No video

WAZIRI SILAA AREJESHA KIWANJA KILICHOPORWA na TAJIRI wa MABASI ya TAHMED TANGA - "BORA UKOSE MALI"..

  Рет қаралды 101,679

Global TV  Online

Global TV Online

3 ай бұрын

WAZIRI SILAA AREJESHA KIWANJA KILICHOPORWA na TAJIRI wa MABASI ya TAHMED TANGA - "BORA UKOSE MALI"..
Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewarejeshea kiwanja wanafamilia ambacho kilichukuliwa na mfanyabiashara mkubwa wa magari ambacho alikihodhi miaka mingi ndani ya jiji la Tanga.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 455
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@othmanali7408
@othmanali7408 3 ай бұрын
Kwanza rekebisheni izo camera
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 ай бұрын
Huyu waziri sijawahi kuona kama yeye anafanya kazi KUBWA sana mpeni maua yake jamani ,lkn ifike wakati hao matapeli kwanza walipe fidia ya MIAKA yote waliyokuwa wamekaa pale pili walipe garama za majengo waliyovunja,tatu viongozi waliohusika kusaini nyaraka feki kama mwenyekiti ,mjumbe nk wachukuliwe hatua Kali za kisheria ikiwemo KUCHUKUA Mali zao ili kuwalipa wale waliodanganywa.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Waziri anatatua tatizo na anatowa elimu pia. Big up kijana mwezangu upewe mauwa yako.
@HelenaMallya
@HelenaMallya 17 күн бұрын
Uko vzr
@HelenaMallya
@HelenaMallya 17 күн бұрын
Ninkwel kijana wangu kwa invrstegetion yako nilishapata changamoto hyo ikanisaidia nilivuouloza
@HelenaMallya
@HelenaMallya 17 күн бұрын
Kwa kuuliza
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 3 ай бұрын
Mh. Rais wananchi tunapata faraja kubwa kwa utendaji kazi wa kujituma wa Waziri huyu. Tutashukuru kama atasalia hapo bila kubadilishwa nafasi ili kufikia lengo la kufuta kero sugu za ardhi. Viongozi wateule mkijituma kwa kufuata haki ustawi wa nchi haraka unapatikana. Mungu atubariki sisi sote kama Taifa. Amina!
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 3 ай бұрын
Safi sana Waziri.hii ni zamu yetu wanyonge. Mahakama inapiga tarehe kudhulumu mali za wanyonge.tumechoka. Waziri Big up.Mungu Akutunze
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 ай бұрын
Aaamin.
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 ай бұрын
Sasa ndo mnakubaliana na makonda kuhusu mahakama ? Wanafki sana watanzania
@sleymankassim4332
@sleymankassim4332 3 ай бұрын
Amin
@baloz8974
@baloz8974 3 ай бұрын
Ndio mahakama ni pesa ndio inaongea mahakimu wote wala rushwa na makarani wao .
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 3 ай бұрын
@@baloz8974 halafu makarani wanaficha ma file ya watu kweli kabisa huu mwaka wa 20 Sasa tulishashinda kesi .lakini kinachoendelea hatuelewi RUSHWA eti wanasikilizwa na hawajawahi ku appeal MUNGU ANAWAONA
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 3 ай бұрын
Mungu amlinde huyu waziri, nakuombea sana kwa Mungu waziri 🤲
@bakariomari8758
@bakariomari8758 3 ай бұрын
Huyu jamaa yupo na, hekima
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 3 ай бұрын
@@bakariomari8758 saana
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 3 ай бұрын
LEADERSHIP IS THE ABILITY TO SOLVE the PROBLEM. Huyy ni kiongozi aisee
@bakariomari8758
@bakariomari8758 3 ай бұрын
Hes a God fearing guy wit a blessd with a wisdom
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 3 ай бұрын
Hata usiku silaa anafanya kazi 🥺🥺 mungu akulinde sana tena sana
@mwajumamwangia443
@mwajumamwangia443 3 ай бұрын
Jerry silaha nakupenda kwa ajili ya ALLAH mola akulinde inshallah
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki Sana Waziri Upewe maua yako kwa kweli
@AbdillahiMkondo
@AbdillahiMkondo 3 ай бұрын
Dah waziri anapambana sana kwajili ya watu wasio na nguvu japo hii vita alio ingia ni kubwa mno lakin mungu atamuongoza Kwa historia ya nchi hii viongozi wa aiba hii hua hawadumu
@RizikiRiziki-bp6dx
@RizikiRiziki-bp6dx 2 ай бұрын
KWA JINA LA YESU KRISTO ATADUMU NA WATADUMU WASIOGOPE TUNAWAOMBEA
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 Ай бұрын
You re a Very smart Minister, Nakuombea kwa Allah akupe maisha marefu unatenda haki wazi wazi, asiyekuelewa ni tapeli tu...
@davidjoackim2216
@davidjoackim2216 3 ай бұрын
Piga kazi wazir,kazi yako Mungu anaiyona, na hanafurai,
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 ай бұрын
Ndugu Waziri ni kijana mdogo sana ila anafanya kazi kwa kujituma sana kupigania haki hadi anazeeka.
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 ай бұрын
Mungu hatamuacha,atendelea kumpatia afya njema
@yordanyona1234
@yordanyona1234 3 ай бұрын
ni kweli ila katerekeza jimbo la ukonga....njia zinaoza
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 3 ай бұрын
​Kazi ya serikali hiyo na sio mbunge pekee, kuna wakuu wa wilaya makatibu tawala na nao wanahusika muwape taarifa​@@yordanyona1234
@KisasaMikidadi
@KisasaMikidadi 3 ай бұрын
kwa kazi anayofanya mwache tu atelekeze anastshili sifa na kura ntampa mana anapigania taifa sio jimbo
@yordanyona1234
@yordanyona1234 3 ай бұрын
upepo wa 2025...si ameamshwa na makonda tu...juzi hapo.. kiekweli viongozi wetu wako vizur ila mara nyingi wanakosa uzalendo....au pia aina ya mtu aliopo juu namna anavyowatengeneza... maana usipowapa stress ni shida
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 3 ай бұрын
Hao matapeli wa ardhi hawawi pekee Yao Ni watumishi wabovu wa serikali ndiyo wanasababisha uchafu wote huo. Cha muhimu hapo Ni Jerry Slaa kupata wenzie wa ukweli ndiyo itapungua tu Keisha kabisa haipo kwa sababu utapeli Ni moja ya maisha ya watu wabaya. Mungu atusaidie tu.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Mweshimiwa Jeri mwenyezimungu akusimamie akulinde na akuongoze inshallah..kwamana unafanya kitu kizur Sana kiwaokoa watu na mali zao dhidi ya dhurma..unafanya kitu kizur Sana japokuwa sio rahisi ila mungu akulinde dhidi ya watu wabaya muheshimiwa wang
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
Alafu kesho utasikia Mama amembadilisha amemleta mwingine japo ma file hayabadilishwi lkn ukiona mtu anaimudu wizara acha aendelee huyo huyo aimalize kazi yake maana hata ukisema mapungufu hata utakaemleta sio Malaika
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 3 ай бұрын
Anaimudu Wizara sio Wizala.
@jonathanmanyaga4357
@jonathanmanyaga4357 3 ай бұрын
Hata huyu hata badilishwa amini hivyo; si unamuona Hussein Bashe?
@user-fy3rs2he1i
@user-fy3rs2he1i 3 ай бұрын
🤣🤣🤣 Umejuaje? yaani mimi nina wasiwasi sana, huyu jamaa ni kama Lukuvi tu, nina wsws ataondolewa.
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 3 ай бұрын
Lukuvi hakuwahi kufika kwa level hii japo nae alijitahidi
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
@@ahmed-shakirmwamba4992 Nadhani umeelewa hata kama kumepinda sehem hukuona umuhimu wa ujumbe umeona makosa nyie ndo wale wale wakuangalia makosa ya nyumba za watu sio juhudi za mwenye nyumba jitafakali maisha yako yatakuwa ya kutafuta makosa tu
@bakariomari8758
@bakariomari8758 3 ай бұрын
This guy is being blessd with Wisdom
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
hapa rais samia kapatia wazili anafanya kazi
@hamisiamani962
@hamisiamani962 2 ай бұрын
Hii wizara kaka walipuyangaga walivyomuweka m2'1wakuitwa Kamwele cjui kamwewe!!Basi Lkn,Mbalawa jembe Silaa Shoka😂
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 3 ай бұрын
Safi jerry slaa MUNGU akulinde mkuu.👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 nmetamin kuwa mwanasiasa niwatumikie wananchi kwa Haki.kwa maneno haya we n nembo ya ubora
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Ай бұрын
Unaweza kutumikia nchi yako popote ulipo jitoe mzalendo👍🤝
@maimunahemedi6491
@maimunahemedi6491 2 ай бұрын
Aw huyu kijana hii kazi anaiweza vzr sana, anatumia uadilifu mno, hababaishi, mola amsaidie sana na amlinde wabaya wasimdhuru, amin
@user-oo3np9be8m
@user-oo3np9be8m 3 ай бұрын
Maswala ya ardhi yakatatuliwe sehemu maalumu kwenye site kabisa
@shabansalum1848
@shabansalum1848 3 ай бұрын
Waziri wa ardhi ni mtu wa maana saana hongera kwa kuwa na hofu ya mungu una roho nyeupe kama shati..lako unalopenda kulivaa jeupe..barikikwa saana
@willydugilo3258
@willydugilo3258 3 ай бұрын
Mungu akuongezee umri bwana mdogo!!
@hanifamziray277
@hanifamziray277 2 ай бұрын
Silaa na makonda niw2 na nusu mungu akubariki sn mama samia 5 tena
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 3 ай бұрын
Samahani ndg zangu naomba serikali iende mbali zaidi Jaji mkuu toa amri ktk mahakama au mabaraza ya ardhi nchi nzima wawe wanatoa hukumu zao site na ushahidi utakuwa mzuri hivi mm naona dhuluma ni nyingi Sana kwa wananchi kwa ajili ya kufoji na manyaraka mengi yasiyo na tija.
@user-oo3np9be8m
@user-oo3np9be8m 3 ай бұрын
Kweli kabisa yani maswala ya ardhi wanaenda kutatulia mahakaman na hawaendi site
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@digitalworld5577
@digitalworld5577 3 ай бұрын
Aisee umeongea bonge la point. Hukumu ya ardhi kutolewa pasipo eneo husika inaleta ukakasi sana kwenye maamuzi sahihi. Kwa kuwa mahakama inaweza kuhamisha eneo lake la kutoa hukumu basi wafanye hivyo fasta
@user-ez9qc2jo1x
@user-ez9qc2jo1x 3 ай бұрын
Waziri unajua unajua tena safi sana
@HenryKissinger-wu9ms
@HenryKissinger-wu9ms 3 ай бұрын
Waziri hongera kwa kazi nzuri unayo Fanya, Allah akupe umri mrefu na afya njema
@renatusihoyelo7450
@renatusihoyelo7450 2 ай бұрын
Hongera sana Rais kwa kumteua huyu waziri wa Ardhi, anafanya kazi nzuri kweli, Mungu awabariki sana viongozi wa serikali wanaotenda kazi kwa haki
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op 3 ай бұрын
Mnungu mbariki mh samia ,J,silaa,na makonda
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku 3 ай бұрын
Nzur umeona he
@laylayl5166
@laylayl5166 3 ай бұрын
Amiin yaarab kwakweli inatupo furaha
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
acha kufaninisha watu na mazombii ww ulisikia wap uyu jelisilaa kampiga m2 lisasi au kamteka m2 tumia akilii chiziii wewee
@conrad4950
@conrad4950 Ай бұрын
Thank you ndugu Silaa...you a true son of the soil..
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Safi sana waziri kwa kurejesha matumaini kwa wanajamii wanaodhulumiwa
@getrudeisaac
@getrudeisaac 3 ай бұрын
Mungu ni mwema watu wanaonewa sana kwenye maswala ya maeneo Hongera sana Mama Samia Hongera sana kaka Jerry
@saloomidd1084
@saloomidd1084 3 ай бұрын
Huyu jamaa anajua sana kazi yake na anahukumu huku anakufundisha hadi uelewe hata kama una kichwa kizito utaelewa tu
@noneysam-qm8ln
@noneysam-qm8ln Ай бұрын
Wewe Waziri sijakuonea mfano kwa kazi unayoifanya hutumii hasira unawajibu kwa hoja MUNGU akulinde na akupe maisha marefu
@jeremiahpirminnyoni618
@jeremiahpirminnyoni618 Ай бұрын
Jerry last born wangu hongera sana kazi nzuri sana sana Mungu akupe afya njema na maisha marefu, heri na tumbo lililokuzaa na maziwa uliyonyonya ❤
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 ай бұрын
Jembe jingine Tena madini sanaaa🙏🙏🙏wamekua wawili namakonda💪💪💪
@saloomidd1084
@saloomidd1084 3 ай бұрын
Yeah Makonda anatakiwa naye apewe wizara,kwenye wizara nyeti kama wizara ya mambo ya ndani ili kutokomeza mambo ya rushwa
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 3 ай бұрын
Ninacho kipendea Jerry wewe ufanyi kazi kinafki unachapa kazi Kama inavyopaswa kufanyika ongera Sana mungu akubariki na akulinde na maadui waovu🙏🙏🙏
@deonatusyokta3579
@deonatusyokta3579 3 ай бұрын
Waziri silaa mtu wa maana kabisa
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 3 ай бұрын
Hapo kosa ni lawatu wa ardhi
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 3 ай бұрын
Bravo Silaa. Mungu akulinde sana
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 ай бұрын
Nakupa maua yako mh waziri Jerry Slaa🌺🌺🌹🌹🇹🇿 Mwenyezi Mungu akutangulie kila cku pamoja na familia yako na team yote ya viongozi TZ 🙏🏼🙏🏼
@SeraphineKamau-db9ty
@SeraphineKamau-db9ty 3 ай бұрын
Mungu hawaachi watu wake! Well done waziri. Mungu akulinde daima
@TheAmolloh
@TheAmolloh 3 ай бұрын
Jerry Mungu akulinde katika majukumu yako
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Asante kwakutufahamisha jinsi yakufanya ila tuliowengi tukinunua vitu kama ivyo viwanja na nyumba hatujui vyakufanya...Yani kwastahili iyo inabidi tujuwe sheria au tupate muongozo wakisheria Ili tusiingizwe mkenge
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 ай бұрын
Kazi nzur munguambariki
@adolfmashele4959
@adolfmashele4959 Ай бұрын
Hujanitendea mimi wema..ila watanzania wenzetu...ila nakuombea mungu akujalia afya njema mh silaa ...eeh mungu mbariki silaa kweli wee silaa ya vita
@kakagift8356
@kakagift8356 3 ай бұрын
Waziri anajuwa kuelimisha sana.
