Hana anaposema ukweli. Mliamrishwa kuhudumikia familia zenu na mke azae na kulea. Ssa mnataka kulelewa au 50,50 halafu mnataka kuamshwa hamjui km huyo anarkuamshwa ww ulozimia anahitaji nguvu na utulivu wa nafs. Ndio Allah anapokupeni adhabu na maangamizo mzidi kumkufuru mana alikuamrisheni hamyafanyi. Mmebaki yaharamu shaitwani anakupambieni lkn ya halali anakuchafulieni mzidi kuangamia kwenye uzinifu. Mana hata ukioa ukieka ndani baada ya mda ushamchosha kwa majukumu anakua km wa mwanzo. Mnaishia kuzini na kuzini na tena mna ndio nafs zenu mnayoyaoenda. Hamuonamishi macho yenu na huduma za kulisha, kuvisha hamziezi…mtaishia kwenye nyama za kukatiwa lkn mnyama mzima ukafuga na kuchinja mwenyewe humuezi.
@AishaLikuka16 күн бұрын
Sheikh kweli na unakuta mke anase et namuonea aibu mumewangu 🥺
@bimumaulid1171Ай бұрын
Nicheke mie 😁😁 tunajua umbea na vikoba
@mikidadially977327 күн бұрын
😂
@Fear_Allah39427 күн бұрын
M’me km ni mtu wa kulelewa au wa 50,50 basi tambua mkeo huchoka na yy hana mda wa kukuamsha, ww usiihangaikie familia yako ipasavyo endelea kukaa vibarazani na mitandaoni utizame wanajieka uchi huku nguvu zikikupotea na unaemregemea kukuamsha kishachoka kwa majukumu. Utaishia kuzini shaitwani akikudanganya unanguvu lkn kwenye ya halali huezi.
@AyuminchasiАй бұрын
Sheikh c mmeambiwa muinishe mimacho yenu chini kubalini tu kazi huwezisisingie wanawake bure watu mmeacha kula vyakula vya asili inatengemea utakuwa na nguvu kweli halafu ni wanaume wamjini tu ndoo hawana nguvu za kiume
@sadikiissa7756Ай бұрын
Ukiegemea upande mmoja bado si Suluhu ndo maana Mungu akahitaji pande zote mbili ziwajibike zihusike yaani mwanamke ajistir na mwanaume naye ainamishe macho. Tofauti na hapo ni balaa tupu.
@AyuminchasiАй бұрын
@sadikiissa7756 nyie mmezidi umalaya umesikia anachosema eti ooo ataongeza mke sasa ww huna nguvu za kiume kimoja chali dakika mbili uongeze mwingine kwani mnakatazwa uwezo wako tu nguvu na kihali kitu kingine wanaume wa mjini hawana nguvu kutokana na vyakula vijijin hakuna kitu kinaitwa hawana nguvu za kiume husiki jiulize kwa nn uwe mjini tu wanaume kulen vyakula vya nyumban asili
@SeifSeif-gw3zcАй бұрын
Embu taja ivo vyakula asili
@SeifSeif-gw3zcАй бұрын
Usiseme vyakula, lishe ni ile ile inayopatikana !! Maisha ya mjini yana stress na yana changamoto, vijijini watu wameridhika ndo maana hausikiii malalamiko hayo
@MB-yq3tyАй бұрын
@@Ayuminchasi Inaonekana ni Concord sio?
@Fear_Allah39427 күн бұрын
Ssa km mshazoea kwann hamwishi kuongeza wake? Au ndio uvivu wa kuchuma mnataka mlishwe bure?
@RishaadRasshaad26 күн бұрын
Acha uchizi wew
@Fear_Allah39427 күн бұрын
Ww sheikh mzima hujui km ibilisi ananguvu zaidi? Ssa kwann anapoenda kuzini asimpe nguvu? Atampa tu kwa sbbu maisha yote iblis hupapamba ppte penye uovu na uchafu
@saidsuleiman9018Ай бұрын
Kweli kabisa
@Fear_Allah39427 күн бұрын
Uamshwe na ushakua mgonjwa? Inamisha macho yako.
@AyuminchasiАй бұрын
Aoe c ndoo hulka yenu kwani unamkomoa nani kuhudumia juu yako kwa hiyo ongeza shida nyingine uzidi kukosa nguvu za kiume kwa mawazo utawahudumia vipi