mzee kapigwa risasi kafunga bandeji mguuni kaendekea na mapambano gonga like mzee twende sawa
@frankgeorge93715 жыл бұрын
makamanda wote tujuane apa like JWTZ
@ViceAdmiralVasiliArkhipov11 ай бұрын
Ata ww Ni Komando?
@BarakaSagamba6 ай бұрын
@@ViceAdmiralVasiliArkhipovhuyo raia tu kama yeye ni komando muulize jina lengine la komando analoitwa usiangaike linaitwa CDO
@MatageMsono Жыл бұрын
Brother mungu akujalie afya jema utapona Kaka nakubali sana
@ckosmah215 жыл бұрын
Me jesh napenda,sana sem nd hvo tu cjui nianzie wapi bt uzalendo nao ni sehem ya jesh so mm n mzalendo pia respect to all soldiers
@stevimshanga72005 жыл бұрын
Ckos mah mmh
@jumahamis2275 жыл бұрын
These are our modern heroes, blessings to that Malawian soldier who died bravely in fighting for peace.
@williamnathan4630 Жыл бұрын
Hongera Sana , ningefurahi sana Kama ninyi mashujaa mngeandika historia zenu ktk vitabu na kuacha kumbukumbu kwa Jamii. Yale mliofanya yanajulikana , inaumiza kuona Kumbukumbu na matukio yaliyowasibu ktk KAZI hayawekwi. Mbona wale waliotumika ktk jeshi la South Africa (SADF), USA n.k Kila siku twasoma historia zao hata nyingine za kutumikia majeshi Yao kukandamiza na kupambana na wapigania uhuru , lakini wameweka Kumbukumbu zao!
@nestoryseleman18015 жыл бұрын
Huyu jamaa ni komando kwahyo anapojib maswali hatoi taarifa za kiintelihensia salute sana
@abdulshaban45605 жыл бұрын
Sarut sana.
@CertifiedFriend5 жыл бұрын
ukiangalia vizuri, utagundua 'anaongozwa' kwenye kile anachozungumza.
@kadoathuman60015 жыл бұрын
Kuna taarifa gani ya kiintelligensia uliyoiona hapo ktk maongezi?
@flova70223 жыл бұрын
@@kadoathuman6001 tatizo hujaelewa...wewe ulienda jeshi
@Mwigaa958 ай бұрын
Siuna ona ana full mabawa begani
@lucaschambika54375 жыл бұрын
komando wangu Mungu akulinde (nchi yako inakupenda sana )
@msemwawalter8375 жыл бұрын
Wanasiasa: Kazi ndio hizi, mmezoea ngonjera..... Asante mpiganaji.
@kdf12464 жыл бұрын
Alaf li harmonize linajiita jeshi,aje aone wajeshi wenyewe na hali halisi ya jeshi
@isaiahstadius23834 жыл бұрын
Kama umemuona kunguru mmbea kule nyuma like hapa.
@mansourkhamis4574 ай бұрын
😂
@erickmakundi52785 жыл бұрын
This soldier is real and honest he won't exaggerate any thing. Bravo.if it was Americans the stories would be different
@donaldtadeodontado99914 жыл бұрын
How? Can u explain to us.....
@williamnathan4630 Жыл бұрын
Sisi ndo huwa tunaficha sana story.
@williamnathan4630 Жыл бұрын
@@donaldtadeodontado9991 Swali zuri
@ViceAdmiralVasiliArkhipov11 ай бұрын
For real
@Mwigaa958 ай бұрын
Kweli mwamba ni kazi pia ni full komandoo maana na full mabawa begani 👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽✊🏽✊🏽✊🏽😄😄
@billgussy60995 жыл бұрын
Watu wanao toa uhai wao kwa ajili ya wengine hawata upoteza. Mungu daima yupo nao.
@ignassindabaha18134 жыл бұрын
Nini maana ya kuapa sasa
@selestinsongola27873 жыл бұрын
Kwanza kabisa pole kamanda wangu kwamsukosuko huo mungu akulinde
@bilalbaker92384 жыл бұрын
Mpiganaji A. K. Omar, Pole na matokeo katika ukamilishaji wa majukumu. ni mda mrefu tangu tokeo, lakini kumbukumbu hazi zeeki. Na Mungu Amlaze Pema komred kutoka Malawi. Kwani Mungu hulipa kwa nia ya Mtu. nae alikua na nia ya kuleta amani miongoni mwa Binaadam.
@fatmamati5246 Жыл бұрын
Allah awalinde na kuwapa nguvu wanajeshi wetu ameen
@ilynpayne74915 жыл бұрын
Daah yani komandoo huwa hawacheki yani jamaa serious balaaa
@jaydenbanga10 ай бұрын
cheki ndevu hizo ukijichanganya 😂😂😂😂😂😂huyu raia dooooh
@sarahkinyashi62133 ай бұрын
Mungu awacmamie ktk yote 🙏🙏🙏🙏🙏
@alhaddajmohammed47684 жыл бұрын
Safi sana Mashaallah amemshukuru Mungu means anamwambia Mungu. Hata Mungu anahimiza Amaan, Haki na kuabudiwa yeye pekee Mungu Allah. Uzushi wa imaan za Dini za uwongo, Viongozi/Watawala na raia wasomuamini/wasomchaMungu ndo kikwazo cha uvunjifu wa amaan duniani kwa tamaa za Mali, Madaraka, Vyeo, Umaarufu nk yakidunia. Dunia ninmapito na Starehe za muda!
@fabiannyambalya26165 жыл бұрын
Daah makomandoo bhana duuuh! Wanajeshi hawaruhusiwi kufuga ndevu lakini hawa makomandoo 🤙🏿🤙🏿🤙🏿 tyuuu
@godfreymagehema74145 жыл бұрын
Wewe hujitambui huyu anaumwa kapigwa risasi ya mguu atanyoa saa ngapi
@wannaproducts5 жыл бұрын
@@godfreymagehema7414 duh...we noma
@mohamedimbinga2254 жыл бұрын
Commando anyoi ndevu mzee,,,
@RwamKyaru4 ай бұрын
Makomando wanafuga ndevu kaka kwa sasa
@neemaibrahim28102 жыл бұрын
Mimi nilitamani sana kua Mwanajeshi lakini mitazamo ya familia yangu ilinikwamisha Natamani nipate Mume komando au Mwanajeshi takua nimeziishi ndoto zangu Kwa asilimia kadhaa
@kanyenyelahance6283 Жыл бұрын
Nichek
@swalehemunga90334 ай бұрын
Njoo nipo Hapa komando
@francismngumi51253 ай бұрын
😂😂😂 dah makomando wa mitandaoni sasa
@georgenorasco65954 жыл бұрын
Da unavyomhoji na anakujibu naumia moyo sana maana vita c mchezo, mungu a2saidie 2, maana eti vjana wenzetu Wa tz wabaomba vta et wakapgane da mnaijua vita? Eti mkipgana maisha yatakuwa mazr nan kawadanganyen, vtaikikolea askari wenyemafunzo na nyota zao makomando aseee hulia ktk uwanja Wa vita, si mchezo mungu atuepshe
@iketiinini9664 жыл бұрын
Mungu awabariki wanajeshi wetu.
@msafirially784925 күн бұрын
Interested
@TALLUBOY3 жыл бұрын
Big Soldiers from Tanzania Big up commands
@allymohamedmkiwa85735 жыл бұрын
Kz mnayo fanya ni ngumu sana mungu atawalinda makamanda wetu
@patrickchima41015 жыл бұрын
Mungu Mungu Mungu jamaaa kamtaja sana a real soldier recognize His presence
@leahezekiel2815 жыл бұрын
Mungu ni wa Majeshi
@Ndu-wa.uroony24 жыл бұрын
Daah! Kweli leo askari amkiri Mungu japo majeshi ya dunia ni ya mataifa.
@RashidAli-mm1uo4 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 huyu mwanajeshi ni muislaam halafu ni mzanzibari kwaiyo hulka yake ipo palepale washazoea kumtanguliza Mungu kila mda wa mambo yao yao
@muuibrahim18054 ай бұрын
Allah awabariki wanajeshi walinda Amani, reL recognize real oooossss
@anthonyfaru99085 жыл бұрын
Mwandishi amekutana na hali ambayo hakuitgemea jamaa kauzu sana, kapoteza dira mama WA WATU
Hawa ndugu zetu bwana ni hatari sana na mtu hatari siku zote huwa hawana mambo mengi. Yani kwao uliza maswali au maneno buku, Majibu mafupi yenye maana milioni. Angekuwa Lisu hapo mwanasiasa, mamaaaaaa ungesikia na mambo mengine usiyotarajia. Atakawambia alipandwa juu ya mgogo na kifaru.
@davidkawiche83725 жыл бұрын
kuna askar wa aina nyingi ww ni askari wa wapi. au we ni askari mwanajeshi. JWTZ oyeeeee
@chrissymahunja52485 жыл бұрын
Hahahahahahaha magege hahahahahaa eti alipandwa na kifaru mgongoni
@kigomakid744 жыл бұрын
Hahaaaa
@fadhiliromwald2 жыл бұрын
😂
@HammyJey4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@lameckzakaria77734 жыл бұрын
Uyu ni full bawa yani complete komando
@elisamehecharles54325 жыл бұрын
Ogaaah! Huyu kweli ni soldier safi snaa nimemuelewa sana majibu ni short and clear na havijishi siri
@lusekelodaison81595 жыл бұрын
Big up my real blood Brother
@edsonlaurencemwagamasasi90745 жыл бұрын
Utadumu sanaaaaaa komandooooo.... utadumu katika chombo....
@izackmbise69394 жыл бұрын
Mvhfihih
@selestinsongola27873 жыл бұрын
Angekua msanii limaiki angekua anamsogezea had mdomoni
@manonisita13025 жыл бұрын
Sura Ya Kazi...... Nakubali sana Kaz hii
@richardhaule83722 жыл бұрын
Cku Moja ntakuw askar Kam wew
@selemaniseed5 жыл бұрын
Kwa tuliowahi kukutana na huyu Afande tukae tu kimya kabisaa..🙏
@sirajiamiji21215 жыл бұрын
😀
@abdulrazakgwotta55615 жыл бұрын
Ana nn kwani huyu?????
@dizzersandals66175 жыл бұрын
Aliwafanyeje
@davidkibabu65975 жыл бұрын
Jibwaaaaaaaa
@amonymzawaaa89345 жыл бұрын
Hahaa
@simonnembomadola75125 жыл бұрын
Na bado anasema kazi ni nzuri
@hamisisha4 жыл бұрын
😂😂😂
@yeshuasweapon43844 жыл бұрын
Nidhamu
@babusadala57325 жыл бұрын
Daaa jamaa yupo cool mweee.. 🤒🤒🤒🤒🤒
@zftv-zanzibarfantvtv55605 жыл бұрын
Wazungu wataendelea kutuulisha kina siku washajua waafrika hatu akili Hakuna was waasi ni watu ambao wanaandaliwa na Umoja wa mataifa na kupewa silah ili Nchi isiwe na aman wapate kichukua madini
@alphankilenga62095 жыл бұрын
mtu muhimu sana kwa taifa . hawa watu wapo wachache sana . komandoo sio mtu wa kumpeleka congo bna .ni matumiz mabaya . kwann msipeleke migambo jaman
@abdulrazakgwotta55615 жыл бұрын
Congo pazito ndugu.
@costantinejoseph49075 жыл бұрын
Alphan Kilenga ila kweli
@ayoubjaphet7095 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@anethmaro81685 жыл бұрын
😝😝😝😝huna adabu
@novahmassawe36304 жыл бұрын
Mgambo hawez kwenda congo
@ismailyusuph7405 жыл бұрын
Nyie Vp’ huyo Sio Lisu au Ndugai ‘ aongee sana...! huyo ni COMBAT....MGUU WA SHINGO MGUU WA ROHO...!
@UzalendoNaUtu5 жыл бұрын
Ismail Yusuph hahahah
@ismailyusuph7405 жыл бұрын
#AdrianLalika ....kabisa..!...si unajua KAMBINI hata ukigonga mti unalipa...!..Sisi hatuongeagi sana...!
@doctorzero-dj5xg4 жыл бұрын
Kalibua maisha yote kwa sasa ni hatari tupu, siyo maisha ya jeshi tuu, tunaona wasafiri tu wanavyopata ajali mbaya na kufa na kujeruhiwa vibaya ! Kufo na ajali ni kilasehem
@frankbutati8343 Жыл бұрын
Sahihi kabsaa
@princesinko40735 жыл бұрын
Mie siwezi kumuuliza maswali sana maana jamaa anaonekana hana huruma na wala hacheki, lazima kwa sura hii maswali yapungue...huyo
@geofreyniyonkuru57245 жыл бұрын
🤦🙆😂😂
@doctarbruno96323 жыл бұрын
Amin jamaa afah
@lujenjejr36284 жыл бұрын
mwamba anajibu kijeshi yani short and Clear
@solomonpeter88434 жыл бұрын
Ahahahhaa hatari jamaa anavyojibu ila Mungu azidi kuwa nanyi kwakweli
@johnmbitiyaza125410 ай бұрын
special force commando
@datiusamani97675 жыл бұрын
###support UN ## support Peace ### support Tanzania.
@levocatusgatu42955 жыл бұрын
Saluuut ka zoteeeee yaaaan. Wenikomando Bila chengaaaaa
@Mubarak_10005 жыл бұрын
Nimesikia vibaya serikali na hasa Jeshi kumtoa mtu muhimu na mkubwa kama haya kupeleka Congo katika vita, mtu anaitwa Comando ni katika hazina kubwa za nchi jamani hatolewi hovyo, huyu aanatakiwa kutumika kwa maslahi ya nchi yetu pale ambapo tutavamiwa, lakini kumtoa hovyo hovyo Sasa ameshapigwa risasi ya mguu, ki ukweli imeniuma sana, nakumbuka jamaa nilipokutana nae akiwa na nguo za kiraia huwezi fikiria kama ni Comando........ Ukweli jambo hili limenisikitisha sana, KUMTOA MTU MUHIMU KAMA HUYU KUMPELEKA CONGO wakati vijana wengine wapo!!!!!!! Comando ni kwa matumizi ya nchi yetu
@abdulrazakgwotta55615 жыл бұрын
Kwani jamaa anaishi Moro sehemu gani?
@kadoathuman60015 жыл бұрын
Komando hazaliwi bali anatengenezwa,na ndio kazi aliyoomba so acha aitumikie hiyo kazi maana kuna wengine wanatengenezwa so usijali kijana
@Gavi_2555 жыл бұрын
Lazima tutumie watu best ili wasife wengi ndio maana ya commando wewe amka
@jacobrehany34925 жыл бұрын
Kazi kazi
@m-tatu10502 жыл бұрын
komandoo.... maneno macheche direct to the point kulingana swali bila kusahaua usiri mkubwa
@wilsonjohn19195 жыл бұрын
Kweli wew komando
@ismailsanifa5 жыл бұрын
Pole sanna
@GodwinKimario-u4y11 ай бұрын
Big up comondoo
@shaabanramadhan67705 жыл бұрын
Mtu akiwa komando huwa lazma sura yake iwe mda wote kaikunja au
@DigitalizeitNow5 жыл бұрын
Sura automatic hiyo imejikunja tu
@alexchungu95055 жыл бұрын
Hawezi kukenua huyu
@bigowillythomaskayanda77635 жыл бұрын
@@DigitalizeitNow ,, hahahahhhaaaa
@mohameddamka9225 жыл бұрын
ulitaka acheke kwani yupo kwenye maonyesho ya mamiss
@machiavelamourshakur26334 жыл бұрын
Shaaban Ramadhan hhahaj
@masasawamasasa9055 жыл бұрын
uko umoja wa mataifa wamejaa masnichi tu, jamaah anajibu short tu nicely ''kurinda amani ni kazi nzuri tu'' according to kaka komando🤐🤐🤐🤐💪
@khamissaid30834 жыл бұрын
Bro mbona sura ngumu hivyoooo
@AceB4real5 жыл бұрын
Daaah mwana kanuna kinoma
@johnjoseph7634 жыл бұрын
Hahaha
@lucasmollel25224 жыл бұрын
Inauma Sana kumpoteza aliyekusaidia
@godfreymwaikeke15645 жыл бұрын
Salute kwako na Jwtz vikosi vyote
@kingcobra92385 жыл бұрын
Salute mwana familia
@jimmymbella99124 жыл бұрын
Pole Sana mkuu kazi ya Mungu haina makosa, pole kw jeraha ulilolipata ktk mguu wako Kaka ila Mungu atakupa uponyaji
@mohamedbinfadhil13965 жыл бұрын
Sauti iko chini mwandishi na unahoji kwa woga sana
@SijaonaMrope Жыл бұрын
Mungu aware ngivu askari wet
@loner_wolf4 жыл бұрын
Mbona kafanana sana na Katibu wa CHAMA CHA MAPINDUZI ccm MR KAKULWA
@lutenganocharles71944 жыл бұрын
Lkn nimekukubali Sana bro uko vzuli huo ndo uzalendo tunawategemea jeshi letu
@nestrykipetha37614 жыл бұрын
Bbaby tuma na yakutolea
@fidurashidi57813 жыл бұрын
Haina kona kona, straight forward
@briaynalleni46084 жыл бұрын
daaaaaah amakweli mungu achaaitwe mungu?
@newforcejv97215 жыл бұрын
We CPL Ally Omary kabla ya maongez Umemfanyaje hyo Dada mbona kashindwa Maswal nawewe
muwe mnaangalia syo kila channel ya kucomment vibaya
@rafikindugu46745 жыл бұрын
Mbona huyu muandishi anashindwa kuuliza, waasi ni wanani? Mahali mutu kafariki alafu watu wasifahami nani ao kundi la wanani limemuuwa?🤷♂️🤦♂️
@jacobmaganga3354 Жыл бұрын
Bravo
@mnegaamina60854 жыл бұрын
Kamanda wetu pole sn
@kobajumakuziwa99765 жыл бұрын
Huyu comandoo wa ukweli hacheki mpaka mwandishi anaogopa mashwali 😂😂
@machiavelamourshakur26334 жыл бұрын
Kobajuma Kuziwa hahaja kama DP yako (ila utan tyui
@037corgj75 жыл бұрын
Mzee baaba hapo ni.ngumu.nyeusi anatamani haya huyo muandishi asepe mapema maana analeta nyeusinyeusi
@machiavelamourshakur26334 жыл бұрын
piston jr hahhaha
@stn48735 жыл бұрын
Ngome hapo...naskia Azana ya masjid maamur
@abdulrazakgwotta55615 жыл бұрын
Aaaaah hapa Upanga sio.
@ramsokhamis92625 жыл бұрын
😀😀Nashukur kwa kupajuwaa mkubwa uko sahihi kabisaa...
@stn48734 жыл бұрын
@@abdulrazakgwotta5561 yah
@aboubakarahmad2344 жыл бұрын
Aah uyu Jamaa akikumata upo kweny uvunjifu waaman cjui atakufanyaje maana mmmmmh mshikaj achek
@eliasjillanga31584 жыл бұрын
Jamaa anaongea kwa busara lakin ingia kwenye anga zake sasa utafrahi
@geraldjames87415 жыл бұрын
Mwandishi ni huna akili sasa alipigwa risasi nawenzake? Jeshi jeshiiii kazi kazii nakuwahoji sio nzuri
@najma32685 жыл бұрын
Mungu awatanguli kwenye kaz zenu, lakin cjui kwa nn mtu hata awe mweupe vp akiingia jeshini lazima awe mweus
@selemankishema57805 жыл бұрын
do!!! ukiwa komando huruhusiwi hata kutabasamu?
@ahamadikatapka8335 жыл бұрын
Seleman Kishema Gk
@anthonymkhae745 жыл бұрын
Alikuwaga nyumbani kwa muda mrefu wakati anauguza jeraha walivyoenda waandishi kumhoji ndio ikambidi avae sare maana hawezi kuhojiwa mambo ya kijeshi akiwa kiraia.
@samwelombeni68505 жыл бұрын
@@anthonymkhae74 nadhani itakuwa hivyo,
@ludovickndaki37615 жыл бұрын
Duh waandishi wahabar kazi mnayo hamjui kua hatutoagi siri zajeshi sisi mtasubir sana solute sana kamanda najivuniaga watu kama nyinyi ad najiona ni meme
@dorisnyaoke2775 жыл бұрын
komando anafuga ndevu akiwa ndani ya gwanda na uyo kashachukua majukumu ya msemaji wa jeshi mej gaudence kapinga
@josephgomalo415 жыл бұрын
Huyo sio askari wa kawaida (special forces).. na wakati mwingine hutakiwa kufanana hata na adui .. wakati mwingine askari maalum huvaa vilemba wakati wako Afghanistan na maeneo mengine.. ili kuweza kuepa maadui .. hasa pale wanapojipenyeza nyuma ya ngoma za adui.. kwa ajili ya kutafuta taarifa za kijasusi..nk.
@rashtv85735 жыл бұрын
Doris Nyaoke CDO anaruhuxiwa kufuga ndevu bhana
@vehaelinatai87005 жыл бұрын
wekwel mshamba wew ume nyoa
@rusakanyohenry69325 жыл бұрын
Ukipita Bila kukoment kwan kunashida?
@AliAli-xi3hu5 жыл бұрын
Hakuna TPDF anaweza kumchukua majukumu ya msemaji wa jeshi
@othumanmaulid74065 жыл бұрын
Ukiona hivo ka ruhusiwa sababu nimaswali yanayo muhusu kuumia kwake
@othumanmaulid74065 жыл бұрын
Nikama unavo kuja kuhojiwa hospital
@mwasoprince34595 жыл бұрын
Huyu si kwamba ni msemaji wa jeshi, ila anahojiwa kuhusu maendeleo yake binafsi.
@hafidhimakele54895 жыл бұрын
Kwakibali maalum
@wahidawahida66755 жыл бұрын
Upo smart kaka
@is-hakaomar21184 жыл бұрын
Acha ww
@gabrielibrahim58424 жыл бұрын
Bonge la hendisamuu kuradadeki
@carlosn_tz4 жыл бұрын
Kuangalia Gari yangu original version by Carlos N ft Young D & Abbah bonyeza link kzbin.info/www/bejne/aWq8nHWCa6yBntE
@yusuphmwakilachile3253 жыл бұрын
Nice
@abdulshaban45605 жыл бұрын
Sarut sana.
@TFxClub5 жыл бұрын
Mwandishi mbona anauliza majibu ya tukio?au ana wasi wasi na sura ya kazi.