Daaa inaumiza saana wachache wanatumika kukwamisha Juhudi za Mh Rais ...Sijuhi hii Tabia ni lini itakomeshwa ??? Hongera saana Mh.Comrade MTAKA kwa kuwabaini wanao turudisha nyuma,Haukoseagi Mkuu Much Respect to u
@FurahaChaula-cs1io10 ай бұрын
Mmmh mungu akuongezee ulinzi mkuu wa mkoa
@MatronaThomas-wz5si10 ай бұрын
Masista msifanye kazi na kujichanganya na hao wabongo. Watawachenga tumikieni hospitali zetu
@renamalima555810 ай бұрын
For sure
@ayoubmtumishi5010 ай бұрын
Duuuuu Yesuuuuuu
@wilisonsanga370510 ай бұрын
Mmmmmmmh hatariiiiii 😂😂😂😂😂😂 hapo hapo wananchi wa kawaida tunaambiwa tuwe wazalendo kwelii
@simonmlowe267510 ай бұрын
Huyu namwona Waziri mkuu ajaye
@josephmajembe309010 ай бұрын
Hao wote ndio wanywa damu za watanzania duuh!
@valenakomba921810 ай бұрын
Huyo ni mwongo asikukunjie uso huyo aseme ukweli. WATANZANIA SISI WIZI UKO KWENYE DAMUU..YAANI HATA WASOMI NDO WEZI ZAIDI HAPA TANZANIA.
@mariamcrispo829610 ай бұрын
Hili la wanging'ombe limezidi mweee vifaa tiba vinaletwa watu wanahujumu hivo vifaa ni ghali sana
@OhongoihondeIhondeohongoihonde10 ай бұрын
Mh maerezo mengi ya nn chukua hatua
@bugawilla233110 ай бұрын
Fukuza hao wakalime
@ceciliagilbert97310 ай бұрын
Hata hawamuogopi mungu.fukuza kazi
@valenakomba921810 ай бұрын
Vijana ndo hao wenye tamaa na mashindano zaidi.
@raphaelkadovela360910 ай бұрын
Mhhh hatari
@SelafiaNyika10 ай бұрын
Jamani mnatutilia aibu hao ni ndani wakanyee madebe
@MohamedKitenge-o9j10 ай бұрын
Suruhisho ni katiba mpya
@graysonpastory191810 ай бұрын
Daaah😢😢 shame of us ,hatuna uchungu na taifa letu kabisa
@estermhema457010 ай бұрын
Lo watu wanachukua vifaa vya serikali bila kumhofu hata Mungu jamani watanzania tutaendelea kuteseka wakutopata matubabu ni sisi mmmm
@wilsonadriano362910 ай бұрын
Msisahau walio iba pesa katika report ya CAG mabilioni ya Tsh. Najua wote walio husika wametenda makosa ila na wamabilioni mbona wapo mtaani?
@mosesnyelo138010 ай бұрын
Kibao sana wako lockup wanajib tuhuma zao
@bugawilla233110 ай бұрын
😂
@MohamedKitenge-o9j10 ай бұрын
Wanaodai rasilimali za nchi wabakamatwa sasa tunalalamika nini ufumbuzi wa yote ni katiba mpya tu. Wizi unaazana uchaguzi maana yake msingi wa utawala wetu upatikanaji wake ni wizi mtupu
@verdianabanabi220510 ай бұрын
Hata sista kweli? Dunia kwisheni.
@israelkisaila840110 ай бұрын
😂😂😂😂uwiiiii
@jakobongwara303810 ай бұрын
Wezi hao fukuza kwanza wekandani wakora wakubwa
@verdianabanabi220510 ай бұрын
Funga hao watu
@bugawilla233110 ай бұрын
Maru maru na milango pia wameiba hospital ya mkoa 17:42 17:49 17:51 17:52 17:52