Рет қаралды 46,700
Kwanini wanaume huchepuka? Hilo ni swali ambalo wanawake wengi hujiuliza na wakati mwingi hukosa majibu. Lakini, mwanaume kutojali ni sababu inayomfanya mwanamke naye asaliti? Kwenye #WomenMatters na Lillian Mwasha, anaungana na wanawake wenzake, Mama Terry, Babysky, Aunty Sadaka na Mama Kaisi kulizungumzia suala hilo