Alikua ananuna , mood swings akipetiwa shida akiwa na shida nakuwepo ila mimi hayupo hata kuuliza imekuaje na akija anagomba kuwa simtafuti kumbe hakuwahi kujibu hata na anasema hajaziona! Nilimpenda yeye tu sio pesa ila hata nusu saa yake sikuwahi kuipata! Na uongo juu! Nilitembea mbele ..
@halimaomary68843 жыл бұрын
Harufu jaman harufu za mwili mtu anavaa boxa wiki nzima inatoa harufu mtu ndan hana ata sabuni ya kuogea alafu unaamua kutumia lugha ya upole unamuelewesha utakuta anakujibu wew tena umeanza 🤣🤣badilikeni kaka zetuuuuuuu
@mwajumamwishehe27433 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@luhanyamipawantobi68883 жыл бұрын
Sisi sio Kaka zenu,,,NI wame zenu bhana
@سعيدالنعيمي-س4س2 жыл бұрын
Daaa mimi apo kwenye halufu hua pana nikela sana
@SuzanaEdward-g3s9 ай бұрын
😂😂😂😂
@DeoApronali4 ай бұрын
Mtoto anaamka😂😂😂
@stevensamwel48543 жыл бұрын
Nikweli ndugu Joel nakubali ili na bahada ya kusikiliza ninakiri tuko hivyo, utafiti wangu nimegundua atukujiandaa kwenye swala la mausiano ya ndoa tumekurupuka waume na wake. Laiti wangetujua wanaume tulivyo wasingeangaika sana, kwa sababu tuko hivyo watumie nafasi hii kukubali mathaifu yetu. Pia wajue kuwa maisha yanabadilisha muelekeo.
@judithmwambe47673 жыл бұрын
Bila shaka kaka Joel...na tunapoongea jambo tunakatishwa na kuambiwa ndivyo mlivyo wanawake hamna utakachozungumza cha maana.
@roi25543 жыл бұрын
Wanaume tayari tushajifunza tunaahidi tutabadika maana imetugusa sana Ila sasa mkuu Ikiwezekana fanya tafiti pia kwa wanaume ili 'na wao wajue vitu gani hatuvipendi kutoka kwao
@eyumededu29483 жыл бұрын
Tulishapewa
@ladslauspius48453 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@omarhango45643 жыл бұрын
Mmmh pigilia na upande wa pili ili tuende sawaaa
@azizakwileka16863 жыл бұрын
Hivyo vitu ni kweli kabisa... Hasa hapo kwenye harufu na uongo jamani, kupelekeshwaa aaaagh.. Uuwiii😀😀
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣Shahawa kqmq beberu yani😅😅😜
@sugarkheri46802 жыл бұрын
Joel hii Kwa mtazamo wangu inawezekana inachangiwa sana na malezi yetu baadhi ya wazazi
@silviamacha69623 жыл бұрын
Kupewa muda na mwanaume pia ni kitu muhimu sana mwanamke anapenda sana kusikilizwa ata kama kitu ni kidogo. Somo zurii sana kaka 😊
@mussalulenga99393 жыл бұрын
Nina kasolo moja tu kwa mtu wangu nampa mda mchache sana ila nikiwa frii nashinda nae tukifurahiana mda wote sema kwa wikii labda mara 1
@kwizeraismael87843 жыл бұрын
Asante Sana joel.. kusema ukweli nimejifunza kitu ambacho naona kinaelekea kuvunja mahusiano yangu na yule nnaempenda... Kweli kuanzia Leo ntajitahid nijirekebish maana tatizo ni apo kwenye order... Nilikua natumia Sana ila mungu anisaidie... Kuhusu kumsifia namsifia ila kwa Sasa yupo mbali kimasomo ila hakuna asojua sifa zake katika marafiki zangu.... Na nilisha tenga mda kwajili take...
@manenolugendo63963 жыл бұрын
Kwenye harufu hapo ni sawa kuhusu ku care hiyo nikazi ya wote wanawake humchukulia mwanaume kama msukule wakufanya kila kitu yeye akiwa free kabisa. Ukiona Mume kamnyamazia mke jua kashachoka kaelekeza hasikii. Mwisho ukitaka kumridhisha mke hapo utaumia sana labda ugeuke kuwa shetani wanamuelewa sana shetani kuleko. Napia wakumbushe wasiombe ombe pesa sana. Mwisho ya yote ujumbe mzuri san bro See.you
@upendoagustino21743 жыл бұрын
Hahaha wasiombeombe hela wapate wapi Kama hujamfungulia biashara
@naftalkileo52245 ай бұрын
Vyote sawa ila kwenye uongo haukwepeki. Mwanamke ukiwa muwazi sana kwake unampoteza
@giftkelvin73 жыл бұрын
Asante Joel kwa somo zuri!, Wanawake pia wanachukia mwanaume ambaye "hawasikilizi" na pia ambaye hashukuru "appreciate" wanachukia. Kwa niliowahi kuinteract nao walionyesha hivyo
@fatinaabdul23923 жыл бұрын
U po wapi nikupe zawad yaan mm yaliwah kunikuta nikaacha MTU yaan unamfanyia mambo mazur unampa mizawad lkn hashukuru jmn na anakuonyesha ni lzma umfanyie HV. Alaf hasikiliz ht umshur mazur mangap hasikiliz ht ukimwambia nenda msikitin au kanisani wallah akusikilz Jmn ht km unanitosheleza vzr kitandani nakuacha mm najua utanisumbua tu baadae. Yaan ht ukimwambia tukapime HIV hatak sasa unajiuliza huyu anamaana gani? Kiukweli umeongea point kubwa saaana
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Yes tabia hiyo naichukia ha hata useme vipi bure!! siwezi kuishi na mtu ivo stress!!
@safiyasafiya50143 жыл бұрын
Kabisa mtu asie shkuru ni mtu mbaya sana shkuru japo kwakidogo
@mohamedikambi86903 жыл бұрын
Kiukweli kuwa na shukrani ni jambo kiungwana sana binafsi ningepata mwanamke wa namna hiyo na anaeweza kunishauri ningeshaoa🤣
@robinahumphrey97253 жыл бұрын
Inaumiza sana..mwanaume akusikilizi anawasikiliza ndugu zake...tuuu...ukimueleza unashida ya kiasi cha pesa anakwambia sina,akipigiwa simu na ndugu yake anamuomba laki na nusu anampka wakati wewe ulikuwa umeomba ...elfu 50...awajari lsia zetu aiseeeew...kaka ubarikiwe sana...nimeweka somo lako nae alikuwepo ,Tabia ya kwanza akasema kama ananuka au anatoa arufu si amfanyie usafi mwenyewe mkewe...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
@ibrahimkimaro85295 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka Joel kwa somo zuri, kuyajua mambo haya kabla ya kuhusiana ni vizuri sana inaepusha vingi huko mbeleni Umenibariki sana mtumishi wa Mungu.
@esthercharles59452 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa yani harufu unaweza fanya unikose kabisa, nilitongozwa nakaka mmoja nilimpenda Ila harufu imenikimbiza
@safiyasafiya50143 жыл бұрын
Somo zuri wenye tabia mungu awasaidie wajirekebishe ni mtihani mgum sana miguu kwapa mdomo je nguo za ndani wajijue mwanamke bora usimpe lakini uwe msafi muelewa mwenye imani mwenye huruma atakuvumilia umaskini si kilema
@aglibertusrobett4213 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri natamn mno ukizungumzia kwann mwanaume amwache au asiridhike na mkewe japokua ni mwaminifu na mwanzo pia mwanaume alikua vema lakn sasa unakua hata raha ya kwenda nyumbn huna
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Kwakweli somo zuri sana Mungu awasaidie kaka zetu. 😃😃😃Upewe Ulinzi mkali sana.
@AngelMassawe-nz9sk7 ай бұрын
Hongereni wamama mmeyawakilisha vzr makero muhimu mwalimu ameyafafanua safi kabisa
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
Yaan daaaah hadi nme ongeza saut asikie😀😀😀😀
@jacksonamos20083 жыл бұрын
Si uwe unamwambia mwenyewe au unamwogopa
@salmasaid71123 жыл бұрын
Ningependa kukuomba somo la tuishi vipi na watu wenye gubu mbinu zipi uishi nazo
@patriciacarlo72363 жыл бұрын
😂😂😂
@barakachawe62413 жыл бұрын
Hilo la #6 #watusamehe tu kuna mda tunachoka hata kuiona simu huwa hatutamani #Wajue sio mda wote tunakuwa na wengine na pia huwa hatuwawazi wengine ila uchovu, tukiwaomba tulale wajifunze kutuelewa.. 😃 😃
@magdalenajimmy31573 жыл бұрын
Asante kwa somo ni kweli wanaume wako busy na kutafuta pesa kuliko hata familia maana yake hata akirudi home atakuwa amechoka na kazi.
@annakisiga8893 жыл бұрын
Mwingine kinachotukela mwanaume kunywa pombe harafu hataki kuulizwa ukimuuliza anaanza kufoka mwanaume kunywa pombe kurudi ucku wa manane au hata kulala hukohuko anarudi asbh ukimuuliza anakufokea hicho kitu pia kinatukera Sana
@faridamrema76273 жыл бұрын
Nivizuri sana. Kuna wanaume hawana mda na kusikiliza hizi nakal ujumbe utawafikiaje watu kweli wanateseka hasa kwenye swala la muda
@shaffihsiraji31413 ай бұрын
Hizi ni tabia za kweli kabisa kwenye utafiti wangu zinawakera sana
@lilianmsuya69363 жыл бұрын
Joel, ahsante sana kwa mafundisho mazuri. Jambo la kuongezea linalokera wanawake ni mume kufanya mambo ya kifamilia bila kukushirikisha na bila kuzingatia kipaumbele. Mf.ananunua magari 2 au 3 wakati hana nyumba. Na ukijaribu kuhoji ni ugomvi
@godfreyhaule4043 жыл бұрын
lily hautaki gari?
@judithnjunwa66683 жыл бұрын
yaani kaka Joel MUNGU anisaidie tu....naumia ila no way...hapo kwenye kupetiwapetiwa kwenye ndoa yangu ni mtihani.....basi ngoja nipotezee tu......ila napenda sana kudeka na kuulizwauliza vineno vya kimahaba,,,,,ila daah. judy
@haidhabushiri95582 жыл бұрын
Njoo kwangu
@gracematunda25643 жыл бұрын
Everything u said bro. Is all true. Kuna kazi sana ya kuweza kubebana pia katika madhaifu yetu. Ila wanaume hizo tabia hapo juu zote wanazo na sizipendi kabisa
@jumatawfiq64432 жыл бұрын
Duh kwakweli upo sahihi Sana nanimekuelewa kaka Asante kwa Domo nzuri
@ndurumalunguja85963 жыл бұрын
Nasubiri mda ukifika niachike sina raha na ndoa yangu .bora nikaishi na muuza genge ila niwe na furaha tu na kupendwa bc.maisha yenyewe haya mafupi furaha nitaipata lini.naishi kama mfanya kazi daah.
@josephgregory98433 жыл бұрын
Thanks to almighty God kua sina hizo weekness na ndo jambo linalonifanya niwe na furaha na kila kukicha nimwambie mungu asante
@AsiaBakary11 ай бұрын
Ni kweli wanaume wengi huwa wanadili na mwili tu wa mwanamke kwa kweli inaumiza sana
@ednasawala88163 жыл бұрын
Harufu harufu, jamani daah! Kikwapa na mdomo mmmh... Hapana
@AfiSoul1033 жыл бұрын
Ahahahahaaaqqaaaahhaaaaaa daaaah jamani Kweli Wenye harufu ya mdomo huwa wanapenda sana wakiongea wakusogoleee usoni aiiii mamaa ahhaaaaha daaah...
@fatinaabdul23923 жыл бұрын
Hahahahaha
@mrengineer89013 жыл бұрын
Wanawake ni watu wa ajabu sana broo kuna dem mwengine anaweza akakwambia anakupendea halufu ya jasho lako
@julietjesse34953 жыл бұрын
Yaani we kaka acha kabisa, kila ulichokisema ni kweli kabisa, mbaya zaidi hata ukijaribu kumshauri labda atabadilika, Wala hakuitikii na hayafanyii kazi.!
@LucyMwikola-vc1lc Жыл бұрын
Kitu kingine kuna wanaume wanapenda sana kulaumu na pia wajiona wao sio wasio wakosaji 😢
@jamesmatelephone2 жыл бұрын
Wow no mada mzuri nimependa ila mimi kama wa famila nimejitahdi sana kifanya vyote vizuri nanina ishi mbali na familia ila dah nikiboko ata nifanye nn bado ana visa kama bibi jela
@laylatmlacha47293 жыл бұрын
Kweli wanakuwaga wakali sana palenunapohitaji muda wake ni wachache san wenye kucare hili
@mwakaproductionbombardier42033 жыл бұрын
Unao wangapi? Itakua amegundua unao wengi.
@samsonsariko95373 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka, kazi yako ni nzuri sana, Natumai tumejifunza mengi na pia tumejua makosa yetu kama wanaume, Mimi binafsi nitarekebika kiukweli, Mungu akusidishie hekima
@paulinamtabazi175910 ай бұрын
Uongo huwa unakataa steam kabisa
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
nilikuwa sijui kumbe ndo mana napendwa kuna wanawake ao kama hawajaniona hawana aman hupenda harufu yangu husema nanukia vizur.
@jenynaafya3 жыл бұрын
😂😂ongeza vionjo
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
@@jenynaafya 😅😅😅😅...what's fucker baby!!.
@katembenduto956011 ай бұрын
Nakubali kaka kwa kutukumbusha udhaifu wetu,itabidi turekebishe.
@fezakabala65893 жыл бұрын
Hivyi vitu ni kweli kabisa kakangu na mimi ni mama
@ibrahimkassim45052 жыл бұрын
Thanks for your hospitality may God bless you
@ibraheemqassim30182 жыл бұрын
nmeona jna nikastuka😅
@njolatvonline10393 жыл бұрын
Japo inachoma upande wetu ila ni wakati wa kujifunza na kuyafanyia kazi aya pamoja sana bro kwa somo zuri
@dapriccy35743 жыл бұрын
Hujakosea kbs brooo kumbe wengi yanawakuta haya jaman,,ni kweliii kbs
@winnienyimbi50313 жыл бұрын
Nilichelewa wap somo zuri san, wapunguze amli yaan utazan mke nae Kam mtot vile duu cio vizur
@rosep.mtasha18123 ай бұрын
Lingune ni kutokujisshughulisha yaani kukosa maono(future) yaani wanawaza mpira tu na mshahara basi
@jominanyakafumbe13582 жыл бұрын
Mungu akikuze kipawa chako ili uzidi kuyafichua yaliyoko gizani...umenena yaliyoyakweli haswaaa!!!
@atuganile083 жыл бұрын
Yeah Quality time kwa kweli ni Muhimu Sana Watu mmekaa wiki nzima busy na Maisha hata kupata muda kidogo wa kuongea peke yenu hamna inakera kwa kweli. Mwananke akihitaji hiyo anaonekana anataka kufuja resources au ana mambo ya kitoto
@juliethswai42633 жыл бұрын
Kaka Joel umenigusa sana...haya yote ni ukweli na ndio vitu vinavyotutesa sana wanawake....kama hapo uliposema mtu anataka tu mwili wako ila hajali unajiskiaje hajui una stress gan wala hajui unapitia mangapi.
@ladislausngoyinde43843 жыл бұрын
Julieth uko single au? tuyajenge bas
@farajiwanted82572 жыл бұрын
Mmh kaka ww nikiboko
@FatimaAdan-xj9qh2 ай бұрын
Umesema kweli kaka yote umepatia kabisa asante
@robinahumphrey97253 жыл бұрын
Kweli ,anakuwa bize na simu mpka kitandani mpka Unaisi uko peke yako...wanaboaaaaa.
@paskalmaganga92252 жыл бұрын
Sio kila kusifia basi kweli kapendeza umevaa nusu uchi naanzaje kusifia
@saidbanga3 жыл бұрын
Tumekuelewa..! Ni bora Utuambie Ukweli..!
@joycemisesemo14273 жыл бұрын
Ni kweli ulichosema, zaidi Sana wanaume hawana muda wa kuzungumza na wake zao, wako busy busy always, na hata akipumzika unakuta maongezi hakuna kajaa usingizi siyo mchana au usiku, hawarudi nyumbani hata na zawadi ndogo ya upendo holaaaa!!! Jamani wanachosha, unajitahidi Make kubadili mapishi wapi! Unamnunulia zawadi kidogo yeye Wala hutaona hata chupi. Loooo kwa Nini tusichoke na sisi.
@haidhabushiri95582 жыл бұрын
Hahahahahaha
@akshots_tz3 жыл бұрын
nimecheka sana point ya kwanza ya harufu, kiukweli vyote ulivoongea vipo sahihi kabisa.
Asante ubarikiwe mm kiukweli sinaga mda atakidogo nimejifunza kitu sasa nafungua ukulasa mpya
@bahatimwasule53073 жыл бұрын
Asante kwa Soma zuri ni kweli Kuna wanaume hawajali kabisa yaan pesa ndo kipaumbele kuliko utu
@mariammasamba81042 жыл бұрын
Kweli KBC yaaan
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
My brother wangu Ubarikiwe sana
@silviamacha69623 жыл бұрын
Hivo vitu vina uhalisia kabisa kaka hasa namba tano mwanaume anakuwa anataka tu mwili wa mwanamke na kutoa vitisho vya kuachana kisa hutaki kumpa mwili wako.
@janenkhwazi24573 жыл бұрын
Nikweli kaka Joel...we learn more from you...you deserve great valued.
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Yani wengine shahawa kama beberuuu ukigongana nao hurudi tena😂😂😂
@PeterPotential12132 жыл бұрын
But hapo kweny jambo la 2hapo kunamna ukuwap nafasi wanajikuta sana Hawa viumbee
@berthakipangula22732 жыл бұрын
Asante joel
@AnissaMuhammad-z5m Жыл бұрын
Siurongo n kweli kabisa
@perucebuhomaosward8512 Жыл бұрын
No 4, 5, 1, 6, hivyo vitu kwakweli ni janga kwa wanawake tulio wengi. Ni kero kubwa
@dethaemily94632 жыл бұрын
Kiingine tunakeleka ukiingia kwenye familia ambayo dada ndiye anasauti unakuta mumeo anamuogopa dada yake , dada yake kajigeuza km mama mkwe inakera sana, sana
@evanalex87993 жыл бұрын
Sema wametukandia sana brother joel but true
@reginarupia24782 жыл бұрын
Utanaahati wanawake tunapendana mwanaume smart
@ججوي-س4ي2 жыл бұрын
Nikweri kabisa wanaume wengi gucukuria wake zaoo kama watumwa
@rehemakalumuna63903 жыл бұрын
Naona ni viatu sahihi kabisaaaa
@enockaward73463 жыл бұрын
Safi bro Somo zuri Sana kwa sisi wanaume
@sugarkheri46802 жыл бұрын
Japo hatukuwepo waliyosema wenzetu ni kweli kabisa mpaka inachosha
@witnesswilliam38023 жыл бұрын
Umesahau harufu ya pombe au sigara jaman zinakera Sana hizi harufu
@AshelyAmoas-br6vp Жыл бұрын
Sahihi kabsa...God bless u
@athumanjuma2003 жыл бұрын
Nimeelewa
@elizabethcharles6527 Жыл бұрын
Wanaume ndio mlivyo jaman 😭😭😭😭
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Everything true!!! kwa 70% ya wanaume wako hivo...
@issackelias3677 Жыл бұрын
Hahahaha aisee Joel Leo umeongea Mambo ya Uvunguni Sana Ila yote Ni kweli Mungu atusaidie turekebishe! Mi nimepata langu hapa la Kunisaidia Asante sana.
@aishahassani39213 жыл бұрын
Nashkuru sana kwa SoMo la Leo umenikumbusha mbali Sana nilivunja ndoa yngu kwa mume wngu alikuwa hajali isia zangu yy alikuwa akiitaji mwili tuu kama ananibaka
@zabibusephania24153 жыл бұрын
Yaani ukweli kabisa hilo somo ni zuri sana wanaume wengine wanachosha
@ibrahimpius57662 жыл бұрын
Hakika wapo sahii Sana kwa Ayo mambo 7
@albertinemacimu12473 жыл бұрын
Ohooo 🙌🙌🙌👏👏👏 Kaka yangu eee bado sijaja inbox toka 2019 ila sasa nimerudi na mengi maana kweli wewe ni genius maana for 100% kila ulichoniambia kimetokea kwa asilimia 85 but for now natarajia kuanza upya na nitang’aa zaidi good job nitakushukuru tu ila bado 🤝🤝🤝🤝👏👏👏
@sihabaomary15193 жыл бұрын
Apo umenifurahisha kwakweli
@abelntobi3823 жыл бұрын
Brooo kwa shule hiii nayapata bila ada NI masters tosha..
@mwl.frankmadembo74723 жыл бұрын
Haya bwana
@winnieshayo18262 жыл бұрын
#5 sure kabsa💔💯
@emanuelsteven78093 жыл бұрын
Saf hongera sana umzunguza point sana
@evalinemnisi1733 жыл бұрын
Mpendwa ni yote yangu,yaani ni kama ulikuwa unanisema mimi!
@mussalulenga99393 жыл бұрын
Pole sana lafiki yangu jarbu kumueleza usiogope kwamba atakuonaj
@floridakagemulo31832 жыл бұрын
Kweli kweli tupu. Ni kero yote Saba. Yapo reality
@Iragibarune1.3 жыл бұрын
Kaka hilo la5 😭😭😭😭 nitatizo sana Nala7 mmmm tafazali wanaumee mh
@NZAMUYEJoseph5 ай бұрын
Uhakika elimu hii inatufanya tuwee awee . Napenda kuja mtu mwene romantic competence
@Mlevimedia3 жыл бұрын
Leo dah noma san yan hahahhahahah umechangamka
@atuganile083 жыл бұрын
Yaani harufu kwa kweli😝😝😝
@aishahamis41043 жыл бұрын
Hyo ya no ya sita inankera sanaaaaa
@festoantony46733 жыл бұрын
Sawa, tutajilekebisha.
@joycejoyce64633 жыл бұрын
Hapo waongea kweli, wakowanaume kama ivo
@salmajuma7189 Жыл бұрын
Kweli kbsa vina kera mno tena sana
@CostaLukova-om7kj Жыл бұрын
Nakukubali saana broo🙏🙏🙏🙏🙏
@jacksonmathayo65103 жыл бұрын
Me ni Mwanaume,aisee huwa sipendezwi na Mtu yeyote anae nuka Mdomo chaaaaaa🤧😬