WE ZUCHU TU ! ZUCHU ANAJUA NAMKUBALI SANA ACHA AWANYOOSHE/"MIMI SIO MGANGA NI KAZI" /BIG BOSS HATARI

  Рет қаралды 192,546

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Mchekeshaji anaefahamika kama @mwakatobe_og anayependa kutumia jina la @officialzuchu kwenye uigizaji wake akiwa ndani ya @mpenjatv_ amefunguka na kusema kuwa anamkubali sana Zuchu na anajua acha awanyooshe
Aidha ameeeleza kwa kina kuhusu baadhi ya mashabiki kudhani kuwa yeye ni mganga au anahusika na maswala ya uchawi

Пікірлер: 242
@arafat6810
@arafat6810 8 ай бұрын
Mwakatobe my favorite....
@user-ko6hv1qv6x
@user-ko6hv1qv6x 7 ай бұрын
Huyu jamaa yupo vizuri sana much respect from 254 karibu Kenya mwakatobe
@muna1165
@muna1165 Жыл бұрын
Clam vivo hongera sana mdogo wangu ume mtoa mwakatobe hatimae Leo huyu apa ana onekana safi sana bro vivo
@jhdwithtech1449
@jhdwithtech1449 10 ай бұрын
Mwakatobe ni mmoja kati ya wasanii wazuri na wa kipekee sana.
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 9 ай бұрын
Mwakatobe uko juu sn tena Umetishaaa 😜😍🤣❤️💕😘👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@umiyusuf6050
@umiyusuf6050 11 ай бұрын
Mwakatobe zaidi ya wale.......uko poa bana from kenya 001
@CasemiroTraveller-gh4kz
@CasemiroTraveller-gh4kz 9 ай бұрын
Kwenye Snake Boy Umetisha Sna malume.Salute
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 Жыл бұрын
Clam anatisha sana ametoka kumtoa yule mbwa mimi leo kaleta huyu jamaa na halafu hata haringi clam una kitu utafika mbali😂😂
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 Жыл бұрын
Fatilia vizuli huyu jamaaa yupo kitambo sana kabla ya clam hajajs mjini
@johnchitete
@johnchitete 11 ай бұрын
Ndio Jamaa yupo kitambo
@hastatz
@hastatz 10 ай бұрын
Mwamba anaanza kuigiz movie kabla clam hajajua hata kujipeleka chooni
@wedsonanangisye5512
@wedsonanangisye5512 9 ай бұрын
@@hastatz ilaaa cram kampelekaa mjinii zaid
@wedsonanangisye5512
@wedsonanangisye5512 9 ай бұрын
@@rashidgogo5558 nikwelii lakini cram kampelekaa mjinii zaidii
@Orwasofa
@Orwasofa 11 ай бұрын
Mchumba tu nampelekea moto❤❤😂😂 mpaka Kenya 🇰🇪
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 Жыл бұрын
Mwakatobe ni Mmoja tu Nchi hii🎉🌹🥀🎉
@Mushalotelevisionkiswahili
@Mushalotelevisionkiswahili 11 ай бұрын
Jamani CLAM VEVO amesaidia wengi. Merci beaucoup mon frère clam
@mohamedjuma7457
@mohamedjuma7457 8 ай бұрын
Mwakatobe uko vizuri sana kweli kijiunga na clam umejulikana sana allaha akuzidishiye
@dmack255
@dmack255 Жыл бұрын
Jamaa namkubali pamoja na mtaa wangu wooote Wana respect xaaana
@laurentraphael2697
@laurentraphael2697 8 ай бұрын
Mungu akufungulie rizik yako izidi kuongezeka inshallah mwenyezi Mungu atakujalia tunafurahi sana
@user-ck7zi2rq8h
@user-ck7zi2rq8h 9 ай бұрын
Zuchu tu weye 😂😂😂😂😂❤❤😂❤😂❤😂❤😂😂❤ htr sna mwakatobe
@mosetinziokx9958
@mosetinziokx9958 11 ай бұрын
Mwakatobe huwa mnoma saaaana,, watching live from Shakahola,Kenya
@user-ru3jb8gf7s
@user-ru3jb8gf7s 10 ай бұрын
Oy uyo mtu ndo amenifanya nianze kuifuatilia tena bongo movie 🎉🎉
@andrew0502
@andrew0502 9 ай бұрын
Mwakatobe una ladha ya kipekee kwenye sanaa hii, Mungu akuinue zaidi
@user-ts9fe9xm9k
@user-ts9fe9xm9k 11 ай бұрын
Yani anazungumza kwa upole mwakatobe juu sana
@AminiMitomingi
@AminiMitomingi 9 ай бұрын
mwamba creativity xan kumbe young tu, anajuw kuvaa uhusika Mungu aendelee kumkumbuka❤
@HAMADIJSAID
@HAMADIJSAID 8 ай бұрын
Mwakatobe unajua bro amaizing keep going your the best bro
@dadychaps7527
@dadychaps7527 8 ай бұрын
Dah... Mkali sana bila huyu snakeboy imeisha. Anajuwa sana i say.. +254🇰🇪🙌🙌🙌🙌
@charlottekalunga5987
@charlottekalunga5987 9 ай бұрын
Tunakupenda sana.From Burundi
@rehemarehemamasond-et3jw
@rehemarehemamasond-et3jw Жыл бұрын
Mm na kukubali sana mganga mwakatobe🎉❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 ай бұрын
Nakukubali sana mwakatobe uko mmoja tu❤❤❤
@caixam_tz
@caixam_tz Жыл бұрын
Anajua sana huku kwetu anakubalika xana ndio mzee wa kunogesha movie
@user-nr1qr9gr3x
@user-nr1qr9gr3x 9 ай бұрын
Mungu awafikishe Mbali Zaid ktk kazinenu
@Rahma-ig2zz
@Rahma-ig2zz 11 ай бұрын
Mwakatobe ❤️❤️❤️🇧🇮
@BiisheBugao
@BiisheBugao 10 ай бұрын
Kumbe we mwakatobe ile sauti yako yakuuniumiza mbavu unapretend tuu 😂😂😂😂😂😂...We zuchuu tu we mchumbaa tuuu unawashwaa eeeeee😂😂😂😂 aaah mwakatobe weee
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
Mwakatobe ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@especherathuman2693
@especherathuman2693 8 ай бұрын
Tumemjua kupitia clam haki huyu clam dah more life❤❤
@user-rx9jp9kw7z
@user-rx9jp9kw7z 8 ай бұрын
Mwakatobe akika nakukubali sana djaawangu, ❤❤❤😂 Mimi Nipo Kinshasa Congo 🇨🇩🇨🇩😂😂🤝🔥💪
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo 9 ай бұрын
Vizuri sana unaweza mwakatobe, tunakuona tukiwa Moçambique MUEDA
@ZephOkal-254
@ZephOkal-254 8 ай бұрын
I am from Kenya bt napenda Sana uyu mwakatoba keep it up bro and may the Gud Lord bless Tanzania, together with clam vevo
@user-nc5vi8bw2c
@user-nc5vi8bw2c 9 ай бұрын
Mwakatobe wafanya vizuri saana,Endelea vivyo hivyo
@user-hh6uz1dy4f
@user-hh6uz1dy4f 9 ай бұрын
Mwakatobe Ako sawa hasa Snake boy anacheza poa
@jbbrand73
@jbbrand73 Жыл бұрын
Kaka big boss niyavevo lakin kama yako unavyo wapelekea moto 🔥 📛
@minginhoathuman3361
@minginhoathuman3361 9 ай бұрын
Uyuu mwamba anatisha Sanaa sema clam ni daraja Sanaa sema mnajua Sanaa wazee tunawaelewa Sana kitaa ❤
@tiktokchallenge0000
@tiktokchallenge0000 Жыл бұрын
HOME BOY FROM GREEN CITY ONE LOVE
@Yusuph2618
@Yusuph2618 Жыл бұрын
Mwakatobe ,A game changer 🔥🔥
@njutujedeofficial2998
@njutujedeofficial2998 9 ай бұрын
❤kiboko wewe! Kweli we ni muigizaji maarufu🎉
@JayproMedia-gs7ql
@JayproMedia-gs7ql 8 ай бұрын
Dah from DRC namukubali sana mwakatobe ujamaa ni jembe uyu
@queenlynne4157
@queenlynne4157 9 ай бұрын
Kumbe sio sauti yake ni kuingiza tu😅😅😅😅😅😅😅huyu ni hatari 😅I thought ni Mzee kumbe handsome boy
@KandiShaffi-yn6th
@KandiShaffi-yn6th 11 ай бұрын
Huyu jamaa nomaa sana Babukubwa
@CosmasMatipuka
@CosmasMatipuka 8 ай бұрын
Anajua Sana uyo jamaa mungu amlipe kwenye kazi yake
@user-go1fq5rz2u
@user-go1fq5rz2u 8 ай бұрын
Mwakatobe nakukubali from kenya Steve
@Ushindipeter
@Ushindipeter 9 ай бұрын
Mwakatobeeee😂 Big UP sana kutoka congo🇨🇩
@user-jp2sw6ob4j
@user-jp2sw6ob4j 10 ай бұрын
Yaan ningekua hat gar ningekupa Kam zawad ndugu ang mwakatobe unaweza san broo endelea umefik mnali
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 9 ай бұрын
Wew kaka me love love love love you you umesema ukweri mim nakukubari Sana unajuwa sana uliryoyicez shak boy nimekubari nazingine
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kuna tamthilia ya SIRI YA KIFO kutoka kwa CHUMVI NYINGI hiyo ni hatari sana😂
@MRJ1308
@MRJ1308 11 ай бұрын
Kwa sasa ana ana KAYABANANGA
@MumuzaJoseph-cq7ew
@MumuzaJoseph-cq7ew 9 ай бұрын
Uyu jamah anajuwa sana nakubali sana uku Kongo ❤❤❤
@SelemenesaideSelemanesai-xv5sg
@SelemenesaideSelemanesai-xv5sg 10 ай бұрын
Mimi napenda Sana video sako, eu adoro muito os seus video adoro muito mesmo
@AllyMohamed-cy6zl
@AllyMohamed-cy6zl Жыл бұрын
Mwamba namkubali sana
@LimbujrtzLimbujrtz
@LimbujrtzLimbujrtz 8 ай бұрын
Nakubali huyu jamaa mkali sana👍👍👍
@user-ei5yl3tf7m
@user-ei5yl3tf7m 9 ай бұрын
Mwenyewe nampenda sana mwakatobe chumbaa tuuu 😂😂😂😂😂😂😂
@user-ld9gl3si1z
@user-ld9gl3si1z Жыл бұрын
Jamaa anajua Sana respect
@samwelkitalula698
@samwelkitalula698 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@mkasihamad7225
@mkasihamad7225 10 ай бұрын
Mwakatobe unajua sana🥰🥰🤗
@user-ci2fc9xw2g
@user-ci2fc9xw2g 9 ай бұрын
Ana stari yake hongera❤❤❤
@user-dq7sf2cf3v
@user-dq7sf2cf3v 10 ай бұрын
yani amna asie mkubali uyo kaka angu uko vizuri
@muna1165
@muna1165 Жыл бұрын
Wewe zuchutuuu😂😂😂😂❤
@omarabdulkadir8294
@omarabdulkadir8294 10 ай бұрын
Mwakatobe fire sana
@shamtv2342
@shamtv2342 Жыл бұрын
Mwakatobe ni mmoja tuuuu🥲🔥🔥🤣
@neychuchu_love966
@neychuchu_love966 Жыл бұрын
😂😂et team yangu msosi😂nakukubali kinouma mwakatobe wetu🎉
@deulemwangolo
@deulemwangolo 8 ай бұрын
Hongera Mwakatobe🎉🎉🎉
@user-ix9rs9bh9c
@user-ix9rs9bh9c 8 ай бұрын
Namkubali sana mimi na mume wangu kutoka congo uyo mchawi mwakatobe
@pauljohn1411
@pauljohn1411 9 ай бұрын
MTU anayejua uigizaji au msanii, huyu Mwakatobe ndio best in Tanzania ktk uigizaji.... Period
@user-pz3uy9jd9p
@user-pz3uy9jd9p 9 ай бұрын
Kumbe unkuaga Awesome ivyo dhaa. 😂
@user-gm6hk4li3o
@user-gm6hk4li3o 8 ай бұрын
Da ah mwakatobe namkubal kinomanoma😂😂😂😂🎉🤴🏼
@user-gb3jx4uw9w
@user-gb3jx4uw9w 8 ай бұрын
Yote ni sw kazi hadi sasa tunazipokea vizur.lkn tunaitaji big boss season 2 mlisema December na ndio hii inamaliza
@aleixobernardo
@aleixobernardo Жыл бұрын
Toka Mozambique, nakukubari sana mwakatobe endelea kupelekea moto
@user-mb7oe3pg3y
@user-mb7oe3pg3y 8 ай бұрын
Aaaah nakubali meakatobe
@user-pj7rz2tn2d
@user-pj7rz2tn2d 8 ай бұрын
Chogo kama mwiko hatariiii namkubari Sana kaka
@wahdajady3736
@wahdajady3736 8 ай бұрын
😂
@elishangonyani9763
@elishangonyani9763 9 ай бұрын
Hata mimi namkubali sanaaaaa😂😂😂😂
@user-yk2ln2be5j
@user-yk2ln2be5j 9 ай бұрын
Mganga wangu nakukubali Toka kenya
@patricktegea1430
@patricktegea1430 Жыл бұрын
Jamaa nihatateee 🔥🔥🔥🔥
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 9 ай бұрын
Mwakatobe❤❤❤❤
@nuruhmuhammed2030
@nuruhmuhammed2030 8 ай бұрын
Nakukubali sana mwakatobe
@ibrahclamper4564
@ibrahclamper4564 9 ай бұрын
i like this guy from kenya
@assanejosetomas7595
@assanejosetomas7595 Жыл бұрын
Nta pelekea moto salut from Mozambique
@mizemudushame3676
@mizemudushame3676 9 ай бұрын
Jamaa yko vizuri kupindukia
@mubarakmakot9139
@mubarakmakot9139 11 ай бұрын
huyu mwamba namkubali sana
@atanasjisonge2538
@atanasjisonge2538 Жыл бұрын
Namkubali sana mwakatobo apewe maua yake
@simeobulapilo81
@simeobulapilo81 9 ай бұрын
Mwakatobee mzee wa kupelekea motooo😂😂
@bakariaucho7596
@bakariaucho7596 9 ай бұрын
Binafs namkubali sana😂😂 mganga mwenye michambo
@user-go9vp1qy8b
@user-go9vp1qy8b 8 ай бұрын
respect Mwakatobe
@abuuabdillahtv8457
@abuuabdillahtv8457 Жыл бұрын
Mwakatobe wa moto fire baba wakimbize
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean 10 ай бұрын
mwakatobe inabidi uje kututembelea DRC 🇨🇩 nchi ya Fally Ipupa
@AishaNgungulu-lq5kb
@AishaNgungulu-lq5kb 9 ай бұрын
We zuchu tyu
@bahatevagre933
@bahatevagre933 8 ай бұрын
Huyu mwamba na kubali kinoma unyama sana kaka tupo pamoja mkuu
@adamchigamba2862
@adamchigamba2862 9 ай бұрын
Mwakatobe ni natural talent, ako vizuri kupita maelezo
@malakisilas6523
@malakisilas6523 9 ай бұрын
Mganga mwakatobe,A.K Mchawi Timba,hatari.
@malakisilas6523
@malakisilas6523 9 ай бұрын
Mganga mwakatobe,A.K .A,Mchawi Timba,hatari.
@CosmeGeraldoSimaoMwapuju-qj5wy
@CosmeGeraldoSimaoMwapuju-qj5wy 9 ай бұрын
Kazi njema ndugu zangu
@user-sq2zh8so8y
@user-sq2zh8so8y 9 ай бұрын
Nakubali mwakatobe
@Elisha.MbusureWilliam
@Elisha.MbusureWilliam 8 ай бұрын
Mwakatobe we ni noma
@user-gx9gd9zc3o
@user-gx9gd9zc3o 8 ай бұрын
Mwakatobe wewe😂😂😂😂aaah nakupenda bure😂😂🎉
@ellsherfrancis5544
@ellsherfrancis5544 Жыл бұрын
Uyu jamaa n top kwasas
@essaudaudi3480
@essaudaudi3480 9 ай бұрын
noma sana
@gmailmuki
@gmailmuki 9 ай бұрын
Mwakatobe namkumbali hapa kenya
@user-wc7qv8ic3n
@user-wc7qv8ic3n 8 ай бұрын
Hatari we mzee
@BathromeoNicolaus
@BathromeoNicolaus 9 ай бұрын
We noma
BIBI CHALA /CHAULA REDIONI MBEYA JITAZAMIE
0:45
PASTOR NYUNDO
Рет қаралды 29 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 33 МЛН
ALLY KAMWE: ATHIBITISHA JEAN BALEKE KUONDOKA YANGA
2:25
IZZO MEDIA
Рет қаралды 2,9 М.