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 3 ай бұрын
Hongera waziri Slaa mwenyezi Mungu akutangulie kesho utasikia amehamishiwa wazara nyingine ajabu sana
@ip_header
@ip_header 3 ай бұрын
Smart man
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 3 ай бұрын
Mungu akulindewaziri
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 3 ай бұрын
MH Jerry! Naomba nikupe pongezi na pole Sana Kwa Kazi kubwa unayoifanya swali langu je Mawaziri waliopita walikuwa wanafanya nn?
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 3 ай бұрын
Walikuwa Wana lala mkuu😢
@kassimkobby1679
@kassimkobby1679 3 ай бұрын
Alikuwepo mzee lukuvi karudisha Mali nyingi sana za watu wakat wa magufuli
@user-id7lc7tk4d
@user-id7lc7tk4d 3 ай бұрын
Migogoro ya ardhi ni mingi sana
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 2 ай бұрын
Walijitahidi ila mfumo ndio tatizo .huyu Waziri Ana busara uadilifu upendo nk nk Na haogopi kufanya maamuzi
@choosenempire7772
@choosenempire7772 3 ай бұрын
Kwa hili mueshimiwa sikusaport jamaa kafwata protocol zote za kisheria za ununuzi wa kiwanjaa kuwafwata wapangaji sio dili Sanaa coz ulinunua basi la abiriaa jee utamwafata dereva kumuhojii wakati una kadi ya gari original.kwaa hili namsaport mununuzi frankly speaking apa nooo the buyer has a right kwani miraji katoa wapi document original
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Kazi nzuri unaifanya muheshimiwa mungu akubariki
@SangioNgoo
@SangioNgoo 3 ай бұрын
Hii siyo kazi ya waziri. Kuna vyombo ambavyo vinatakiwa kufanya haya mambo lakini vimelala. Migogoro kama hii iko mingi sana, waziri atatembelea kote? Kosa ni la serikali hiyo hiyo anayoiwakilisha waziri. Ila low minds kama hizi haziwezi kujua lilipo tatizo na mtaendelea kulizwa maisha yenu yote.
@barakakusa7606
@barakakusa7606 3 ай бұрын
Kweli kwanza cha kujiuliza huyo waziri aliyekuwepo kabla yake alifanya Nini? Je itakuwaje kama Slaa akihamishiwa sekta nyingine?? Mfumo mbovu ndy tatizo na tutapigwa mpaka tuseme.
@issamsuya583
@issamsuya583 3 ай бұрын
Kwahyo aendelee kukaa ofisini akiangalia makosa ya watendaji wengine?
@EmmanuelMsangi-kb3vv
@EmmanuelMsangi-kb3vv 3 ай бұрын
Uwelewa wako ni wajuu sana vyanzo vya matatizo vipo Sasa hii haitatusaidia
@SangioNgoo
@SangioNgoo 3 ай бұрын
@@issamsuya583 They have to change the whole sytem of governing. Mihimili na idara zifanye kazi.
@Timoclement
@Timoclement 3 ай бұрын
Waziri hongera sana hufanyi kwa sifa wanyonge wapate haki Yao Mungu akubariki
@PatrickPazza-kr3vm
@PatrickPazza-kr3vm Ай бұрын
Hiii elimu hata mm nimeipata sitaweza kununua kiwanja kiholela bila kuuliza aiseee big up sana
@user-er9xv9yz7b
@user-er9xv9yz7b 3 ай бұрын
Mungu akulinde waziri aulali unawapigania watanzania
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
Tunawaombea dua sana kaka mkitoka huko kwenye ardhi anzeni na wale waliojenga majumba makubwa halafu mishara yao wanayo lipwa havilingani ni kidogo
@seiphyahya5353
@seiphyahya5353 25 күн бұрын
Nalia kwa Furaha ya kuona Serikali inawarudishia wanyonge nyumba na viwanja na Mali nyinginezo walizodhulumiwa na mawakili na mahakimu na matajiri nk. Alhamdulillahi rabbyl alamin.
@peterochogo546
@peterochogo546 3 ай бұрын
Mh unatakiwa uwe waziri wa ardhi miaka yote Mungu awabariki sana
@MohzenHaroub-tv9th
@MohzenHaroub-tv9th 2 ай бұрын
Hakika umekuwa ukitenda haki kwakila mwenye aliedhulumiwa haki zake bas uwepo wa serikal hii imekuwa ikitatuwa hili ttzo hongereni sana mungu awabarik❤❤🎉
@sbnannauka7873
@sbnannauka7873 Ай бұрын
Mh waziri naomba mungu akupe maisha marefu, kwenye swala la mahakama zetu kumeoza sana na matajiri wengi hununua mfumo wa mahakama na kuzuia kesi zenye vielelezo zisisikilizwe.Naomba umshauri mh Rais aunde tume aifumue mahakama kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi mahakama ya rufani.
@noelkipera6581
@noelkipera6581 3 ай бұрын
Mh presedar Wazir unaye,jemb e Jembe saaana ,,Mwenyez Mungu Amlinde zaid
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 ай бұрын
❤❤❤❤ HAWA ndio wanapaswa kushika nyadhifa kubwa za
@hermenegildempawenayo279
@hermenegildempawenayo279 2 ай бұрын
Waziri Silaa na Makonda mungu awalinde because kazi munafanya ningumu sana.
@susanmshindo7593
@susanmshindo7593 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde waziri wetu Huku mkoa wa Pwani huko kipalang' anda nako balaa watu wanatapeli mashamba bila haya unauziwa na unatapeliwa na anauziwa mtu mwingine bila woga hata kidogo
@saloujohn3639
@saloujohn3639 2 ай бұрын
We silaa mungu akujalie
@bullindamichael2470
@bullindamichael2470 3 ай бұрын
Mh waziri unafanya kazi nzuri sana sana, God bless you, lakini kwanini hawa watu wanaenda mpka ardhi na wanapata majibu kwamba kiko sawa, je hao wafanyakazi wa ardhi ambao wanashirikiana kuibia watu ardhi mnawachukulia hatua gani?
@isakapanduka-kp9tb
@isakapanduka-kp9tb 2 ай бұрын
Mtaalamu jerry slaa god bless you
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 3 ай бұрын
Huyu jamaa ana element Za uzalendo kwa taifa lake,nikifikilia 2015 faza ake alipopata ajar yeye na kaka deo namuonea hurumA sana.MUNGU ampiganie ktk haya majukumu yake.
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q 3 ай бұрын
Waziri ni jembe lingine 🙏🙏
@user-xk5yi1lc4d
@user-xk5yi1lc4d 2 ай бұрын
Hoqngera sana mh waziri unapambania wanyonge
@janemuga587
@janemuga587 3 ай бұрын
Waziri wetu tunakupenda tuko nawe pamoja na mama Yetu Mh Rais Samia apewe maua yake. Pia naomba simu yako iwe wazi tulete yetu tuliyo nayo asante
@Badvoice707
@Badvoice707 3 ай бұрын
Mama angoze miaka mia❤❤❤❤
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 3 ай бұрын
Waziri maua yako🎉🎉🎉🎉 kitaaalaaaam zaidiiii
@laylayl5166
@laylayl5166 3 ай бұрын
Ahsante mungu. Umetuleyra chombo madhubuti waziri jelly mungu akulinde
@MohzenHaroub-tv9th
@MohzenHaroub-tv9th 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu na yenye kheri sana wazir wa ardh ❤
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 3 ай бұрын
Mama samia umetupa waziri mzuri sana wale waliopita walikua wanashirikiana na matapeli huyu kanyooka.
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Jery nimejifunza kitu ngoja niende weke vzr doc
@denismalembeka1871
@denismalembeka1871 Ай бұрын
Mungu amulinde mdogowangu silaa kwa kazi unayaifanya wewe pamoja na makonda sio ya popepoie
@hakeemwamahoro5144
@hakeemwamahoro5144 3 ай бұрын
Silaa anatenda Haqi safi sana wanyonge wametendwa sana na matajili Haqi aizulumiwi
@kashindesalha8107
@kashindesalha8107 3 ай бұрын
Mungu akulinde namabaya
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 3 ай бұрын
Kwani simba tumewapigaje mipango oo na viwangoooo safi sanaaa waziri allah akulinde 😂😂😂😂😂
@simonmadiba2053
@simonmadiba2053 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze mheshimiwa waziri
@MgeniSaid-fp3wg
@MgeniSaid-fp3wg 2 ай бұрын
Huyu jamaa anaitendea haki nafasi yake, big up waziri Mungu pekee ndio atakulipa na kukulinda
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 3 ай бұрын
Safi sana Waziri kwa kuwapa wanyonge haki yao haya tapeli wa tahmid katafute ushuzi ujambe mpumbavu mmoja, kwa M Mungu matajiri mtakwenda kuchomwa moto wa gesi sio mkaaa
@alexmatt9504
@alexmatt9504 3 ай бұрын
Huyu kweli ni Waziri anayejitambua, anafanya kazi yake kwa umakin na kuamua kwa haki.Wananchi tunataka Mawaziri kama hawa wanaojituma na kuzungukia sites badala ya kufanya copy & paste. Hongera sana Waziri Slaa Mungu akulinde na uendelee na moyo huo utafika mbali.
@hamjanikera1234
@hamjanikera1234 3 ай бұрын
Yalaiti kenya tungelikua na waziri na kuamua haki kama hivi... Pongezi sana waziri Jerry
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 3 ай бұрын
Hakika nahemewa sana kwa kazi nzuri unayofanya kakangu mungu akupe maisha marefu sana utetewanyonge
@Mamkubwa
@Mamkubwa 3 ай бұрын
Slaa naomba uwe unasoma na hizi comments. Waelimishe upya sana watu wa ardhi bado wanapotosha jamii. Wanatoa vibali hata pasipo takiwa kutoa kibali. Na kuwe na elimu vyombo vya habari kuelimisha jamii juu ya kumiliki ardhi, umuhimu wa kubadilisha matumizi ardhi, kuuza na kununua ardhi. Kuna watu wanalizwa saana sana.
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 3 ай бұрын
Kwa mujibu wa watanzania wengi waziri Kama huyu wanamsema vibaya lkn ingekua kwao wamezulumiwa wangemuona wa maana
@venikompumu9951
@venikompumu9951 20 күн бұрын
Hongera sana wazili matapeli wengi mjin
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op 3 ай бұрын
Nakuobea kwa mngu na mh samia
@novathmsanyamsanya7702
@novathmsanyamsanya7702 3 ай бұрын
Kuna shida kubwa sana ndani ya ofisi za ardhi. Kwa mafano mtu sasahivi ukitaka kununua gari mkononi kwa mtu lazima uende kwanza TRA ili ijue mmiliki ni nani, sasa na Ardhi ni hivyo hivyo ushajua mmiliki ni A ghafla unaambiwa siyo A ni X wakati Ardhi inasema ni A.😢
@victormsafiri9802
@victormsafiri9802 3 ай бұрын
Your good waziri
@lucypatrick7830
@lucypatrick7830 Ай бұрын
Dah yaan mnyonge mpaka unajikuta tajiri, Mungu akutunze waziri
@casmuiddy7304
@casmuiddy7304 3 ай бұрын
Safi sana waziri
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Slaa asee big up sana kwako..yaani Kama Mimi..
@lukasmaro4280
@lukasmaro4280 2 ай бұрын
Dr SLAA RC MAKONDA W BASHE Mama SAMIA tuangalizie Vijana wanaoweza kutosha kwenye nafasi unazowapa waungane pamoja nahawa wanao maana wanachofanya nazani kinaonekana💪💐🙏
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,5 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН