Saaaaaaaafi imekaa vizuri sana hiyo tunaomba wamasai ngolongolo muende huko kumekaa vizuri
@magandaezra77212 жыл бұрын
hongereni sana serikali
@robertphilip3852 жыл бұрын
Hiyo safi mkuu imekaa sawa kabisa
@gimarigijoshua74172 жыл бұрын
Hao Ni wafugaj serikal imezingatia hilo
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Maneno mengi bila vitengo. Mh tafuta dawa hizi wizara zimetuangusja sana. Wafukuzwe maofisini waishi ktk mahema wakichapa kazi
@am2323tze2 жыл бұрын
Fanyeni hybrid breeding. Wacheni kufuga ngombe mapepmbe hawana nyama wala maziwa. Ngombe wa kisasa wanatoa kwa uchache lita 20 kwa siku ukilinganisha na lita 1.5 kwa ngombe wa kienyeji. Ngombe wa kisasa anatoa nyama kilo 400 to 500 ukilinganisha kilo 80 mpka 100 ngombe wa kienyeji
@jeffkonki82792 жыл бұрын
Yaani ili jamaa linafaa kabisa kuwa raisi yaani
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Kweli hizo wizara wanakusikia na kukuelewa Mh? Miaka 60 ya uhuru wizara hizo zina demo ganiya kujivunia?
@pawamutoto13902 жыл бұрын
Kwan wamasai wao ni akina nani sana bongo hii.mpaka wanabembelezwa na kujaliwa kias hiko wale wa tetemeko na mafuliko hawakufanyiwa hivo mbn kwan hawa akina Njelee wao wana nn.🙄🙄
@itwaaky752 жыл бұрын
Kule walipo serikali inaingiza mapato mengi takriban trillion 4 kwa mwaka
Lazima wabembelezwe wakiwakorofisha hawa ni watu hatari sana wana weza wakailipua Tanzania nzima bila kumjua ni nani kalipua
@kiri58072 жыл бұрын
kwani mafuriko yaliletwa na serekali ? si ndio tuliambiwa hivyo juu yakuwa michango ililetwa lakini iliyayuka kwenye hewa.
@leokamil62842 жыл бұрын
Haki ya kisheria unapomtoa mtu mahali ambapo kulikuwa na makubaliano ni lazima umfidie sasa hii ndio fidia yao .Wasipofanya hivi watashitakiwa kimataifa
@msomimosomy98122 жыл бұрын
Mbona wtuwA kanda ykaskzniwanaogopwasana naselikali?
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Wana mikuki hao! 😃😃😃🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
@fundikimweri2 жыл бұрын
JIFUNZE STAILI 8 BORA ZA KUFANYA MAPENZI 👇👇👇 youtu.be/hrscC0G_ Hermosaelección❤️ kzbin.info/www/bejne/aKDIp4F9nLSUapo de los mejores conciertos 7 01:03 Senada: "Hermoso" 02:00 Megan: "Hotter" 03:21 Hopi: "Sweeter" 00:13 Joonie: "Cooler" 02:53 Yoongi: "Butter" 01:41 Amor: "Momentos" .. belleza.viaja.al.universo.se.reune.con.estrell as. rplf y.luceros……tu.mirada.enamora.al.sol……tu.hermo sura.quedara.por..una.eternidad.en.los.corazon ede. tus.admiradores……feliz Navidad.y.noche.buena…mis.respeto.para.toda s.las.mujes.del.mundo……saludos..al.fin.del.mund🌺🌺