Wizara ya Ardhi yajipanga kwa maboresho sera ya matumizi ya ardhi

  Рет қаралды 296

Azam TV

Azam TV

10 ай бұрын

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi iko katika maboresho ya Sera ya Ardhi ili kuwa na sera itakayoleta suluhu kwenye changamoto za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi nchini.
Hayo yamebainishwa tarehe 2 Septemba 2023 na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani yaliyofanyika jijini Dodoma.
Amesema maeneo yanayoenda kufanyiwa maboresho ni suala la umiliki ambapo kwa mujibu wa sheria ya sasa, mwananchi anaweza kumiliki ardhi hata kama hajaitumia au kuiendeleza.

Пікірлер: 1
@user-ic5ie5nd1j
@user-ic5ie5nd1j 8 ай бұрын
Nakutakia mazuri kiongozi namba za simu zzko mkuu tunaomba wananchi tukupe changamoto zetu
Mdee aliamsha bungeni migogoro ya ardhi Kawe
10:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 660
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 3,1 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Mapya yaibuka uvamizi Ardhi, Wenyeviti Watendaji wa mitaa waonywa
7:12
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,5 М.
JERRY SILAA:UNAPOTAKA KUNUNUA ARDHI ZINGATIA HAYA
3:21
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН