Mama amesubiri alidhani huenda atabadilika lakini kila siku zikisonga mbele inakua kheri Jana kuliko leo.anazidi kibri.tena hakuna mtu kwenye familia alowahi hata kumkemea.
@fatmasaid70933 жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@kassimali5113 жыл бұрын
Maash-Allah.
@aslamswalah78523 жыл бұрын
Kisaa cha sahaba al juleibib,alikataliwa nyumba ngapi na alikua amemtuma R S W
@abullahkabaka87743 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@shamunkhamis56843 жыл бұрын
Assalam alaikum.shukran sheikh.mimi mama yangu alikubali mdogo wangu aowe mwanamke amtakae.lakini binti hamkubali mama wa mume wake.akienda kuwatembelea hampatii hata glass ya maji ya kunjwa.mume akienda kwa mama yake mke hataki kwenda kwa mkwe wake.mama amevumilia mpaka ameshachoka.maana hakuna kosa lililotokea.jee?hapa sheikh mama hatakua na haki ya kumwambia mtoto wake amiache mke.
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Mashallah 🤣
@aishamaulid23583 жыл бұрын
Mimi nimeolewa miaka sita na mpaka leo sijapewa mahari yangu...je nifanye nini na sio kama Mme wangu hana uwezo.
@fatmasaid70933 жыл бұрын
Mithihani wallah 🙄🙄🤔
@halimahussein9173 жыл бұрын
Hata usione ajabu ni wengi tu napitia mm hata sisemi
@muniraramadhan79873 жыл бұрын
MAHARI NI LAZIMA HAKUNA NDOA YA INSTALLMENT
@muniraramadhan79873 жыл бұрын
@@halimahussein917 MAHARI NI LAZIMA ALIPE LABDA WW UMSAMEHE MWENYEWE
@muniraramadhan79873 жыл бұрын
@@halimahussein917 MAHARI NI LAZIMA ALIPE LABDA WW UMSAMEHE MWENYEWE