SIKIA HAPA MAPOVU YA WAUMINI WA 'KIBOKO YA WACHAWI' BAADA YA KUFUNGIWA HUDUMA

  Рет қаралды 12,730

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 129
@janetchinga695
@janetchinga695 2 ай бұрын
Watanzania wengi huku South Africa wana masaluni tu watching from South Africa
@Summerbtz
@Summerbtz 2 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Africa
@SalumuMmipi
@SalumuMmipi 2 ай бұрын
mungu akujalie kiboko akujale ufunguliwe utusaidie
@PuzzleMc-zp2lg
@PuzzleMc-zp2lg 2 ай бұрын
Acha mkumbo niggar vp
@EmmaKiwango-g6u
@EmmaKiwango-g6u 2 ай бұрын
Amtegemeaeye binadamu amelaaniwa , Mungu yupo tumwambie shida zetu anatutekelezea.
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 2 ай бұрын
Mlilieni YESU Wapendwa Atawaokoa na shida zenu zote
@JohnAssey-n8b
@JohnAssey-n8b 2 ай бұрын
Tanzania bado sana ukiangalia vzr hapo amna mweny maisha angalau mazur Kun watu wanapoteza mali zao kwa ajil ya ayo makanisa
@snagnax
@snagnax 2 ай бұрын
Kuna dada hapo kuhojiwa na media nyingine...katoa story tofauti😂😂...hapo wanataka kulisha watu matango pori,..hongera sana serikali..hawa watu washakuwa mazombie imagine wakiongezeka itakuwa yale ya mckenzie(uza kila kitu ulete kanisani)..hongera mama samia kwa kutulinda wanao
@HawaOman
@HawaOman Ай бұрын
Mama tunaomba utufungulie huduma mama
@HawaOman
@HawaOman Ай бұрын
Nyenye mkiomba kura zetu tukikataa mtafurahii
@HawaOman
@HawaOman Ай бұрын
Selekali tunaomba msamehe nitumishe wangu
@yuzzomanboy
@yuzzomanboy Ай бұрын
Qmmke daah tunaonekana wa Tz wote hatuna uelewa hiz din n usenge tuh muamin mungu Lakin wao wanamlilia tapeli
@GrevazJoseph
@GrevazJoseph 2 ай бұрын
Kwani bila kiboko ya wachawi hamna maisha mengine acheni ujinga
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 2 ай бұрын
😂kurogwa kubaya jamani poleni sana Mungu awafungue fahamu zenu nyamazeni uko
@PuzzleMc-zp2lg
@PuzzleMc-zp2lg 2 ай бұрын
Wakadange tu af poa tu Kwan ajabu? Wanaomtetea waende Congo
@ShafiiAusi-k7j
@ShafiiAusi-k7j 2 ай бұрын
❤kweli kak
@glorymutalemwa296
@glorymutalemwa296 2 ай бұрын
Mara avae jinzi madhabaoni
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 2 ай бұрын
Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.
@credychipungahelo1515
@credychipungahelo1515 2 ай бұрын
Akili ya Dominic ni kubwa sana yote haya alijua kuwa baada ya kufungiwa mtakuja wadangaji wa habari akajiondokea zake huyo endeleeni kuandika uongo na kumchafua na msifulahi kuanguaka kwake Bali atakuja somama tena
@righitkileo
@righitkileo Ай бұрын
Ila bora uwe maskini lakini uwe na Akili.hawa watu ni vilaza haswa.Akili zimeqanda.mtafuteni Munqu wa kweli acheni kufata miujiza enyi kizazi cha nyoka
@ShabaniShebuge
@ShabaniShebuge 2 ай бұрын
Mimi nimeseka nakisukalikwmuda.mlefu..aliyeniponyaonyanikibokoywachaw
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 2 ай бұрын
Watu wangu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,sala zetu zimefika,tulitoka Arusha tukaja hapo tukatoa hela za kumwona,zikapungua kidogo hazikufika 500,000/= tukaingizwa kwa mtumishi mwingine,tulilia sana,Mungu kapokea maombi yetu wanyonge,je hela zetu zitarudije ?haya ndio malipo tulimwambia yule kiongozi wake msaidizi bongee mweusi kuwa tutalia na Mungu,huu utapeli una mwisho wake,akiwa ndani ya crown yake na kiyoyozi sisi tukiwa kwa miguu😭😭
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 ай бұрын
Duh, pole sana ndug
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Shida zinatuponza, Nami nilitoa laki 4 kiingilio, kanisikiliza harakaharaka hakujali nimekopa wapi, na akanambia nitoe Tena laki 4 zingine ili anisaidie, nilipotoka niliumia sn nikalia sn, Mungu atusaidie 🙏
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale 2 ай бұрын
Duh kweli wewe ni ndezi ...​@@hafsalucky1088
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 2 ай бұрын
Tunamtegemea binadamu kuliko Mungu wengi hapo wanamatatizo ya kisaikolojia
@lusekelowilliam2068
@lusekelowilliam2068 2 ай бұрын
Muumin mwenyewe mbona kama .... GOD have mercy on us hatujui tulitendalo
@FatiaAhmed-m1u
@FatiaAhmed-m1u 2 ай бұрын
Wate hao ni waislamu😂😂😂
@AlexKimario-be4dd
@AlexKimario-be4dd 2 ай бұрын
Si aliwaambia hata kama wana michepuko yeye hajali anachojali wamletee sehemu ya fedha wanazopata huko🙄. Sasa unadhani hao wakoje😱
@HawaOman
@HawaOman Ай бұрын
Kama hatufungulie huduma basi msituobie kura zetu
@sabrastephen6758
@sabrastephen6758 2 ай бұрын
Maskini wee muhubiri anasema hawezi kuhubiri watu waache dhambi kweli na ukijaa vibaya anakuchungulia ao wanawake Mungu awape ufahamu 🙏
@AlexKimario-be4dd
@AlexKimario-be4dd 2 ай бұрын
Ni haohao tu. Ndege wanaofanana huruka pamoja. Hata shetani alipoasi aliondoka na theluthi ya malaika.
@AishaMkilindi-s2s
@AishaMkilindi-s2s 2 ай бұрын
Mama tunaomba sikia kilio chetu fungua kanisa la kiboko ya wachawi amekuwa misaada kwetu wanaochangia kukandamiza ujue bado hayajawakuta hao
@ChristinaLema-g5e
@ChristinaLema-g5e 2 ай бұрын
Apa uyo afai ni friimason ana potosha watu Wala uyo mungu amjui
@AYUBUJAMES-b8u
@AYUBUJAMES-b8u 2 ай бұрын
Jaman makanisa nayo yamekua meng
@florianhenry7198
@florianhenry7198 2 ай бұрын
Waumin wenyewe wengi hopeless
@Seurisailepu
@Seurisailepu 2 ай бұрын
Kweli tz wengi ni mazezeta 😁😁
@drdd774
@drdd774 2 ай бұрын
Pumbavu sana, Hamna Akili, fukuza hiyo taperi
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂waumini wajinga sana hawaoni mwanaume anajichubua aibu sana kazi ni gloves kwa mikono
@charlesomollo-ui1np
@charlesomollo-ui1np 2 ай бұрын
Ameeeen
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw 2 ай бұрын
Usichexe na Iman hiyo ndio iman
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 2 ай бұрын
Sheria zimewekwa ili zifuatwe.
@AlexKimario-be4dd
@AlexKimario-be4dd 2 ай бұрын
Ndio maana kuna wanaoamini waganga, mizimu, miti, mawe, nk. Lakini wote wanatambuliwa kulingana na utendakazi wao. Sasa tatizo hapa mtu anatumia jina la nabii huku anafanya mambo ya kiganga. Hawa waumini nadhani tatizo ni uelewa. Sio kila mahali unapopata jibu la hitaji lako basi Mungu yupo. Kule misri wachawi na waganga wa Farao walipambana na Musa kwa ishara na miujiza mingi. Na Bado siku za mwisho hizi wale wapenda miujiza wataona mengi Ufunuo 13:13-17. Hawamtaki Yesu wanataka miujiza.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
Imani Gani hao wote wanalalamika ni watu wake akiwapiga watu na wao anawapa kidogo
@evamsuya8869
@evamsuya8869 2 ай бұрын
Turudishieni kiboko wetu
@AlexKimario-be4dd
@AlexKimario-be4dd 2 ай бұрын
Si unaweza kumfuata anakoenda? Au akuhudumie online, dunia Kijiji siku hizi🤔
@dannyking8908
@dannyking8908 2 ай бұрын
kwa nini msimuamin Mungu tu kama Ni wa Mungu na amekusudiwa Hawez Fungiwa.,Mungu atetewi na mwanadamu ya Mungu lazima yasimame yenyewe hzio za kupiga debe ni siasa tu
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 ай бұрын
je anawazidi Dhabi
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 ай бұрын
Mnataka tuwe nakanisa kma lakenya.Embu acheni serikali inafanye kzi .Mnasaidiwa mnaleta maneno
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 ай бұрын
Yaani Wana tukaniwa mpka chupi zao hawa siwame logwa hawa
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 ай бұрын
Ukiwangalia wote Hao hawana sababu ya msingi
@HawaOman
@HawaOman Ай бұрын
Selekali tunaombeni mtufungulie huduma
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 ай бұрын
Hilo sio kanisa ni kijiwe cha waganga
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 ай бұрын
😂😂😂😂watu wajinga jamaa anajichibua mwanaume mzima hatari sana😂😂
@molenicharles9107
@molenicharles9107 2 ай бұрын
Wangawote wamepangwa
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 2 ай бұрын
Hivi hawa wanawake zimo kweli kichwani 😮
@OliverGodwinzakaria
@OliverGodwinzakaria 2 ай бұрын
😂😂😂😊
@IssayaLiberatus
@IssayaLiberatus 2 ай бұрын
Mungu Akutete Nabii Wetu
@AlexKimario-be4dd
@AlexKimario-be4dd 2 ай бұрын
Mungu yupi,, labda Lucifer.
@charlesomollo-ui1np
@charlesomollo-ui1np 2 ай бұрын
​@@AlexKimario-be4ddAlex wewe mchawi
@yuzzomanboy
@yuzzomanboy Ай бұрын
😂😂😂😂 Manyumbu hawawez kuisha
@allyhassan4k
@allyhassan4k 2 ай бұрын
Mnamuamini binadamu ila mungu Aaaah
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 ай бұрын
Tatizo jamaa sanaaa Sana kwa kweli
@BahatiLewis
@BahatiLewis 2 ай бұрын
Umepata kaz gan tuambie
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 2 ай бұрын
Ukijua kazi aliyopata utamsaidia nini au na wewe ni mchawi uliemroga kapona?
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 2 ай бұрын
Mi mwenyewe nilitaka kuja huko
@abuhafswin2686
@abuhafswin2686 2 ай бұрын
Upuuuuzi
@samweli7985
@samweli7985 2 ай бұрын
Upuuzi kwako, kwawengine wanaumiya
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 2 ай бұрын
Achen ujinga watanzania hao ni wapambe
@janetchinga695
@janetchinga695 2 ай бұрын
Wanaomukata kiboko niwachawii
@omanmobile5746
@omanmobile5746 2 ай бұрын
Kuna watu washenzi tanzania hii mpaka shetani amekuwa mwanafunzi
@hassanimambe1514
@hassanimambe1514 2 ай бұрын
Wamepangwa ayooo
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
Matapeli wa kimataifa wameona Tanzania ndilo chumo. Haya siyo makanisa bali ni mapango ya matapeli.
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht 2 ай бұрын
KIBOKO YA WACHAWI SIYO MKONGOMANI NI MSUKUMA WA KANDA YA ZIWAA HAPO MBONA ??
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 2 ай бұрын
Akafunguliw kanisa lake huko Congo halafu mumfuate
@HawaOman
@HawaOman Ай бұрын
Wangaga mbona wanatapeli mbuzi za watu hamseme
@SerinaMasika
@SerinaMasika 2 ай бұрын
Tunaomba selikali itusikie kilio chetu tunaomba selikali utusaidie kiboko afungulie aendelee hudu ma
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 2 ай бұрын
Ikiwa anasaidia watu serikali imrudishe kwa sheria na masharti ya nchi maana kweli kama anaombea watu wanafanikiwa arudishwe ila atii masharti ya nchi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
Aludishwe wapi hao matapeli wakubwa neno Gani huyo tapeli
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Wana yombo hebu acheni ukenya
@WilliamPyuza
@WilliamPyuza 2 ай бұрын
😢 mbingu inawashangaa nyie watu
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 2 ай бұрын
Hawa wafuasi hawana tofauti na Nyumbu🤔🤔
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Wachai gani anawaibia watu pesa bure
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 ай бұрын
Eti kiboko ya wachawi!
@saimongilala8938
@saimongilala8938 2 ай бұрын
Ningependa huyo kiboko ya wachaw afutiwe uraia taper kabisa
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 15 күн бұрын
Kawatukana nyie mnamlilia 😢
@samwelmkilya9236
@samwelmkilya9236 2 ай бұрын
Mtakuja kufa vibaya mbuz nyie
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 2 ай бұрын
Wapumbavu nyie mahira wakubwa
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 2 ай бұрын
Danga gan wewe SEMA umezoea kulipwa tafuta kaz ufanye
@alexvenas2699
@alexvenas2699 2 ай бұрын
Wapuuzi nyinyi wewe dada kama ulikuwa una danga kadange tu kama unataka kudanga.
@CotridaKigwile-d6p
@CotridaKigwile-d6p 2 ай бұрын
Karivyofubaa sasa
@AmonUrassa
@AmonUrassa 2 ай бұрын
Wanaomtetea ni wapumbavu watupu aende Congo awauguze m23 hatumtaki hapa
@Dadytamal
@Dadytamal 2 ай бұрын
Wamepotea na imani yao potofu 😂
@MickyMgeri
@MickyMgeri 2 ай бұрын
Kwa kweli huyo kiboko ya wachawi sio tu kufungiwa bali afukuzwe kabisa nchini na hao wanaomlilila waende nae,haiwezekan tuonekane wote wajinga kwa sababu ya wajinga wachache.
@barakabusima
@barakabusima 2 ай бұрын
Yaani hawa ili wasiendelee kuambukiza huu ujinga kizazi kijacho wanatakiwa wafungwe ..hii ni hatari huyu jamaa kawafunga na wamefungika
@FLORAHANSIBERTY
@FLORAHANSIBERTY 2 ай бұрын
Kudanga ni tabiaeyako, Mungu alikuleta duniani udange?,si Akili zenu mbovu, Kaa chini tafakari neno la Mungu
@charlesSomeke
@charlesSomeke 2 ай бұрын
Serekari fungeni makanisa yanayodhalilisha imani ya kikristo mbona waislamu hawadhalilishi iman yao
@MRHURUMAHuruma
@MRHURUMAHuruma 2 ай бұрын
Serekali kujiingiza kwenye mapambano ya kidini kwa sababu ya chuki za wachungaji kila dini ina madhaifu yake kwan kwenye ukatoliki na mabaya mangap tunasiskia nan amewafungia serekali ikae kama zaman hao wachungaji wanao sema huyo ni mchawi wao wenye mungu si wakaombe
@barakachibwana3708
@barakachibwana3708 2 ай бұрын
Mbona kama waumini wenyewe ni kifo Tu .what they blame?
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o 2 ай бұрын
Dunia inaenda mbele ila Tz inarudi nyuma watu wake kujitambua miaka ijayo kutakuwa na kizazi kibaya sana cha kuamini mambo ya kijinga
@muromuro8037
@muromuro8037 2 ай бұрын
Plumbavu sana nyie
@EnjoyReonald
@EnjoyReonald 2 ай бұрын
Mmmhhh
@angolina1768
@angolina1768 2 ай бұрын
Tunaomba mumuqche jaman kiboko ya wachawi anatusaidia watu jamani tunaomba jamani
@AlexKimario-be4dd
@AlexKimario-be4dd 2 ай бұрын
Mithali 27:22
@mathewlive77
@mathewlive77 2 ай бұрын
Sikieni nyie mnaolialia, nyie ni wapumbavu, kwasabau mnatoa hoja ambazo serikal haiwez kuziskiliza, eti nilkua mdangaji, so what!!? Watu ambao hawajasoma wana hoja dhaifu sana. Toeni hoja nzito zinazoishwishi serikal , kwaio kuacha kudanga ni muujiza!!🤣 , Kiboko mwenyew anajua kwamba amekiuka nn, na ataongea nao tu waelewane.. Kama hoja ni kuacha kudanga bas kaendeleen na kazi polis wawakamate.... Alafu mbona hamna kiti hata kimoja!?
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 2 ай бұрын
Acheni ujinga nyie 🐓👹👹
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 2 ай бұрын
Mtapeli huyo fukuza amenitapeli laki tano usheiiii kaka yangu hajapona malipo ni hapahapa duniani kwendraaa
@Ethanmwageni
@Ethanmwageni 2 ай бұрын
Mzee ukiona mtu wamemstukia Hilo tatizo
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 ай бұрын
Keele mwandishi necklace hayo matusii kumbe mkongo sikujua tanzania sio damp o sitaki hata kusikia asntee KUFUNGAA SIO KANISA WALA SIO DINI NI UCHAFU TU ASANTE T Z YANGU
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 ай бұрын
washable nyie
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Kuna Mambo ya kurekebisha kidogo hapo, mbona Kuna makanisa mengi TU hayajafungwa, Serikali sio wajinga wafunge bila sabb,
@SeifJuma-yt1pk
@SeifJuma-yt1pk 2 ай бұрын
Atarudi Kwa Kasi Tena Kasi ya ajabu shetani anataka kumuangusha tu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
Shetani yupi na wakati ye ndio shetani anatapeli watu
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 ай бұрын
Panya kweli nyie
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 2 ай бұрын
Kila mtu anauhuru Tanzania hata kama mchawi jamani eleweni njoni mlime mashamba yapo tokeni dar
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 ай бұрын
Nyie wajinga tuu
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 ай бұрын
🤣🤣🤣kaz ipo
@binsherbal6089
@binsherbal6089 2 ай бұрын
Kweli Tanganyika bado watu wana safari ndefu sana. Dhima hii Viongozi wa Serikali inawahusu. Hawa ni Wajinga wakipewa Elimu ujinga utawatoka. Hawa walihitaji Elimu ya Saikolojia ili wajitambue kwa sasa hawajitambui masikini. Daah Allah atusalim salama lakini hali ni mbaya. Mtu anadai kaacha kudanga kwa sababu ya Kiboko ya Wachawi, Inalillah wainaillaih rajiun.
@ShedrackChitema
@ShedrackChitema 2 ай бұрын
Shtukeni ww
@willymdeka6034
@willymdeka6034 2 ай бұрын
Watanzania kweli wajinga
@samirakashililika4223
@samirakashililika4223 2 ай бұрын
Awa wametumwa wamseme awa wajinga sana
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 ай бұрын
Ujinga mtupu .
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 ай бұрын
Yani hata hao wanao hojiwa ni. Matapeli tu😂😂
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 2 ай бұрын
Wametengenezwa
@sigfridchristian1890
@sigfridchristian1890 2 ай бұрын
HaaaAaaaaa haaaaaaa yan nahisi kama wamewekewa vitu wamekua mazyezyeta
@ismailkissigaye7269
@ismailkissigaye7269 2 ай бұрын
118🎉🎉
@GrevazJoseph
@GrevazJoseph 2 ай бұрын
Kwani bila kiboko ya wachawi hamna maisha mengine acheni ujinga
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 80 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
TAZAMA MAMA ALIYEKUWA AKIMROGA MKWEWAKE AJITOKEZA BAADA YA MAOMBI YA NABII KIBOKO YA WACHAWI
22:06
HE WONT BE THE DP .. SEE WHY..
1:39:06
MURURI TV
Рет қаралды 1,7 М.
UNABII WA KIBOKO YA WACHAWI UMETIMIA. USHAURI KWA SERIKALI
20:31
huduma ya kristo
Рет қаралды 23 М.
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН