"WENYE NIA MBAYA NATUMA SALAMU" JENERALI MKUNDA

  Рет қаралды 151,031

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@goalscoring4697
@goalscoring4697 2 жыл бұрын
UKIPEWA nafasi siku zote fanya katika ubora huwezi jua nn kipo mbele yako............... hongera new CDF... kila laheri Mungu akulinde.
@keveniadasilvia6478
@keveniadasilvia6478 2 жыл бұрын
May jesus bless you and our nation and your people.
@mluziwajini4734
@mluziwajini4734 2 жыл бұрын
Hongera na Leo hii ni mkuu wa majeshi
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 2 жыл бұрын
Safi sana Makamanda wetu God Bless Tanzania
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 2 жыл бұрын
Sema Mkuu amekaa kijeshi zaidi wachache tu wataelewa kuwa jamaa sio politician!
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 5 жыл бұрын
Safi sana wanajeshi wetu kwa ulinzi wa nchi kila kukicha ....
@jkaaya3639
@jkaaya3639 2 жыл бұрын
Safi sana Jacob mkunde tuilinde nchi yetu hatuna pakwenda hikichafuka
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper 2 жыл бұрын
Safi sana Jeshi letu makini 🇹🇿✊
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 жыл бұрын
Safisana mukuu ubalikiwe mungu akulehekima yakutetea haki nakweli kwawananchi namahitajiyao
@stevensemeni3211
@stevensemeni3211 2 жыл бұрын
Kwl kabisa mkuu tunaimani na jeshi letu liko makini
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 2 жыл бұрын
Silaha zenyewe zimechooooka mnamtisha nani😂😂😂😂😂
@savaynerjuma3934
@savaynerjuma3934 2 жыл бұрын
😂😂😂
@R.Dickon
@R.Dickon 2 жыл бұрын
Miaka 2 baadae sasa ni Tanzanian CDF who's know the next bt only God 📌
@mohammedally696
@mohammedally696 2 жыл бұрын
Na amini Tanzania kuwa liko na jeshi bora na liko na umakini kuliko Kenya
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 2 жыл бұрын
Sisi kenya 🇰🇪 nibora kuliko tz na ug ndio inafuata kenya baba uhuru hoyee
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@mashakabundala9955 Unajidanganya mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
@masudikongoninga2796
@masudikongoninga2796 2 жыл бұрын
Kaka ubora wako uko wapi katika zoezi tu fika katika house of death ambayo mpaka America ameshindwa ndio ujione ubora WA jeshi lako inaitwa Somali land muulize America soldier na kenya hadi Sasa wapi. Sasa Nani bora. Tafakari Kisha utanijibu
@twalibkatuli5318
@twalibkatuli5318 2 жыл бұрын
@@masudikongoninga2796 hili nalo neno
@awdhiamiri7451
@awdhiamiri7451 2 жыл бұрын
kazi iendelee Imani yetu ipokwenu wakuu wanchi yetu
@pureleathershoes8066
@pureleathershoes8066 2 жыл бұрын
Nice. Kipindi nasoma nilitamami sana kujiunga jwtz now umri umesogea 30 plus I can't join
@ahmedhajji1210
@ahmedhajji1210 5 жыл бұрын
safi sana jeshi lenye heshima na utii
@taturashid4167
@taturashid4167 2 жыл бұрын
Nice,keep it up general mkunda
@samwelimashaka8997
@samwelimashaka8997 5 жыл бұрын
Wenye nia mbaya watapata tabu sana
@japhetsenkondo7765
@japhetsenkondo7765 2 жыл бұрын
Hii imekaa vzr sana
@ramiaramadhan7444
@ramiaramadhan7444 2 жыл бұрын
safi sana wafaaha pongez
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 жыл бұрын
Kazi iendele
@rasrizzy_g7856
@rasrizzy_g7856 2 жыл бұрын
Fanyeni parade kama ya urusi itakua poa sana kuliko vipande vidogo vidogo vya mazoeZ
@LoloLolo-on8ej
@LoloLolo-on8ej 2 жыл бұрын
Ahhh pumba tupu yani wehu nyinyi
@undersonmwombeki6219
@undersonmwombeki6219 2 жыл бұрын
Bdo mnatumia siraha za mkolon za zaman na ndogo ivyo jaman
@donaldmartin1233
@donaldmartin1233 2 жыл бұрын
Mabeyo is best of all
@shukurkatembo2807
@shukurkatembo2807 5 жыл бұрын
mia mbili na mbili kei jei waziiii
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 2 жыл бұрын
Halafu unakuta wenye nia mbaya wenyewe wametulia tu wame set Drone ..haahaa
@kamiltz9420
@kamiltz9420 5 жыл бұрын
Hongera zake kamanda,
@yussfujonhmasengese7049
@yussfujonhmasengese7049 2 жыл бұрын
Vijana awii kalimbuni kulitumikia taifa letu
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 5 жыл бұрын
Nimeona jamaa anaongeza oil kwenye SMG Kwa kutumia kopo la Maji!!Nakosa Cha kuandika Ila sisi tutabaki wababe wa Gorilla war
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 5 жыл бұрын
haujui unachokiongea wew
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 5 жыл бұрын
@@innocentrichard2945 Baki na unachokijua!!
@mwajumamohd7930
@mwajumamohd7930 2 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣,mi nimekuelewa braza,yaani sisi ni wababe kwa sehemu tulipo. Zana hizi bado ni old model,watu wako mbali Sana kidigital
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 жыл бұрын
Hata ulaya bootcamp zipo
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
😄😄nakupata vzur sana kaka
@aulamongi2020
@aulamongi2020 2 жыл бұрын
Nani mkorofi tena Jmn Mbona tunatishiana
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 жыл бұрын
Ndio mnajoandaa na ngorongoro kuwapiga wamasai
@nyamosegathomas3994
@nyamosegathomas3994 2 жыл бұрын
Sauti kama Mh. Sabaya
@charleskhan7491
@charleskhan7491 2 жыл бұрын
inatakiwa mmuelewe mheshimiwa, sio kuzunguka nyumba km nyumba
@salehabri6957
@salehabri6957 2 жыл бұрын
👍
@dolumwamuyenu2245
@dolumwamuyenu2245 2 жыл бұрын
Hongera tunaomba muende Ukraine mkafanye field ya miezi miwili tu ili tujiimarishe zaidi
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 hio field zitarudi na ndege ya maiti na vilema tu
@dolumwamuyenu2245
@dolumwamuyenu2245 2 жыл бұрын
@@crershawmafia1009 🤣🤣🤣🤣 noma sana mkuu maana kule ndio uwanja halisi wa kujiimarisha.
@salumhassan2204
@salumhassan2204 2 жыл бұрын
😀😀😀
@patrickmarko4467
@patrickmarko4467 2 жыл бұрын
Aisee kule Kuna nuclear bombs sio poa
@madoidotv9103
@madoidotv9103 2 жыл бұрын
Vipi mpaka wa kusini?
@estherwlle5084
@estherwlle5084 2 жыл бұрын
Saf saanaaa
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov Жыл бұрын
Mwanaume kamili huyu
@mulangilakabwarebenson5128
@mulangilakabwarebenson5128 5 жыл бұрын
Safi sana
@yusuphwm
@yusuphwm 2 жыл бұрын
Hatar sana ngoja tu nicheke😆😆
@joramylucas7454
@joramylucas7454 2 жыл бұрын
Inatakiwa jeshi litumie pia na anga advantage kam vile kuwepo kwa drons nk siyo magar na kwata
@samwelijoab3425
@samwelijoab3425 2 жыл бұрын
Menaona askari wangu nidhaifu hata mavaziyao😭😭😭
@yunusabdulwallace3801
@yunusabdulwallace3801 2 жыл бұрын
Anza kurudi kwenu Burundi we're coming for you
@samwelijoab3425
@samwelijoab3425 2 жыл бұрын
tougher man wangu
@kizazijeuri3562
@kizazijeuri3562 5 жыл бұрын
silaha za kizamani sana kama ujaona cha maana gonga like apa
@slimjumakimamba3979
@slimjumakimamba3979 5 жыл бұрын
Hahaa mazoezi tu hayo hawawezi kukuonyesha siraha halisi za kivita
@frankmushi8892
@frankmushi8892 2 жыл бұрын
Jaribuu tuoneee
@azizikipande7519
@azizikipande7519 2 жыл бұрын
Wazi afande
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 5 жыл бұрын
Hizo silaha tangu Vita vya kwanza vya Dunia
@raibethnicholaus1493
@raibethnicholaus1493 2 жыл бұрын
Hii nchi inarindwa na Mwenyez Mungu tu
@yusuphwm
@yusuphwm 2 жыл бұрын
😆😆😆
@savaynerjuma3934
@savaynerjuma3934 2 жыл бұрын
Yani 🤣🤣🤣
@awaziernest8000
@awaziernest8000 5 жыл бұрын
Afadhali maana huko Luna mipaka mingi isiyo lasmi ndio maana matukio ya ujambazi hayaishi
@seiflugendo5043
@seiflugendo5043 2 жыл бұрын
Endeleeni sasa mkione cha mtemakuni
@moodyman7588
@moodyman7588 5 жыл бұрын
Asalama aleykum mm ni mtanzania lkn miinichagua raisi izo silaha mlokuwa nazo zote niteka makumbosho. Nitakuleni vitu vya kileo vya kubonyeza tu. Silaha Za kimataifa. Yata wazungu waogope kuivamia Tanzania. Think before you done
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Unabwabwaja tu hao wazungu ndio wanaziumba hizo silaha sasa je watakuogopaje wewe mtu ambaye huwezi kujitengenezea chochote zaidi yakuomba misaada kila siku
@kelvinnachy7462
@kelvinnachy7462 2 жыл бұрын
unachekesha sana sana. Punguza movie kijana. Afu angalia taarifa huko ukraine mbona hatuoni hizo Siraha za kubonyeza au Americans walios syria hawatumii hiyo
@paulmassawe1591
@paulmassawe1591 2 жыл бұрын
Mkuuu vp kuhusu Ukraine na rushia unasema kuhusu hilo
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 2 жыл бұрын
Ianzishwe gym kwakila askali hapa tz tena hiwe ni lazima cz naona kama vile wamechoka yani awatishii adui kabisa wallah yani mpaka uruma
@patrickmarko4467
@patrickmarko4467 2 жыл бұрын
Kawasogelee uone unafikiri vitani wanatumia six packs😂😂😂😂
@westoffset660
@westoffset660 2 жыл бұрын
Who is here after him being selected by Samia 😇
@emmanueltonani1581
@emmanueltonani1581 2 жыл бұрын
Am here
@danwayne786
@danwayne786 2 жыл бұрын
Poa lakini kumbuka kutoa safey kabla ya kufiatua bastola
@benedictmhina8940
@benedictmhina8940 2 жыл бұрын
Kamanda kasahau kutoa 🔓
@astan.lomacks9692
@astan.lomacks9692 5 жыл бұрын
Wata weza kuhivamiya Umarekani kweli?
@yonasmbele9128
@yonasmbele9128 2 жыл бұрын
Hao makamanda sio Wala chips
@reynalddrusilah7581
@reynalddrusilah7581 2 жыл бұрын
Mpaka wa kusini ni wamoto kuliko wa magharibi
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 2 жыл бұрын
Nimekuelewa Reynald, nimecheka kizungu.😊😊😊😊
@musanzowa8988
@musanzowa8988 5 жыл бұрын
Sawa commander
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 2 жыл бұрын
kamanda sawa lakini nawale wanaotumia vikosi vya usalama kunga'nga'nia madaraka bila ya ridhaa ya wananchi itabidi muwaondoe kwa makonzi ya kichwa
@nacebamr4722
@nacebamr4722 2 жыл бұрын
Pisto enyew inagoma kufyetuka daah!!
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 2 жыл бұрын
Aibu sana😂😂😂
@allyiddy5440
@allyiddy5440 2 жыл бұрын
Safi bila nyie amani hamna tuwe wamoja
@magrethbruno1857
@magrethbruno1857 5 жыл бұрын
Nzuru iyo
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Teknolojia za miaka 60 iliyopita
@highthemetv7857
@highthemetv7857 2 жыл бұрын
Tuko nyuma Sana kisilaha ...Kenya na Rwanda wako mbali Sana Wana silaha za kisasa new model
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 жыл бұрын
Unafaa kuwa cdf mpya
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 2 жыл бұрын
Huyu mkuu wa majeshi mpya amekaa kimedali Zaid Hongera CDF mpya alafu kaz anaijua.
@patrickmarko4467
@patrickmarko4467 2 жыл бұрын
Kwn CDF aliyepita hakukaa kimedani
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 2 жыл бұрын
@@patrickmarko4467 Naye pia alikuwa yuko vizuri sana ndio maana akaweza kutupitisha ktk kipindi kigumu cha kuondokewa na Rais akiwa madarakani Nchi nyingi za Africa Rais akifia madarakani vita inaaza ila kwa hekima ya CDF mstaafu Mabeyo Nchi yetu 🇹🇿 ilikuwa salama.
@James-y3j2v
@James-y3j2v 5 жыл бұрын
Pombe hiyo
@gadimaro9367
@gadimaro9367 5 жыл бұрын
Safi kamanda jako
@yousirsports7482
@yousirsports7482 2 жыл бұрын
hawa jamaaa wakiwa huku duuh wanaomba vita ije leo
@kibelloh
@kibelloh 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿💥💥💥
@omarmukhtar8663
@omarmukhtar8663 5 жыл бұрын
Kama silaha zenyewe ndio hizo hata Burundi msichokoze 1910
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 5 жыл бұрын
We mpumbavu wa fikra uwez kumwonesha adui yako silaha unazo unazo taka muoneshe hzo hzo kukuuu sio hzo za kisasa unazo taka nakam unafikir hazifany kaz peleka tumbo lako hapo ndo utajua kama zinaua au laaa
@anuaryally6177
@anuaryally6177 5 жыл бұрын
Mbona wanakimbilia tanzania kama msichokozwaote wewe unafikiri jeshi litakuonyesha siri zote kuna ndege vifaru umeviona apo
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 5 жыл бұрын
Wewe kama mrundi jaribu uone.
@ibraheemomary3581
@ibraheemomary3581 5 жыл бұрын
Mpumbavu ww silaha za jeshi hua hazioneshwi..... Usiropoke vitu usivyovijua... Unataka zioneshwe adui akujue una silaha za namna gani???
@kingmajatv
@kingmajatv 5 жыл бұрын
Mpumbavu wewe Mrundi fara sana huwez kuonesha siraha zako zote kwa adui sawa
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 2 жыл бұрын
Mkuu samahani tuombe mechi ya kirafiki na AL Shababu au Boko Haramu
@frankmushi8892
@frankmushi8892 2 жыл бұрын
Wataomba pooo awaaa watajutafutaa
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 2 жыл бұрын
Jeshi lenyewe limejaa vijana walioenda kusaka ajira baada ya kusota mtaani😁😁😁 tegemeeni kipigo cha kwenda msije mkajitusu kwa kagame tu round hii atawasafisha kwa nguvu ya anga tu.
@abasishabani1151
@abasishabani1151 2 жыл бұрын
Siraha za mkoloni hizo
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 2 жыл бұрын
Ahahahah
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 жыл бұрын
Wapelekwe Ukraine wakasikilize mziki wa Putin.
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 2 жыл бұрын
Yani kwa silaha hizo hata wale mabishoo wa Ukraine waliosalenda kwa mrusi wakitumwa kwetu leo watatunyoosha😂😂😂
@hatibuabdulla1039
@hatibuabdulla1039 2 жыл бұрын
Ahahahahah
@jobwanjala9176
@jobwanjala9176 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@samwelijoab3425
@samwelijoab3425 2 жыл бұрын
Hatakuongea hajui😭😭😭
@justinefelis8772
@justinefelis8772 2 жыл бұрын
Aliye kwambia huyo NI mwanasiasa NI Nani????huyo NI kamanda kenge wewe.
@samwelijoab3425
@samwelijoab3425 2 жыл бұрын
Kamanda alipigana vitagani akashinda ww au ariendesha operation ipi uyo kapewatuu uwo kamanda .
@samwelijoab3425
@samwelijoab3425 2 жыл бұрын
askari nidhaifu mno pia hata mazoezi ubunifu matumizi ya silaha duni nakazarika ayo mazoezi ya vita vya kwanza na vyapili wanatuletea kwenye Karne hii ya miaka 2022 nandomana walipigwa kongo Hadi meja kuwawa ukiona mpaka meja ana uawa basiujue nikikosi dhaifu sana
@patrickmarko4467
@patrickmarko4467 2 жыл бұрын
Duuh...
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 2 жыл бұрын
Maneno ya mana
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 5 жыл бұрын
so poor military practice..they are so good for politics not for men like Alshabab and Taliban, they will run like rates behind a hungry cat
@salehemsumi615
@salehemsumi615 5 жыл бұрын
Hanithi wa Heidi wewe!!!
@ibraheemomary3581
@ibraheemomary3581 5 жыл бұрын
You idiot... Military practices are very confidential... There are not publicized.. stop talking non-sense
@nassoropongwa8022
@nassoropongwa8022 5 жыл бұрын
You are talking rubbish
@nassoropongwa8022
@nassoropongwa8022 5 жыл бұрын
@@rahjah5882 yes yes Tanzania first,
@thronemoneyfx9730
@thronemoneyfx9730 2 жыл бұрын
best thing is disciplined soldiers
@bigbro2705
@bigbro2705 5 жыл бұрын
👎👎👎
Komando Koplo Ali Khamis Omary kutoka Tanzania, afunguka.
6:01
Habari za UN
Рет қаралды 545 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,9 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 28 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 73 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 74 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
Hamas Combat Footage Shows How They Fight Israeli Troops
6:22
On Demand News
Рет қаралды 7 МЛН
Rais Magufuli afurahi kukutana na Pacha wake Mafinga Mjini
3:47
Amanitz News
Рет қаралды 2,2 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,9 МЛН