WAZEE SIMBA WALIAMSHA TENA / YANGA WASHAFUNGIWA SANA / WAVUNJA KODI USHINDI WA KARIAKOO DERBY

  Рет қаралды 5,457

Simba SC Fans Tv

Simba SC Fans Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@bullamsangi4049
@bullamsangi4049 4 сағат бұрын
Bado hamjasemaaa
@peterjisema4222
@peterjisema4222 20 сағат бұрын
Nyie si wazee ila mmzeeshwa na Simba SC
@halifashedafa
@halifashedafa Күн бұрын
Simba,hamna,jipya,wote,mmeoza
@bullamsangi4049
@bullamsangi4049 4 сағат бұрын
Jazba mnamletea nani na mnaingia kwenye barabara ya nani?
@Sherrymwinyi
@Sherrymwinyi 2 күн бұрын
hatuna nizamu woga hata siku moja tumechoka
@HawaMkomwele
@HawaMkomwele Күн бұрын
Nilipoona kimya nilidhani wazee hampo kumbe mpo Asante sana wazee wa Simba mama nwanamichezo anapenda mochezo amesikia namatafanyia kazi
@NillanMjunga-fr5ze
@NillanMjunga-fr5ze 4 сағат бұрын
Mkihama tunawafata mkishuka daraja tunashuka
@WajumaMtunu
@WajumaMtunu Күн бұрын
Hakuna mpya kalale
@AshaChilumba-f1l
@AshaChilumba-f1l 2 күн бұрын
Amina ata aibu
@PhilipoFaustin
@PhilipoFaustin Күн бұрын
Sema Kwer
@makamesaid9137
@makamesaid9137 Күн бұрын
Na hamjasema mpaka Msemeeeeee
@LucianaSintufya
@LucianaSintufya Күн бұрын
Mama anakazi nyingi kipindi cha simba lakini kwa wazee wa yanga wakisema waende ikulu manakuwa hana kazinyingi na kila anahaki ktk nnchi hii yetu sote,
@MshamMsham-u3w
@MshamMsham-u3w 2 күн бұрын
Cut
@paulmagese7900
@paulmagese7900 Күн бұрын
Nabado
@godfrey3926
@godfrey3926 Күн бұрын
Tutatuma kesi yetu CAF na FIFA wachunguze..Na kama haya yataonekana basi Tanzania tufungiwe mpira wa kimataifa kama Kenya mpaka tunyooke
@GeraldMbega-v8f
@GeraldMbega-v8f Күн бұрын
Mmevimbiwa nyinyi.
@GeraldMbega-v8f
@GeraldMbega-v8f Күн бұрын
Nyinyi mmetumwa,
@ErickJohn-k5v
@ErickJohn-k5v 2 күн бұрын
Mma anamambo mengi ya kufanya acheni ujinga msimwingize rais wangu kwenye ukolo uwo
@Nuru9568
@Nuru9568 Күн бұрын
Msemaji wake😂
@bakanga1410
@bakanga1410 13 сағат бұрын
Ww una rais au kuna rais wa tz
@LucianaSintufya
@LucianaSintufya Күн бұрын
Hata hao waliokutana usiku ni mambumbumbu pia wanatumia madalaka yao kupanga matokeo ya kibiashara ya mpira,
@FilimoniSilo
@FilimoniSilo 53 минут бұрын
Mtazidi kulalamika lakini yanga wanazidi ku'ngaa na huku nyie mnahangaika na yannga badala ya kuweka timu yako kuwa bora
@OmarAbsalla
@OmarAbsalla Күн бұрын
Bado hamjasema hadi musee.
@OmarAbsalla
@OmarAbsalla Күн бұрын
Wewe hunaakili mbona mulipotaka kuteremka daraja yanga ikawasaidia wewe hadi usaidiwe
@ramadhanikapona4317
@ramadhanikapona4317 Күн бұрын
Kweli mashabiki wa simba ni mambumbumbu, acha kuwachafua wateule wa rais. Waambie uongozi wako wa club ya simba wasajiri wachezaji wenye viwango. Sio mnaokotaokota tu.
@bakanga1410
@bakanga1410 13 сағат бұрын
Kuna wateule au wez wa serikal
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 күн бұрын
Kumbe kuna wazee wa aina hii wa ajabu hivyo?. Mama samia ana kazi nyingi sana za kusimamia nchi isonge mbele, aje ahangaike na masuala yasiyokuwa na maana hayo? Kama mpira umewashinda mwende mkatafute mambo mengine ya kufanya. Halafu acheni uchochezi na vitisho vyenu, kwani hii timu inaitwa malalamiko,maandamano na uelewa mdogo fc?. Ohhoo mtavisha sanda waamuzi, kwani jezi zenu hazina lebo ya sanda? Kwani nyie hamvai hizo sanda zenu?.
@Nuru9568
@Nuru9568 Күн бұрын
Kila binadamu atavaa sanda
@LucianaSintufya
@LucianaSintufya Күн бұрын
Mliovimbiwa nyie mpaka mnapakatwa na kayoko chupi zenu zina kinyesi
@mbwanaoch9886
@mbwanaoch9886 Күн бұрын
Upumbavu mtupu haya mazee hayana akili kabisa
@AshaChilumba-f1l
@AshaChilumba-f1l 2 күн бұрын
Kanye uko ukalale
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 Күн бұрын
huna adabu kumbe wew mwanamke
@Nuru9568
@Nuru9568 Күн бұрын
​Ajafundishwa kwao😂​@@sakinasakina1286
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 12 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47