WATANZANIA WAMEVURUGWA NA MASUALA YA PETE ZA MAJINI, ELIMU KUHUSU PETE HAWANA SHEIKH NURDIN KISHK

  Рет қаралды 29,675

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@Shamsudeen-h5o
@Shamsudeen-h5o 5 ай бұрын
Jazakallahu khyrañ ....bora umetia neno shaykh naamini wengi tulikuwa twangoja taalik yako ktk hili janga
@FadhilChai
@FadhilChai 5 ай бұрын
Aslm alaykum ya sheikh, wallah, tumeshukuru sana kwa kuwazindua wakislam, Allah akutilie Barka kwenye ilimu ya dini
@RajabuLabu
@RajabuLabu 4 ай бұрын
Jazakalau khayra shekh, kishk Allah akujaze kher
@LatifaAbbas-f3m
@LatifaAbbas-f3m 5 ай бұрын
Nakupenda Kwa ajil ya Allah ❤❤❤
@faizanassor6336
@faizanassor6336 5 ай бұрын
shukrain sheikh wetu kwa kutufuza ALHAMDULILA ALLAH azidi kuwapa afya njema mashekh wetu ALLAH azidi kuwa weka THUMMA AMIN AMIN 🤲🏼
@khalfaankauga294
@khalfaankauga294 5 ай бұрын
Mashaallah Allah Akuhifadhi shekh wetu
@uleditpmrisho7034
@uleditpmrisho7034 Ай бұрын
Alhamdulillah ustazi kwa ma funzo Yako mengi . Allah azidi kukulinda n'a akulipe kwa ilo❤❤❤ . Nina uliza ustazi majina gani ya Allah yaliyo kuwepo kwenye pete ya Nabihi Souleymane?
@RajabuLabu
@RajabuLabu 4 ай бұрын
Hakika shekh wetu kishk Allah akujaalie mwisho mwema maana ameifundisha jamii ya kiislam Mambo mengi Sana
@RAMATHANI-eu5dk
@RAMATHANI-eu5dk 5 ай бұрын
Aslam alykum cheikh wangu. Aksanti sana kwa mafunzo haho. Mungu wangu akulipe kila laheri.
@AbedPonda
@AbedPonda 5 ай бұрын
Allah akujalie umri mrefu wenye manufaa kwako skekhe kishk(mhadhir wa kimataifa)
@NiyonkuruYazidi
@NiyonkuruYazidi 5 ай бұрын
Shukran sheikh wetu
@BadruHisha
@BadruHisha 5 ай бұрын
Jazakallah khayl
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 5 ай бұрын
Mashaallah tabarakaallah tunaelimika
@RajabuLabu
@RajabuLabu 4 ай бұрын
Usichoke shekh kishik ukiwa Allah amekupa pumzi , na uhai itumikie dini hii Allah mwenye sifa zote hakika atakunusuru na Adhabu zake
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 5 ай бұрын
🎉🎉🎉 mashaalaah
@MesalimRashid
@MesalimRashid 5 ай бұрын
Na ndio maana naupenda uislamu kila kitu kina asli yake na jibu lake.Allah barik
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 5 ай бұрын
Alhamdulillah
@SabraAbdilnasir
@SabraAbdilnasir 5 ай бұрын
Shukran
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 5 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh umesemakweli kipenzichetu dr sule hana elim yadini ila anaelim yakuwatumikisa majin napete ambavyo viakupelekea kuamchawi kwakifupi niwachaw
@NijimbereGREGOIRE-u4u
@NijimbereGREGOIRE-u4u 4 ай бұрын
Walkum salama warahmatullah wabarakatuh karma kweli
@HaliaKheri
@HaliaKheri 5 ай бұрын
Asalam alaykum 🙏🙏💯
@MaryamShabani-n2u
@MaryamShabani-n2u 5 ай бұрын
S,a,w❤❤❤❤
@rafikindugu4674
@rafikindugu4674 5 ай бұрын
Kuvurugwa kwa watanzania kuhusu pete za majini; sababu ni kuwa ,1 imani ndogo 2 ushabiki 3 umaskini kati ya raia wengi ambao wamekata tamaa.
@ASHURAMUSSa-f9p
@ASHURAMUSSa-f9p 2 күн бұрын
Ila mm nawahusieni pamoja na kuiyusia nafsi yangu kumcha Allah kwa sababu mtume saw alipokuja hakuja kufundisha pete ila alikuja kuitangaza dini baadhi ya Mashekh waiangalie sana dunia maana fatwa ni nyingi na hatujui tunuamini nani maana kila siku wakilisto wanasema waislam wanafunga majini na hao hao waislamu ndio wanaoshinda nao kwenye mihadhara vipi ukirudi kwenye mitandao wakakuta Mashekh wanaitangaza pete na majini yake watajifunza nn shekh doctar Sule wanapoelekea ni pazito kwanza na usomi wake walah hawezi kujirusha mitandaoni na kuizungumzia pete haina maana kwetu sisi tunahitaji kujua Allah kasema mm na kakataza nn maana haya maisha ni mafupi tutakufa je kaburini utaenda kuizungumzia pete au kwa Allah nb Mashekh mbona dunia inataka kuwapotosha na kuuaza kujifunza kuogea polojo nn hii sasa hivi hakuna Mashekh Mashekh wa sasa wanaitangaza pesa kuliko Mungu wao
@ASHURAMUSSa-f9p
@ASHURAMUSSa-f9p 2 күн бұрын
Ila mm nawahusieni pamoja na kuiyusia nafsi yangu kumcha Allah kwa sababu mtume saw alipokuja hakuja kufundisha pete ila alikuja kuitangaza dini baadhi ya Mashekh waiangalie sana dunia maana fatwa ni nyingi na hatujui tunuamini nani maana kila siku wakilisto wanasema waislam wanafunga majini na hao hao waislamu ndio wanaoshinda nao kwenye mihadhara vipi ukirudi kwenye mitandao wakakuta Mashekh wanaitangaza pete na majini yake watajifunza nn shekh doctar Sule wanapoelekea ni pazito kwanza na usomi wake walah hawezi kujirusha mitandaoni na kuizungumzia pete haina maana kwetu sisi tunahitaji kujua Allah kasema mm na kakataza nn maana haya maisha ni mafupi tutakufa je kaburini utaenda kuizungumzia pete au kwa Allah nb Mashekh mbona dunia inataka kuwapotosha na kuuaza kujifunza kuogea polojo nn hii sasa hivi hakuna Mashekh Mashekh wa sasa wanaitangaza pesa kuliko Mungu wao
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 5 ай бұрын
Wabie hao wafunga majini halafu wanapotowa watu kwatama zao naja walozi weka bele halafu wakajifanya mashekhe wanaijuwa ndini
@zuhuraMangapi
@zuhuraMangapi 5 ай бұрын
Huyu Sasa ndyo shekh na sio sule mtumiya majini
@MariamAbdalla-d3z
@MariamAbdalla-d3z 5 ай бұрын
Ikiwa kuna haramu na halali imeandikwa kwa kuruani mpaka kuhusu ushirikina na majini na mashetani na binadamu wanyama wadudu na vinginevyo vyote viliumbwa na allah tuu.
@AzizyHamisi
@AzizyHamisi 5 ай бұрын
Shida hap nilivy elewa ni mtume je wengine sio manabii Kila mtume amkuja kisadikish yalio nyuma au sio hivy ,
@universitylink
@universitylink 5 ай бұрын
Katika masuala ya kisheria na si mambo ya mubahaat au mapambo na Mtume hasadikishi yaani lazima afanye yote aliyafamya nabii Suleiman. Yaani kusadikisha si lazima afuate. Na mambo ya Nabii suleiman alipewa mambo yanayomuhusu yeye tu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 5 ай бұрын
Mtajijua Wenyewe bora tushwali tu?
@24Dailylife-Channel
@24Dailylife-Channel 5 ай бұрын
Kusikiliza napo ni moja wapo ya elimu
@faridfrefre35
@faridfrefre35 5 ай бұрын
Soma dini yako
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 5 ай бұрын
Tumechoka sasa
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 5 ай бұрын
Tupe hadithi sahihi inayoonyesha kuwa Mtume alivaa pete mkono wa kushoto.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 5 ай бұрын
Nyie majadida bwana Ivo vitabu alivotaja hujasikia au Yaani nyie masalafia jadida kazi yenu ubishii tuuu
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 5 ай бұрын
Mhhh.toa dalili kuwa chafya ya kujitakia harehemew...
@HemedyKhamisi
@HemedyKhamisi 5 ай бұрын
Mtajiju
@Shamsudeen-h5o
@Shamsudeen-h5o 5 ай бұрын
Huyu nae vipi
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 5 ай бұрын
Nabi sulemani petezake zilikuwa zanini?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 5 ай бұрын
Kigezo chetu waislamu ni Mtume Muhammad. Kuna mambo yalikuwa halali kwa uma zilizopita lakini ikawa haramu kwa zama za mtume saw and vice versa
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 5 ай бұрын
Swali langu la kijingajinga ni hili. Yaani hii kuvaa pete ni katika dini? Au tu ni uzushi wenu?
@salamaalladini
@salamaalladini 5 ай бұрын
C ktk dini c umemskia xhkh ntumie altumia km muhur
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 65 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
DALILI 30 ZA KIAMA
1:30:03
Kishki Online TV
Рет қаралды 21 М.
Sheikh Nurdin Kishki FUNGUO KUMI ZA RIZKI
1:36:10
Abdullah Al-Shidhani
Рет қаралды 70 М.
MAKUNDI (2) YAWATAKAOENDA MOTONI || SHEIKH NURDIN KISHKI
35:37
AQ ONLINE TV
Рет қаралды 21 М.
HUKMU YA KUVAA PETE
8:58
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 88 М.
DARSA YA KINA MAMA; MADA NAMNA YA KUPANDISHA IMAAN - SHEIKH NURDEEN KISHK
1:27:06