Wizara ya Maliasili na Utalii waishukuru Familia ya Mzee Kiemi kwa Kufuga nyuki Kibiashara , Dodoma

  Рет қаралды 167

KIJIJI CHA NYUKI

KIJIJI CHA NYUKI

Күн бұрын

Wakurugenzi wa Kijiji Cha nyuki co Ltd ndugu Philemon Josephat Kiemi na Baba yake Josephat Kiemi SENGE wafungua Office Mpya ya Kijiji Cha nyuki na Shopping Mall ya Mazao na huduma za Nyuki eneo la Ilazo , Jijini Dodoma. Wakati wa Sherehe hizo ambazo Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda akiambatana na Maafisa kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Wafugaji wa nyuki na wateja wa Mazao na Huduma za Ufugaji wa nyuki Kibiashara. Katika Sherehe hizo Majirani , ndugu waalikwa walipata chakula pamoja na kuahidi kuendelea kutumia Mazao ya nyuki kutoka Kijiji Cha nyuki Singida/Dodoma-Tanzania.

Пікірлер: 1
@danielmoses2244
@danielmoses2244 3 жыл бұрын
Nami pia nachukua fursa hii kuishukuru hii familia ya KIEMI kwa MCHANGO wao MKUBWA katika suala hili la UFUGAJI NYUKI na FAIDA zipatikanazo tokana na ufugaji nyuki .... iwe KIJAMII, KIUCHUMI na KIMAZINGIRA .... Naendelea kujifunza kupitia kwenu ... I'm looking forward to make my dream of being a commercial entrepreneur through apiculture a reality ....
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 7 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
Germany’s Historic Election Results Explained
10:16
TLDR News EU
Рет қаралды 244 М.
Happy Environment for all- Kijiji Cha Nyuki co ltd
2:22
KIJIJI CHA NYUKI
Рет қаралды 298
Punguzo kubwaaa la bei ya vifaa vya ufugaji wa Nyuki!!!!!!
2:52
Beewonders _nature
Рет қаралды 365
Historia ya Kijiji Cha nyuki Singida-Tanzania
3:19
KIJIJI CHA NYUKI
Рет қаралды 1 М.
Zalisha Asali Mara Dufu kwa Kutumia Mbinu hii ya Masega Bandia
3:03
Beewonders _nature
Рет қаралды 1 М.
KIJIJI CHA NYUKI -SINGIDA: FULL DOCUMENTARY
14:00
KIJIJI CHA NYUKI
Рет қаралды 7 М.
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН