Wavuvi walia kurejea uvuvi haramu, Ulega atoa maagizo makali

  Рет қаралды 693

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

9 ай бұрын

Mwanza. Wavuvi wamelalamikia kurejea kwa uvuvi haramu katika ziwa Victoria hali inayotishia kupotea kwa samaki na kuiomba Serikali kushughulikia jambo hilo.
Wakiwasilisha kero zao Octoba 4, 2023 mbele ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega kwenye soko la Kimataifa la Kirumba lililopo jijini Mwanza kwa lengo la kusikiliza kero za wavuvi na wafanyabiashara.
Wavuvi hao wamesema sokoni kumekuwepo na ongezeko la samaki wadogo wanaovuliwa kwa kutumia nyavu ambazo haziruhusiwi kinyume chake samaki wakubwa wamepungua hali inayoibua hofu kwa vizazi vijavyo kukosa samaki.

Пікірлер
SGR MWANZA ZEGE HALILALI, UJENZI DARAJA LA KM 1.4 WAANZA
12:04
TRC RELI TV
Рет қаралды 46 М.
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 756 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 13 МЛН
Hoja kuhusu jina yaibuka shauri kuhusu Kombo, Wakili Madeleka afunguka
7:24
KARIBU MWANZA: Jionee kisiwa kiitwacho "SAA NANE"
6:59
Millard Ayo
Рет қаралды 64 М.
Wakili mwingine aiburuta TLS kortini
5:48
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,2 М.
BMG TV: Mapya yaibuka sakata la Kisiwa, Mlima kuuzwa Mwanza
17:40
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 30 М.
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН