JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@majurakafumu9120 Жыл бұрын
Huyo msomali anaona nchi imekuwa yake kwa sababu ya pesa zake anyovyo zigawa
@jameskivelege8630 Жыл бұрын
Hii imenitoa machozi Mr Slaa, kumbe nchi hii kuna watu waadilifu jamani! God bless you
@ototek8037 Жыл бұрын
Mi siamini kama serikali inawatu kama hawa, huyu watampoteza mda sio mlefu. Maana ccm wenye nguvu na vyeo ni majambazi watupu
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Kama alipokea na ameficha
@sophsoph47408 ай бұрын
Had mim naogopa ila kqmq kufa hamna hatae rukq@@ototek8037
@josephjacob605410 ай бұрын
Waziri unafaa Sana na mungu akubariki wewe na familia yako kwa kuwatetea wanyonge
@fridaminja3983 Жыл бұрын
Una hofu ya Mungu. Ubarikiwe
@amaninoi1959 Жыл бұрын
Keep it up Jerry simamia haki Mwenyezi Mungu akubariki
@hilarysimiyu808 Жыл бұрын
You are young and focused leader Mr Silaa. I am a Kenyan and I happened to have worked with your late father here in Kenya around 2013 on a oil exploration project in the north eastern part near the somali border. Your late father was an accomplished helicopter pilot and I really enjoyed working with him. The news that he died in a helicopter crash was very shocking to me. You are the kind of leader we need in this region. I should say that Tanzania is lucky to have you as a minister. I am sure you've made your late father proud in heaven. Keep up the good work and may the almighty bless and protect you.
@MakameAbdallah-wn3hc Жыл бұрын
Sauti ya Wazir Slaa inafanana na Freeman Mbowe
@PAMA354210 ай бұрын
Waziri silaa unafaa kuwa kiongozi mkubwa Tanzania simamia uzalendo wako mungu akulinde kaka
@susananyasani652610 ай бұрын
Asante Mheshimiwa Waziri Silaa leo nimeona Dokumente mikononi mwako ya Mwaka 1955 nyakati zile Machifu walikuwa wakigawa Viwancha Sehemu yetu iko kwenye Pori na tuliweza kulima na kuvuna Vyakula vya aina mbali mbali Baba alipokuwa hai kadanganywa na na kuuza hiyo Sehemu kwa nchia ya udanganyifu kiasi cha TZS 80 zamani zile mpaka leo Sehemu haitumiki aliyemdanganya Baba Mzazi hafahamiki ile Sehemu ni mahali pazuri kujenga Shule asante
@rajenderrobert8605 Жыл бұрын
Mungu akusaidie Brother. Hao watu wa Mafuta wana Nguvu ila Mwenyezi Mungu ana Nguvu zaidi
@johnmtumishi373 Жыл бұрын
Hongera waziri kwa hekima hiyo na kwa kumweshimu Mungu .Mungu akulinde akutunze akubariki. Ndiyo maana Rais wetu Mpendwa alikuona na akakuteua .tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maamuzi yako. Isaya 33:13-16 na Amosi 5:12 nimekuona hapo kutoka 23:8 kumbukumbu la torati 10:17 na16:19 . 1samwel 8:1-3 Ayubu 15:34 .Zaburi 15:4-5 mithali 17:23 mithali 29:4 asante waziri kwa kumuwakilisha Raisi wetu vizuri na kwa kutoa Elimu nzuri hata ya kitaalamu,na ipasavyo kuishi.Mungu bariki viongozi wetu Mungu ibariki Tanzania ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina.
@neemabright363510 ай бұрын
Dah Soo wise brother. Keep it up hongera sana hii wizara inakufaa sana ... Tumezidi kumsingizia hata Mungu wakati tunasababisha wenyewe...
@missangatv1368 Жыл бұрын
Waziri nimekupenda, kazi nzuri mkuu!
@francomwalutende7864 Жыл бұрын
Umeongea vizuri sana mh, waziri tunataka viongozi wawazi na wazalendo wa kweli, siyo wachumia tumbo
@thadeovitus3435 Жыл бұрын
Excellent!!! We need such leaders!!! Be blessed Waziri Slaa!!!
@kikalarashid9003 Жыл бұрын
Jerry uwaziri mkuu unakufaa, utatusaidia sana aisee!
@joshuamuro94949 ай бұрын
Kbsaa kbsaa !!!
@TomasMvela Жыл бұрын
Wewe Jerry slaa n hazina ya taifa...good work
@gibsonlwinga595011 ай бұрын
Hongela sana Waziri wa ardh❤
@selector7287 ай бұрын
Hongera sio Hongela
@MerickyMangula-yi6ow Жыл бұрын
Upo vizuri sana kaka Hongera sana
@edwardmakonge6951 Жыл бұрын
kijana slaa uko vizuri mungu akulinde sana umegusa pabaya sana ,utavuka tuko pamoja na wewe.
@BinHamimuHerbal Жыл бұрын
Aokoae huokolewa pia Allah akujaalie kila hitajio la nafsi yako👍🙌🙌🙌
@moshinyashebo798110 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze hapa duniani kwa kusimamia haki za watu na atunze kizazi chako kizazi Cha wadhari mu kitokomee kabisa popote
@mgalami Жыл бұрын
Very Good Mr.Minister.Keep it up always and may God Bless you abundantly!!!!
@RashidJKarubi10 ай бұрын
Alllah akuongoze ktk kuisimamia haki akuzidishie. Umri ili watanzania tuzidi kunufaika kupitia kazi nzuri na uzalendo namsimamo ulionao ktk kuisimamia haki napenda unachokifanya
@ROZITHOMAS-y4q9 ай бұрын
Mungu akubariki sana. Kweli bado unakula urithi waziri wangu. Baba yako kuwa rubani kwenu mpo vizuri
@YasniJuma-li5fp9 ай бұрын
Dahaaa kweli wizara imempata mwenyewe hongera sana kijana bambana
@MariamWiliam-z8k10 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu jerry nagroup lako lawenye hekima kama ww unahofu yamungu baba
@SheillaJaffery Жыл бұрын
Hongera sana waziri kiongozi mwenye hofu ya Mungu na kusimamia neno la Mungu hakika utafika mbali Mungu akufiche Damuni mwake adui asikuone
@jumaally8567 Жыл бұрын
Nakuona mbali Sana katika career yako ya Uongozi may brother Ur so humble.niliwahi kufika ofcn kwako wakati ukiwa meya haikuwa shida kukuona na haja yangu ilitekelezeka🙌🏼
@johnsimba Жыл бұрын
Kati ya mawaziri nimekukubaliMr. Silaa uko vizuri
@SamoraNgalya Жыл бұрын
Hii inch ina watu baadh yao yao wanaakl sana kwanza hongera sana kwa kusmamia sheria Mh MUNGU akupe maisha marefu sana na baraka za kuzidi il uendelee kusmamia hak wewe n silaa yetu wa Tanzania jna lako na matendo yako vmelandana
@matiredms91710 ай бұрын
Nimefurahi sana mwangu! Munhu akubariki
@momylaviel9 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefuuu waziri
@mzalendomzalendo25679 ай бұрын
Welldone waziri manake hivi vituo vya mafuta karibu vitajengwa mpaka kwenye miguu yetu sasa
@fredybasleymrema4737 Жыл бұрын
Safı sanaa. The way to go.
@medsonulendo4221 Жыл бұрын
Hongera sana Wazir kwa kua mnjoofu na mtetea wanyonge na pesa hatutaondoka nazo tutaondoka watupu utu una thaman kuliko kitu mungu aendelee kukusimamia na kukulinda
@professorwangwande1752 Жыл бұрын
Watanzania wengi nivipofu hawawezi kuwa na wanyonge hivi kituo kikifungwa hamuoni kuwa niwalizisha wenye nazo kuwatia hasala wanyongee niwatu wangapi wanazulumiwa alidhi zao silaha ameshindwa kuwapa Hali zao
@professorwangwande1752 Жыл бұрын
Ninani aliyewaloga mkawa gipofu vizuwi msione hasala anayo pata kwenye kituo hivi tokankijengwe tibaijukwa Yuko wapi jee hiyo alidhi Miyake oazumiwa Nani hapo mi roho mbaya tu rushwa ziko nyingi silaha Kala lushwa ya sifa kujipendekeza lushwa ya ubaguzi huyu ubunge alipataje ulipita Bila lushwa uwonevu unamtia mtu hasala kwakuwa umepewa shamans yauwazili munguwa mbinguni anakuona hiyo mtu unayefungia hajabmdhulumu mtu unamtia hasalabkwakulewa sifa wanyonge wanadhimiwa alizi zao na vigogo sikusikii ukiwasaidia sijafurahi hutoshi maondoa hiyo hatoshi
@nuruabdallah809 Жыл бұрын
Tunakuombea mungu muheshimiwa waziri hata ukiwa mmoja pekeyako msaidie mama sisi watanzania tunakuunga mkono tupo nyuma yako.
@allymganga3223 Жыл бұрын
Nchi yeti Ina Watu wanaostail haki na kuna wasiostaili haki kila siku majumba ya Watu yanavunjwa nawao wapo awaongei chochote blabla tuu nchi yetu aina utawala wa shelia ujanja ujanja tuu umezidi
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Jerry Slaa, Jerry slaa Jerry Slaa..nimekuita Mara tatu...wewe ni MAGUFULI +...big up sana
@Josephgoliama1 Жыл бұрын
Touched by his words. Mungu akubariki mheshimiwa Waziri Slaa
@albertmaneno Жыл бұрын
Super.... wise Mh. Jerry
@sakibumakoke91979 ай бұрын
Kutoka moyoni huyu waziri Mama Samia tunakupongeza Yuko vizuri na atafika mbali kwa uwezo wa Mungu.
@sizamazongera56109 ай бұрын
Uko vizuri silwa
@chellususnkungu4333 Жыл бұрын
Safi sana mh,waziri
@DanielYae-kw6dr Жыл бұрын
Nakupenda sanaaaaa wazirii wangu
@sebmalunde5945 Жыл бұрын
HONGERA SANA MHE. SILAA
@kianda973 Жыл бұрын
Waziri Slaa umenikuna sana....❤❤. Sijui wataharibu kukuloga? Ila tunakuombea Mungu hautalogeka...nyota yako iendelee mbele kwa mapenzi ya Mungu
@nurdinkassim Жыл бұрын
Hongera slaa tupia macho na nzuguni dodoma
@ndinzeissa4778 Жыл бұрын
Hongera hongera wazili kweli umesoma dini na tena wrwe ni mzalendo hii nchi inaitaji mawazili kama wewr na.wakuu wa mikowa kama wewe hongera sana ila kuna kiongozi mmoja nilmsikiliza alikuwa ana bwabwaja maneno wewe uko sahii hawa wssimamizi wanapo fanya ziara inje hawa jifunzi wazili hongera sana
@gideonlusana7288 Жыл бұрын
Mungu akuwezeshe Mh Waziri
@dollyjohn6811 Жыл бұрын
Safi sana muheshimiwa
@MakilinDausi-x2t Жыл бұрын
Safi sana mhe waziri
@suzysam6002 Жыл бұрын
MUNGU wa mbinguni akubariki sana , akuangazia Nuru ya uso wake na kukupa aman
@Jasimin-t2m10 ай бұрын
Jamani waziri mungu akubariki naomba uje Arusha uku tunaonewa wachimbaji wamawe Hulu tunanyanyashwa
@ShabaniMalange9 ай бұрын
Ongera Allah akuweke zaid kwa manufaa ya watu. Chanika yongwe tunapata shida sana ya njia had pkpk zinashusha watu sehemu zngne zilivyoaribika yongwe tunatembea kwa miguu Allah akulete na huku
@onesmomalifedha4709 Жыл бұрын
Daa!! Hongera sana mh Slaa.Watanzania wanataka haya mambo kwa viongozi wao.Wote CCM tungekuwa hivi,tungekaa kwenye uongozi milele.Huo ndio uzalendo.
@evodiuskalema2123 Жыл бұрын
Mungu akulinde waziri
@hajjiomary238310 ай бұрын
We uko vizuri kuliko lukuvi .cjui ulikuwa wapi
@awadhally105210 ай бұрын
Kwel kabisaa
@faustinekf4952 Жыл бұрын
Huyu jamaa yupo smart sana,
@kalumbugideon4159 Жыл бұрын
Hongera sana Kiongozi 👏
@emanuelkatambi6902 Жыл бұрын
Hongera sana yaani naiona picha ya Magufuli usoni na moyoni mwako chapa kazi chapa kazi tumecheleweshwa sana!
@ashrafurwegoshora4227 Жыл бұрын
Huyu jamaa ana jambo la ziada,ana uvumilivu wa kumsikiliza mtu
@rajabodhuman1300 Жыл бұрын
Unayo Nena na unayo ficha mungu ndo mjuzi zaidi tuko safarini pamoja yetu macho mungu atuongoze sote
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Halooooo ya ccm chapa kazi baba Mungu akubariki maskini wanaonelewa sanaaaa waraabu hatuwataki jamani ndiyo wenye mabalaa hayo awamu ya nne kidogo ndiyo yanayotutesa
@paskaziasholla747110 ай бұрын
Tena imeandikwa rushwa huondoka haki hongera sana muheshimiwa MUNGU akutunze sana
@jeniffermageto8952 Жыл бұрын
Hapo sawa
@seifsaidseifsaid1210 Жыл бұрын
Mbona dar kuna vituo vingi sana kwny makazi ya watu hasa kwa walalahoi lkn mnafuata kwa matajiri acheni siasa tendeni haki!
@barbarasara4033 Жыл бұрын
Kapambaneni na nyie
@Ezekiel-rh2ni Жыл бұрын
Jah bless u Mr waziri
@muganyiziluharara9668 Жыл бұрын
Waziri nzuri sana
@hassaniibrahim300 Жыл бұрын
Hongeera sanaaa Waziri
@abdulmshamu801 Жыл бұрын
Kwanza ongera kwa kukataa rushwa,sasa vizuri walio taka kukupa rushwa wachukuliwa hatua,takukuru kazi hiyo hiko wazi watanzania tunasubili kuona sheria inafanya kazi yake
@hamadsheni8997 Жыл бұрын
Nawewe unaamini?
@musa-v3f Жыл бұрын
kutoa rushwa na kupokea rushwa ni kosa la jinai..atuambie alipewa rushwa na nani? na kwanini mhusika hajakamatwa? Jerry anajaribu kujitafutia umaarufu wa kijinga
@muhammadalibhaz1390 Жыл бұрын
anajinadi nakumbuka aliyepita pia alikuwa hivi hivi Leo
@nassercurtis9579 Жыл бұрын
Hujajijua tu wewe ndio......angeruhusu mngesema amechukuwa rushwa au mngesema serikali haifanyi kitu hivi nyinyi mkoje hamuwezi kusifia kizuri? Kizuri mnakifanya kionekane kibaya na kibaya mnakisambaza zaidi, mlimuita Magufuli diktekta si ndio sasa kitawalamba, maana huu upuuzi kipindi chake hakijawahi tu kutokea maana akijua tu hata kama hukuchukua rushwa kibarua huna maana atakwambia umeshindwa kufanya kazi yako na huendani na speed yangu, mtu amejieleza kwamba hanyinywi pombe havuti sigara na anamke mmoja na bado anakula pesa za urithi yaani zakwake hagusi bado tu mnamchukulia poa kuna watu mbali na hofu ya Mungu ila wamelelewa kimaadili na nidhamu watu wa aina hiyo wamenyooka sana na hawapindishwi hata iwe vipi mbali ya yote mwenyewe ni mwanasheria, yeye amesema na anajua alichokisema mtu anaekutangulizia pesa kwanza si rafiki pili anajaribu kununua utu wako tatu baada ya hapo kukudharau mazima na hicho ndio alichokiona na ndio maana amesema wazi, na sheria huwezi kumkamata mtu kama ushahidi haupo, ndio maana hata takukuru wanapokamata huwa wanatumia pesa ambazo wamerikodi namba za pesa kukamilisha ushahidi ama alalamikaji awe na pesa hizo kama ushahidi sasa pesa hakuchukua maana ushahidi hakuna, na hata aliesema anauwezo wa kukana maana hakuna maandishi.@@musa-v3f
@mohamedmbalazi748 Жыл бұрын
Hizi 300 angezichukua na hawa watu akawakamata. Na hazirudi
@EliaHiluka-ep3tp Жыл бұрын
Fanya Kazi Mhe.iliyokuleta hapo
@urasaanold2851 Жыл бұрын
Mweshimiwa tembelea Barabara yetu ya tabata to mbezi ujionee mwenyewe karibu sana.
@shanishani6371 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@mathiassalamba7328 Жыл бұрын
Mungu akusaidie Baba uendelee na moyo huohuo rushwa ni dhambi kubwa
@mandelasamson8401 Жыл бұрын
Samia Suluhu Hassan .husomagi coment
@mudhihirIbrahim-hb7ry11 ай бұрын
Safi sana
@blandinamwarabu502510 ай бұрын
Lo Mungu akusimamie akinde Mama Samia mpe ulinzi huyu baba jamani Mungu akusimamie. Ardhi itanyooka tu.
@peacemwesiga10 ай бұрын
❤❤❤❤ tusaidie baba mimi nilinunua eneo miaka 10 iliyopota akaja jirani yangu akangoa nguzo zangu ktk mipaka na anapamiliki mpaka leo aliwahi kutakA KUNIKATA PANGA WATU WAKAMZUI akasema mm niwNamke sitamuwexa nisaidie jamNi ee Mungu wa haki 😢
@lisaupendoibrahim55099 ай бұрын
Nenda ofisini kwake atakusaidia
@mshindotv Жыл бұрын
TAKUKURU IANZIE HAPO,........!!!!
@omarsirleem710510 ай бұрын
Aisee Kenya 🇰🇪 tungepata waziri mmoja tu kama huyu,Kenya nzima ingenyooka 😢
@damasiasimba-lk5os Жыл бұрын
Waziri na kuelewa sana
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kaka kuingilia hili maana mwanzo nilipoqngqliq sikuelewa kabisa Mungu tuhurumie 😢
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm10 ай бұрын
Huyu ndio waziri bora na kiongozi bora kuliko kiongozi mkubwa
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka Mungu akutunze ulinzi wa kristu yesu uwe ndani yko tunakuombea tunakupenda kaka
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Ulinzi wa nani ndugu
@rosehaule6765 Жыл бұрын
@@KassimAlly-xp4dz wa kwako kaka
@gastonseme4524 Жыл бұрын
Ukipata viongozi kumi kama hawa Taifa litafika mbali Exllence
@CikeTanzania7 ай бұрын
Kabisa nchi hii wenye haki wenye pesa .
@AntonySalvatory Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mh waziri Doctor siraha kwa kazi yako njema yenye uhaminifu hakika wewe ni mwenye haki
@HamisMberwa Жыл бұрын
Mh waziri njoo Magu Kijiji cha Ilungu uone😊
@bajagihaji8923 Жыл бұрын
Waziri yupo vizuri rushwa ni adui wa haki
@omarimustapha796 Жыл бұрын
Umeme very important solution
@mgonjamgonja7084 Жыл бұрын
Nice
@alloycejames5285 Жыл бұрын
Hongera mama kwa kumwona huyu mwamba...
@emmanuelmashishanga714110 ай бұрын
Kaka uko vzr
@salimomari1509 ай бұрын
Mangufuli part 2..best
@johnsinyinza7450 Жыл бұрын
Wewe bwana mdogo. Unafaa kuwa waziri unayo sema sawa sana..
@mosesbarnaba7851 Жыл бұрын
Good 👍
@Tutankhamun-s3n9 ай бұрын
Afande ana mng'ong'a waziri 😂😂😂😂
@SteveNkini Жыл бұрын
Nenda njia nne goba uone kazi brother
@shabanihugo8332 Жыл бұрын
Pga kazi kaka
@JlmwinukaOnlineTv10 ай бұрын
Nikweli mheshimiwa upomakini
@blandinamwarabu502510 ай бұрын
Umekomesha umekomesha hakuna mabadiliko ya matumizi ya Ardhi nchi nzima.