Wema play store ndio hiyo moja Apps store acha kutuchanganya😅😅😅
@zuwenanduwimana77308 ай бұрын
Wema utabakiaga kuwa wema tu. Hata wanao kusema vibaya ni wivu tu. Wewe ni mzuri sana❤
@priscargodwel83338 ай бұрын
Nampenda wema jamn
@fbr51138 ай бұрын
Ndio sara kajishiba na hana papara na maisha na inaonekana amemkinai sana Diamond na pia hana time yakumchuna Diamond. Kitendo hiki ndicho kinamuumiza sana Diamond nahis raha ya Diamond nikumrudia sana nakumpiga matukio hadi adhalilike lakini bahati mbaya Sara hampi hiyo nafasi kwakuwa tayari alishampiga matukio huko nyuma alipokuwa hana pesa nyingi je sasa ni Bilionea itakuwaje. Lakini Sara kajifunza kutoka kwa wanawake wa Diamond na baby mamas wake maana wamepigwa matukio na kudhalilishwa kila siku hivyo sara anaona bora aendelee na maisha yake tu. Hili ni funzo kuu huyu Sara ametupatia wadada kwamba ukiamua kuachana na mtu endelea kujipigania maisha yako na usimtamani kwamaana kilichowaachanisha kama bado kipo hakiwezi kuwadumisha hata mkirudiana. Big up Sara na nakunda nakuombea upate utajiri sana kupitia hili isiwe Diamond kakutumia tu lakini utajirike pia nawewe upate madili ya pesa nyingi.
@efrahfarahahmed89608 ай бұрын
Sarah anajitambua sana umesema ukweli
@matridasambali64328 ай бұрын
Yani wema zamani watu walikua wanamungalia kwa macho yote lakini sasa hivi aatu wanamungalia kwa jicho moja kama mamaake alivosema kua alitegemea kua wema atakua barozi mzuri kama babaake akimaanisha angekua muongozaji mzuri katika jamii kama alivojiwakilisha mwanzoni lakini imekua sio hivo wema ametumia vibaya umaarufu wake hatima yake amebaki kama komedy hata Mimi nilikua moja ya watu waliomkubali lakini kwa mambo yake mh! Sina ham nae kabisa yeye aendelee na vibenteini vyake ndo kazi alobakiza kwa sasa.
@dorcas44958 ай бұрын
Bjb film was based in Leeds mmm nice now it's in Tanzania
@cynthiadestiny3588 ай бұрын
Wema alikaa aje na vile alikuwa smart
@azizayassin36238 ай бұрын
Kwani kuziniwa imekuwa kama matangazo jaman weah yni adi naogopa
@faizaally3478 ай бұрын
❤❤❤ tunaisubiria
@memeniyonzima93438 ай бұрын
Karma jamani iendeleeeeeeeeeee
@ZainaButunga8 ай бұрын
Nc
@neemapius36868 ай бұрын
Nanyie Si mkonde mubakize makomweee🤣🤣🤣🤣
@MajidaMousallem8 ай бұрын
❤❤❤❤
@rosebeatrice89478 ай бұрын
Gd
@amosihokororo97028 ай бұрын
Hii kitu kimkataba baadae italeta shida Tu juu ya mkataba WA awali
@AbdallahMohamed-wz8lc8 ай бұрын
Sasa Sarah kaingiaje? Kwamba mngekosa views
@shangwefisima39938 ай бұрын
Ila bado kazuri
@OmOmabs8 ай бұрын
Alikua kwaN sasa yuko wap
@gracekahunda8 ай бұрын
Wema umekonda mno mpaka unatisha kichwa kimekuwa kikubwa...hupendezwi na mwili mdogo
@RwachiryoraWema8 ай бұрын
Wema Akita kwa screen na movie za kanumba alikua slim chance kushangaza ni nini
@alsam48818 ай бұрын
Mwili wote umekwisha umebaki kichwa tu kimekuwa kikubwa.
@JulietMakena-kv4uj8 ай бұрын
Alikwabia anataka kunenepa nonsense
@dianaonesmo69518 ай бұрын
Acha mmbo Ako kilaa mtu ana mapungufu yakee
@mycmeranyswai79578 ай бұрын
hiyo ndio raha ya pesa...mwili umeisha kwan alikwambia ni mawazo yamemkondesha hapana katumia hela kua hapo...tafuta hela utazeeka kwa viwu nyau