Women Matters (1): Wasichana wasimulia mateso waliyopata Uarabuni walikoenda kufanya kazi za ndani

  Рет қаралды 132,585

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 жыл бұрын

Kwenye episode hii ya #WomenMatters, Lillian Mwasha anazungumza na Maimuna na Zawadi wanaosimulia mateso waliyopitia walipoenda Uarabuni kufanya kazi za ndani kupitia mawakala ambao hupeleka wasichana huko. Pia amealikwa mwanasheria/wakili maarufu nchini, Albert Msando

Пікірлер: 1 400
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 жыл бұрын
Sote tulokuwa oman tunaafadhali tishukuru like tujuwane..natuwaombee wenzetu...ckatai Naum.bishi matatizo yapo
@husnauthman7609
@husnauthman7609 4 жыл бұрын
Yapo na tunaisoma sana tuu
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
@@husnauthman7609 daaah tunaisom namba😂😂😂
@halimambena6110
@halimambena6110 4 жыл бұрын
@@khadijakhadija6212 Huhuuhuu tukomae tu my wng hatuna namna tushukuru sana kwa sie tuliopo ktk family kdg inajia utu bt kuna wengine jmn wananyanyasika Acha tu 😢
@nahnahbasheer400
@nahnahbasheer400 4 жыл бұрын
Reply no yako apa kama upo uarabuni tujuane na tuwe marafiki
@halimambena6110
@halimambena6110 4 жыл бұрын
@@nahnahbasheer400 Nicheki Fb Natumia Halima mbena mbena ntakutumia No zng
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 4 жыл бұрын
*Mie niko urabuni mwaka 7 huo karibu naingia mwaka wa 8...alhamdulillah nyumba yangu hiyo hiyo.. Nimejiwekeza sihaba*
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 4 жыл бұрын
Sada Khamis maa shaa allah huku ughaibuni ni bahati ya mtu
@fatmax8710
@fatmax8710 4 жыл бұрын
hata mm nipo mwaka wa saba saivi nipo vizuri tu na sina shida yoyote
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 жыл бұрын
Mi pia SADA KHAMIS. ila wengine hata wakikutana na changamoto kidogo wanacharuka nakuwa na mambo ya ajabu wanashindwa kujua siku hazilingani alafu kila yumba inamapungufu .wapo wenye changamoto na wamevulia adi wamemaliza muda wao lbd aungue au apate tatizo yumbani ndio ataenda kabla ya muda. Afu wengine wanakuja tu kisa ni inje ya nchi ili waone pakoje. Jamani tuwe waangalifu vingine tunaweza jitakia matatizo tu
@officialsalmazayn2938
@officialsalmazayn2938 4 жыл бұрын
Me nina Myaka 4 Sasa Nyumba Ile Ile Alhamdulillah Maan Allah Amenipa Hekima Ya kuishi na Kila Mtu!
@emmypc8362
@emmypc8362 4 жыл бұрын
@@hatimalnaamani876 nakuunga mkono kabisa
@salamasalama3955
@salamasalama3955 4 жыл бұрын
Alhamdulillah nipo Oman hii naishi vizur nanapumzika vizur wala sipati changamoto zahivo
@gracetweve8485
@gracetweve8485 4 жыл бұрын
Salama Salama
@maryamoman5926
@maryamoman5926 4 жыл бұрын
Siwote wabaya yangine yawingo
@maryamoman5926
@maryamoman5926 4 жыл бұрын
Wanasema uwongo
@hindusaid4192
@hindusaid4192 4 жыл бұрын
Na mimi naomba nije nitoe ushuhuda wangu..nimeishi omani miaka kadhaa kwa ss nipo hapa tz..alihamndulillah
@bimkubwaali1605
@bimkubwaali1605 4 жыл бұрын
mama fanya kazi hawa siwafanyaji kazi wanaonesha kabisa wakavu hawa hamna mtu mwenye ubaya wa hivo oman nimeingia zaidi ya nyumba 10 hamna mateso ya wafanyakazi
@naomijonas6090
@naomijonas6090 4 жыл бұрын
Nimekupenda Sana mwanasheria unahoji vizuri Sana kweli unaijua kazi yako. Poleni kina dada mungu atusaidie tulioolewa huku
@missfahimakenya4583
@missfahimakenya4583 4 жыл бұрын
Alhamdhulillah nipo Saudia and life is so amazing the family are nice they do have humanity....
@ethannando6839
@ethannando6839 4 жыл бұрын
Weka namba tujuane
@hfj9315
@hfj9315 4 жыл бұрын
Nikweli haku sehemu yenye malaika tuu kila sehemu inashetani mimi namshukulu mungu naishi nao vizuli nina chumba changu wananipa kila kitu alhamdulillah ninamwaka watatu huu
@saudaomary8687
@saudaomary8687 4 жыл бұрын
Shoga Mwenye kilemba cha njano unamdomo sana kwa mdomo huo popote uwezi kufanya kazi,kazi inahidiji uvumilivu sana👌👌👌
@niasanga2373
@niasanga2373 4 жыл бұрын
😂😂😂😂Million 8 jaman duuh
@ashuraashura9511
@ashuraashura9511 2 жыл бұрын
KwaKweli Alhamdulillah kwa seleman mjengoni ni pazuri mashaallah anajali watu, ila Kuna sheria na taratibu lazima uzifwate huo ndio ukweli
@dottohami
@dottohami 7 күн бұрын
😂😂😂😂Kabisaa anaongea kama chelehan
@MuhammadUmar-rz3vn
@MuhammadUmar-rz3vn 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄unamaliza zeti kweli mama hayo yanatukuta sana oman tunajikaza ao maajenti mungu anawona
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 4 жыл бұрын
Mimi nipo omani bado mie 2 nimalize mkataba miaka 2 ila hayo yote yapo ila kunabaanzi ya nyumba nzuli.wanautu ila wengine majanga tuu
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 ай бұрын
Ee Mungu akutunze kipenzi Mimi bado mwaka my
@zainabubakari7159
@zainabubakari7159 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Wakirii namuonaaa kama kachokaaaa kusikiliza huyu chiriku ila anajikazaaaa tu😂😂😂
@salamasalama3955
@salamasalama3955 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zainabubakari7159
@zainabubakari7159 4 жыл бұрын
@@salamasalama3955 au we waonajeee maana had a nasinziaa 😂😂😂😂
@aishaabdalllah4149
@aishaabdalllah4149 4 жыл бұрын
Zainabu Bakari 😁😁
@maryamdounga2290
@maryamdounga2290 4 жыл бұрын
😂namm nimeligundua hilo yani anajikaza tu maana huyu dada hajuwi kupangilia maongezi
@zainabubakari7159
@zainabubakari7159 4 жыл бұрын
@@aishaabdalllah4149 😂😂😂😂 kwanza Wakirii sehem ya pili kakimbiaaa kabisaaaa
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 жыл бұрын
Weee dad mmh nashukuru mmebinya sautiii😂😂😂😂😂emtumeeeee weh😂😂😂tisiogopeshane💃💃💃💃💃
@fabiyolatylus7025
@fabiyolatylus7025 4 жыл бұрын
nawapendaaa mnoooooooo jmni i love you dada zangu mama zanguuuu jmniiiiiiii...mnanifundisha na kunjifungua akili mnoo uwiiii Mungu azidi kuwaweka😍😍😍😍😍😍
@brigitharmacha4991
@brigitharmacha4991 4 жыл бұрын
Wayasemayo ni ya kweli Jamani nasi tuombeane Mungu ili turudi salama
@husnaahussen9048
@husnaahussen9048 4 жыл бұрын
Amina
@shafiabdyally7205
@shafiabdyally7205 4 жыл бұрын
jaman huku nijambo la kumshukur Allah ukirud salama maan huku ni ubaya ubaya tu na ukipata mwenye kher bass umshukur mung tu ila hawa watu wanauwez wa kukugeuka muda wowote
@yassminassey6044
@yassminassey6044 4 жыл бұрын
Innallah my love 😘😚 💋
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 3 жыл бұрын
Hakikaa Oman jamani kuna mweng ila ndio hiyvo maisha
@salmaothuman8412
@salmaothuman8412 4 жыл бұрын
Niko oman miaka 13 alhamdulilah namshukuru mungu nimenenepa hatari nimejenga nyumba yangu nzuri ila magent wana matatizo sana
@bintialiali662
@bintialiali662 4 жыл бұрын
Assalam Alkm dah please nipe namba yako dah tuongee nataka kazi
@pendoEmmanueli
@pendoEmmanueli 3 ай бұрын
nitavutia kazi
@mebakaribakari7827
@mebakaribakari7827 4 жыл бұрын
Jamani uyu mschana anaongea kweli asemayo yashanikuta pole sana dadangu
@kyekue1
@kyekue1 4 жыл бұрын
Jamani machozi yaninitoka poleni sana , mungu atawalipa na mtafanikiwa maishani,
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 3 жыл бұрын
Hivi wanawake mnashida gani!?😂😂 mwanamke mwenzenu anajielezi baada ya kumtia moyo mnamrushia mawe..wanawake msipo badilika mtazidi kudhalilika kwasbb ya kukosa upendo to your kinds..mi nlitegemea comment za ushauri na kutia moyo na mawazo mema ya kujenga na kutoa majibu ya changamoto mnazopitia. MUngu awabariki sana🙏🏼🥂
@nasraally3480
@nasraally3480 4 жыл бұрын
Simuelewi huyo wa kilemba cha njano jaman anaongea sana 🤣🤣🤣
@samiramadenge953
@samiramadenge953 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄
@Hassanmofty
@Hassanmofty 4 жыл бұрын
Aeleweki yani kujielezea ajui
@itonyajuma8018
@itonyajuma8018 4 жыл бұрын
Hajui kujieleza hata sielewi
@debramultipurpose1571
@debramultipurpose1571 4 жыл бұрын
Abasave time bwana..uzuri Hana kigugumizi
@debramultipurpose1571
@debramultipurpose1571 4 жыл бұрын
Anasave time bwana
@fatmasayid9152
@fatmasayid9152 4 жыл бұрын
L.mwasha umependeza sana good jobs napenda kipindi chako
@dottohami
@dottohami 7 күн бұрын
Allamdulillah nina mwaka wa 4 asivi Oman na nina ishi vizuri na mabosi zangu ukweli kwamba hakuna kazi sio kua na changamoto kikubwa subra
@fatmadigo6686
@fatmadigo6686 4 жыл бұрын
Mtangazaj upo vizur san unasaut nzuri
@fatimawazeer701
@fatimawazeer701 4 жыл бұрын
Nipo Oman mwaka1o najumba hiyo hiyo niliyo fikia Alhamdulillah
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Ivi kweli ufanye kazi vizur uteswe si kweli we mwenyewe unamdomo sana
@hainesschaula7961
@hainesschaula7961 4 жыл бұрын
Mimi nimekaa Oman nashukuru Mungu tajiri zangu walikuwa wameishi sana Tanzania lakini wanamakazi na Oman pia. Nimeishi nao kule Oman kama mtoto wao. Mshahara nalipwa laki tatu na nusu kwa kuanzia.kiukweli niliishi kwa amani sana,matatizo ya familiya yangu yalutokea ikabidi nirudi Tanzania kiukweli walilia sana kuona narudi nyumbani. Gharama zote zilikuwa juu yao nilipewa pesa za miezi yote niliokaa kule na zawadi nyingi hadi nikashindwa kubeba zingine. Kiukweli hadi leo naishi nao kama familiya maana wengine wapo hapa Dar nakutana mara kwa mara.
@abdulazizharthy5627
@abdulazizharthy5627 4 жыл бұрын
Baada ya kupiga mdomo nyinyi waulizaji mumepata faida youote ?, watanzania huko oman wapo wengi tu tena alhamdulillah wanapata riziki zao bali huyo dada si mfanyaji kazi ni msemaji na mfitinishaji hana lake jambo asituharibie watoto wetu kwa riziki wanazopata mwacheni na ujinga na ufitinishaji wake mwacheni sasa atafute bwana huko Tanzania maana alikuwa anawashwa na mafuta hayakumsaidia poleni sana
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 4 жыл бұрын
Point bby huyu atakua mwanga sio kwa vituko hivi
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 2 жыл бұрын
Wanafiki Sana Mimi nipo Oman nataka nikirudi tz niongee kuhusu Oman
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 жыл бұрын
Mmmh makubwa kwenu ukoo...ila mnaotaka kuja oman njooni mcdangee Tz😃😃😃
@burhainaalgharibi7172
@burhainaalgharibi7172 4 жыл бұрын
Jmn kwl kbs kuliko kudanga bora ukakaz Moy oman
@maryammohd5994
@maryammohd5994 3 жыл бұрын
Tufanyien mipango tuje basi tunataka Ila hatuna jins yakufanya
@zayr4691
@zayr4691 3 жыл бұрын
🤣🤣waje wa pambane
@valerainmartini4037
@valerainmartini4037 3 жыл бұрын
Haaaa tujuane nimekupenda
@ZuhuraZuhura-lm8xk
@ZuhuraZuhura-lm8xk 2 ай бұрын
Nipo nashukuru nimepokelewa vizuri
@felistanampoka8862
@felistanampoka8862 4 жыл бұрын
Dah!! Muda inaumiza sana,poleni sana wapendwa.
@user-rf5tz5ft2y
@user-rf5tz5ft2y 4 жыл бұрын
Huku sitoki tuna chapa job no worry
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Mmmmmmmmh! Kweli matatizo yapo na aliyoongea baadhi Yamenikuta, ila uyu yalimzidi mpaka yakupigwa ni mtihani kwakweli.
@najmaharoub280
@najmaharoub280 3 жыл бұрын
Waongo tu hamuezi kazi huko oman wanahuruma na mungu mnayataka wenyewe acha yawafike
@mwanakombogodoro141
@mwanakombogodoro141 3 жыл бұрын
Kila ktu ni kusema 2 alhamdhullilah akuna ujanja uku Saudia mungu atusaidie
@rehemamungi6498
@rehemamungi6498 4 жыл бұрын
Hiyo ofisi IPO nizwa oman anavyosema nikweli wana roho mbaya sana kwanza unachukuliwa kama mateka embessy utapajua saa ngapi acheni kutetea ujinga kama umepata sehemu nzuri shukur mungu. Usione mtu anatoa ushuhuda unasema uongo mimi mwenyewe yamenikuta ofisi hiyo hiyo na hao wafanyakazi wa ofisini 1 Uganda mwengine filipino anaitwa rahma. Awafai hao watu.
@saadahassan1437
@saadahassan1437 4 жыл бұрын
Mungu awasimamie anaetafuta ridhki kwa jasho sio mchezo
@bilalikasim7438
@bilalikasim7438 4 жыл бұрын
Mnatutisha kwa kweli jmn
@annaraphael6613
@annaraphael6613 4 жыл бұрын
acheni kusema mambo yaujeuri na midomo. ikiwa umepata nyumba nzuri shukuru mungu kwa nafsi yako.lakini tambua kunawenzio wanateseka .hata mie ninaishi vizur lakini natambuwa wapo wenzangu wanateseka na hawana ujeuri wala mdomo.
@tttgghj2280
@tttgghj2280 4 жыл бұрын
Iyo kweli kbs dear kama wamepata nyumba nzuri wamshukuru Mungu mm mwenyew niko saudia ila nyumba niliofikia emo nimepata shida sana hadi nikajuta kuja huku
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Kweli mumy
@hfj9315
@hfj9315 4 жыл бұрын
@@tttgghj2280 pole
@burhainaalgharibi7172
@burhainaalgharibi7172 4 жыл бұрын
Ukpt Pazur mshkr sn mungu
@LisaLisa-wd8oy
@LisaLisa-wd8oy 4 жыл бұрын
@@burhainaalgharibi7172 poleni mie niko Saudia upande wa Riyadh namshukuru mungu nilipata boss mzuri Hana mambo mengi na pia kazi sio mingi juu yaye ameseeka na mme alifariki Sasa ni yeye na mwae mmoja na mimi kazi hakuna mingi, na pia nawambia Dada sangu kabla hujasafiri tafuta sadaka funga kwa maombi omba ukimwambia mungu akusaidie upate boss mzuri omba ukilia macho I na machozi yako banguza na hiyo sadaka utapelekea kanisani mwambie mungu akutangulie huko mwanzo nawe baadae uende mungu akisha tuma Malaika wake funga baada ya siku Tatu kwa maombi baadae peleka sadaka kanisani ungojee Sasa kusafiri
@tatuomary7973
@tatuomary7973 4 жыл бұрын
Ni kwel maisha ya uarabun ni shida lkn wasichana wenzangu ktk kutafta kunataka uvumilivu na subra hakuna mafanikio utakayo yapata kiurahic jmn kutafuta kugumu ukitaka usubir uletew haaya matokeo yake ndy km hayo unapata Kaz unasema unateswa ooh kutolewa msulule ooh waya wa umeme Kaz kwelkwel haya lkn me cna la kusema Zaid ya kumuoy Allah tuliokuwa kweny Kaz huku Oman m.mungu atupe nguvu zaid
@Laila-zl8lj
@Laila-zl8lj 2 жыл бұрын
Amina umeongea point 🤝
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 жыл бұрын
Nashkuru alhamdulillah nipo vizuri ila kuna wenzetu wako shidani mungu at wezeshe in shaa allah
@halimams2127
@halimams2127 3 жыл бұрын
hapo sawa jua kalii sana mm sikos veslin
@estamelejomah572
@estamelejomah572 4 жыл бұрын
Mimi nna mwaka wa 9.sasa paspot mpaka imeniishia sikupata matatizo alihamdulilah sijabadilisha nyumba
@zaujahamisi1461
@zaujahamisi1461 3 жыл бұрын
ukweli mtupu warabu walaaniwe maana si watu kabisaa washirikina wakubwa Allah awahifadhi ndugu zetu tuliowaacha warudi home salama
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Acha chuki wewe kuna wafanyakazi maelfu kwa maelfu unawasikkliza hao baadhi halafu unaenda kuomba eti waraabu walaaniwe kwahiyo umeshawashutumu waraabu wote wabaya,wewe sio bure unachuki na roho mbaya imekujaa na utakufa na umasikini wako na chuki yako na roho mbaya yako
@T1tanGamingCsgoMore
@T1tanGamingCsgoMore 4 жыл бұрын
Mnawaharibia wenzenu wenye adabu zao na haja ya kazi. Hao wanaonyesha wapambe sana watoto wa mjini
@rahmamollely5296
@rahmamollely5296 2 жыл бұрын
Dada anaongea mpaka anajisahau
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 4 жыл бұрын
Mshahara unalipwa elf 80??chaah!!au ulikusudia rial 80?na Maashallah unaogeaaaa..huna kituo,ila kuhusu ushirikina sikupingi yana,wako vzr..unaweza amka ukakuta umechanjwa,Ani waarabu salute
@koimobomba4740
@koimobomba4740 4 жыл бұрын
Mmmh jmn jmn punguzeni tui muweke mchele yaleo yamenichosha mmmmhh wewe dada unatatarika km bisi jmn 😂😂😂
@lizaizack877
@lizaizack877 4 жыл бұрын
😁
@zainabukassim9924
@zainabukassim9924 4 жыл бұрын
Huyuuu Dada ....in waruwaruuuu mweeeee
@matildakejo7785
@matildakejo7785 4 жыл бұрын
woman matters hayo mambo yako oman, kuwait, bahrain BUT KATIKA NCHI ZOTE ZA GULF QATAR IS THE ONLY COUNTRY HIVI VITU HAKUNA KBS JUST COZ NDIO THE ONLY GULF COUNTRY AMBAYO WATU WOTE NI WASOMI NA WA TZ WAPO WANA KAZI ZAO NA WANA AMANI UBALOZI TUNAO NA HAKUNA ISSUES. HEBU ONGEENI NA UBALOZI QATAR MUONE KAMA WANA TUKIO LA JINSI HII WALILOWAHI KUPOKEA AU HATA KUSIKIA. ILA WADADA WA KAXI ZA NYUMBANI KULE WA-TZ HAKUNA WOTE NI MAOFISINI OR CONSTRUCTION, MADEREVA SO ACHENI KUJIAMINISHA KUA GULF COUNTRY ZOTE WATU WANATESWA
@msoffegreece8874
@msoffegreece8874 4 жыл бұрын
Huyu dada hata hapumui. Mlizani huko uarabun mnaenda kuuza sura. Dubutu
@zuuothman9170
@zuuothman9170 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆
@naimastadi3133
@naimastadi3133 4 жыл бұрын
Ww lazima upigwe,kihere here wazungumza bila break kelele lo
@chickdee6402
@chickdee6402 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣zambi
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 4 жыл бұрын
Naima Stadi wewe ndie unapiga kelele
@danielmakalwe3118
@danielmakalwe3118 4 жыл бұрын
😂😂😎
@ocenathrkalwans6545
@ocenathrkalwans6545 3 жыл бұрын
Wwe dada muongo sana, passport ulitengenezewa kwa jina jingine coz ulikuwa huna chert cha kuzaliwa wakamua kukutengenezea na chert cha mtu mwingine ambaye wanafamiana nae dada wwe Mungu anakuona mbona unasema uwongo ivyo mmi mwenyewe nilikuwa oman muongo dada
@marrykundya5629
@marrykundya5629 4 жыл бұрын
kumbe shida sio hao watu..ni mashetani yako..pole sana..Jesus need you
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Wewe ni muongo ulienda kupeleleza maisha ya watu eti mwarabu atajirik mpaka atoe kafala we umejuaje usijifanye mjuaji kwenye miji za watu ungekaa kwenu ukauza mandazi
@kezakimanahussina638
@kezakimanahussina638 4 жыл бұрын
Jikaze mim mwaka3 miwiri nimemaliza Oman 2 nasasa nipo saudia navumiriya warabu nishida nikukazaloho kufanya kazi nawao
@ndayisabamadinah8955
@ndayisabamadinah8955 4 жыл бұрын
Ni shida Ndugu Kuvumilia tu upo Saudi sehem gani
@kezakimanahussina638
@kezakimanahussina638 4 жыл бұрын
@@ndayisabamadinah8955 Riyadh
@hamidaayoub744
@hamidaayoub744 4 жыл бұрын
Huyu anaongea sana mpk masikio yameniuma
@mariambeiiiby6157
@mariambeiiiby6157 4 жыл бұрын
dah polen sana
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Pole sana dadaangu, nahiyo pesa walio ichukua hao watu wa ofisi wataenda kukulipa mbele za MUNGU 😒😒😒🇰🇪
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 жыл бұрын
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Asiye funzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Tujifunze kutokana na makosa ya wengine. Hakuna jambo zuri kama kuwa kwenu na watu wako, hata kama huna kitu basi uko na furaha.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Mmh mawazo ya kimaskini hayo, ndio maana bongo hatuendelei, hatutoki nje, tumejifungia hatujui dunia inaendaje. Watu hawana chakula Ila wanajifungia ndani wanaishi kutegemea ndugu badala ya kuchakarika, kutoka nje kutafuta maisha. Yakitiki unashkuru Mungu, yakikushinda unarudi nyumbani lakini utakuwa angalau umejaribu sio kubweteka na ndugu kisa kuogopa nje au maendeleo ya kujitafutia mwenyewe
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 I mean kusafiri lazima ujipange, ujue unakwenda wapi na kufanya nini na utaishi vipi. sio ukurupuke tu wende sehemu bila ya kufanya research ya kutosha. sio unasikiliza maneno ya watu tu kijiweni. kama kuna vita kwenu kimbieni lakini kama swari aahh home sweet home. Their is no better than your people. Them two young lady they get home sickness when they was there. Now they are happy back home.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Sawa una pointi lakini wapo walio jaribisha maisha na Mungu akafungua milango. Ni ngumu kukaa kijiiweni na ndugu usibiri neema zije au zishuke toka mbinguni. Wapo walio enda nje (blindly) yaani Tena kwa zile boti na kuzamia, wapo walio sahau shida wana pesa, wamejenga na wanawaajiri hao waliong'ang'ania kubaki home vijiweni bila kazi. Ila wapo waliokwenda kama Hawa wadada ikashindikana na wakarudi. Sasa Hawa wadada wakiwa na maisha magumu nyumbani huwezi lalamika maana waliisha jaribu angalau sehemu, kuliko walio shindwa maisha kwa kuogopa kuvulia maji kuoga eti mpk aangalie joto la maji ni kiasi gani. Saa nyingine ukiangalia joto la maji ukajua unaweza usioge maji😄😄😄😄😄😄 ukabaki unanuka kwa uchafu. Ila ukidumbukia ukakuta yamoto unaweza toka umeungua lakini unakuwa msafi na unanukia😄😄😄😄 nisamehe kwa mfano huo but I think you got what I mean.
@aishaahmed3756
@aishaahmed3756 4 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 hahahaha upo Sasa kabisa
@marrykundya5629
@marrykundya5629 4 жыл бұрын
tukiwachukua sisi watzd wenzao hawatulii..acha wapate mnyoosho kwa watu huko.mbona mshahara kama wa huku tu..
@mubamubasaid9949
@mubamubasaid9949 4 жыл бұрын
Dada we muongo sema ilichofanyiwa sio kweli mshahara apewe ajenti
@RubenIbraim
@RubenIbraim Ай бұрын
Huyu Binti anaonekana tahila hata hapa huwezi kumwajili😂 tena nawapongeza kwa kukuchapa japo hawajakipiga
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 4 жыл бұрын
Kam umepata nyumba nzuri mshukuru mungu achen kutetea wapo wanaoteseka ten san
@wemakitina6050
@wemakitina6050 4 жыл бұрын
Kweli dada
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 4 жыл бұрын
@@wemakitina6050 mm nimewaon weng tyu jinc wanavofanyiw wengin mpk wanatorok usiku kwend ubaloz alaf mtu baad amtetee mtanzania mwenzake anamchamba hawajui kam wapo waarab ambao wanajua kiswahili wanatuon hatupendan mwenzetu kasem bc kam huna cha kusem pita tyu usicomment kis ww upo pazur
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 4 жыл бұрын
@@wemakitina6050 japo nipo pazur lkn siwez kumchamba mtanzania mwenzangu ht siku moja kwa kwl
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 4 жыл бұрын
Wa Tanzania hawawezi kufanya kazi wamezoea mambo mengine wa Kenya wa Ethiopia na na wa ganda woote wanafanya kazi na hizo kazi zimewafaa binti mmoja mtu wa mwanza alinionyesha nyumba tatu alizozijenga.na anasema hataki kurudi Tz.
@twariatiomary486
@twariatiomary486 4 жыл бұрын
Acha kusema ivo mbona kuna waganda nimewashuhudia wawili wameshindwa kazi mmoja kaludi kwao na mwingine kaludishwa ofisini usisemee watanzania semea mtu na loho yake ikoje na kapata nyumva ya aina gani kuna nyumba zingine azikaliki hata walete wahindi tunawaona wanashindwa
@rahmamollely5296
@rahmamollely5296 2 жыл бұрын
Wamezoea kudanga Akisha kumbuka kuziniwa anaanza vituko
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 4 жыл бұрын
Huyu wa kilemba cha njano lazima kazi imshinde anaonekana mbea kweli, ingawa waarabu wana roho mbaya.
@leylasaid2616
@leylasaid2616 4 жыл бұрын
Sure
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Heeeeeee haloooo
@frankpascal1220
@frankpascal1220 4 жыл бұрын
Eneo Latukio mnasema hayajakuta jaman
@user-br9lp8dy2e
@user-br9lp8dy2e 4 жыл бұрын
Jamanii😂😂
@debramultipurpose1571
@debramultipurpose1571 4 жыл бұрын
Hapana..mie naona anaongea huru kwa kua Yuko tz..sidhan km anaweza ongea Hivi omani alafu naona ndo zungumza yake...
@neemaneema5724
@neemaneema5724 4 жыл бұрын
Uwiiiii mikono meusi balaaaa tofauti kabisa na uso
@petal8776
@petal8776 4 жыл бұрын
Uende uarabuni Sab ya 80tsh duh. Njoo Ata Kenya kazi za ndani bei nzuri zaidi ya laki
@hadijahassanmgonja3352
@hadijahassanmgonja3352 4 жыл бұрын
Sio shilling nireal 80 nisawa nalaki4 zatanzania
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 жыл бұрын
Pole sana dada jmn
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 4 жыл бұрын
Hiyo kweli nkusapoti watoto hawalali usiku kucha wana simu ww inakuwa tabu hulali wao wanalala alfajiri shinda acha iitwe shida pole my kwamisukosuko
@frankpascal1220
@frankpascal1220 4 жыл бұрын
Asha Zaharan nashangaa wanaosema anadanganya
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 4 жыл бұрын
Frank Pascal unajuwa kaka ukiwa hujakutana na changamoto utamuona mwenzio mjinga ilaa ukweli ni huo
@mytube3687
@mytube3687 4 жыл бұрын
Hiki kipindi chenu mmewaleta waliopata matatizo tu. Kwanini msilete pia wanaofanya kazi na hawakupata matatizo. Nina uhakika wasiokuwa na matatizo ni wengi sana. Maana walio na matatizo wengine ni wafanya kazi wenyewe sio waajiri. Kama mfanyakazi kafanya kazi zaidi ya miaka miwili akaongeza miaka mingine ina maana Hana matatizo. Huyo dada anaesema Damu ilimtoka siku 20 mpaka 30 . Binadamu gani anaeweza kutoka damu siku 20 bila kufa. Katika maelfu waliopo Oman hao wawili au watatu wamepata matatizo huo si uongo.
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 2 жыл бұрын
Alihamdulilah Oman me family are nice they do have humanity
@khadijambuya794
@khadijambuya794 4 жыл бұрын
Miye kwa ssa ninakazi ila nitatoa comment moja kwa kwaajili ya makonki wenzengu wa Oman na dubai but nakuja
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
Tunasubiri
@khadijambuya794
@khadijambuya794 4 жыл бұрын
@@khadijakhadija6212 😂😂😂uwi umenifanya nimecheka kwa sauti hatar mpka mphilipino kanishangaa
@maryamdounga2290
@maryamdounga2290 4 жыл бұрын
😂tunasubr
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
@@khadijambuya794 Ewaah nakusubir ulet mambo hpa
@khadijambuya794
@khadijambuya794 4 жыл бұрын
@@khadijakhadija6212 khadija naomba namba yko
@hamastien5439
@hamastien5439 4 жыл бұрын
Wallah ten huy dad anasem kwel
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 4 жыл бұрын
Nawapenda😘😘😘
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 жыл бұрын
Oman wabaguzi sana niliona kwa macho yangu nilienda holiday sitaki hata kurudi sponsor anachua pesa na wakati narudi airport watanzania wenzangu wanalia hawajalipwa wanarudishwa kama watumwa hadi huruma
@lucky9285
@lucky9285 4 жыл бұрын
😀😀😀😀walikuwa wanafanya kazi gani? ??
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 жыл бұрын
@@lucky9285 za ndani nikawa nawauliza ndio wakaniambia
@neyjoseph813
@neyjoseph813 4 жыл бұрын
Huyo dada wa kwanza anaonekana dishi limeyumba kabisa najaribu kumsikiliza wala simuelewi😎😎👐
@arafatalshabani1372
@arafatalshabani1372 4 жыл бұрын
Hahahahahahahaahhaahahahah Hahahahahahahaahhaahahahah Hahahahahahahaahhaahahahah Hahahahahahahaahhaahahahah
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 4 жыл бұрын
Hahahh dah eti dishi limeyumba
@niasanga2373
@niasanga2373 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Hata mm sielewi
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanamisp0fu760
@mwanamisp0fu760 4 жыл бұрын
Pole dadangu kwa yalio ya kupata sishangai na unayo yasema, mateso kweli yako gulf na ikiwa umefanikiwa kupata boss mzuri uko na miaka mingi shukuru mola wako
@aishafahdi8355
@aishafahdi8355 Жыл бұрын
Nipo Oman Nina miaka 8 sas na nimejenga na Nina Kiwanja kingine na watt wangu wanasoma Alhamdulilah nashukuru mungu kwa uvumilivu wangu 🇲🇬❤️🇹🇿❤️
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu zangu
@dottohami
@dottohami 7 күн бұрын
Mashaallah❤
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 4 жыл бұрын
Mm nilikua Saudia miaka mitatu na nusu nilikua nikifanya kazi kama punda tena day and night. Lkn Alhamdulilah nilikua sipigwi na mshahara wangu nilikua nalipwa vzr ndio maana nikavumilia hizo kazi, ALHAMDULILLAH nilitoboa nikarudi home salama.
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
Halima hassan Hongera mwaya kwa kufanya kaz kwa bidii maana hakuna bos anayetaka mfanyakaz mzembe
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 4 жыл бұрын
@@agathathobias8690 Shukraan Lkn wajue ss pia ni binadamu kama wao hatutumii petrol Swahiba.
@salehsaleh591
@salehsaleh591 4 жыл бұрын
Inamaana umeshalud tzd
@joharijumajohari6417
@joharijumajohari6417 4 жыл бұрын
We dada mtangazaji unawaisha sana story
@zezezeze8408
@zezezeze8408 4 жыл бұрын
pole sana ...inshaAllah khery mola ataleta khery zake.....ila mm nipo miaka 10 huku omani na nimeanza kufanya kaz nba miaka 17 ila ALHAMDULILLAH mola analeta khery yake
@farahmussa9754
@farahmussa9754 4 жыл бұрын
Zeze n naswal nataka nikuulize naomba ushirikiano wako
@maidahassani1377
@maidahassani1377 4 жыл бұрын
Kama jina lako zeze myaka kumi unatumika tu kwamutu tena kazi za ndani hujapata mtaji ukajiajir mwenyewe 🤔🤔🤔🤔
@zezezeze8408
@zezezeze8408 4 жыл бұрын
@@maidahassani1377 Assalam Alaykum.....kwakeli nilipoanza kaz ni mdogo na akili zangu hazikuwa kuwaza ivoo ila niliwaza kijenga ata kajumba kidogo lkn niwe nnakitu ambacho hichi ndio jasho langu la halali ....Alhamdulillah naendelea na ujenz na vibiashara vidogo vidigo kijikidhi mahitaji yangu mengine
@zezezeze8408
@zezezeze8408 4 жыл бұрын
@@farahmussa9754 Assalam Alaykum hamna neno naweza shirikiana na ww kwa jambo jema
@farahmussa9754
@farahmussa9754 4 жыл бұрын
@@zezezeze8408Waalykum salam swal nilotaka kukuuliza wala halina shar lakin ahsante shukran ukht.
@abdulqareemabdallah2579
@abdulqareemabdallah2579 2 жыл бұрын
Maisha ya uharabun mateso Sema ukipat a nyumba nzur na kuish vizur unashukur mungu Lakin mateso nyumba mbayakweli ofice hazina ushirikiano wakikuuza bs umepat shida hawajui wao wanajua pesa kukukuza bs Allah tunusuru katika utafutaj binafsi na fanya kazi nnje Lakin nimepitiya mengi ambayo ukisimuliya unaliya nashukur mungu naswal sana mwenyez mungu tunusuru yarabii
@mdmubrak8152
@mdmubrak8152 4 жыл бұрын
Mmmmh Dada umetatarika sana duh ilaminashukuru kwakweli nipo salama nannatunzwa ilaunawatisha wenzio khaaa
@azzahusein1843
@azzahusein1843 4 жыл бұрын
Nami pia natamani nikuone niseme Yangu niliopitia
@sofiyasofiya3003
@sofiyasofiya3003 3 жыл бұрын
Njoo tu kalibu
@mwanamdada9523
@mwanamdada9523 4 жыл бұрын
nawapenda sana
@lucky9285
@lucky9285 4 жыл бұрын
Inategemea na familia unayokwenda,familia mbaya ata Tanzania zipo. Milioni 8 ya Oman sio kweli atalipa kama Rial 800 .Milioni 8 ya Omin ni almost 28 Milioni ya Tz.
@emmanuelhaule1023
@emmanuelhaule1023 4 жыл бұрын
kwa rate ya sasa oman rial 1 ni 5976 ya tanzania, kwa mantiki hiyo hao maagent ni matajiri sana. Na huyo dada anatakiwa awe na maisha mazuri sana maana rial elfu themanini sio mchezo ambayo ni zaidi ya million 478 ya tanzania ambayo anadai kulipwa kwa mwezi. Sasa fikiria hao maagent watakuwa na mpunga mrefu kiasi gani
@lucky9285
@lucky9285 4 жыл бұрын
@@emmanuelhaule1023 😀😀😀😀anachanganya hesabu
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 4 жыл бұрын
Lucy sabasaba hesabu zako ni zipi ??? Ni zaidi ya billion 47 za tz
@jenifajafari7670
@jenifajafari7670 4 жыл бұрын
Huy Dada anasema kweli iyo ofis Ndo ya Boss wangu wanatesa Sana wa napiga jamani mh 😢
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 4 жыл бұрын
My dear Kwan upo Iraq??maan Iraq ndio kuna ofic hakuna ubalozi..mi nipo Iraq naomb ujibu my tujuane
@jenifajafari7670
@jenifajafari7670 4 жыл бұрын
Ndio my
@cathelinjoseph3366
@cathelinjoseph3366 4 жыл бұрын
ukovizuri dada unaongea hatari
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 4 жыл бұрын
@@jenifajafari7670 naomb no yako ya waasap..maan mi mwenyew ofc nilitoka mie wanapiga balaa ..ukirudishwa oficn et kuw umeshindwa kaz NI unapewa kipigo Cha Zaid ya mbwa Koko ..hebu nip no tuongee uzur
@jenifajafari7670
@jenifajafari7670 4 жыл бұрын
@@rosesamwelitenga4648 OK saw
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 4 жыл бұрын
Skatai anachokisema ni kweli baadhi yao wanayapata haya Allah atunusur
@masoudtalaey7554
@masoudtalaey7554 4 жыл бұрын
@Bi Radhia Ubaya hauna kabila ..ktk alosema asili 95% ni Uwongo sikiliza video zote tatu kataja million 8 za Rial Oman Ambao ni sawa sawa na Dollar million 20 wakati million 20 Dollar iyo ni Bujet ya benki kuu ya ZNZ .
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 3 жыл бұрын
@@masoudtalaey7554 🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaan mil 8 kila m2 angekuwa tajir na kila m2 angeenda
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 4 жыл бұрын
Niko Oman naishi Kama Niko kwetu... Hao Ni wale wanaokuja kujiuza nasio kazi.. Wakishidwa wanaotokwa na Maneno machafu
@sikudhanimoshi6602
@sikudhanimoshi6602 4 жыл бұрын
Nashukuru Allah naishi vizuri tatizo mshahara mdogo
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 4 жыл бұрын
Me npo Oman maabela
@mouzahal-alawi6474
@mouzahal-alawi6474 4 жыл бұрын
Kavaa Flana ya Emetetes katumwa huyooo..atangaze biasharaa
@jokhamohamed7096
@jokhamohamed7096 4 жыл бұрын
Samahani wakubwa wa woman matters , siku zote muna leta ku kipindi chenu watu wa heshima na tuna jifunza mengi mazuri saana kupitiya vipindi vyenu.Ila ya leo hiyo mumeenda wrong side. ...Mnakaribisha watu bila elimu kabisa na wasiyo na heshima na uongo mtupu.Mara huyo dada anasema haijulikani fasi aliyo kuwa Dubai ni emirat na Muscat ni Oman. Cha pili anasema pesa bila kujuwa millions za Oman munajuwa ni ngapi kwa kumleta yeye ?Rials za Oman ziko juu zaidi ya Dollars za USA. Millions moja tu za Oman zinauza siyo chini kama villa zakutosha kama 3. kingine cha 3 anasema alikuwa mwizi wa mafuta, tabia yake ni mwizi .Mtu wa heshima na dini hatachukuwa kisiyo kuwa chake siri ao dhahiri. Ntaendeleya ku comment vingine nione the end
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@danielkipeta2355
@danielkipeta2355 Жыл бұрын
Wewe nimpumbavu
@shakilakhamis2413
@shakilakhamis2413 4 жыл бұрын
subhna llah
@aminaally5397
@aminaally5397 4 жыл бұрын
Halafu we muongo mwanzo umesema ,ulienda nyumba lkn kazi zako kushughulikia kupika na usafi wtt hushughulikii mara unashughulikia wtt
@azzahusein1843
@azzahusein1843 4 жыл бұрын
Kazi za uarauni watafuteni waliokuwa na uzoefu wa miaka zaidi ya 10atakupa maisha yote ya kule wengine wanakuwa niwakorofi midomo wa nataka kushindana na madam zao wa nataka kuishi kama wako kwao na kusahau malengo waliokuwa wamefata na wengine wavivu wa kazi na ndio pale anapoona kama anateswa
@wardamzuka3997
@wardamzuka3997 3 жыл бұрын
Da azza nitumie nambako
@seifaysha2962
@seifaysha2962 4 жыл бұрын
Kwani mnaitwaga kwenda oman? Halafu sasa kwa huo mdomo ulonawo huwez kukaa na mwarabu unaonekana ww mwenye lemba la njano
@PpPp-io6rj
@PpPp-io6rj 2 жыл бұрын
Wewe muogope Allah acha ungo
@jamilashoo7749
@jamilashoo7749 4 жыл бұрын
Jamani jmn huu dada nimuongo sana hakuna kitu kama icho ila simshangai maana wadada wengi walizoea kudanga Dar kazi lazima iwashinde week tu anawashwa anaanza kiburi na . dharau mwisho wanarudishwa ofsin wanawasema vibaya mabosi wao sio vizuri jmn mnawaribia wengene wanaogopa kuwa huko muogopeni Allah
@user-cn8qy1sl6q
@user-cn8qy1sl6q 2 ай бұрын
Mungu nisaidie Bora nife mm siwezi visa hivyo tujikite Kwa Mungu tu tuipende nchi yetu
@Quilant749
@Quilant749 4 жыл бұрын
Huyu dada alikua Oman ama Dubai? Kwa kweli huyu dada ana mdomo sana ulikua unagombana na ajent kivipi sasa, hata kama uliteseka lakini unavyojieleza una mdomo sana, hata maswali hungoji unajibu before na unajibu kitu hujui
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@suleimanalkindy5731
@suleimanalkindy5731 4 жыл бұрын
Huyu Zawadi anaonyesha mshirikina sana jinsi anavyoamini mashetani
@habibadhikr9406
@habibadhikr9406 4 жыл бұрын
Sahihi ukiwa na mashetani tulia nyumbani
@wemakitina6050
@wemakitina6050 4 жыл бұрын
Hapana jaman huu ni utafutaji tu inawezekana ameteseka kweli
@wemakitina6050
@wemakitina6050 4 жыл бұрын
Hapana jaman huu ni utafutaji tu inawezekana ameteseka kweli
@danielkipeta2355
@danielkipeta2355 Жыл бұрын
Jamani tufanyeje kazi hukuhuku Kila kitu kipo hukuhuku mungu kukuleta Tanzania anamaana muhimu
@maryamoscar438
@maryamoscar438 3 жыл бұрын
Nipo oman mwaka wa 6 huu. Nyumba ni moja alhamdulillah kwakwel wabaya sio wote
@rehemaa597
@rehemaa597 4 жыл бұрын
mh mwenyewe niko Oman changamoto zipo hawa hawana uzuri wowote hata hawa wanaosema wamekaa miaka 10 ni uvumilivu tu huku lazima uzulumike tu wanadai mkitaba hawaijui
@sweetchowdhury1155
@sweetchowdhury1155 4 жыл бұрын
Upo sahihi love hata mshahara hawalipi kutokana na mkataba
@kashambanange6843
@kashambanange6843 4 жыл бұрын
@@sweetchowdhury1155 kabisa wwnaompinga huyu Dada mmh...m nipo na familia ya watu 10 gorofa 3 sipigwi ila kazi nilizonazo ni kipigo tosha.na namwenzangu alitemewa hadi mate uson na ni mpole balaa.ila shida haina adabu nikuvumilia tu
@sweetchowdhury1155
@sweetchowdhury1155 4 жыл бұрын
@@kashambanange6843 ndo hivyo dear bila uvumilivu huku huez kufikia malengo
@mytube3687
@mytube3687 4 жыл бұрын
Wanaopata matatizo ya mateso warudi makwao.kitu gani kinawaweka oman au Dubai.hizi nchi zina wafanya kazi Tuka nchi nyingi na wanafanyakazi miaka Mingi na kuondoka kwa upendo wao.Ajabu naona nyie watanzania ndio mnalalamika.
@burhainaalgharibi7172
@burhainaalgharibi7172 4 жыл бұрын
@@mytube3687 mwnyw nashangaaa huwz kz uclalmk rud tz
@slimslim7819
@slimslim7819 4 жыл бұрын
Huyu Dada Ni Muongo Sana Na Madam Kapelekwa Nyumba Zaidi ya Moja inamaana Upungufu Upo Kwake
@saumushabani1628
@saumushabani1628 4 жыл бұрын
Huyo dada ni muonga sana
@azzahusein1843
@azzahusein1843 4 жыл бұрын
Wa Oman ni kawaida kwao kulala chini ila kwa sisi wa Tz kwetu kama vitu vya mshangao na huko muwasho anaosema ni halo ya hewa kule joto sana kuliko LA Tz
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
We Dada huwezi kufanikiwa karahisi rahisi tu unapo tokakwenu kwenda kutafuta maisha unatakiwa uwetayari kwahali yoyote utakayo ikuta maisha yanachangamoto nyingi sana kama mtu hajakuzalilisha kingono kama ni kazi tu fanya kazi achani kulaumu watu kama hamtaki shida kaeni majumbani mwenu kuna wengine wanafanya kazihadi wanajiskia kizng zngu wanatoka damu puwani wanaanguka na wanainuka wanaendelea nakazi na hawasemi kwasabab mchumia juwani hulia kivlini unapo enda kwanyumba zawatu jarbuni kuwa wavumilivu 😂😂
@nehadong7946
@nehadong7946 4 жыл бұрын
Nyie wadada waongo mbona kuna wasichana wako kule na wanafurahia kazi zao na hata. Hawataman kuacha hizo kazi mxeuuu
@ameenaameena3324
@ameenaameena3324 4 жыл бұрын
Neha dong 79 hakuna kitu kama hicho hakuna mfanya kazi huku eti anafurahia kazi na hatamani kuacha kazi tunatamani saana kuacha na kurejea nyumbani Ila tunaahindana na nafsi ili tuweze kupata kile tulicho kifata mimi nina myaka 4 hakuna wa kunidanganya wafanya kazi kila siku wanalalamika huku kikubwa tunapana moyo na ushahuri
@halimatanzania645
@halimatanzania645 4 жыл бұрын
Usilolijua nisawa na usiku wa giza
@nehadong7946
@nehadong7946 4 жыл бұрын
Ameena Ameena labda nyie hamjaenda kufanya nyie kwan mm sijawah onana na watu wenyekufanya kazi huko wanasifia sana maisha ya huko
@nehadong7946
@nehadong7946 4 жыл бұрын
Halima TANZANIA siongei kwa kubahatisha dada nimeona na nimeshuhudia
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
Uyu anaonekanaa anamdomoo sana kwakweli 😏😏😏😏
@armaanmaryam4645
@armaanmaryam4645 4 жыл бұрын
Hhhuhuhhy
@loveahmed7892
@loveahmed7892 4 жыл бұрын
Halafu muongo et mshahara maajent Wana chukua Astaghafirullaah Astaghafirullaah Astaghafirullaah kweli warabu Wana roho ngumu ila huyo Dada ame zidi kwa uongo wake
@aishhm6843
@aishhm6843 4 жыл бұрын
Usiseme anamdomo uyajui ww unalijua ungekaa kimy 2 usitetee usioyajua
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
@@loveahmed7892 Baadhi ya maajent wanachukua mishahara miwili au mmoja mimi binafsi yalisha nitokea.
@kijolysahaly1323
@kijolysahaly1323 4 жыл бұрын
@@loveahmed7892 usipinge ndugu inaonyesha hujui kumsomamtu jinsi anavyoongea unaona anaongea kwahisia kabisa hayajakutokea.
@agriparose3942
@agriparose3942 4 жыл бұрын
Please sns mnaweza kunifaidia kupata no ya Msando?kuna mengi naamini anaweza kunisaidia kisheria! please
@gsrinpbdvu2114
@gsrinpbdvu2114 4 жыл бұрын
Mmmh sio kweli ss watunachukuliwa ofisin kwa diram elfu 10
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 4 жыл бұрын
Magufuli alifanya vizuri kuzuia Watanzania msitoke kwenda nje imekuwa bora sana. Bora msirihusiwe kabisa kutoka nje
@bahatimchuwa1733
@bahatimchuwa1733 4 жыл бұрын
Mbona watu wanakuja huku kila cku hakuna kuziuwa wala nini
@loveahmed7892
@loveahmed7892 4 жыл бұрын
Ume chemusha ndug ss tupo Oman kwa raha zetu 😂😂😂😂😂
@user-zj8ul2tp4t
@user-zj8ul2tp4t Ай бұрын
Ndo tupo oman sisi watanzaniya😅
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
WOMEN MATTERS - JE NI SAWA KUOLEWA NA EX WA RAFIKI YAKO?
24:49
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 2 М.
WOMEN MATTERS - KUACHANA KWA SMS BAADA YA MAHUSIANO YA MIAKA 3
31:55
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 2,3 М.
Поймали акулу
0:51
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,4 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
0:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 9 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
0:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
Поймали акулу
0:51
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,4 МЛН