TUHUMA NZITO! MAMA ANAYELALA NJE KWA MIAKA 11 - AIBUA MADUDU ya KUTISHA HADI AKAVUNJIWA NYUMBA...

  Рет қаралды 25,172

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

TUHUMA NZITO! MAMA ANAYELALA NJE KWA MIAKA 11 - AIBUA MADUDU ya KUTISHA HADI AKAVUNJIWA NYUMBA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 162
@ttss7716
@ttss7716 Ай бұрын
Subhanallah huyu mama niliona kitambo hii habati mbona tusimchangie anunue pahali pengine yarabi 😢😢😢😢 hii ardhi hakuna mtu ataenda nayo tutaziacha zote😢
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Ай бұрын
Kweli wanafikiri watakufa nayo mungu awalaani madhulma wote wenye kuwadhulumu watu
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Ай бұрын
Mh jamani na mm nimelia kweli😭😭😭😭
@MagelitiMshana
@MagelitiMshana Ай бұрын
Jaman MUNGU akusmamie mama update haki yako
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Ай бұрын
Mungu atuepushie Roho mbaya na tamaa zisozo zahaki
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
Ameen yarabi
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Ай бұрын
Inauma sana haki za watu zinachukuliwa kibabe, na maafsa wa serikali baadhi yao sio waaminifu husaidia wadhalimu kudhulumu haki za watu....wekeni namba yake tumchangie chochote mama....mh.waziri Jerry Slaa nina hakika atatenda haki...serikali hii haitaku dhulma
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Ай бұрын
Pole sana mama angu haki yko utaipata inshallah na mwezi huu mtukufu Allah atakusimamia inshallah 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@israeluronu9958
@israeluronu9958 Ай бұрын
Mungu nifundishe NINYAMAZE, naogopa nitakufuru make mm pia simkamilifu mbele zako. Pole sana mama
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Ай бұрын
Nimelia kwa uchungu....Dunia inawatu wabaya sana.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Sasa hii ndo haki jamani tutaenda kusema nini kwa M/mungu
@janifajani8875
@janifajani8875 Ай бұрын
ALLAH AWAPEE HUKUMU WANAYO STAHILI HAO WATU INSHAALLAH 😢😢😢😢😢😢
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Wallah hii Ardhi itatupeleka motoni. Ardhi hii ambayo itatufukia 😢😢😢 Zuwena kondo popote ulipo hii laana itakutafuna hadi siku ya qiama. Mh Jerry silaha tunaomba usikilize hii hatima ya bibi yetu. 😢😢
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
Waziri WA Arithi pls. Muokoe uyo Mama inasikitisha mnooo
@user-tk4es1uw7e
@user-tk4es1uw7e Ай бұрын
dada mwandishi waambie waende wizara ya ardhi chumba namba 303 ipo ofisa wame pangiwa na waziri jery slaa
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
Sehem gani muheshimiwa anapatikana
@user-tk4es1uw7e
@user-tk4es1uw7e Ай бұрын
@@mamasalhat waziri yuko kwa mzuguko wa kazi kikosi yake wana pokea kero zote chumba namba 303 wizara ardhi
@julianamasato5655
@julianamasato5655 Ай бұрын
tunamuomba kwa hati ya tharura amsaidie huyu bibi jamani
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 Ай бұрын
Pole sana Mungu yupo haki ya mtu haipotei 😢
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 Ай бұрын
Mama samia tunakusufu mma muokoe huyo mja mhane allah atakuokoa .iko siko
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Ай бұрын
Huu utajili utakuwa wa kishetani kama wa kutoka kwa Mungu huwezi mnyanyasa mtu kwa pesa zako kisa yeye hana mali, but all in all kila mtu ataenda jibu mbele za Mungu.
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Wazir slaa mtetez wa wanyonge alione hili ajuae nani mmiliki halali wa ardhi hiyo 😢😢😢polen sana 😢
@davidbatista7882
@davidbatista7882 Ай бұрын
Mungu aone kane jely silaha aone hiii awapige spana jely silaa yupo kwa ajili ya watu wanaoonewa kama hao
@hamisanalinga8585
@hamisanalinga8585 Ай бұрын
Kweli kabisa silaa ndiye mkombozi aipigiwe cm
@tumvisiagekonga2142
@tumvisiagekonga2142 Ай бұрын
Jamani mwenye namba ya waziru wa ardhi jaman
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 Ай бұрын
Pole sana mama hapo sheria ifuate mkondo wake 😢
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 Ай бұрын
Allah atakusaidia kubwa ni kumuachia na kumuamini Allah
@maulidi8479
@maulidi8479 Ай бұрын
Ila Mahakama za tz kuna changamoto kweli. Na hapo majaji wamepewa kinga ya kutoshitakiwa😢😢😢
@happinessmarijani2783
@happinessmarijani2783 Ай бұрын
Mwesh Jerry ingilia kati mawifi na mashemeji wanatesa familia
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h Ай бұрын
Mtihani sana 😭😭😭
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Ай бұрын
Kuwa Na subra mama dunia mapito hakuna chakudumu mungu atakulipia
@user-ks7zc6kd7u
@user-ks7zc6kd7u Ай бұрын
Very Very sad pole sana mama Mungu atakupigania
@AminaMkasi
@AminaMkasi Ай бұрын
Amiin
@zahrasalim5533
@zahrasalim5533 Ай бұрын
Subhana Allah Kuna watu hawaogopi Allah kesho wata mjibu nini Allah
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Ай бұрын
Noma
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Ай бұрын
Nimelia kwa kweli
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Ай бұрын
😭😭😭😭yarab machozi ya mwanamke huyu yatalitwa sio siri dhurma nyingi yarab akupe subra na haki yako itatendeka
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 Ай бұрын
Mungu akupe radhi.zawazazi wako.akupe pepo
@bahatijsaha7298
@bahatijsaha7298 Ай бұрын
Pole sana mama
@user-dj2kj7gs5p
@user-dj2kj7gs5p Ай бұрын
Waziri..umesikia.hiyo.mkombozi..wanyonge.kuna.dhulumu.nyingi.mno.hii.nchi.Mungu.akusimame.nenda.mavenue.ukmsikilize
@mwanaishamasoud
@mwanaishamasoud Ай бұрын
subhallah kwanini jamani mwanamke anapofiwa na mume ndugu hugeuka roho wakati marehem ameacha watoto na mke zulma yanini jmni tunapita tu hapa .
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Ай бұрын
inauma sanaaaaa 😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-tt6ty7st2m
@user-tt6ty7st2m Ай бұрын
Pole sana mama yangu jasho la mtu halipoyei
@dorahy1579
@dorahy1579 Ай бұрын
Looo!!! Pole mama mwenzetu
@innocentlyimo922
@innocentlyimo922 Ай бұрын
😢
@CostaAntino
@CostaAntino Ай бұрын
Dogt syllabus namakonda mama tuwatafte ndoo Masada wake nakamura syllabus umeiona clip msaidie mama yetu mungu atakulipaheshimiwa
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Ай бұрын
Wifi acha kabisa haya mambo yakidunia waliotafuta wako wapi jenga Amani
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
Mama YETU. Muokoe HUYU Mama inatisha sana
@user-tk4es1uw7e
@user-tk4es1uw7e Ай бұрын
dada mwandishi naweza kupata namba ya bibi
@AminaMkasi
@AminaMkasi Ай бұрын
Utapata atatuma
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Ай бұрын
Anae tesa Huyu Mama 😭😭😭 MUNGU ataongea nae lugha ya vitendo
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Kwani hakuna mwnyekiti au diwani?
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Ай бұрын
Pole. Inahuzunisha
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Ай бұрын
Wanaumee tutende Mema tu wazee Dua Nene kwa Mzee wa magomeni chozi la Mama ni zito ilaa kwa kitu kidogo tuu Mama amefarijika aisee nimejifunza kitu Hapa
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 Ай бұрын
Mtangazaji tunakushauri punguza Mkorogo, unatisha Mpendwa wetu. Tunakupenda Mrembo.
@songweairport7602
@songweairport7602 Ай бұрын
Duuuuuuuu we jamaa mtu wa hovyo kabisa
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Nyie ndy mnaomwambia hd Marioo anatumia mkorogo kumbe wala sio mkorogo hao wana madoa yale makubwa usoni km vidonda kwahy dawa wanazotumia ndy zinawafanya wawe hivyo mbona ht Marioo aliwahi kusema mwingine Khan Mbaruk nae amehangaika kutumia dawa mwisho kaambiwa ana arej alikula pweza ndy kaacha hatumii chochote kwahy sio kila ang'aae ni mkorogo hapana
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Hapo kwenye kashfa ya kabila unakosea bibi omba msaada lkn sio kashfa na laana zakumshirikisha Allah hatuwezi jua kesho yetu huyo huyo mzaramo pengine ndy atakae kuja kukustiri Subhannallah una manenò makali sana mama yng Allahu Akbar 😢😢😢
@MANAFIWAZONA-ls7kg
@MANAFIWAZONA-ls7kg Ай бұрын
Fanya mambo yako usimchunguze mtu
@hasheemmuhunzi3839
@hasheemmuhunzi3839 Ай бұрын
Huruma sana
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 Ай бұрын
Pole sana mama. Mungu awe nawe, usiogope atakufuta machozi
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Ай бұрын
Mungu atawalipa
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Ай бұрын
Nafikiri mahakama zetu na police Tanzania hawajui wanachokifanya..Hawajui watendalo.Mwenyezi kungu tupe mwisho mwema.
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Ай бұрын
Huyu mama amaniliza😢😢😢,Mungu wangu usimpungukie
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h Ай бұрын
Wanasheria tumeshaelewa mwenendo wa hii kesi, Inaonekana huyu mama na mumewe walijenga nyumba yao kwenye kiwanja cha familia,kwahiyo kilichofanyika wanangudu katika familia hiyo ndio waliokiuza kiwanja hicho,naomba mfatilie na maelezo ya huyo mnunuzi wa hicho kiwanja ndo mtaelewa
@AminaMkasi
@AminaMkasi Ай бұрын
Sio kwel
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h Ай бұрын
@@AminaMkasi Sawa sio kweli,mmemsikiliza na mnunuzi wa hicho kiwanja? Mtuhumiwa?
@marianyati7003
@marianyati7003 Ай бұрын
Hao walikuwa wapi toka miaka ya 70 huko kama sio tamaa na uchu wao?
@user-qt3sw3iw3y
@user-qt3sw3iw3y Ай бұрын
Jamani nimelia kwa sauti kama Kuna msiba bibi Mungu atakulipa
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t Ай бұрын
Subuhanallau 😭
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s 20 күн бұрын
Ningekua kiongoz mm nisingepokea rushwa wallah unajua izi dhamb za kufos huy mam analia mali katafut kwa uchungu san
@user-sj8hn7jt7g
@user-sj8hn7jt7g Ай бұрын
Mwandishi pls mpeleke Kwa silaa hiyo mama badala yakumuoji apo unamungezea machungu
@hayfa723
@hayfa723 Ай бұрын
number ya huyu mama achangiwe jamani wasilamu wako wapi yaskitisha sanaa
@umranim5854
@umranim5854 Ай бұрын
Mwiteni huyo wifi aje aulizwe vizuri na alete ushahidi kama ni mali ya uridhi wa familia
@RemmyOngala-kg3em
@RemmyOngala-kg3em Ай бұрын
Remmy
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 Ай бұрын
Waandishi mpeni njia haki itapatikana yarabi
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u Ай бұрын
yaniselekari ya mama samiya wootewagekuwa niwatedajukazi kama makonda na waziristan silaha tugekuwatunajivuna wa tanzaniya mhguawalide hawa watuzidiya maaduwi
@ibrahimmasoudibrahim6492
@ibrahimmasoudibrahim6492 Ай бұрын
Jamani wapeni haki yake
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
mama pole usilie mama wazili Jerry slaaa atakuja kujua ukweli Na watashikwa wote
@halimaa9367
@halimaa9367 Ай бұрын
Maskin pole bibi tupeni naomba yke tumsaidie😢
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Uyu mama bado yupo apo inallilah mmmh
@ttss7716
@ttss7716 Ай бұрын
Kumbe pia we wamkumbuka subhanallah tugeungana sote tumchangie huyu mama anunue ardhi pengine awaondoke mwisho watampa sumu akishinda binadamu wamebadilika yarabi
@jenisanga2281
@jenisanga2281 Ай бұрын
SIO KILA ANAYELIA KAONEWA HAPO MAELEZO TU YANAJIMIX HICHO. NIKIWANJA CHA BABA MUKWE WAKE SIO CHA MUMEWE UKISOMA PART 2.IMENYOSHA MAELEZO. ACHENI KUISUMBUA MAHAKAMA FATENI SHERIA.
@juliethmaleko3584
@juliethmaleko3584 Ай бұрын
Kabisa Alf anajichanganya hakun Mtu Analilia Mali ya kaka hiy kwa maelez yak kiwanja cha baba wa mumewe
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Ай бұрын
Kama cha Baba mkwe ndio wawazalilishe kuna nyumba hiyo siyo nyumba kuna kesho ahera tunapita hii ni dunia
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Ай бұрын
NAONA KAMA KUNA TATIZO KWA MAMA HUYU LAKINI NI LAZIMA WAZIKILISWE UPANDE WA PILI😊
@allyselengia3254
@allyselengia3254 Ай бұрын
Huo ukatili unaofanyiwa familia hiyo sisi wakazi wa manzese mnazimmoja tunaona ila hatuna Cha kufanya .kama Kuna wenye uwezo wa kuwasaidia ingekuwa vyema wasaidiwe wapewe wapewe haki Yao. Kwa kutambua dunia ni makazi ya muda TU .tunamtambua marehemu mkasi hapo palikuwa ni kwake na hiyo ni familia yake sasa sioni sababu hiyo familia kulala nje takribani zaidi ya miaka 15.hao binaadamu wasiokuwa na aibu rudisheni haki ya huyo mjane na watoto wake
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Zuwena badilisha hilo jina mwenye jina ni mwanga mchawi / ilibisi laana ya allah iwe juu yake wallah km ngekuwa mie jina ngebadili
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u Ай бұрын
namsijali yupontedahaki asiyependadhulma waziristan silaha kakiitapatikana yeyenimsumeno unakatakotekote kwamaana hapedidhulma husikilizapadezotembili kakuwagaliyakimakinikabisa nyaraka yukovizurisana
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 Ай бұрын
jamani mawifi mna nini lakini hii ni laana huyo wifi anazichuma 😰😰😰😰
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Ай бұрын
Jamani naona huyu mama anasema uongo kaambiwa atoe uthibitisho ya kama Mali yao kashindwa sasa chozi lake la uongo
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Tunataka Katiba Mpya ili Sheria ziheshimiwe na kila mtu.
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 Ай бұрын
Mwenzetu walio danga unawajuwa.unadanga nni
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Jaman wazili silaa yupo mtafuteni
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Ай бұрын
Kuna shida hapa inahitajika usikilize pande zote
@MANAFIWAZONA-ls7kg
@MANAFIWAZONA-ls7kg Ай бұрын
Mungu akusimamie akupe nguvu ❤❤ bibi yetu kwa uwezo wamungu watakuja viongozi inshallah
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Ай бұрын
Apo aje silaa tu kesi itaisha
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Ай бұрын
Kabisa
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Ай бұрын
Mhe. Waziri wa Ardhi ndo suluhu wa hii ishuu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Ай бұрын
Tena wataburutwa vibaya sn na waziri slaa
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
Mungu mwema hatafika
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Maskini jamani daaah
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u Ай бұрын
najuwa walewasopendahakilazima wanawachukiya ilatunaomba munguawalide
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Anaondoka kwenda wapi km nyumba kanunua na mme wake watu waache wizi
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Hao kunguni Kawa tuma shangazi yenu kiuchawi sio bure 😢😢
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Nchi imejaa DHULMA na Mahakama wanalula RUSHWA hawatendi HAKI.
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
JAMANIIIII WATUUUU NYIIIEEE HAAA ZAMBIIIII KUBWAAAA
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Ай бұрын
Anachanganya ya Duniani na ahera
@juliethmaleko3584
@juliethmaleko3584 Ай бұрын
Ukisikiliz vzr huy mama anajichanganyaaa
@gladnesskweka9699
@gladnesskweka9699 Ай бұрын
Hata ingekuwa ww ungejichanganya kwa mateso aliyoyapitia
@Khaleedsaleh-m4e
@Khaleedsaleh-m4e 19 күн бұрын
Anayo hati kwa jina la mumewe???
@nashnene6326
@nashnene6326 Ай бұрын
Hii nyumba ilijengwa ktk kiwanja cha urithi
@2010Abu
@2010Abu Ай бұрын
Tumchangie, anastahiki.
@monalisaally4387
@monalisaally4387 Ай бұрын
Maskini huyu mama kama vile yupo gaza duh
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Bibi usiondoke
@user-dj2kj7gs5p
@user-dj2kj7gs5p Ай бұрын
Hata kama.yafamilia.kwann.mgao.wa.mumewe.wasimpe.angeenda.jenga kungine.niuonevutu
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Usihofu waziri slaa atafika tu kwako
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Nchi haifuati SHERIA watu wanadhulumiwa ovyo mali Zao.
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 Ай бұрын
Hii kubomoa nyumba na kesi haijaisha ni ubinadam gani huu
@user-dj2kj7gs5p
@user-dj2kj7gs5p Ай бұрын
Kwani.huyo.wifi.yy.hajaolewa.siana mji.wake..kwa.mumewe.mbona.ananyasasa.watotto
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k Ай бұрын
Can i have number of mother.
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Ай бұрын
Panga maneno ya haki pia unaweza Julia ukawa una haki
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Bibi watu hawajali akhera we dai haki yako tu
@angle3600
@angle3600 Ай бұрын
Wifi si akakae kwake aliko olewa
@user-dj2kj7gs5p
@user-dj2kj7gs5p Ай бұрын
Mazense
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
PATO AMLAWITI MTOTO HUYU.
27:52
Kizimkaz Social online Tv
Рет қаралды 102
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН