WAZIRI WA KATIBA TANZANIA PROF KABUDI, ABANWA MASWALI KUHUSU RIPOTI YA HUMAN RIGH WATCH

  Рет қаралды 4,372

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 6 күн бұрын
Wao wanauwa watoto wazee vikongwe palestna wanawapa mayahudi silaha lebanon wameziripua simu za mkononi leo wanayoyafanya wao mbona hawaya zungumzi natamani serekali inipe nafasi nifanye mdahala nao nchi zakiafrca wanawapa waasi silaha wauwe lukuki ya watu leo tanzania ndio nchi yenye machafuko kweli
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 15 сағат бұрын
Duuh,pro.wangu Kabudi muogope Mungu,wewe ni professor ila mambo unayoyaongea hata mtu mwenye level ya primary school hawezi kuongea upuuzi kiasi hicho,shame on you!!!
@mohamedally121
@mohamedally121 6 күн бұрын
Safi sana waziri, umemjibu jizuri sana kibaraka huyu
@AhmedAli-x8w9e
@AhmedAli-x8w9e 6 күн бұрын
Mwambie mamaako bc ampe Kuma kama kapatia
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Күн бұрын
Amejibu vizuri wapi ,acha uchawa ndugu
@newtonnyembe8228
@newtonnyembe8228 5 күн бұрын
Human right watch waelekeze macho masikio na nguvu zote huko mashariki ya kati. Iachane na Tanzania kwanza.
@VailethKaali-hx8yh
@VailethKaali-hx8yh 19 сағат бұрын
Sijawahi kumwelewa huyu Professor hata kidogo anatetemekea sana sahan yake ya ugali na sio haki za watu kila kitu yeye anakataa tu
@lucasdeus5653
@lucasdeus5653 3 күн бұрын
😂😂😂😂amechimba. Hawa watu wahuni wahuni tu.
@gastonjohn537
@gastonjohn537 14 сағат бұрын
Hakuna pr hapo
@johncharles323
@johncharles323 5 күн бұрын
Hakika huezi kumwaga kibalua chako lazima utetee ajila
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 7 сағат бұрын
Chawa aliyeokotwa jalalani
@prospermalala6636
@prospermalala6636 Күн бұрын
Prof mzima tena wa Sheria anajitoa ufahamu Kwa kujizima na maslahi yake binafsi na familia yake binafsi, Sasa tumepaona panapo vuja ndani ya Taifa letu, huyu mzeee angekaaaa kimya, Dunia nzima imeshuhudia Tanganyika inavyokandamiza na kuisigina katiba na Sheria zetu, uchawa ndiyo unawasumbua huyu Prof kabudu mpuuuuzi sana msomi wa Sheria
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Күн бұрын
Lilishappata sehemu ya kulia ugali haliwezi kusema ukweli ndo maana linajiita professor majalala😂
@grationkato7658
@grationkato7658 16 сағат бұрын
Umewaikufika nchi zipi nje ya Tz na nje bara la Africa
@maase2023
@maase2023 Күн бұрын
Mambo yetu yote hayaendi bila misaada na taaluma zao kisha tunawabeza kuwaita mabeberu
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 2 күн бұрын
Tutauficha ukweli, lakini Mungu huwezi kumficha, tunatumia taaluma zetu kuficha kutetea uongo, ogopeni laana.
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Haaaaaa inabidi tucheke,kicheko cha huzuni.Huyu mzee nilikuwa na mheshimu sana.basi jitahidi kuwa mkweli,.....linda heshima yako.
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 2 күн бұрын
Huwezi unamuuliza mtuhumuwa akashindwa kujitetea lkn utekwaji upo,vyombo binafsi vinatishiwa na wapinzani wana kamatwa.
@maase2023
@maase2023 Күн бұрын
Tunawatukana na kuwabeza kwa kuwaita mabebera kisha kesho tunaomba mikopo na misaada hao hao
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 6 күн бұрын
Ipo siku, niswala la Muda, kwasababu wote ni wanadam hatakama tutajitahidi kuficha ukweli kwaajili ya matumbo yetu siku inakuja Mungu atatoa HAKI kwa Kila mmoja kadri ya matendo yake
@AhmedAli-x8w9e
@AhmedAli-x8w9e 6 күн бұрын
Washamba tu awa wazeeee ipo cku litapotea kwenye game
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 6 күн бұрын
Kabudi ana harakisha Ili kumtoa Kwenye reli mtangazaji.ukweli ni kwamba serekali inatumia mamlaka kukandamiza upinzani.na Hilo haliepukiki mpaka tupate katiba mpya .ndio maana mwalimu alisema serekali ni mtoto wa chama na chama ni baba waserekali .je Kuna mtoto atakosa kutetea babaake ?#katiba mpya ndio suluhu ya matatizo yetu Tanzania.
@kateahmed5852
@kateahmed5852 2 күн бұрын
Acha ubabylon kijana
@omarsultan4502
@omarsultan4502 6 күн бұрын
Waende mahakamani wapi ww kabudi muwakamate kwa polisi wenu alf waende mahakamani ya kwenu nyinyu
@mdedsm5522
@mdedsm5522 6 күн бұрын
😂😂😂😂majibu ya harakaa ila si ya kuridhisha
@jamesmboneko2952
@jamesmboneko2952 6 күн бұрын
Serikali hii haitaki kuambiwa Ukweli. Ni Aibu kubwa kukimbia Maswali
@lucasdeus5653
@lucasdeus5653 3 күн бұрын
Anaongea upuuzi tu
@habibuamir1005
@habibuamir1005 6 күн бұрын
Wewe c ndio ulio okotwa jalalani
@lucasdeus5653
@lucasdeus5653 3 күн бұрын
Kwanza wazee wetu walipo madadakani ni walafi, wabinafsi na hawana nia nzuri na kizazi kijacho ambacho n watoto wao. Unaweza kuona ni jinsi gani tuna wazazi walio potoka
@mustafamuhunzi4047
@mustafamuhunzi4047 5 күн бұрын
acha kutetea ujinga, yale mnayoyafanya yote hata wewe muhusika.
@mustafamuhunzi4047
@mustafamuhunzi4047 5 күн бұрын
mbona unakua na haraka kabda jibu halijakamilika? una uplofesa wowote mnapeana madaraka tu.
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 2 күн бұрын
Katiba gani serikari inafuata kuuwawa kwa kibao ni uongo?kupotea kwa akina soka kutekwa ovyo kwa wananchi alafu eti kifo cha mzee kibao nikama vifo vingine kabudi acha uongo CCM na police mmekuwa mstari wa mbele kunyanyasa wananchi mahakama Tanzania zinafanya kazi kwa maagizo hata kabudi unajua
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 6 күн бұрын
Bado hatujapata wapinzani tanzania ingekua kweli kunawapinzani ccm haipo leo hawa tulonao kwanza wanaudini halafu kundi jengine wanataka pesa wengine kazio yao kupenda ubaguzi wewe umezaliwa mkuranga wewe umezaliwa kigoma wewe umezaliwa pemba kiufupi wapinzani bado tena mwaka huu ccm njia nyeupe sii bara sii zazibary mwinyi ndio kaumaliza upinzani zazibary hajatokea kiongozi kuijenga kama mwinyi hata 1
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 күн бұрын
Kwa katiba hii hata ufanyeje huwezi
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 6 күн бұрын
Acheni ujinga wa ndishi wa habari kuleta taarifa za kijinga kama hizi watu wanauwawa gazi mbona hamsemi wajinga wakubwa nyie
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il 6 күн бұрын
Wametawaliwa kifikra na wazungu kwaiyo hawaoni ispokuwa kile wanachokiona wazungu
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 2,2 МЛН
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН