WAZIRI JERRY AKEMEA VIKALI, AAGIZA WATANZANIA WOTE KUEPUKE KUNUNUA ARDHI KWA MWENYEKITI WA KIJIJI

  Рет қаралды 10,111

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amewataka Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Vijiji kuacha kujihusisha na Uuzaji wa Viwanja kwani Wanaohusika ni Maafisa Ardhi kwa kushirikiana na Makampuni ya Urasimishaji, huku Akiwaasa Wananchi Kuanza Kufuata Taratibu zote muhimu za Manunuzi ya Viwanja ili kuepukana na Migogoro ya Ardhi.
Hayo ameyazungumza mapema hii leo Jijini Dar es salaam wakati wa kikao kazi cha Wahariri na Waandishi wa Habari sambamba na Uzinduzi wa Ardhi Clinic Kiganjani pamoja na kutoa tathmini ya siku 100 tangu alipoteuliwa katika Wizara hiyo.

Пікірлер: 20
@flaviankiria8251
@flaviankiria8251 8 ай бұрын
Kiongozi hongera sana kwa kazi nzuri;ila watanzania wengi tumenunua ardhi kupitia wenyeviti wa serikali za mitaa je tufanyeje na tumeshazeekea kwenye hiyo ardhi
@user-en1nl2tu8v
@user-en1nl2tu8v 5 ай бұрын
Waziri, kwa Hekima kwako Joo inchi jirani kenya. Arithi si Arithi ni tope. Mbebeleze mama Samia,angalau ujee mezi mitatu.
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 8 ай бұрын
Asante Sana Waziri mollah akupe afya njema umetuelimisha vya kutosha
@salumally663
@salumally663 8 ай бұрын
Unaantisha mifumo wakati wizaraaa watendaji wake sio wasafii..wapangue barabara zote watendajo wa kijiji wenyeviti walizopora wachukuliwe hatua huku chini kuna matatizoo....Hii mifumo kama hamjasafisha ngazi za chini ni bure tu...
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 8 ай бұрын
Hii nchi yetu bwana! Kila kiongozi anayeingia anakuwa na mipango yake kwani hakuna mipango ya kudumu?
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 8 ай бұрын
Yaani Mpaka umekonda hiii Wizara Mheshimiwa Jerry, ngumu sana sana, shidaa hawa watendaji wa Ardhi.
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 8 ай бұрын
Asante waziri
@dr.eliasm.chrisant4110
@dr.eliasm.chrisant4110 8 ай бұрын
Hili la Mfumo napongeza Juhudi zote. Hii itapunguza urasimu kwa watendaji wa idara ya ardhi maana wanajikutaga Miungu watu.
@SharifaAlly-bz8zr
@SharifaAlly-bz8zr 8 ай бұрын
Mh, Kuna mashamba ya vijiji mengine yana hati ya MKULABITA na walishapiwa na ardhi tangu mwaka 2010 hadi leo bado wanaendelea kupimi
@TecnoBoys-ul7mj
@TecnoBoys-ul7mj 8 ай бұрын
Mh waziri huku kwetu iringa Kuna mtu kajenga choo kwenye Barbara ya mtaa pia kachimba shimo na kalijenga '' tukijalibu kumshirikisha mwenye kiti hatowi majibu mazuri na kapanda mpaka miti ya matunda nainazidi kukua,, kiukweli iringa hatuna viongoz
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 8 ай бұрын
Hata Mungu baada ya Adamu kukosea hakumlaani, Bali aliilaani ardhi. Ardhi, ni kero xan.
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 8 ай бұрын
Huyu jamaa atawanyoshaa sanaa
@user-xp6xw8fy8o
@user-xp6xw8fy8o 8 ай бұрын
Kwa kweli naku unga mkono kuna wanye viti wako kinyume Sasa hili swala liwa fkie wale viongozi washenzi kwenye vijiji maana sisi kwetu mbya nzuri wakuu
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 6 ай бұрын
FIDA HUSSEIN NI TAPELI JAMBAZI MKUBWA WA MAJUMBA YA WANYONGE NA VIWANJA VYA WANYONGE
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 8 ай бұрын
Mheshimiwa japo unania njema ila maagizo Yako baadhi hayatekelezeki kwa mfano mwananchi anahakikishaje kamati ya Kijiji imeitwa au ana Nguvu gani kuhakikisha kikao Cha Kijiji kinakaa kwa ajili yake?ni mwenyekiti wa Kijiji ndio hua na mamlaka ya kuhakikisha hayo..mwananchi awezi kuwa na mamlaka ya kumtuma mwenyekiti wa kijiji
@user-rj7ul1jo8j
@user-rj7ul1jo8j 8 ай бұрын
DHongera Sana Mheshimiwa Silaa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 8 ай бұрын
Sasa Kuna watu wamenunua MIAKA 20,30,50nk, iliyopita ataipata wapi video ya mkutano wa kijiji
@flaviankiria8251
@flaviankiria8251 8 ай бұрын
Sisiambao tushanunua ardhi kupitia wenyeviti tufanyeje mweshimiwa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 8 ай бұрын
Du hadi umekonda. Miezi 2 tuuu jitahidi kupumzika
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 ай бұрын
Hakuna kiongozi wa Afrika anae konda kwajili ya wananchi 😂😂 we jidanganye ana kusanya pesa zake ana kula
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
WAZIRI AKUTANA USO KWA USO NA MBABE WA ARDHI, HAKI YATENDEKA
10:36
NTV Tanzania
Рет қаралды 78 М.
WAZIRI SILAA AWAONYA WANAOTUMIA SILAHA KUPORA ARDHI
5:43
Wasafi Media
Рет қаралды 1,6 М.
DIGI-TRUCK NI ZAIDI YA DARASA LA KUSAFIRI: WAZIRI SILAA
3:00
Wizarahmth TV
Рет қаралды 153
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН