Watoto wa Bony Mwaitege - Mchezee Mungu '' (Official Music Video)

  Рет қаралды 24,467

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

11 ай бұрын

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 37
@roselusinde4493
@roselusinde4493 11 ай бұрын
Jamani!! jamani hadi raha, watoto wetu wamejua kunifurahisha, mungu awanariki sana, na awafungulie mirango ya baraka ili wazidi kusonga mbele kimataifa.
@RichardMuteke
@RichardMuteke 11 ай бұрын
Nawa penda sana watoto wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tuna wasubiri Congo 🇨🇩🇨🇩 pamoja namuimbaji maarufu Bony nawapenda sana
@manmaster536
@manmaster536 11 ай бұрын
Karibu sana
@RichardMuteke
@RichardMuteke 11 ай бұрын
Aminaaa
@Fabianfideltz
@Fabianfideltz 11 ай бұрын
Big talent nice mapiano gospel wacha nimcheze mungu thanks my brother
@allenkipwate1643
@allenkipwate1643 11 ай бұрын
Joyfull melody..nawakubalii sanaa 👏👏👏
@user-vq7dt3df3v
@user-vq7dt3df3v 11 ай бұрын
Njameni hizo bt Niza ki dunia tuziachiye wakina diamond
@DottoDotto-mi8gv
@DottoDotto-mi8gv 2 ай бұрын
Ana sifiwa mungu wetu alie juu ❤
@yousuphilunga6314
@yousuphilunga6314 11 ай бұрын
Watoto wetu hawa nimewaona wamekua sana walikuwa wadogo sasa ivi wamekua baba Mungu akubariki kwa kuwa lea katika kristo
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 11 ай бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU MPENDWA
@yousuphilunga6314
@yousuphilunga6314 11 ай бұрын
Amina Babayangu
@AmiduDominik-ju2hf
@AmiduDominik-ju2hf 10 ай бұрын
@@BonyMwaitegeOfficial d
@PST.Bennie
@PST.Bennie 11 ай бұрын
Kibali kwa Wana Hawa wa mbingu
@MaritineSalome
@MaritineSalome 3 ай бұрын
Burai umetisha juma🎉😅
@SteranoUhakula
@SteranoUhakula 11 ай бұрын
Mungu awatunze woote na kuwapigania katika kila hali katika kukua kwao.
@kabwechongo5174
@kabwechongo5174 11 ай бұрын
More Grace
@margretmuchuki2495
@margretmuchuki2495 11 ай бұрын
Nyimbo nzuri hiyo
@elishatadeo9968
@elishatadeo9968 11 ай бұрын
Mchezee Mungu fire 🔥🔥🔥🔥
@MaritineSalome
@MaritineSalome 3 ай бұрын
Umeticha boke
@modestkonga9318
@modestkonga9318 11 ай бұрын
Fire to the extent❤❤❤❤
@estanchekahoko2735
@estanchekahoko2735 11 ай бұрын
Safi sana
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 11 ай бұрын
Mungu awabarik
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 11 ай бұрын
Amen. Powerful 🙏🙏
@dallorday
@dallorday 11 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri
@mwanaharusichizikalama7790
@mwanaharusichizikalama7790 11 ай бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤
@dorcasmdemu3027
@dorcasmdemu3027 11 ай бұрын
🔥🔥🔥
@Phoebenafula
@Phoebenafula 11 ай бұрын
Congrant children keep it 🌹 up
@Phoebenafula
@Phoebenafula 11 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@Dianachepkoech-ze4ze
@Dianachepkoech-ze4ze 11 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥💞💞💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AmaniJulius-jq1zv
@AmaniJulius-jq1zv 11 ай бұрын
Mko vizuri barikiwa nyiee
@subilaghabonnyfasimwaitege5820
@subilaghabonnyfasimwaitege5820 11 ай бұрын
Mungu awatunze awatunze wanangu
@noahmwakalomba3849
@noahmwakalomba3849 11 ай бұрын
Mungu awabariki saaana
@manmaster536
@manmaster536 11 ай бұрын
Barikiwa sanaaaaa
@jesca6057
@jesca6057 11 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@patrickpastory791
@patrickpastory791 11 ай бұрын
Good Gospel ❤
@protas6108
@protas6108 11 ай бұрын
Amen
@roselusinde4493
@roselusinde4493 11 ай бұрын
Jamani!! jamani hadi raha, watoto wetu wamejua kunifurahisha, mungu awanariki sana, na awafungulie mirango ya baraka ili wazidi kusonga mbele kimataifa.
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 6 МЛН
HOFU YA NINI
9:16
Release - Topic
Рет қаралды 97
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 59 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 39 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 167 МЛН
Bony Mwaitege - Hallelujah (Official Music Video) SMS TO SKIZA 9840972 TO 811
5:14
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,9 МЛН
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka  - Ni Salama'' (Official Music Video)
7:47
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
Watoto wa Bony Mwaitege(Internal Voice)-Niko hapa (Official Video
8:43
Michael kamtupe Ft Mtoto Yohana Antony _Nimekuja Niwaone-SKIZA CODE 6931723 SEND to 811   0765005775
7:01
UPENDO NKONE - NIMEUONA MWAKA (official video)
6:13
UPENDO NKONE
Рет қаралды 99 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,9 МЛН
Jolly Twins ft Goodluck Gozbert- Baba eeeh
3:57
Jolly Twins
Рет қаралды 1 МЛН
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
Neema Jeckonia  Chavala - JARIBU KAMA MLIMA (Official Video)
8:08
NEEMA JECKONIA CHAVALA
Рет қаралды 260 М.
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 303 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 7 МЛН
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
BABYMONSTER
Рет қаралды 91 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 532 М.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 20 МЛН
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 1,5 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 714 М.