WHY DO KENYAN GEN ZS LOVE TANZANIA THIS MUCH THOUGH ?

  Рет қаралды 4,123

TheBlackGeo

TheBlackGeo

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Watch our next episode: kzbin.info/www/bejne/epTXcmRqqtp8pposi=oFuDzm1BkXKDS_qu
@animalx8346
@animalx8346 Ай бұрын
Cuz us Tanzanians love you guys dearly, without borders we would have been the same
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Asante
@prothodommy
@prothodommy Ай бұрын
We've been brothers and sisters, only social media competition is drifting us apart 😢
@theophilmawe9776
@theophilmawe9776 Ай бұрын
@prothodommy Kenya always on side of initiating beef online
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Ай бұрын
Tanzania is the best country on Earth..Oppositions are corrupted by foreign countries to destroy us but we are far from that . Congrats Mama Samia..Viva Tanzania
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Viva
@prothodommy
@prothodommy Ай бұрын
@@ewaldambrose6136 I disagree, CCM is just a rot system that should be removed from governing our country!
@Pmaker19
@Pmaker19 Ай бұрын
Tanzania and Kenya we are brothers and sisters no matter what sisi ni mandugu utake usitake hiko hivyo yaani
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Tunakibali kaka
@nckmwack
@nckmwack 2 күн бұрын
❤❤❤ Tanzania and Kenya. One love 🇹🇿🇰🇪
@ianjesse8525
@ianjesse8525 Ай бұрын
For me i have not gone to Tanzania but i cn Tanzania when it comes to infrastructure transport system is better and organised than Kenya from Kenya 🇰🇪
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Wow
@J4UPro
@J4UPro Ай бұрын
Well
@ianjesse8525
@ianjesse8525 Ай бұрын
@@J4UPro true
@damsonkelvin1215
@damsonkelvin1215 Ай бұрын
I’m going to subscribe your channel, love from 255
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
We appreciate it
@irenewile
@irenewile Ай бұрын
Kwanza Tanzania 🇹🇿 hatushindani na mtu ,nyinyi ndio kila kukicha watz achaneni na sisi ,,kila siku Tz mbona hatuna ujinga kama wenu ,upuuzi ndio mko nayo eti compare wakati nyinyi ndio mnacompare kila siku mbwa nyinyi,,angalia huyo mtu anaongea na domo lake kama bakuli,,nchi hata hujui Demi ni yupo na chalii yupi sura mbaya na mashoga
@davicentertainment6635
@davicentertainment6635 Ай бұрын
Nooooooooo matusi sio poa
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Please don't insult
@nckmwack
@nckmwack 2 күн бұрын
Hapana matusi Tanzania and Kenya one love. From +255
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
I'm your new subscriber from tz 😂
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
We really appreciate that
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 Ай бұрын
i wish to be in a relationship with a boy from kenya but wakenya mnapenda ubifc na ubaguz...🤦‍♀️🤦‍♀️ wa schana wng wakitanzania 2napenda sana wakenya ila 2najiepusha kwakua tunaamin wakenya wana roho mbaya...😔😔👌👌 sammy from tz🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🇹🇿🇹🇿
@Mulley-dh6gb
@Mulley-dh6gb Ай бұрын
Si wote lakini we really have great men in kenya though
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
One love
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 Ай бұрын
Hiyo siyo tafsiri ya ubishoo. Bishoo ni mtu anayependa vitu trendy, hasa kwenye fashion na mwonekano. Mwanaume hasa kijana, msafi anayependeza kwa mavazi ya kisasa.
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
I agree
@MakavelisharksMusic
@MakavelisharksMusic Ай бұрын
Going crazy 😊
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Vile inafaa
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 22 күн бұрын
Ngoja Niwambie Ndugu Zangu Kenya Sisi Tanzania Tunapenda Nchi yetu Tunapendana hakuna Cha Wewe ni Mkulya Mjaruo Mkinga Muhaya Msukuma Mzaramo Wote tunahesabika Manzania na kutuunganisha Wote tuelewane ni Kiswahili.Tungekuwa Kila Kabila linaongea lugha yake Tanzania Ingekuwa Ina Ukabila lakini Kiswahili Ndo Dawa ya kutuunganisha Wote.Ukabila uliopo kwenu Mchawi ni kujifanya Nyie Wazungu sisi Ndugu zenu Nyerere Alijua ili kuondoa hizi Shida ni kuwaunganiaha Watanzania Wote
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo 19 күн бұрын
Mna wamasai, waswahili na wengine wengi
@elijahogero5935
@elijahogero5935 Ай бұрын
kazi safi
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Kama pamba
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 Ай бұрын
Natamani sana vijana wa Tz na Kenya waache mambo yasokuwa na fasida kwao. waache uaduwi na diss zisizo na maana, watembeleane wabadilishane fursa za kibiashara. Naona Kenyans wengi wanaokuja Bongo kufanya biashara ni Millenials kurudi nyuma, Gen-Z hata hawachangamkii wamekalia kurushiana maneno mtandaoni.
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
I like your reasoning
@corrolesscps
@corrolesscps Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿👍🏼❤
@seneu.2128
@seneu.2128 Ай бұрын
🇹🇿🇰🇪✅
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
💯
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Ай бұрын
Hahaha 😂😂😂 Nyie ma gen z wa Kenya mmenifurahisha sana na hii opinions yenu juu ya tz !! But TBH we're all the ones only the boring boundaries that set up by colonists keep us apart !!! 😂😂😂
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Exactly. We really don't need the boundaries
@theophilmawe9776
@theophilmawe9776 Ай бұрын
Mnaongea kingereza ila accents ka msukuma cjawah kukipenda wala kuvutiwa
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Itabidi ujifunze, maanake ndo lugha ya biashara 😄
@emmanong3158
@emmanong3158 Ай бұрын
Pole kaka hata kwa upande wetu mnatukoroga pia na accent zenu zinakaa kibara sana 😢
@theophilmawe9776
@theophilmawe9776 Ай бұрын
@@TheBlackGeo nani kawambia wabongo hatuwaelewi tunajua icho kingeleza sema hatuna interest na colonial language
@emmanong3158
@emmanong3158 Ай бұрын
Hio colonial language ndio ulimi ya ulimwengu wa sasa, ndio maana waekezaji wanaunda maofisi kwetu na kufurahia kwenu tz. viwanda vya soko za kigeni ni mengi tulizonazo nchini. Wakenya tulierevuka kitambo kwa upande huu. Itawapata kipindi kirefu kama jamii mue na wasomi wa kiingereza nchini, katika maendeleo ya soko za kigeni na kibiashara, ujumbe huu siyo ya kukosea mtu.
@theophilmawe9776
@theophilmawe9776 Ай бұрын
@@emmanong3158 kwa commication na watu wa nje ni sawa ..ila nikwambie kitu kwa maendeleo ya ndani ya ichi sio muhimu sana ..kuna ichi nyingi zimepiga hatua bila English Language..utaka kuniambia ichi kama Korea,Russia ichi iz zimendelea bila icho kingeleza mnachotulisngishia
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 Ай бұрын
MADEMU wameivaaa....taaam sana
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Sanaa 😄 🤣
@MohammedGayoye
@MohammedGayoye Ай бұрын
Mimi ni mkenya bro lakini hapo uliposema eti nyinyi mnaongea kiswahili kizuri kuliko tanzania hapo umechemsha...kwa upande wa bara ya Kenya kiswahili hakuna ni matope tu wanaongea sema kiswahili kiko pwani ya kenya bro sheng sio kiswahili
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Why are you saying the truth bro? 😄 🤣
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 Ай бұрын
Pwani ya Kenya ni kama Tz... hamna tofauti. Kiswahili cha MOMBASA ni kama TANGA, UNGUJA
@MnyamwezMnyamwez-vx1wb
@MnyamwezMnyamwez-vx1wb Ай бұрын
​@@abdulseifmtuluma4484Sio kweli lahaja ya Unguja ni sanifu zaidi kushinda Tanga na Mombasa.
@Sudiya.m
@Sudiya.m 28 күн бұрын
@@MnyamwezMnyamwez-vx1wbwewe si mswahili zungumza kinyamwezi chako kwa amani kisha tuachie sisi waswahili wa mombasa tupambane na lugha yetu.
@irenewile
@irenewile Ай бұрын
Hata english hamjui huko kwenu,, na huko kwenu misifa ndio mko nayo Ila hamna kitu cha maana
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
Wana akili 😄 🤣
@nckmwack
@nckmwack 2 күн бұрын
Naomba nikuulize swali. Katika masuala ya cultural heritage huoni kama lugha ni kitu cha kujivunia? Unafikiri Mzungu akija Africa atajifunza English? English tunajua tena sana. One love 🇹🇿🇰🇪
@dr.swagztv3559
@dr.swagztv3559 Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿
@rodneyagesa1851
@rodneyagesa1851 Ай бұрын
People love what they don't know .This is the same TZ with no freedom of expression,where opposition leaders are arrested and murdered where the Adanis of this world sign deals with the government with no protests from the Tanzanian Gen-Zs.
@TheBlackGeo
@TheBlackGeo Ай бұрын
So unfortunate
@irenewile
@irenewile Ай бұрын
Shut up
@nicodemuszebedayo5978
@nicodemuszebedayo5978 Ай бұрын
Freedom ya nyoko....how many Gen Z were killed by police during protest/demonstration (Ruto must Go)..!? Did that happened in Tanzania.?
@nicodemuszebedayo5978
@nicodemuszebedayo5978 Ай бұрын
​@@TheBlackGeoFreedom ya nyoko....how many Gen Z were killed by police during protest/ demonstration (Ruto must Go)..!? Did that happened in Tanzania.?
@ezekielmubofu234
@ezekielmubofu234 Ай бұрын
How does one be this stupid?
Tanzania is Growing Rapidly *Africans Don't Get Left Behind*
19:32
Ashley In Afrika
Рет қаралды 24 М.
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
2 MAGIC SECRETS @denismagicshow @roman_magic
00:32
MasomkaMagic
Рет қаралды 23 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
Thurusha falls Roadtrip#waterfall #nature
7:56
Miss Natashly
Рет қаралды 186
FAHAMU KUHUSU UTEKELEZAJI WA MRADI WA UENDELEZAJI WA BONDE MSIMBAZI
2:36
Msimbazi Basin Project (Bonde la Msimbazi)
Рет қаралды 1,9 М.
SGR YA TANZANIA YAWATOA MAPOVU JIRANI  KAZI YA RAIS SAMIA INATISHA
10:22
WABONGO UGHAIBUNI MEDIA PRODUCTION LIMITED WU®
Рет қаралды 17 М.
How I see Kenya as A Tanzanian
15:38
Explore with Bertin
Рет қаралды 17 М.
#TBC1: WEKEZA TANZANIA: FURSA MPYA KIWANJA CHA NDEGE MWANZA
28:33