JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 20
@ElizabethLukosya-lv2vf2 ай бұрын
Kisugu bro,mimi mwanasimba mwenzio,sema nini jambazi ni jambazi tu, anaweza akaingia benki akachukua pesa akatoka,na ulinzi upo na asikamatwe! ushauri wangu ni atakae enda kinyume ni bora tu anyang'anywe point zake tu, hiyo VL sidhani kama itasaidia 👌 ila sema nini kisugu ukweli unauma,lkn kwaligi yetu hii bado sana! nipo hapa utaniambia hakuna cha uafadhali kwa VL
@BensonMpomo2 ай бұрын
waandishi mnao muhoji kisugu mnatukisea sana uyo ni mwehu
@errydeo88652 ай бұрын
Kisugu ni mshamba sana! Nchi za watu VAR ipo tangia,na maaumuzi bado yanakua na utata kila leo!
@mzeebabumzee2 ай бұрын
mbona una waka mume zowea zuluma kwisha sasa
@emanuelpetro95912 ай бұрын
Bichwa tengeeeee
@idrisahamimuhasani57172 ай бұрын
VAR ingekuwepo Simba isingechukua ngao yajamii mueelezen kisugu
@emanuelpetro95912 ай бұрын
Nikweli katika penalt kipa Salimu alikuwa anatoka golini kabla mpigaji hajapiga
@salimmalaka2562 ай бұрын
HATA KAMA NI GOLI MADAMU REFA HAKUONA KWA MACHO YAKE BASI SIO GOLI IMEENDA HIYO 😂😂😂😂😂😂😂 MATOPOLOOOOOO
@pinielloilole43402 ай бұрын
Bichwa box unaendelea kumuhoji kisugu chizi
@NtuzuNtuzu2 ай бұрын
hamuna mm simba, ila mkumbuke hatujaleta lobot, ameleta sklin je refa akigoma kuangalia.
@charlesmntambo42492 ай бұрын
Hilo jitu halina akili
@avitusmichael52 ай бұрын
Na nyie muwe mnaacha kuhoji wehu, sasa kisugu mnamwona zinamtosha?
@adamlubawa12812 ай бұрын
Kuna goli la Singida lilikataliwa Chamazi
@OmaryAthumani-db3vp2 ай бұрын
Wewe kisugu UNGA ndio unakufanya uongee ili upate posho na Simba njaa hizo wewe mkundu
@adamlubawa12812 ай бұрын
Huyu sio mwanamichezo ila anatafuta kujulikana kupitia soka
@Yangaone-h8j2 ай бұрын
Tatizo li Kisugo usimba ni mwingi kuliko mpira
@errydeo88652 ай бұрын
Haujui mpira! Ndo shida yake! Huku ulaya VAR BADO INAWAPA SHIDA NA KUANA MAAMUZI MABAYA NA WAN TECH YA KUTOSHA!