WAZIRI SILAA AAGIZA UCHUNGUZI MGOGORO wa NYUMBA ya BIBI KIZEE MWANANYAMALA- AOMBA SIKU 30 KUMALIZA..

  Рет қаралды 34,588

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

WAZIRI SILAA AAGIZA UCHUNGUZI MGOGORO wa NYUMBA ya BIBI KIZEE MWANANYAMALA- AOMBA SIKU 30 KUMALIZA..
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa kiwanja no. 781 maeneo ya Mwananyamala jijini Dar Es Dalaam ambapo imeibuka sintofahamu kati ya Bibi Juto Ally anayedai hakuwahi kuuza nyumba hiyo na Bwana Aloyce Msafiri anayedai amenunua nyumba hiyo muda mrefu.
Aidha Waziri Silaa baada ya kusikiliza pande zote mbili na kukagua baadhi ya nyaraka za kiwanja hicho amewaomba pande zote mbili wawe na subira na wampe muda wa siku 30 na kuwaagiza wataalamu wake pamoja na vyombo vinavyohusika na uchunguzi vichunguze ili kupata ukweli wa kadhia hiyo.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 164
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Jerry uko humble baba. Huna jazba umetawaliwa na hekima.
@kanoa645
@kanoa645 23 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 Ай бұрын
Ukitaka kujua kiongozi anaependa haki NI MHESHIMIWA SLAA.imekuwa kila siku lazima niangalie clips zake zinatia furaha ndani ya moyo.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Bila kumsahau Dingi Mh Makonda
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 Ай бұрын
Makonda Rais wa wanyonge 2030
@EdwardMghuna-rg8rx
@EdwardMghuna-rg8rx Ай бұрын
Pia spika wa bunge tz
@romanilyimo
@romanilyimo 24 күн бұрын
​@@EdwardMghuna-rg8rxspika? Labda spika ya redio tafuta mtu wa kuweka kwenye hiyo nafasi.
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Muheshimiwa kuna pepo yako mungu atakulipa amini ilo inshallah ❤
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w Ай бұрын
Waziri Silaa MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana Katika Jina YESU KRISTO wa Nazareti aliye Hai Amen
@sas7728
@sas7728 Ай бұрын
Amen
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Rais wangu umefanya jambo nzuri sana kuchagua jembe hili mungu akubaliki sana. Una majembe Silaha:makonda:Ali hapi:chalamila:sidingawa manyara:❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kanoa645
@kanoa645 23 күн бұрын
Kweli huyu Waziri anatufaa sana. Mheshimiwa Rais Samia tafadhali muamgalie sana huyu mtu maana ni zaidi ya hekma na busara
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Ай бұрын
Tatizo watu wengi wa siku hizi wanapenda kurithi , fanyeni kazi ,
@ziggertv3185
@ziggertv3185 Ай бұрын
Ishu sio kurithi mana hata ww nyumba aloacha mzazi lazma uipambanie ila kibaya ni nyie warithi mnakubalianaje
@EsterEdward-eo6ds
@EsterEdward-eo6ds Ай бұрын
Safi sana muheshimiwa waziri Silaa mtu usiye kurupuka unafanya uchunguzi wa kina kwanza MUNGU akusaidie kumquat mwenye haki apate haki yake
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Nawapenda sana Slaa, Makonda Chalamila, Happy chini ya uongozi wa mama Samia na Serikali yake.. Mungu azidi kuwalinda
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Ай бұрын
Huyu bibi aliuza kwa ridhaa yake sasa hao wajukuu wamepata tamaa wanamshawishi bibi agome kuachia nyumba. Ndo maana mimi naogopa kununua eneo kwa bibi mtu mzima au mlevi kudeal nao inakuwa ngumu unaweza kujikuta haki yako inapotea hivi hivi. Na huruma mara nyingi inaponza
@rhassanmkomwa
@rhassanmkomwa Ай бұрын
haaahaaahaaaa umenifurahisha
@shabanseif5774
@shabanseif5774 Ай бұрын
Kwanza lazima uulize unauza unaenda kukaa wapi,kwa umri wa huyo bibi ndo ujiridhishe
@godiegodie1336
@godiegodie1336 29 күн бұрын
​@@shabanseif5774Nyumba imeuzwa 2006 inajua ni miaka mingap imepita. Ni wa ngap wanauza nyumba na kwenda pembezoni mwa jiji
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr Ай бұрын
Kinachoonekana wamefanya tamaa kuona mabadiliko ya mtaa
@RutaEmmaMachumu
@RutaEmmaMachumu Ай бұрын
Mheshimiwa hao wadada wanaonekana ni waongo kiasi, ila tumia busara zako kuhamua, najua hushindwi.
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Ай бұрын
Mungu akubariki waziri wetu endelaa kusaidiaa wanyongeee🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲😭❤❤❤
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm Ай бұрын
Waziri chunguza zaidi huyo bibi inawezekana anataka kumzulumu huyo jamaa
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Ай бұрын
Kabisa wanauza maeneo ukioaendeleza wanarudi kuwa wametapeliwa
@stellarogath1876
@stellarogath1876 Ай бұрын
Kisaikolojia bibi nimemuelewa, huyo ni Bibi wa mjini.
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 Ай бұрын
Hiyo familia wanataka kumdhulumu huyo baba
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde kakayangu Jerry mtoto wa mzee slaa
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt Ай бұрын
Bibi tamaa kashauza kuna watu wanamtuma
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Ай бұрын
Umegundua kitu na wewe
@kanoa645
@kanoa645 23 күн бұрын
Na watu watamfanya bibi wa watu aumbuke maskini
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
BIBI HUYO MMM! HAJUI KUSOMA ILA MILIONI SABA NA GUNIA TATU ZA MKAA HAPO NI UWONGO MTUPU ASEME UKWELI ALIIUZA HIYO NYUMBA. HAO WAJUKUU PIA NI WAONGO HAIWEZEKANI BIBI HAJUI KUSOMA MMRUHUSU AKOPE MILIONI SABA KWA BIASHARA YA MKAA GUNIA 3 HAPO SI KWELI. WAACHIE NYUMBA TU.
@babuummary7723
@babuummary7723 Ай бұрын
Bibi anajifanya asikii vizuri
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 Ай бұрын
mungu akulinde waziri jerry slaa
@mambas264
@mambas264 Ай бұрын
Milioni saba, mkaa gunia tatu. Jamani wanadanu tumuogope mungu! Dhulma haifai
@michaelmillinga5064
@michaelmillinga5064 Ай бұрын
Gunia Moja kubwa linauzwa 45,000 iweje milioni 7 upate gunia 3?
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 29 күн бұрын
Huyo Mwamba ni TAPELI
@godiegodie1336
@godiegodie1336 29 күн бұрын
​@@michaelmillinga5064 Na miaka hiyo aliyopewa hela huenda gunia moja lilikua elfu kumi.
@MariamHannif
@MariamHannif 29 күн бұрын
Bib janja nawajukuuu janja
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Kwanza hiyo bibi muongo:kashauza nyumba hiyo muda inavyoonesha.
@Bruno4cus
@Bruno4cus Ай бұрын
Tena kauza bila kuwa shirikisha wajukuu zake wala ndugu.
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Ай бұрын
Mheshimiwa Waziri angalia vizuri sio kwa sababu ni bibi ndo umpe haki usije jikuta unamdhulumu huyo baba
@swelehemkumba5007
@swelehemkumba5007 Ай бұрын
Bibi na wajukuu wake kwenye hili hapana. Ni matapeli.
@Kombo2989
@Kombo2989 Ай бұрын
usikurupuke Baba. sisi wazawa wa huu mtaa tunamfahamu huyu anajiita mnunuzi na huyu mw,kiti mstaafu ni wajanja wa mjini wewe umeiona hii1 kuna kesi nyingi sana zinazomuhusu huyu mstaafu ila kilamtu ananamna ya kijikwamua, wengi wajijikwamua wengine wasiojiweza ndioyanawakuta tena cha ajabu kesizote zinawahusu watu wasiojua kusoma wala kuandika
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Ай бұрын
​@@Kombo2989inawezakana huyu bibi wajukuu zake ndio wanamzunguuka na hao viongozi ndio wanamzunguuka huyu bibi
@kindandakudingwa7514
@kindandakudingwa7514 Ай бұрын
Inaonekana Hawa wajukuu wajanja wajanja flan hivi
@valentinamjindo5374
@valentinamjindo5374 Ай бұрын
Kweli kabisa huyo Hana waswas inaonekana anaongea ukweli wazir busara Yako itumike
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 29 күн бұрын
Nakupenda sana my brother slaah mungu hakubariki sana
@StellaMwasha
@StellaMwasha Ай бұрын
Mbona baba hawezi kumdhulumu Bibi kizee jamani BABA apewe HAKI yake
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d Ай бұрын
kweli watu sowema hata bibi ni wakuzulumu
@OnlyRuky
@OnlyRuky Ай бұрын
Alhamdulilahi
@costa_modelofficial1390
@costa_modelofficial1390 Ай бұрын
Mungu Akuzidishie Hekima🙏🙏
@JumaAbdallah-gn5qu
@JumaAbdallah-gn5qu Ай бұрын
MashaAllah, Piga KAZI👍
@seiphyahya5353
@seiphyahya5353 2 күн бұрын
Huo ni mchezo unafanywa sana na wapemba kwa kudhulumu nyumba za wazee. Huwa wanawapa pesa kidogo kidogo hatimaye pesa zikiwa nyingi zilizopokelewa na mwenye nyumba mpemba huchukukua nyumba kwa bei ya kutupa.
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 Ай бұрын
Dada uyo muongo kbs kwa sentesi iyo ilipuke tu ghafla . Dada wewe maisha ya duniani wewe acha uongo tunapita tu. Yani kila cku awe anakukuta wewe tu.. umekua mlango hufanyi shughuli zingine una mvizia mtu usie kua na ahadi nae . ...mkope milioni 7 kwa mkaa bila kujua rejesho linatokea wapi ...muongo mkubwa dada wewe... WAZIRI DADA NA FAMILIA WOTE WAONGO
@shabanseif5774
@shabanseif5774 Ай бұрын
Hahahahahaa yaani hata mimi kweli haingii akilini yaani biashara ya mkaa umkopeshe ml7 😂
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 Ай бұрын
Na hiyo 7ml mwaka 2006 ikikuwa hela nyingi sana
@josephminja7953
@josephminja7953 Ай бұрын
Siku zote rahisi ni ghali😢sjui mmenielewa?
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Hapo Waziri angalia haki. Huyo bibi atakuwa aliuza na huyo baba maelezo yake hayana shaka.
@rosie8704
@rosie8704 Ай бұрын
slaa na makonda nawapenda sana wanasikiliza wanyomge kwa upendo kbs
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y Ай бұрын
Jerry silaa acha upuuzi wako wa kuingiza promo za kisiasa ktk matatizo ya watu unamjua mama samia unarudia mara 20 hiyo ina uhusiano gani na yeye kuibiwa kiwanja chake??
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
​​@@user-fr7jj1bo7yWEWE UNA UHAKIKA GANI KAMA BIBI KAIBIWA??? NA MHESHIMIWA AKIMTAJA RAISI UNAKEREKA KWA NINI????
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 Ай бұрын
@@user-fr7jj1bo7ykwani shida iko wapi akimtaja rais wake mfyuu
@sabojanvierjaja2007
@sabojanvierjaja2007 Ай бұрын
❤❤ongeza na RC Happy
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Mdogo wangu Mungu akutangulie
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 Ай бұрын
Alivyosema yupo laila haila llah dah hadi machozi yamenitoka
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Mwenyezimungu atawalinda dokta slaa ..wewe ni jembe letu ...mungu atakusimamia kijana wewe nikiongoz mzuli Sana mungu atakulipia kwakuwatetea wanyonge baba
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Ай бұрын
Magufuli alitengeneza vichwa hata kama sio wote
@objstv6976
@objstv6976 Ай бұрын
Hana baba wala mama 😢
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 28 күн бұрын
Waongo hao wadada
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Tunadi kukuombee mungu akulinde silaa wetu
@ahazinelson6351
@ahazinelson6351 Ай бұрын
Hao wajukuu wanajisumbua,hiyo nyumba iliuzwa.
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 Ай бұрын
Muuze nyumba mnunue nyumba ingine msilipe kukomboa nyumba muongo wewe
@hawaa341
@hawaa341 Ай бұрын
Bibi taperi na wajukuu zake
@lusticabernad9982
@lusticabernad9982 Ай бұрын
Bibi na wajukuu waongo, hao waliuza ila sasa hawataki kutoka kwasababu wameingia tamaa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Waziri chonde chonde hao wanamtetea bibi.dhuluma
@SaidZavallah
@SaidZavallah Ай бұрын
Hahahahahaha bibi napata wasiwasi na ww hahahahahaha bibi wa mjini kabisa
@user-uu7mg3ff8l
@user-uu7mg3ff8l Ай бұрын
m.mungu akuepushe na mabalaa mueshimiwa
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s Ай бұрын
Ongela sana Alha atakulipa Wazili wangu una busala sana
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 Ай бұрын
Familia ya bibi inajanja janja, bibi anajifanya hasikii lakn mengine anasikia vizuri tu, story zinapshana 😊
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 Ай бұрын
Umasikini mtihani kiurahisi rahisi mnatowa hati sasa inakuwa shida
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 29 күн бұрын
Yaani watu Masikini wananyanyasika Sana duh..!?
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Ай бұрын
Wajukuu wote mkorogo
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Dar imezidi Kwa laana maana watu wanahangaika na ardhi sijui watenda nayo Mbinguni wakifa.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Kulipa kodi wanakimbia
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Ай бұрын
Hii kitu inaitwa aridhi kwa kweli namshukuru Mungu hainipotezei muda,vitu vya kupita hivi
@tunujuma2995
@tunujuma2995 22 күн бұрын
Ila dunia hii😢
@hatimmohamed4299
@hatimmohamed4299 Ай бұрын
Magari yanaendeshwa bila ya ukaguzi, kila siku magari yanafeli breki, inakuaje? Wekeni sheria kali na ziwe zinafuatwa na adhabu ziwe kali, wacheni rushwa
@StellaMwasha
@StellaMwasha Ай бұрын
Natamani nipate mrejesho
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 29 күн бұрын
Uyo mdda muongo kajichubua kawa mwekundu kama nyanya. Sio vzuri mnachukua pesa za wenzenu kisha mnahaza kukwepa ripeni deni iro kama nyumba mpenzi
@MrKhatibu
@MrKhatibu Ай бұрын
Dahh nchi ya Tanzania
@RamadhaniSelemani-bn1fz
@RamadhaniSelemani-bn1fz 29 күн бұрын
Duuuh 😢
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 25 күн бұрын
Hawa wajukuu wanamtumia huyu bibi kwa faida yao.
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s Ай бұрын
Yan kunawat awamuogop mungu Astaghfillullah
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Ай бұрын
Jerry kichwa mno.Hapo ndio ninaamini ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi..Mwili mdogo akili kubwa...
@SamweliHozza
@SamweliHozza 25 күн бұрын
Hawa wajukuu sijui watoto wanarangi mbilimbili
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 29 күн бұрын
NARUDIA TENA: JERRY SLAA MAKONDA na BASHE asee hawa ndiyo TAIFA la leo maana tukisema Kesho Ni MUONGO, hawa ni WAPIGANAJI sana sana.. LUCAS KOMBA awekwe Ndani kuna jambo analiju KOMBA ni TAPELI awekwe ndani kwa Ushahidi. Yeye ndo Kasuka Mpango OVU
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 27 күн бұрын
Huyu mama muongo tukaendaaaaa nyingi
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Ай бұрын
SHERIA YA ARIDHI IBADILISHWE .IWE KAMA NCHI ZA KIARABU.
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Ай бұрын
Waarabu wanafanyaje
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Sheria zao zikoje?
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Ай бұрын
@@OmanOman-dn6dj oman ukinunua aridhi kwa mtu.mtamaliza ofsi zte.wa mwisho watakuwa polisi.kuhakiki dokment hakuna fojari,hakuna utapeli.hakuna wizi.muuzaji na mnunuzi ndo hawa hpa.wakihakiki ikiwa sawa. Polisi kitengo cha aridhi.wanaidhinisha.kwa nyaraka yao.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
@@hamadsheni8997 NI SAWA. HATA GARI LAZIMA WAUZIANE POLISI.
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Ай бұрын
@@goodluckmsoka3660 mkiwa mnauziana mtakwenda ofisi zte.wa mwisho polisi.wanahakiki hpa hakuna utapeli,wizi,nyaraka feki. Muuzaji na mnunuzi ndo nyie.kama iko sawa. Ocd au rpc anaweka sain.kama kuna jinai mmoja anabaki.
@seifsaud
@seifsaud Ай бұрын
Kunamtaji wa mkaaa wa milioni saba acheninuongo
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 29 күн бұрын
Uyo baba hawepe haki yake hakuna cha kuangaria mzee nn arikopa kabda hajawa mzee so zuruma isitoke hapo kwa uyo baba hapewe haki yake kwan pesa wamekulah
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h 28 күн бұрын
Watanzania tunatakiwa tujifunze kutofautisha kati ya huruma na haki, huyu bibi ameuza hilo eneo,mimi ndo karani wa sheria ambaye sina huruma hata kidogo, Bibi aendelee kujizima data hivyo hivyo,ifikie hatua wananchi tuwaonee huruma viongozi wetu
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Kama viwanda hakuna, ajira serikalini, mashamba hakuna, watu tumenawili mtaani, siri yetu ya mafanio yetu nini. Tuliacha kuzalisha na kufanya kazi tukawekeza kwenye wizi.
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Mama slaa anatenda haki, umwongezee ulinzi japo ni mtu anasali
@hajiyusuf3837
@hajiyusuf3837 28 күн бұрын
Muheshimiwa tunaomba namba yako
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 Ай бұрын
Hapa watu warudi 2006 sehemu hiyo kiwanja bei gani!? Kisha kitathminiwe kama millioni 7 basi bibi kweli kauza na kama 2006 ilikuwa millioni 50 basi itakuwa milioni 7 kweli ni mkopo
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 Ай бұрын
Mashalah comment yako imemaliza kila kitu unaonekana una başara sana sheikhe wangu
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 27 күн бұрын
Bibi wa mjini
@shamtenyambega2944
@shamtenyambega2944 29 күн бұрын
achunguzwe bibi amepangwa ,ukweli itakuwa AMEUZA HUYO
@malila4582
@malila4582 Ай бұрын
Yani apo angekuwa makonda angemaliza kesi apo apo
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Ай бұрын
Huyu mwenye kiti wa mtaa ndio tatizo alikuwa anataka kumzurumu huyu bibi ili aje amtaifishe hii nyumba looo,
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Anatia huluma bibi
@Rukwembe7712
@Rukwembe7712 Ай бұрын
Nilicho gundua ukwer una jitenga na uwongo
@rechobenjamin845
@rechobenjamin845 Ай бұрын
Hongera sana muheshimiw
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t Ай бұрын
Bb achungu zwe
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 29 күн бұрын
nitakufa mm bila nyumba
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 29 күн бұрын
Karatasi ya Mauziano iko wapi..?
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Bibi Kwa Sasa Zamani Alikua Kijana Jamani
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Ай бұрын
Wanataka kudhulumu kwa miloni tano huyu bibi wewe unaona milioni tano kuja kumsainisha bibi halafu mnampa pesa bile loya milioni kimi na moja kweli halafu nyumba uchukue kwa milioni 5 kweli n ipo mjini mnataka mdhulumu huyo bibi
@hasaabdi7199
@hasaabdi7199 Ай бұрын
mnatapeli hata wazee
@Yassinseleman
@Yassinseleman 22 күн бұрын
Hivi mkopo mtu anaweza kwenda kukuchukulia tu kirahisi hivi
@MariamHannif
@MariamHannif 29 күн бұрын
Bibi wa mjininhuyo anaonekana yeye nawajuukuuuu ni janja janja alois apewe haki yake
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Ай бұрын
Ila tuache nafki uyu jamaa nili sema mimi sio mlooo wa pesa ndomana nasaidiaa watu daaa
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 27 күн бұрын
Uyo mdada ukimuangalia machoni ni muhongo tu
@mitchellshayo4801
@mitchellshayo4801 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Duuuuuh huyu bibi jmn
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Ila inaonekana bibi aliraghaiwa
@fadhilimhagama2650
@fadhilimhagama2650 Ай бұрын
HIYO KAULI YA KUSEMA BIBI KIZEE KAMA SIO NZURI KABISA
@halimaa9367
@halimaa9367 Ай бұрын
Bibi unajuwa lahilahahilah lkn ujui kujifunika
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Ай бұрын
Watu weusi hawaaminiki
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Ай бұрын
Kiongozi wetu mtetezi wetu kipenzi cha watu inshallah mwenyez mungu akutunze inshallah 🙏
@JumaAbdallah-gn5qu
@JumaAbdallah-gn5qu Ай бұрын
Mmh, Pesa Tamu Ukiuza hiki pesa Ikiisha Unatafakali Tuuze Cha kule hiki kina2tosha 😆😆Hivi hakuna Shelia Malizawazazi Kishelia Haziuzwi Wakae mpaka vitukuu Sababu Wa2 Hawajui kutafutavyao ,Hujajenga unawaza kuuza Ujinga m2pu
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 Ай бұрын
Bibi watoto wajukuu wamemgeuka
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 36 МЛН
Rishi Sunak delivers final speech outside No10 Downing Street
2:58:18
Reporting on Doomsday Scenarios | 60 Minutes Full Episodes
52:33
60 Minutes
Рет қаралды 2,2 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47