WATUMISHI HOSPITALI YA RUFAA NJOMBE WASIMAMISHWA KAZI MADUKA YA CBM NJOMBE KUPEKULIWA

  Рет қаралды 6,144

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

8 ай бұрын

Wizi uliotokea katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Njombe umesababisha watumishi wa Idara ya Manunuzi, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na Katibu katika Hospitali hiyo kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi kwa muda kutokana na wizi huo wa Televisheni (TV) 15 zenye thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania milioni 11.7 na kompyuta 2 mali ya hospitali hiyo.
Maamuzi hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka aliyefika katika Hospitali hiyo akiwa ameongozana na Kamati ya Usalama Mkoa baada ya kubaini wizi huo huku watuhumiwa wa kwanza wakiwa ni watumishi wa hospitali hiyo ambapo mazingira ya siku ya tukio yanaonesha kontena lililokuwa na vifaa hivyo lilifunguliwa kwa funguo.
Imeelezwa baada ya wizi huo kutokea, haikotolewa ripoti yoyote ya wizi kwenda Jeshi la Polisi badala yake walizungumza na moja ya mfanyabiashara mjini Njombe ambaye aliwakopesha TV 15 bila makubaliano ya maandishi wakiahidi kumlipa baada ya kupata fedha kupitia kuchangishana.
Watumishi hao watapisha uchunguzi utakaofanyika kwa siku saba na kisha kuandaliwa ripoti ya mkoa ili kubaini wahusika wa wizi huo.
Jeshi la Polisi mkoa huo limesema tayari limeshafungua jalada la uchunguzi la tukio hilo na pindi watakapokamilisha na kubaini wahusika watawachukulia hatua za kisheria.

Пікірлер: 14
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 8 ай бұрын
BROTHER ANTONY..UKO VIZURI BROTHER..UKO SMART SANA...❤
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 8 ай бұрын
HONGERA SANA BROTHER MTAKA❤
@kelvinnjawike1808
@kelvinnjawike1808 8 ай бұрын
Bosi amelewa hajiwezi😂😂😂😂😂😂ila wanaylukolo bwana
@javanidaniel3202
@javanidaniel3202 8 ай бұрын
Unasitahili kupewa urahisi 2030 Hongera sana Mkuu wa Mkoa Njombe,
@songweforecast9685
@songweforecast9685 8 ай бұрын
HUYU MKUU WA MKOA ANA AKILI SANAA TOKA ZAMANI,ANA HEKIMA ZA UONGOZI NA UZAZI PIA,HAPENDI KUONEA MTU...I WISH SIKU NIKUTANE NAE,JAPO NIPATE PICHA NAYE TU...... APEWE UWAZRI
@justinamashili
@justinamashili 8 ай бұрын
Huko unaenda mbali hawajanunua kabisa pesa imegawanwa juu kwa juu mabox yameletwa matupu
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 8 ай бұрын
Nakuamia, wewe ni toboa tobo, unasema kweliii.
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 6 ай бұрын
Maisha ya watumishi jamani daaah! TV zimeletwa kwa nini ziendelee kuwepo bila kuzitawanya kwa wakati? Aidha mfumo wa ajira wa kujuana na undugu ndio matokeo ya hayo yote.Watu badala ya kufanya kazi kwa kanuni na taratibu kwa kujuana huko watu wanafanya kazi kimazoea
@emmanuelgadau266
@emmanuelgadau266 7 ай бұрын
TUNAOMBA utamke jambo.
@donatusmlowe7378
@donatusmlowe7378 8 ай бұрын
Kumbukeni jambo la mpaka kati ya wanging'ombe na makete
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 8 ай бұрын
Sioni kama huna haja ya kuwahamisha hawa wezi zaidi ya kusimamishwa kazi na wazilipe zote
@franknyigu97
@franknyigu97 7 ай бұрын
Du
@justinamashili
@justinamashili 8 ай бұрын
Check imepewa nani mfanyabiashara huyo ???????!!!!!!!
@matokeotavee4617
@matokeotavee4617 8 ай бұрын
Njaa tu zinawasumbua hao walio iba hizo Tv ikibidi wafukuzwe kazi wote
WATUMISHI KITUO CHA AFYA NJOMBE MBARONI KWA WIZI WA VIFAA TIBA.
20:44
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Muonekano wa Kampasi ya UDOM Njombe ikikamilika
5:26
UDOM TV
Рет қаралды 2,7 М.
DC NJOMBE  AWAPA MASAA 48 VIJANA 80 KUHAMA  WILAYA YA NJOMBE
10:35
NJB TV NEWS
Рет қаралды 27 М.
DEREVA AKUTWA  AMEFARIKI KWENYE GARI AKIWA NA  JIKO LA MKAA
11:38
NJB TV NEWS
Рет қаралды 2,2 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН