Wimbo huu umenigusa akika / barikiwa bro kwakazi hii ya uwimbaji🎤
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante baba
@nasriombeni46153 жыл бұрын
Naona unazidi kupambana nakutetelea haki kwawatuhote kweli wazungu wabaya sana .
@bernardbaru3 жыл бұрын
Kabisa kabisa baba
@relaxingstressrelief19543 жыл бұрын
😢 jamani tatizo hapo ni kwamba sisi wafrika tunaamini mzungu ndo mkombozi wetu kwa sababu yesu ni mzungu alafu chengine wazungu walitutesa alafu wakaandika historia yetu tena daah 😢 inaliza , mzungu alitugombanisha na mnyarwanda jamani tuamke rwanda haiwezi ikasumbuwa congo , Congo awagombani na rwanda wanagombana na mzungu. Mungu wa kweli yupo kwenye asili yako na mila yako。
@bernardbaru3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu🙏
@KambaleVicky6 ай бұрын
hiyo wimbo inatungusa sisi wa congomani nasema asante kwahuu wimbo
@dieu-mercingandu76892 жыл бұрын
Kaka imba tena zaidi yasana wa ambie kbs sio wa ndugu zetu ni wabaya sana kbs
@kulejoackim39423 жыл бұрын
Wowowowowo great papa, wanzungu ndio wabaya sana bro
@bernardbaru3 жыл бұрын
Kabisa
@lbprince59022 жыл бұрын
kazi nzuri
@andjelanikandolo60463 жыл бұрын
Wabaya ssna tena saaaana
@satiespoir19932 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, Mungu wa mababu zetu akusimamiye daima
@misangakatanga57032 жыл бұрын
Ubarikiwe sana grand
@andreeliya84562 жыл бұрын
Adui zetu ni wazungu kabisa bro keep going.
@deniseibondomedia68893 жыл бұрын
Cette chanson me fait couler les larmes de mes yeux😭😭😭 une chanson Educative. Que les peuples Congolais soient vigilants car nous devons être unis et soudains pour combattre ces fléaux. J'aime mo pays Malgré ces différents problemes. Et Courages Bernard car tu fais la fierté de notre Ville d'uvira.
@bernardbaru3 жыл бұрын
Merci bcp ma sœur 🙏🏻
@mbelechimakobola88353 жыл бұрын
Sisi ndio wabaya maana hakuna mzungu anayeshika silaa kutuua Bali tunauana sisi kwa sisi
@jacquelineboniface11453 жыл бұрын
Waafrika tuamuke tuimizane, tujuwe adui yetu ni Nani? Bernard Deps ♥️♥️♥️♥️from 🇿🇦🇿🇦✌️✌️✌️
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante dada yake miye🙏🙏
@henrypoe97493 жыл бұрын
Kazi Nzuri sana brother
@ungwakalenga15563 жыл бұрын
First one here🥰🥰🥰 much love from Australia 🇦🇺🇦🇺
@bernardbaru3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@boraalphonsine63383 жыл бұрын
Hongera sana Kaka wa kwetu Napendasana nyimbo zako za mafunz
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante sana dada yangu
@jonathanalabula3393 жыл бұрын
Mungu akubariki Ndugu yetu
@bernardbaru3 жыл бұрын
Amen
@nasriombeni46153 жыл бұрын
Zidikutowa watu mugiza 🌚🌚🌚🌚 man ndo kaziiyo sasa
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante kabisa
@faidanshimirimana7023 жыл бұрын
God bless you my brother 🙏
@binwaabedi52363 жыл бұрын
Jamani wewe unahona lakini waho awahoni kaka kazi nzuri kweli my kaka 😍🙏🙏
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante dada
@alphonseaproduction76383 жыл бұрын
Like this sht from USA 🇺🇸 👌 big up bro
@honorinaabwe97453 жыл бұрын
Hiyo ni kweli sana jamani ni uzuni 😭😭😭😭
@bernardbaru3 жыл бұрын
😭😭
@masokatamasha51973 жыл бұрын
Ndiyo Kabisa Mungu Akubariki 🙏🙏🙏🙏
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante baba
@Mali-bd6jx3 жыл бұрын
Ndugu umenigusa kweli.
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante baba
@loongawilondja23953 жыл бұрын
Byangene Manga wetu mwana from buja
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante baba
@loongawilondja23953 жыл бұрын
@@bernardbaru Sawa wangu
@anzuetonganoulehabo12253 жыл бұрын
Piga kazi baba
@bernardbaru3 жыл бұрын
Ndio baba
@mattyamissi40943 жыл бұрын
Good words bro
@assanizawadicourtois67253 жыл бұрын
Kazi nzuri Kaka! Fière d'être mbondo!!!❤️❤️❤️
@TheFrankTabasamboy3 жыл бұрын
Mmmmmmm mzeee wakupigania inchiiiii Ale mwana wa????
@KASEREKAMALUMALU-pk4yp6 ай бұрын
Hongera sana kwa muimbaji endeleya na kazi baba
@uviranews56473 жыл бұрын
KAKA APO UNANI JENGA SANA KK
@mmbekalosangoheri3 жыл бұрын
Nalia kwa uchungu 😭🙏
@josuebrown71633 жыл бұрын
Barikiwa byakutosha wa w'etú
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante baba
@godsonmavoko18852 жыл бұрын
Komaa kaka nyimbo hii nzuri sana tena umeimba kwenye ubora kabisa wa viwango vya juu sana
@kingmoseskasman7765 Жыл бұрын
Siyo kubarikiwa tu bro ilifau Guvernement itufukuziye wapumbafu wazungu wote tubaki shiye wenyewe, I Love you music from zambia 🇿🇲🇿🇲
@MmungaMLTV2 жыл бұрын
Une belle chanson vraiment. ( 1st song 🎵 in 2021 ) Mwakole manga wetúmwana BERNARD. 😭
@theafricachoice0988 ай бұрын
Hotep hotep mwana wa mungu baba wa afrika asili ikuongoze
@ecasamwenebokyo32773 жыл бұрын
Asante sana kwa kuendelea kutumbusha ndugu yangu. Fikra hizi ziishi daima. Viva Bernard Deps
@africanpowermusic3 жыл бұрын
Keep up msango my lord be with you
@josephinelusambo45933 жыл бұрын
😭😭😭😭 Africa
@tlbphotography16453 жыл бұрын
Ongera sa kwa atuwa hii zaidi ndugu
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante sana baba
@saidiisaacwilpac5361 Жыл бұрын
Mwakole manga wetù mwana. 🇨🇩🇨🇩💪
@vitalimaembe763 жыл бұрын
Hongera Bernard Deps!
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante baba
@dieudonne7243 жыл бұрын
that's is true Africa 🌍😭😭🙏🙏
@bernardbaru3 жыл бұрын
🙏🙏
@sautiyangutv86633 жыл бұрын
Hii Ndio injili ambayo tunayo himiza kwa vijana. Lazima wa missionaries wapya wakiafrika wa sambahe sehemu zote ku bomowa fikra zilizo fungwa tangu mkoloni!!!!
@bernardbaru3 жыл бұрын
Kabisa kabisa
@BMLB_OG3 жыл бұрын
LOVED IT BIG IDEA
@bernardbaru3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@johasadiki8828 Жыл бұрын
Nimerudi tena ❤❤❤❤❤
@FTOtheGK3 жыл бұрын
Nakukubali sana bro .
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante
@henrypoe97493 жыл бұрын
🔥🔥mbondo to the world 🌍
@bernardbaru3 жыл бұрын
🙏🙏
@solangejacques60653 жыл бұрын
One day it will end let us believe 👌👌❤️
@bernardbaru3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@ismartonokoko1966 Жыл бұрын
Iyi ngoma inafanya niliye kwl Big up bro🤝
@kibengetv3 жыл бұрын
Nice song wa KWETU
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante kiongozi
@rogerwangusu3 жыл бұрын
Ujawahi kunihangusha 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@bernardbaru3 жыл бұрын
Utafurai zaidi baba
@twizeyimanapatric43833 жыл бұрын
Saw bro❤💙💚💛
@andjelanikandolo60463 жыл бұрын
Tubadike tupendane
@andrew-wotejohnson-byams25772 жыл бұрын
Much love my buddy . it's my 2021 playback song and still on repeat 2022.good job
@BrownD3 жыл бұрын
😢💔🔥 Una Tisha sana
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante
@usatoenglandvegas40463 жыл бұрын
Uko poa sana my brother 🦻
@Mariamustephanie4083 жыл бұрын
Wow nice song.🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@bernardbaru3 жыл бұрын
Thanks
@rbd151973 жыл бұрын
Kweli
@kashindi7983 жыл бұрын
Inahuma 😭😭😭😭
@josuebrown71633 жыл бұрын
War ain't over yet in Africa 😭😭😭
@kibawakibapierre73032 жыл бұрын
Sijasahau iyi ngoma nitahendelea kuhifatililiya sana iyi ngoma🤦🤦🤦😭😭😭Bron mimi sina uwezo wa kukulipa Ila Mungu atakusahidia ili ufikie malengo
@AllyAkiba-xo3sz7 күн бұрын
Kwanini hiyi ngoma ilishindwa kuhiti 20M😢😢😢
@solangeramadhani40383 жыл бұрын
Kazi nzuri bba
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante mama
@relaxingstressrelief19543 жыл бұрын
Mziki mzuri tena wa uzalendo
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante
@mtusamuel20632 жыл бұрын
Inapendwa sana
@GabriellemwanamoloАй бұрын
Mwanamolo
@judithmakuto36123 жыл бұрын
Africa Ooyeeeee!!!
@ebelikinyonyi41183 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@theafricachoice0988 ай бұрын
Na bado natamani nyimbo zako zikae upande huu maana kwa Tanzania hatuna mtu wa aina hii ya muziki zaidi ya wale waimbao kwa lugha zao za asili ila kwa upande huu ezigusa hisia za watanzania na waafrika
@mellymoses57503 жыл бұрын
Keep going bro You’re doing great job👏✊✊🤞
@bernardbaru3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@consolateurmgeni67725 ай бұрын
😢😢😢 nguvu
@mbakijonas67923 жыл бұрын
Adui wa mwafrika sio mzungu, Adui wa mwafrika ni mwafrika yeye mwenyewe. Leo hii viongozi wa kiafrika kwa uchu wao wamadaraka wanaleta machafuko nchini mwao watu wanauana mzungu apo anahusikaje? Mwafrika anabuni vitu kiongozi wake anakipiga marufuku ili cha wazungu kiendelee kuwa juu.
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante ndugu ila naona hukuelewa wimbo baba, usikilize vizuri
@mmassadieudonnengomoya86072 жыл бұрын
Nimekuja kuitizama ten hii video 2022😢😢😭
@anzuetonganoulehabo12253 жыл бұрын
Nice bro
@godsonmavoko18852 жыл бұрын
Sisi mashabiki wako ndio inatubidi tuendelee kusambaza jina lako na nyimbo zako ila nawe pia uwe kwenye kiwango cha kimataifa.
@queenesther58963 жыл бұрын
🥰❤️😘🇺🇸
@freddynzeyimana54539 ай бұрын
Nice one
@shukurumarko56073 жыл бұрын
good
@songoloyvesekyamba3 жыл бұрын
🙏🙏❤️❤️
@magege_george_studio072 жыл бұрын
Bien
@suzanawanguebamba23253 жыл бұрын
❤️❤️🔥🔥
@elishayohana28962 жыл бұрын
Bro! Umenifanya niwakumbuke waafrika wenzetu walio jaribu kufanya makubwa na jinsi walivyo angushwa na wakoloni
@MorkitDemunga-vo1hw Жыл бұрын
Long vie
@aociebunga412 жыл бұрын
Lwémbo lóló babocwá tékenene
@SammySamuel-yu7pr5 ай бұрын
❤
@BMLB_OG3 жыл бұрын
CONTACT PLEASE GIVE ME IF YOU DONT MIND
@josephinelusambo45933 жыл бұрын
ujumbewako mzuri my brother kweli
@patientrashidiali91163 жыл бұрын
Big up Sana kuujumbe Mzuri kabisa
@bernardbaru3 жыл бұрын
Asante
@kibawakibapierre73032 жыл бұрын
Sijasahau iyi ngoma nitahendelea kuhifatililiya sana iyi ngoma🤦🤦🤦😭😭😭Bron mimi sina uwezo wa kukulipa Ila Mungu atakusahidia ili ufikie malengo