Women Matters (4): Kizazi cha watu wanaohofia NDOA kinaongezeka, Hizi ni sababu zake

  Рет қаралды 25,065

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@sadanvitte717
@sadanvitte717 5 жыл бұрын
Ninavyokipenda hiki kipindi huwa natulia usiku naunganisha BT kwenye radio napata sauti nzuri hongera Lily kipindi kizuri sna
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 жыл бұрын
Ahsante Dr Elly Dr Chris Aunt sedaka Dada Lily #womenmatters Hakika nimejifunza
@pendohumphrey7588
@pendohumphrey7588 5 жыл бұрын
Yaani dada lily your voice is amazing...i love it
@arnoldmaeda3707
@arnoldmaeda3707 4 жыл бұрын
Twas a great discussion!! Keep it up Drs Elie & Mauki
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
Doctor Elly ni msomi kweli 🙏🏽
@grecioussilas9885
@grecioussilas9885 5 жыл бұрын
Kuna watu ukiwaangalia tu na kazi wanazozifanya utazani waliandaliwa tokea wanazaliwa..kama huyu dada anayeongea mwanzo..anaipenda kazi yake kweli....yaaa!!! yaaaaaa!!! Uuuuuuu uuuuuuùuuu!!! hatarii
@shabanrichard9269
@shabanrichard9269 5 жыл бұрын
Mahusiano ndiyo tiba kwa mahusiano.,punguza mawasiliano ya nje tengeneza mahusiano ya ndani..Dr Elie umetisha sana
@dayannatheonest8461
@dayannatheonest8461 2 жыл бұрын
ni kweli dk
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 5 жыл бұрын
Asante sana women matters munatudumisha katika doa zetu munatufunza tusiyoyajua
@alistidiusjohnkaroly6736
@alistidiusjohnkaroly6736 5 жыл бұрын
Dr. unafaa kuwa Prof uko vizuri sana
@Zenaprays
@Zenaprays 5 жыл бұрын
SnS I hope mmenotice sound ya Leo sio poa🗣️
@azizakwileka1686
@azizakwileka1686 5 жыл бұрын
Awww... Kipindi kizuri mashaa Allah
@chrispineclement4164
@chrispineclement4164 5 жыл бұрын
Dr elly you are always a genius
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 жыл бұрын
KIPINDI KIZURI SANA,SEMA SAUTI INASUMBUA LEO
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 жыл бұрын
Asante ❤❤❤❤❤👏
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 5 жыл бұрын
Nawapenda ❤
@sharonndowo6922
@sharonndowo6922 5 жыл бұрын
Wale ambao sauti hatuisikii vizuri tujuane
@ramadhaniathumanimlenge6641
@ramadhaniathumanimlenge6641 5 жыл бұрын
Nimewaelewa sana majenturo man mpo sawa
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
Sanaaa ramadhan
@jacklineswallo3643
@jacklineswallo3643 5 жыл бұрын
Team y nguvu Dr Elly ,Dr chriss ,lily and Aunt sadaka jaman nawapenda xaaaaaaana
@alistidiusjohnkaroly6736
@alistidiusjohnkaroly6736 5 жыл бұрын
mnamchanganya Dr. tulieni awape nondo
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 жыл бұрын
DAAAA MIKE YA DR EELY NADHANI NDO ZAIDI SAUTI MBAYA JAMANI,HUTUSIII VIZURI KAMA MAWIMBI
@wodiayubu9404
@wodiayubu9404 4 жыл бұрын
Doctor elly kweli ni bingwa wa falsofer
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 4 жыл бұрын
Rounds irritating
@estermgaya5816
@estermgaya5816 5 жыл бұрын
Sauti hamjaweka poa sns
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 4 жыл бұрын
Shukran Sana kwenu nyote walah tumejifunza kitu 😂😂😂😂mwanamke boresha tendo uheshimiwe uwiiiii masound tu no maneno kwenye ku sex shukran sanaaaaaa💪💕❤️💖
@dayannatheonest8461
@dayannatheonest8461 2 жыл бұрын
Doctor unaongea ukweli kabisa
@nadiakabamba7373
@nadiakabamba7373 5 жыл бұрын
Sounds is not good
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Tume elewa
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Sasa mahuki kama MTU anakuwa abused avumilie afe a toxic relationship haina kufumbia macho domestic violence is real
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Mbona dokta unatudanganya mwanaume anakupiga matukio adi unaachia ngazi alafu mnasema mwanamke mpumbavu duuhh
@thadeojohn7074
@thadeojohn7074 5 жыл бұрын
Hahaha unataka usikie maneno mazur
@sharonndowo6922
@sharonndowo6922 5 жыл бұрын
Lakini still umesema unaamua kuachia ngazi yani mwanamke ndio anaachia ngazi.
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Ebu mrudisheni mama Teri
@eddalubinza8087
@eddalubinza8087 5 жыл бұрын
Kabisa
@elizabethcharles4712
@elizabethcharles4712 5 жыл бұрын
Lilian upunguze kuongea unakwaza unaitikia sana na sauti yako kubwa unaondoa attention
@faaali244
@faaali244 5 жыл бұрын
Tunaipenda sauti yake mimi nahisi yupo kwenye funny mda mwingi tu si tatizo
@charlsemodest7640
@charlsemodest7640 5 жыл бұрын
sound engineering very poor, mnakera asee, hivi kwa nini hamfanyi pretest bhana. kipindi kizuuuri lakini ,mijitu ya sauti imekiharibu kabisa dah . pumbavu zenu.
@wingracegerald3002
@wingracegerald3002 5 жыл бұрын
The tone and the extra words weren’t really necessary😂. “Sound engineering haikuwa nzuri kipindi hiki, rekebisheni hii issue isijitokeze tena” Simple as this.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
How To Speak Fluently In English About Almost Anything
1:49:55
EnglishAnyone
Рет қаралды 3,3 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН