Waziri Chirchir akosa kuwasilisha stakabadhi Seneti

  Рет қаралды 10,463

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Huku waziri wa uchukuzi Davis Chirchir akijipata pabaya baada ya kukosa kuwasilisha stakabadhi ya kandarasi kati ya serikali na kmapuni ya adani holdings inayopania kukodishwa uwanja wa JKIA kw amiaka 30, madai mapya yameibuliwa kuhusu kampuni hiyo kutoka india kumezea mate mashirika mengine ya serikali pamoja na mpango wa bima ya afya kwa wote - SHIF.

Пікірлер: 43
@majmuirurithiongo2601
@majmuirurithiongo2601 5 күн бұрын
This government the Mpigs and so called senators do not care about the mwananchi they are all very greedy sisi wenyewe tuta jitetea tutawatoa wote
@fatumaadam4271
@fatumaadam4271 5 күн бұрын
Chirchir na Ruto ni kitu moja
@florencemuthoimuthoni5816
@florencemuthoimuthoni5816 5 күн бұрын
Sio Kenya it's time for youth to rise
@mwaswapool
@mwaswapool 5 күн бұрын
Not just youths but, ALL
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller 5 күн бұрын
Si mlisema ni wezi
@marcdavid5826
@marcdavid5826 5 күн бұрын
Kenya ni kama imelaaniwa
@jedidahnthenya
@jedidahnthenya 5 күн бұрын
Walai we are done.
@bingobilaly7808
@bingobilaly7808 5 күн бұрын
Yah huwezi danganya kujificha Na Mungu ili upate unachotaka Na huishi vizuri
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller 5 күн бұрын
Kenya ililaaniwa na wakenya kama wakenya hawangekuwa kenya kenya ingekuwa fiti😂
@Cannan-w4k
@Cannan-w4k 5 күн бұрын
Merry go round here we go Now we are selling everything to Indians No public participation no deal
@edquest5764
@edquest5764 5 күн бұрын
This is theft in progress......... Ukiskia contract haionekani ujue ni wizi wa kupindukia unafichwa....... This is the same drama Uhuru took us through on SGR , and got away with it......... Kenya let us rise up and take charge........ This is unacceptable........ Our quiet is killing us.
@nzuri5459
@nzuri5459 5 күн бұрын
Adani ni Ruto na Ruto ni Adani.
@dickensojiambo275
@dickensojiambo275 5 күн бұрын
2027 we dont waant this faces
@kadzitsacharo1465
@kadzitsacharo1465 5 күн бұрын
Surely Thats the to go.. Tufagie hii mafisi 2027.. inshallah
@mwaswapool
@mwaswapool 5 күн бұрын
Vile mambo yanaenda, our country seems to be following the ways of our neighbours🇺🇬 step by step.... puts the question,, who is the "real advisor" to our government??
@ngugidaniel1030
@ngugidaniel1030 5 күн бұрын
Aww we fumbled on this one. We really did. Luckily, there is no statute of limitations for corruption.
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller 5 күн бұрын
Wakalee hawafai kuwa anywhere near leadership. Wako clueless na wako greedy. Wakae kwa athletics tu lakini leadership hapana😂
@KeliMutwiwa
@KeliMutwiwa 5 күн бұрын
Hii ndio ukoloni mamboleo
@omodesigner
@omodesigner 5 күн бұрын
Weuh kumbe dunia duara😂😂.Sen Onyonka you must be intelligent
@bonifacewachira2080
@bonifacewachira2080 5 күн бұрын
Kenya kunaenda kuharibiwa na ruto. He must leave as early as possible
@majmuirurithiongo2601
@majmuirurithiongo2601 5 күн бұрын
Wewr chirchir unafikiri kenya ni yako tunataka kujua vile mnataka kuza airport no more secrets
@anneekiru5071
@anneekiru5071 4 күн бұрын
Ati SHIF? Is that why there's a rush? We don't know this Ruto.....but he doesn't know us either.
@AlfredKimeu-xk7qd
@AlfredKimeu-xk7qd 5 күн бұрын
Tutauzwa sisi wote ndio wafaidike mtaitana
@JoshuaNzoka-ti1uf
@JoshuaNzoka-ti1uf 5 күн бұрын
Hi ni ukola lakini kenya akuna wajiga
@Blessed69666
@Blessed69666 2 күн бұрын
Ata sisi wananchi tuliuzwa kitambo na hatujui😁
@AfricansInGulf
@AfricansInGulf 5 күн бұрын
Ruto will destroy kenya completely its so unfortunate,
@waulicenterprises6941
@waulicenterprises6941 5 күн бұрын
Wezi wakubwa.
@mozi3051
@mozi3051 5 күн бұрын
Energy transport health. Wth?
@raymondmayiekondege8839
@raymondmayiekondege8839 4 күн бұрын
Sell kenya ans pY mw I go to india
@user-jq8lk2iq4d
@user-jq8lk2iq4d 5 күн бұрын
Kufa makanga, kufa dereva, kufa wathii
@ThomasOrocho
@ThomasOrocho 5 күн бұрын
Anyway wacha mimi kama Thomas Marende kama mluya na wakikiyu waliyo vote for Ruto 2022 tukule kiburi yetu for choosing wrong person.before 2022 election we were told Kenya will be on the right track..but after election mama mboga,bodaboda atc are out of oblivion in the eyes of regiment.Raila, Ruto burekabisa!
@anneekiru5071
@anneekiru5071 4 күн бұрын
Even God made Saul king in the book of Samuel, then rejected him.
@lucynyakoaodero7735
@lucynyakoaodero7735 4 күн бұрын
Sasa Raila stokea wapi? Haya ni maombi. Sio uganga
@biblenakoranmatuhuhu9904
@biblenakoranmatuhuhu9904 5 күн бұрын
Muhuni
@vincentotieno2979
@vincentotieno2979 5 күн бұрын
Hawa ni wakora
@MMuthoka
@MMuthoka 5 күн бұрын
Chirchir has nothing to offer...you've no business interviewing him...wastage of time....
@ketamuainvestments2030
@ketamuainvestments2030 5 күн бұрын
What will happen if Kenyans just refuse all the crap, will Adani group force themselves
Masengeli: We reject coercion, intimidation of Police
4:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 12 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 68 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 124 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
Waziri wa uchukuzi Davis Chirchir kuwasilisha stakabadhi za kandarasi
7:09
RICHARD ONYONKA: Why Adani-JKIA Deal Is A Red Flag
47:05
SpiceFM
Рет қаралды 124 М.
Karua, other leaders say Ruto performed poorly
3:44
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,4 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН