ISMAIL JUSSA ATOWA HOTUBA YA NGUVU LEO KATIKA KIKAO CHA VIONGOZI WA ACT UNGUJA

  Рет қаралды 21,499

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

ISMAIL JUSSA akihutubia katika Kikao cha Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo wa ngazi ya Mkoa, Majimbo, Matawi na Ngome zake wa Kisiwa cha Unguja, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, katika Ukumbi wa Majid Hall Kiembe Samaki Mkoa wa Mjini-Magharib Unguja leo Septemba 03, 2023.

Пікірлер: 38
@hamadbakar7091
@hamadbakar7091 Жыл бұрын
Hongera ndugu Ismaili jussa ladu Kwa maneno Yako na inshaallah tuko pamoja bega kwa bega inshaallah hadi Zanzibar yenye mamlaka kamili inshaallah ipatikane na inshaallah itapatikana
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Mhe Jussa unanikuna ndipo... May Allah akuhifadhi Allahumma ameen Allahumma ameen
@hafidhkhamis731
@hafidhkhamis731 Жыл бұрын
Sema jussa bdo unaeleweka sana wewe in hzna kwetu Allah akulinde tuko pamoja
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
Mr JUSSA KIUKWELI TUNAWAPENDA SANA SANA SANA NA KUOMBENI SANA TUWE NA MISIMAMO IYO IYO YA KUTETEA NCHI YETU ❤❤❤❤❤
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
Insha Allah Biidhillaahil Kariym Yaa Rabb Al'Aalamiyn
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 Жыл бұрын
Mimi na zaznibar ,Zanzibar na mimi❤❤
@mumuomar5541
@mumuomar5541 Жыл бұрын
Zanzibar mojA lnshallah
@solomonadams6337
@solomonadams6337 Жыл бұрын
Allah amlinde huyu Mzee Othman Masoud kaacha Mwanasheria mkuu amepata umakamo wa Rais hakuna kitu kizuri kama ukweli...
@ashaali7506
@ashaali7506 Жыл бұрын
😅😅😅😅Ahsante Alhabiby jussa hongera unafanya kazi nzuri endelea juhudi hyo hyo inshaallah tupo nyuma yako tuna kuunga mkono mpaka zanzibar yenye mamlaka kamili inshaallah na itapakina zanzibar kwanza leo na kesho zanzibar mpya zanzibar moja I❤ZNZ
@addamschamwande7734
@addamschamwande7734 Жыл бұрын
Nakuerewaga sana jussa
@MussaMkubwa-l6t
@MussaMkubwa-l6t Жыл бұрын
Pamoja san kak ismail zanzibar kwanza
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 3 ай бұрын
Fact jamaa wanajua matumbo yao tu hawana huruma na masikini
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 7 ай бұрын
Hio ndio nguzo ya ACT Allah akuhifadhi wewe na wenzako من كل سوء والمكروه
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Жыл бұрын
Kweli mheshimiwa Othman Massoud ni kidume
@fadhilakhamis967
@fadhilakhamis967 Жыл бұрын
Hatudanganyikiiiii, hakuna neema..njaaaa tupuuuu
@fadhilakhamis967
@fadhilakhamis967 Жыл бұрын
Hawatuwezi CCM 2025....hawatokiiiiiii
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp 11 ай бұрын
TANGA YA SHUSHAA JMANI .......DAH KWANI KAPIGA VINGpi
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Жыл бұрын
Ndugu Jussa wasomeshe vijana wadogo cc tunayajua kuliko ya labia 1972 madhila yaliotukuta ktka nchi hii
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Жыл бұрын
Wakumbushe hao hawakumuna Maalim alive Waziri Kiongozi nchi ilvyokuwa ikingara
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 Жыл бұрын
Tuk pmja sanaaa
@stonefacestoneface2976
@stonefacestoneface2976 Жыл бұрын
Pmj Mr Jussa
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 Жыл бұрын
Kaz kaz mh.jussa, tumechoka tumechoka na utawala huu wa kijingajinga
@ngwalitcha1655
@ngwalitcha1655 Жыл бұрын
Tunakufahamuni viongozi kamwe hatutachoka bado tunarndeleza alipimalizia marehemu maalim seif Sharif hamadi kama kuuliwa tumeshauliwa Sana kupigwa tusapigwa sana hatutarudi nyuma kamwe
@abdallamakamekhamis6692
@abdallamakamekhamis6692 Жыл бұрын
Walifukuzwa ccm kwa ubaguzi
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Жыл бұрын
Poyopoyo wewe usojijua pumbavu
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Жыл бұрын
Mjinga mmoja wewe kama wale walikuwa wabaguzi soon utawaona wabaguzi usojijua wewe nyinyi wazanzibar mlioko ccm wapumbavu sana badala ya kuungana na wenzenu mkagombowa nchi yenu unaleta ujinga pumbavu mkubwa
@solomonadams6337
@solomonadams6337 Жыл бұрын
Kafiri Julia's Kambarage Nyerere ametuharibia nchi yeye ya Zanzibar laanatullah Nyerere.
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
NDUGU YANGU ZITTO NAAMINI UNAAKILI TAFAKARI UJUMBE HUO....MLANGO UPO WAZI
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Toka hapa nyie ni ccm namba 2 wasaka tonge tu
@akaumbo9433
@akaumbo9433 Жыл бұрын
Ni kweli Chadomo wao ni CCM D
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Akili zenu ziko kwenye matumbo tu kama hao nyungu nyungu... ACT ndio chama chenye maslaha ya wazanzibari
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb Жыл бұрын
​@@salyali7807😅😅
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Margaret,wanaosaka tonge wajulikana,kama wewe huwajui,ni wale wanaolazimidha matokeo ya chaguzi,kwa kuuwa,kuwaibia,kuwanyanyasa na kuwapiga kama mbwa wananchi wasiona hatia.
@MuhsinAli-xr9tm
@MuhsinAli-xr9tm Жыл бұрын
Wewe naona ukapimwe akili
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np Жыл бұрын
inakuuma ukiwa wap😢😢
@ibniabdalla4817
@ibniabdalla4817 Жыл бұрын
Naona wewe ndio uliokuwa hauna akili
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
Ukimuona mtu anamtukana mtu mwenye akilii huyu maana yake ni jaheli hata kioindi cha MTUME MUHAMMAD SALA NA SALAM ZIENDE KWAKE WALIKUWA WAPO WATU KAMA HAWA WENYE KUMTUSI MTUME HALAF MWISHO WAKAINGIA KWENYE LAAANA NA MAANGAMIZI TUNAKUPENDA SANA MR JUSA
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Жыл бұрын
Ipimwe Yako kwanza mlo wa siku Moja unakushinda bado hujaamka poyopoyo mkubwa
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 59 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 72 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 55 МЛН
IVI KUMBE OTHMAN MASOUD ANAWEZA KUMWAMBIA RAIS MWINYI MANENO HAYA
35:15
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 72 МЛН