelewe wakati watu washamwaga ugari, hao viongozi waliyoyazungumza ndiyo ambayo wamekuwa wakiyashuhudia yakifanyika ndani ya chama,sasa leo unawambia wawe wanajiandaa kwa kuandika hotuba. Kifupi nisawa na kusema wafanye editing ili watoe yale ambayo kama raia hatupaswi kuyasikia ingawa yanatendeka. Na nyie waandishi nawasikiliza kwa sikio la udadisi inaonekana nyie pia niwalewale.
@FinesiaKwimba
@FinesiaKwimba 2 ай бұрын
Mwandishi usiwafundishe ccm cha kuongea wameingia kumi na nane za mungu wamemtukana mungu.
@pauleranga2621
@pauleranga2621 2 ай бұрын
Roho Mtakatifu yupo kazini dhamira yako ndiyo inayokuongoza utake usitake. tuombeane mema. nasiyo mabaya kwani wote tunatamani kuishi kadiri ya mapenzi ya Mungu na si yalbilisi anayetuzingira kilauchao. Ni kwa neema tu jahazi litafika salama. Amina sana.
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 59 МЛН
SIMANZI MWILI WA PUDE UKIZIKWA TUNDUMA, UMATI WAJITOKEZA KUMUAGA
5:59
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН