Irene Kamugisha anazungumza na Liz Wachuka ambaye ni Corporate Trainer kuhusu mapito na maumivu aliyopitia
Пікірлер: 130
@aysherkabby59372 жыл бұрын
Oh God!!! Pole sana… huyo aunty kwanza alikuwa abuse plus ana roho mbaya ya wivu…. Jamani kuna vitu mtu anapitia kwenye maisha , lazima azungumze yani aongee hili roho yake iapate amani… tusikimbilie kuhukumu jaribu kuvaa viatu vyake…. Kwenye familia kuna ndugu wengine kama kansa hawana dawa…😮 Pole sana Liz…. Mungu ni Mwema!!!! Akutangulie kwenye kazi yako.
@virginiatambwe8062 жыл бұрын
Namjua sana huyo dada Liz. She is such an amazing Lady and has such an amazing soul. Ila sijammpeda huyu interviewer ana kauli ambazo sio sahihi na anashindia kuzirudiarudia. Huwezi kumwambia mtu kwamba kachakaa.. ...Huyu Irene anahitaji Kujifunza kauli nzuri haswa za kumfanyia mtu interview. Luv you Liz and keep up the good work. Am truly very proud of you♥️
@evankya19552 жыл бұрын
kusamehe na kusahau haimaanishi kusahau ulichotendewa, inamaanisha kusahau maumivu ya ulichotendewa, thank you Liz, nimejifunza kitu
@hopesengo69722 жыл бұрын
Sis.Irene ubarikiwe Sana kwakutuletea wageni wanaogusa maisha yetu,tunajifunza kupitia kwao.🙏🙏
@leilaassey17262 жыл бұрын
Leo nimelia sana coes huyu Dada maisha yake ni kama ya kwangu ila mungu ni mkubwa siku ambayo nilikua nataka kujiuwa ndio siku niopata kazi uturuki bila connection ila jirani tu alinikumbuka nakunipa kaxi leo naisha maisha ninayo yataka nakula ninachokipata alhamdulilah tusikatee tamaaa alhamdulilah
@zulfahalily60952 жыл бұрын
Pole sana kipenz hakika ....umesema jambo kubwa ....tusikate tamaa ujui kesho yako
@tinamwasekaga95712 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote,,maisha yana challenges nyingi
@MsAggie52 жыл бұрын
Pole Sana Kwa uliyopitia lakini Mungu ni mwema, hongera Kwa ushindi
@Zaburi-2 жыл бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@renatuswilson15772 жыл бұрын
Pole. Maisha yanamambo mengi. Ila Mungu nimwema. Kila Jambo na sababuyake
@tulibakokyoma11322 жыл бұрын
Umejiahidi sana Irene kutuelimisha...big up sana.
@virginiatambwe8062 жыл бұрын
Huyu dada Liz namfahamu na she is such an amazing lady with such an amazing heart. Na ni msaada mkubwa sana haswa kwa vijana wetu. Ila huyu interviewer anatakiwa Kujifunza kuwa na kauli nzuri. Huwezi kumtamkia mtu kwamba kachakaa na kurudia mara kwa mara...Irene you need to polish your interviewing language. Otherwise Liz keep up the good work, you are doing such an amazing job. May God take you to greater heights and bless you immensely. Much love♥️
@generoserugoye20632 жыл бұрын
Asante Santa Irene mgeni was Leo maneno yake yamenigusa sana hasa katika kujikubali ubalikiwe sana niko mbali nikirudi nitahitaj I kitabu hicho.na mgeni wa Leo Mungu akubariki maelezo yako yanagusa wengi sana . Kweli Mungu alikuleta don't niani Kwa mpango wake
@johnwilfred39202 жыл бұрын
Best mentor of all time @Liz
@kagoyemwambal90612 жыл бұрын
Asantee CIO peke yako..dada tupo wengi..
@naomibenjamini6748 Жыл бұрын
Nimewapenda Sana natamani kumpigia Mungu kelele ya ushindi. Msamaha niuponyaji
@nakaaya23 Жыл бұрын
God bless you so much.
@successconcious7032 жыл бұрын
Hii ni moja kati ya interview bora zaidi kwa mwaka 2022. Lizy wewe ni superwoman💃🔥 madini yako ni next level utawaponya vijana wengi. Dada yangu Irene wewe ni hazina kubwa kwa nchi yetu💎 tunajivunia uwepo wako. You're the best keep shining na Mungu aendelee kukuinua zaidi. MARRY X-MAS AND HAPPY NEW YEARS in advance. Much love from SA🇿🇦❤️❤️❤️
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Huyo ni kajitungia.....mengine sio kweli
@lilianmartin50752 жыл бұрын
December to remember
@Mama-A2 жыл бұрын
Much love from KENYA
@ashaidd29122 жыл бұрын
Safi mentor &Irene umetufundisha maziri hapo kwenye kusoma vitabu jmn Hy ni mm kbs nitajitahid SoMo zuri
@jamilajamila45722 жыл бұрын
Asant nimej8funza sana kupitia nyie wadada asanten sana❤️
@ThinaMasika Жыл бұрын
Dada nimeguswa na ushuda wako kuna mahali umenibadilisha barikiwa sana
@jessicamwasandube9442 жыл бұрын
Asante my dear story yako imetuponya na u mrembo
@hopesengo69722 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana dada,ahsnte Kwa historia yako,yapo niliyojifunza na yatanisaidia🙏🙏🙏
@kilimanjaroflavour2 жыл бұрын
The fact that you kept on repeating on camera that Liz alikua amechakaa kwenye ile picture yake, you were soo wrong. You didn't have to be that savage on her past photo even though she wasn't looking as she is now. You literally sounded like her bully aunt. Thanks Liz for sharing your story.
@irenekamugisha2 жыл бұрын
She is a friend & a Sister, we do jokes sometimes! Pole it sounded that way to you but Liz has no hard feelings with it, that is why it's not edited on the tape!
@jumanesaidi76352 жыл бұрын
Huyu mama, ni kichwa.
@sanekwilabya23412 жыл бұрын
@@irenekamugisha Noooo Irene, you too are making fun of each other privately. You shouldn't show us that kachakaa as sisi na yeye hatuna utani huo. Haya ni mazoea ya kijinga kumuabisha mwenzako ndio maana Mbasha Alikatwa mtama na Adam Mchomvu coz alishindwa kujua mipaka ya mazingira ya utani na audience! Ukimchekea mbwa atakufuata hadi ........ Siku nyingine usioneshe utani wa namna hii mbele ya kadamnasi Inaumiza....
@esthergesogwe42402 жыл бұрын
Very interesting story 🤔
@aishatest44512 жыл бұрын
safi sana dada Asante nimepata kitu kutoka kwako
@azizakwileka16412 жыл бұрын
Mimi nilikuwa naambiwa sauti yangu base.... Aisee nilikuwa sipendiii lkn now najiamini mnoo with my voice
@irenekamugisha2 жыл бұрын
Hongera sana, ndivo inavyotakiwa! That's your super power
@judithsalvatory28922 жыл бұрын
Yaani ubarikiwe sana hiki kipindi kibarikiwe sàna
@upendogadiel8902 жыл бұрын
Touching story
@annamalale73762 жыл бұрын
Pole my. Ila ndungu wengine uwa wanamaneno makali sana nakumbuka nilishawahi ambiwa .Unajuwa mama yako alikufa na ungonjwa flan alafu mbele ya watu Yale maneno huwa hayanitoki mpaka Leo hii.
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Pole sana Anna...kweli kabisa kuna mambo mengine hayasahauliki 😥
@far-hatharoub55112 жыл бұрын
Napataje da liz please 🥺 a
@saudahassan66672 жыл бұрын
Pole sana my dear
@zainamiraji42442 жыл бұрын
Mungu akutunze
@etropianeema87372 жыл бұрын
Pole na hongera sana Lizy Mimi ninatabia ya kuumia sana pindi nikitendwa natamani nisahau lkn nashindwa naomba msaada wako Kwani Kuna mtu namdai ila hajalipa Hela yangu na ni kitu kinaniumiza sana
@MsAggie52 жыл бұрын
Huna haja ya kuumia Kwa sababu ya deni, si wewe tu unayedai tuko wengi sana na tunawadai watu wenye uwezo hawataki tu kutulipa na bado tumesamehe. Jipe moyo labda ipo siku
@etropianeema87372 жыл бұрын
@@MsAggie5 najitahidi lkn nashindwa
@MsAggie52 жыл бұрын
@@etropianeema8737 omba Mungu akusaidie kama umeshindwa Kwa uwezo wako mwenyewe, yeye hashindwi kitu.
@jacklinejonathan71942 жыл бұрын
Thank you Liz💕
@georgenkaya9052 жыл бұрын
Nikupongeze sana kwa kuweka hadharani mapito yako maana hili ni darasa kwa wengine Mungu akujalie usipite tena bali ukawe msaada kwa wengine
@josephatjordan21502 жыл бұрын
Ahsante Studio
@nsazabahizirehema78972 жыл бұрын
Asant sanaaa naomba icho kitabu pls
@mussafoum65622 жыл бұрын
Safi lrene
@noorrajpar39282 жыл бұрын
Nimecheka ulivyoisifia pua yako ila wewe dada mzuri sana unamacho mazuri sana yani sura yako imejitosheleza mie nakupeda
@christinashimbi49282 жыл бұрын
Aisee nmelia sana after watching this
@leonidaleonard93822 жыл бұрын
Pole imenihingia sana nimegushwa
@mwanatz59802 жыл бұрын
Huyo shangazi shetani unamwambia mtoto wa miaka 13 maneno mazito kiasi hicho pole sana Dada.
@qeen33682 жыл бұрын
It's very painful Story😭😭, like me
@standardtv34942 жыл бұрын
liz has turned her life challenges to be a story and make it be a fair love story anacheka tu mwenyewe amefurahi kama anasimulia ya mtu mwingine kumbe yake "great woman i like you"
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Pole sana kwa uliyopitia ndugu yetu.
@majijimikomaga13682 жыл бұрын
Viumbe vyote pamoja na Binadamu tunaishi kwa kupenda Muumba/Mungu(Genesis 1:26-28). "Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama... Nilikujua.. "(Jeremiah 1:5). Kwa mwanamke kubakwa na kupata Mimba, ni Kupenda kwa Mungu. Strictly speaking there is no, "Mtoto Hatamu "! Yatupasa kumpenda Mungu kwa kuwa Mungu ametupenda kwanza. Kudai kuwa watu wakinichukia kwahiyo SITAKIWI!! Eti, uamue ujue kwa fikra potofu. MUNGU AMETUUMBA KWA LENGO LA MUNGU MWENYEWE, Destiny of a person!
@samamussakibwana57032 жыл бұрын
Unapatika wapi need help to
@janechacky38102 жыл бұрын
Tupo wengi Pole sana Mungu ni mwema
@rozina21612 жыл бұрын
Huyu mwanadada ni mkenya story yake yauma sana hadi basi japo sijapitia haya
@KiT.KaT.Cute.2 жыл бұрын
Puwa nene nzuri saana
@irenekamugisha2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mamy8220Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@mollelstephano13642 жыл бұрын
Pole sana
@marthahaule83372 жыл бұрын
Sijakusikiliza kwa Bahati mbaya.
@peaceisrael81582 жыл бұрын
Dimples mbona sizioni...
@mollelstephano13642 жыл бұрын
Sijakuona sikunyingi sana liz
@victoriabulambo20292 жыл бұрын
Nakupenda sasa dada liz
@happynelson11802 жыл бұрын
Yaani nibakwe halafu nizae nisingeweza ningetoa mimba na mwenyezi Mungu angenisamehe
@greenermichael20572 жыл бұрын
Hiv kumbe hivyo vitu Kuna watu walishawah kufanya nikajua Ni Mimi tu😂😂
@florencemeza65402 жыл бұрын
Dada liz naomba no yako
@erycah2 жыл бұрын
Mimi nishawahi ambiwa I have lips like a folded blanket, nilivyokua grade 7 na a fellow student, sijui he was joking or serious but imeua confidence yangu, mpaka leo naogopa kupaka hata lipstick. Tuangalie maneno tunayowaambia watoto aisee
@najmaamiri70202 жыл бұрын
Sorry its true maneno yanaua kuzidi kisu
@yasintajohn71522 жыл бұрын
Hicho kitabu naweza kukipata wapi?
@KiT.KaT.Cute.2 жыл бұрын
Amen
@sekikigosi8265 Жыл бұрын
Naitaji kitabu nakipataje
@aronmtui5972 жыл бұрын
Ilinitokea nikiwa na 13yrs
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Kwenye utoto kunamengi Sana laana nyingi zinaingia utotoni na ndiyo maana hata tukiwa watoto hatupendi kubaki pale,tukiwa na watoto wenzetu kwenye kudimbadimba utasikia Mimi nikiwa mkubwa nitafanya hivi tunajitabilia makubwa mazr hii inamanisha tunajaribu kuyakataa Yale tunayobebeshwa Ila huwa hatuna wa kutufuatilia utotoni na kujua ni vitu gani hatupendi na Nini tunatamani,najaribu kusema tukiandaliwa vzr utotoni basi ukubwani tutaenda wenyewe Ila tukikosewa utotoni basi tuamini kuwa ukubwani tutahangaishwa na makosa tuliyokosewa utotoni hii ni tatizo
@vickysteven117210 ай бұрын
Hakika
@lesusi78722 жыл бұрын
Mi nimemmisi bana deo sukambi
@veronicangwale7159 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@margrethjonesmshana85552 жыл бұрын
Tumuombe tuu MUNGU aliyetuumba maana wengine tukisema historia za Maisha Yetu itabidi Liz atasubiri , yaaani nikwaa ajili ya kumtumaini
@annastanley27592 жыл бұрын
Anaitwa nani huyu dada
@veryniceaugust36162 жыл бұрын
Pole dear lakini mdogo wa mama ni mama mdogo sio shangazi
@irenekamugisha2 жыл бұрын
Kwetu Tz ni mamdogo, kwao (Ke) ni shangazi
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Kizungu ni SHANGAZI Nafikiri ndiko alikokutana na manispaa in fact ni SHANGAZI siyo mama mdogo
@MsAggie52 жыл бұрын
Yeye ni mkenya so sio mbongo kama wewe
@veryniceaugust36162 жыл бұрын
@@MsAggie5 kwa hiyo?
@veryniceaugust36162 жыл бұрын
@@MsAggie5 mbona makasiriko sasa au we ndo shangazi mwenyewe!!
@ngozamwembezi92402 жыл бұрын
Liz,wazazi wako wamekuachia tatizo la kuachwa kwa mshtuko kwa mfano mama hakumtaka baba yako hata akabakwa na baba hakutaka kuishi na mwanamke aliyemuoa akaamua kujipoteza
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Vp shangazi ambapo hamjui babake wala family ya babake????kuna mambo kayataja sio kweli...kama babake alimpenda mamake hata kama hakumuoa si angemjali mwanae??? Wa tz mnadnganyika mno😏🤔
@happynessswai39222 жыл бұрын
Hyo Hali ya kuondoa uzito nliondoa wanga na mafuta hadi nlijikuta nmepauka ngoz ikachoka tena Bt nw najua najua namna ya kupambana na mwil na uzito cpauk na mwil wangu n mzur naonekana mdogo cku zote
@irenekamugisha2 жыл бұрын
Please share unafanyaje
@aishatest44512 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🙏
@janephermwami63482 жыл бұрын
Ni kipindi kizuri mno
@sanurazubeir51222 жыл бұрын
Ni mimi tu sisikii sauti au
@jamilamanariyojamila14872 жыл бұрын
Nadhani niwew😊
@uhurunyereremusa85922 жыл бұрын
nilivyokuona tuu kitu cha kwanza nilichokipenda kwako ni pua i like a woman with big nose.
@Nabiikatakatatz2 жыл бұрын
Sasa mtangazaji hayo macho mbona mazuri?
@noorrajpar39282 жыл бұрын
Safari ijayo tuletee mada ya UKIMWI ili ukumbushe watu
@basilsawewe17122 жыл бұрын
Mbona ni kawaida hiyo? Watoto wa kike sasa hivi, chekechea anaanza na mi3, anasoma miwili. Miaka mi5 anaanza la kwanza, piga hesabu hapo miaka minane primary anamaliza na mingapi?
@stejasatv73492 жыл бұрын
NILIKUA SIJAONA PUA ZAKO JAPO NIMEKUFATILIA SO LONG pua banaaaaa😋😋😋😋😋😉😉
@MsAggie52 жыл бұрын
So what? Kwani pua inakudhulu au inamdhulu nini na wale wanaozaliwa bila pua wasemeje? Muogope Mungu na umshukuru kama wewe Una kila kiungo kizuri
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Huyo auntie yake angelikuwa karibu ningemzaba vibau. How can she call this beautiful woman ugly and all that? Some family members are Satan in our life.
@hadiadaoman19812 жыл бұрын
Tena anamwambia maneno ya kumuumiza kipind and furaha amefaulu yaan ana roho mbaya sana huyo ant
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
@@hadiadaoman1981 Mchawi mtu..,paka hutumwa tu.
@hadiadaoman19812 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 kwa kweli tena especially ndugu yaan anakujua zaid anakumaliza kweupe haswa kwa mineno mikal yaan
@MsAggie52 жыл бұрын
Ni shetani huyo shangazi sio bure
@guccij62362 жыл бұрын
Mambo mengine sio ya kusimulia Bora uyafanye Siri yako😣
@mycleteffe97852 жыл бұрын
Ni vizuri ameongea ili aweze kusaidia na wengine , pengine kupitia maongezi haya ameweza kuokoa maisha ya mama fulani, au mtoto alie weza kusikia ......
@neemawayesu17712 жыл бұрын
Siri ndio zinafanya wengi wajinyonge,wachanganyikiwe hakuna jipya chini ya jua ,tunaishi mara Moja mtu aongee tu
@preciouspeter61262 жыл бұрын
Yeye kachagua kuongea ili kusaidia jamii yetu, wewe unaweza kuishi na siri zako🤣🤣🤣
@MsAggie52 жыл бұрын
A Siri ili iweje? Kwa shangazi ni vile alivyosema Kwa ubaya na haikuwa sahihi Kwa sababu binti alikuwa mdogo. Na hii habari ni fundisho kuna messages nyingi humu watu wamefungua macho na kutiwa nguvu.
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Hio ni biashara yake mengi kayatunga tu....
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Akutimie au mnatumiana, wee mdada vipi
@siaammo11042 жыл бұрын
Nahis huyo shangazi hakujua madhara ya maneno yake.
@MsAggie52 жыл бұрын
Labda kama na yeye alikuwa mdogo lakini kama alikuwa matured enough kujitambua ana roho ya kichawi.
@estermahenge59722 жыл бұрын
Wivu aufai kbs
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
@gracekagoma32312 жыл бұрын
Huyo shangazi yako Ana roho mbaya sana. Ni chizi
@flavianakanga12152 жыл бұрын
Jee ntapata vipi hicho kitabu? Niko Kenya
@georginapaul50132 жыл бұрын
You are the best.wow
@elijahm.muthini2 жыл бұрын
Liz ni mali safi legit kabisa, juicy lips mmependa👄😋