Yafahamu MADINI ambayo KOREA KUSINI inayasaka kwa udi na uvumba Afrika, sababu ya Mkutano na Marais

  Рет қаралды 17,005

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 136
@CodeWithCrescent
@CodeWithCrescent Ай бұрын
UMEELEZEA VZR SANA, SEMA ALL IN ALL SISI AFRIKA NI WAJINGA. TUNA KILA KITU ISIPOKUWA AKILI YA KUENDESHA TULIVYO NAVYO
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Sie tunauza tu tutabaki watupu Afrika kwasababu ya tamaa ya pesa
@user-xc5mk4ro2z
@user-xc5mk4ro2z Ай бұрын
Ali masubi .ww noma bro mungu aendelee kutupa uhai na uzima kwa sote Wana sns.
@OdranLazaroChaula-wp2zj
@OdranLazaroChaula-wp2zj Ай бұрын
Wewe ni kiboko unachambua vizuri sana congratulations
@hiscoprogrammer7399
@hiscoprogrammer7399 Ай бұрын
big up sanaa kwa uchambuzi mzuri zaidi
@richwase6550
@richwase6550 Ай бұрын
Oya hyu mchambuz mbn yupo nondo nchi inahadhin y watu hii kwa nn hay tunayoyajua tusianze n viwanda vidog vidog huu ujuzi wenu hp SNS ujue n zaid y channel n chuo ss.
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
SnS for Future events
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Ай бұрын
Upo vizuri sana
@RuttaJames-kh5jx
@RuttaJames-kh5jx Ай бұрын
Naona wabovu wa akili mna mshinda Nisha ally masubi na dj sma wote wakovizuri hacheni ujinga
@binmasoud4150
@binmasoud4150 Ай бұрын
Moja ya kitu kinaendelea kuiweka Africa nyuma ni mifuno mbaya wa elimu haina zaid ya ugumu lkn pia imekosa taswira ya kufikisha popote. Acha wenye elimu watukalie juu. Yaani nchi zote izo zimeweza kusimamiwa na nchi moja tu. Tumekosa ata uwezo wa kusimamia rasilimali zetu wenyewe.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Sio elimu sana kubwa ni mfumo wetu wa katiba unamruhusu raisi kufanya anavyotaka na akitoka madarakini inamkingia kifua
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc Ай бұрын
Dahhh nilikua sijui hiyu jamaa amesoma ni noma sana🔥🔥🔥
@12345678938129
@12345678938129 Ай бұрын
Ni mali ya taifa ya kulindwa. SNS wampe kipindi chake cha economics ao finance literacy
@stevenmahinda657
@stevenmahinda657 Ай бұрын
Ally anajua kila kituu
@josephk90
@josephk90 Ай бұрын
Jamaa ni mtata balaa😂😂
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq Ай бұрын
Africa hata ukiwa na ujuzi wako serekali ndio kitu cha mwanzo kukuekekea vikwazo tuna elimi ambayo kila siku inatufanya tuwe watumwa mtu unamaliza hadi chuo huna ujuzi wowote halafu ety mtu ujiajiri wao mbona hawajajiajiri africa hatutaendelea maisha 😂😂😂🙌🙌🙌
@RamadanPaul
@RamadanPaul Ай бұрын
Daah mpaka nasikitika 😢😢 afrika alituroga kasha kufa.
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Tuliachiwa kuombaomba😂😂
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
@@RamadanPaulMkoloni katuriga
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Hakuna aliyetuloga shida yetu sisi tumezoeya kujikomba Kombatu na tumejawa na unafki tu
@user-qd9vf6ud3f
@user-qd9vf6ud3f Ай бұрын
Tutatawaliwa mpaka basi utafikiri tuna laana Mungu atujalie sana ktk hili .pia tatizo tumeamini sana mawazo ya wenzetu kuliko yetu . Yani tungesomesha kizazi chetu Kwa nguvu ili kulinda lasilimali zetu .
@user-xc5mk4ro2z
@user-xc5mk4ro2z Ай бұрын
Aisee Wana sns wote wako poa acheni kasumba uyu nzuri uyu mbaya kikibwa tuwatie moyo kwa wte .
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Ай бұрын
Mdogo wangu nakukubali sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Kwahiyo wanataka kuja kuiba madini Afrika shenz hawa na huyu mama ana waita tuu
@Johnmalekela
@Johnmalekela Ай бұрын
Nawa kubali sana wana sns
@MalengaEleme
@MalengaEleme Ай бұрын
Huyu mwamba kiboko❤ ally
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 Ай бұрын
Hivi sisi tukiamua kuwaita viongozi wa ulaya kuja Afrika watakuja kweli?😢
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
Watakuja endapo unataka kuwapa madini yao
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 Ай бұрын
@@user-it7ih1it3m Daah sawa
@zachariamwita3926
@zachariamwita3926 Ай бұрын
Hilo nalo neno🤣
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 Ай бұрын
@@zachariamwita3926 Hatari. Wanatuonaje sijui sisi.
@niyonkuruasman
@niyonkuruasman Ай бұрын
😂😂😂
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Ай бұрын
Asante Ally
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q Ай бұрын
Ali masubi upewe kitengo selikalini🎉🎉🎉
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
serikali ipi hii ya viongozi wajinga
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 Ай бұрын
Wajinga wanaowaongoza werevu 😂😂, sjui nani mjinga ..
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Ай бұрын
Shule matata sana 🎉sns
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Kutoka shaurimoyo nairobi
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 Ай бұрын
Nakubali Mr Ally Masubi
@Pratnumzsimba
@Pratnumzsimba Ай бұрын
Africa nahisi ndio tuliolaaniwa na mungu
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Ata mm sielewi 😢Africa in tajiri ila tunaishi kimaskin 😢Mkoloni alituroga
@Africangirl_in_India
@Africangirl_in_India Ай бұрын
Lol nimejuwa kucheka kwakweri, umenichekesha sana🤣🤣🤣
@denismasele4130
@denismasele4130 Ай бұрын
Hatujalaaniwa ila sisi akili ndo hatuna
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
@@denismasele4130ndo uchawi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
​@@denismasele4130akili tunayo ni tamaa na ubinafsi wa viongozi wetu na kukubali kuwa vibaraka vya wakoloni
@DOUBLE_G_DA_BST
@DOUBLE_G_DA_BST Ай бұрын
Uyu jamaa anajua kila kitu 🤣🤣🙌
@davidkalama5426
@davidkalama5426 Ай бұрын
Je! Pesa hizi za mkopo Tanzania ilizokopa toka Korea kusini,je! itatutoa ktk umasikini wetu? Bila kuweka rehani migodi yetu, tafadhali kumbukeni kumuenzi mzalendo wa kweli number , one, John Joseph Pombe Magufuli/yeye hakuweka nchi rehani ila aliingia mikataba upya ya win win situation/ccm oyeee! .
@kenwillard1605
@kenwillard1605 Ай бұрын
Kwenye gold sio madini yanayo kua peke ake sometimes yana kua mixed na Zinc wengine huita Sulphur na pale unapo taka kufanya purification uwenda ukakutana na madin mengine na dhahabu sio kama metal ni vumbi yani huioni kwa macho ni kwa uchache sana kuiona kwa macho iko kama chenga ndogo sana..
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART Ай бұрын
Ali masubi mmoja tu ni zaidi ya taasisi mungu akuweke uzidi kutupa elimu zaidi
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 Ай бұрын
Be blessed 🙏🏾.
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji Ай бұрын
Viongozi wa afrika kazi yao kuitwa njee wakishaoneshwa mataa ya mjini na miji olivyo jengwa,halafu nakupewa Kula basi Washamba sana viongozi wetu wanatamaa sana
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
Kiukweli sijui kwanini Tanzania ni nchi maskini. ani nashangaa sana
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Ай бұрын
Ali msumbu soon una safari na mama samia. Unatufaa . Tz tuekeze kwenye elimu alafu wakimaliza wawezeshwe sio kukaa maskini. Jamani story za shalwadu sio tija tupoeni this is smart worlds 🌎 kusoma muhimu
@hansiempire5093
@hansiempire5093 Ай бұрын
kusoma physics + chemistry safi sana
@user-ev2xf1tv3w
@user-ev2xf1tv3w Ай бұрын
Viongoz wet uwezo wao wa kuongoz n mdogo nd maan mikataba inawafaidisha wazungu sio waafrica
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 Ай бұрын
Mambo safi sana❤🎉
@daviddeus6437
@daviddeus6437 Ай бұрын
Iv sis Africa mbona tunatoa vitu vyetu kipumbavu kwenda kuwatajilisha wengine
@ASALABOY
@ASALABOY Ай бұрын
SnS inaunguruma ukweli n UWAKIKA 🇲🇿
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 Ай бұрын
Taka kujua aina ya madini
@conganyoyo3195
@conganyoyo3195 Ай бұрын
MOOO dewj,BAHAARESA,GSM,ABRAAZZ STAM,ASAS,MLOKOZ,hawa n wachache wanaweza kuipeleka TZ kilelen selikal iwaangalie kweny hili
@user-gu3ez2if8k
@user-gu3ez2if8k Ай бұрын
Tanzania imeuzwa mchana kweupeeee
@user-it2tr7ny8d
@user-it2tr7ny8d Ай бұрын
😂😂😂😂
@omarysaid8725
@omarysaid8725 Ай бұрын
Hii mikutano ni kwa ajili ya kuiba rasilimali za Africa
@jamalimussa4928
@jamalimussa4928 Ай бұрын
Aisee, tulishindwa kuwa na mikakati mathubuti na sisi tungekuwaga tumepiga hatua laiti tulingewekeza ktk elimu inayoendana na rasilimali tulizo nazo. 😢😢
@kamtandeabdala3271
@kamtandeabdala3271 Ай бұрын
Wazungu ndio huweka vizingiti ukiwa na uthubutu unakutana na vikwazo kibao
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Daaaaa
@deusntobi6682
@deusntobi6682 Ай бұрын
Hata dhahabu ipo ambayo inakuwa yenyewe ambayo siyo nyingi sana. Dhahabu nyingi ni ile inakuwa kwenye aina nyingine ya madini hasa copper, Sulphur , silver, iron n.k so unapoitafta dhahabu ya aina hii huwa kuna chemicals maalum kwa ajili ya kuitenganisha dhahabu na madini mengine. Mfano sodium cyanide ndiyo chemical inayotumia zaidi
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 Ай бұрын
Haipo kasome zaidi mkuu dhahabu inaexixt kama dhahabu hzo unazozisema ww ni impurities dhahabu haihitaji extraction kama ilivyo aluminium and iron.
@user-fb5tj5zy4z
@user-fb5tj5zy4z Ай бұрын
Iasee watu wanachekesha sana yaan unachukua mkopo wa trilion 6 then ukishindwa kulipa unawabana wachimba chumvi na wauza mchicha wakupe kodi, viongozi wetu wakiitwa na wazungu wanaenda mbio kwanin kama wao wanahitaji madin wasije ? EE Mungu ikomboe Africa! It is a shame
@ramadhanially8932
@ramadhanially8932 Ай бұрын
Africa mungu ametupa kila kitu lakin bado ni masikini yaani naisi mpaka malaika wanatucheka😂😂😂
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
Tatzo akitokea kiongozi sisi wenyewe tunampinga mfano magufuli wananchi tulianza kumchukia kwa wazungu kupindisha ukweli
@dfinalpatrick8555
@dfinalpatrick8555 Ай бұрын
Penyemit hapanawajenz
@user-fk7rt6rz4i
@user-fk7rt6rz4i Ай бұрын
Hicho kikao naona ni nchi ya congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 itaendelea kuteseka na haitapata amani kamwe , kwa sababu karibu madini yote unayojua wewe yanapatikana Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 DRC KWA HILO NASEMA TU PRAY FOR CONGO 🇨🇩🇨🇩 FREE CONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩, FREE AFRICA 🌍 TUTAUANA SANA WA AFRICA SISI KWA SISI
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Yote yanaenda USA na Europe kutengeneza IPhone,Tesla na Microsoft
@MalengaEleme
@MalengaEleme Ай бұрын
Kka unajua sana
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Allah aqibaru
@kdloon2030
@kdloon2030 Ай бұрын
Africa tuna mali,lakini tuna emty brain!😢
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Sisi waafrica tunaupungufu mkubwa tumekwamia wapi akili au mbona wengine wamejikwamimua hawana madini wapo ukiangalia wanaweza Kwa watu wao eti Sisi tunasoma kivipi au ni kujifunza kusoma Tu sio kujua mambo Sisi tumekalia kuzaa tu ndio maana kila nchi zinakimbilia huku .
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Ай бұрын
Mzee unachimba ,hadi periodic table
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 Ай бұрын
Naijua organic and inorganic chemistry.
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n Ай бұрын
Yaani África tuna resources lkn viongozi ndo hatuna kabisa kila siku kukopa wakati haohao wanaonda kukopa wanakuja kuchukua material kwetu
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 Ай бұрын
Yaani licha ya hayo yote lakini bado mpaka sasa hata hatushutuki hata kidogo
@michaelmatonange630
@michaelmatonange630 Ай бұрын
Mwamba sina cha kuongezea kiukweli, unafugua bongo zetu
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
Kiwanja pekee kilichobaki Kwa wasafiri ....ukiishi hapo umetusua ni Bora zaid ya marekani
@vijasa1124
@vijasa1124 Ай бұрын
Africa wanakuja kushota t N wacorea n mkono wa marekani tu n wala c mkorea mwenyewe
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x Ай бұрын
viongoz wala hata hawastuki wao kusomba pesa nakugawa madini tutaendelea kuwa maskini milele huyu mama puuu
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
Tanzania Ina madini kalibia yote lkn wanaonufaika ni hao kina mama yenu mnaowasifia wanaupiga mwingi baadhi yenu madunya msiojua maana ya maendeleo
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Ай бұрын
Huyu mkorea kusini hana hizi fedha huyu anayefanya haya ni mmarekani ampitia mrango wa nyuma ili kupata mali gafi baada ya kugundua kuwa afrika mnaichukia marekani sasa sisi afrika hata kufili kidogo hamna ni kusifia tu acheni ujinga kila siku tunaona marekani amewekeza vitu vingi pale anashindana na korea kasikazini
@YustaMfugale
@YustaMfugale Ай бұрын
Waatuchukue na sisi basi😂
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Imagine tuna mali ila ss ndo maskini 😢Africa niyawa foreigners not for Africans 😢
@khatibkhatib730
@khatibkhatib730 Ай бұрын
Duhh apa tatizo ni mfumo wetu wa elimu, yaan chemistry yetu na physics yetu kuanzia form 1 hadi six inakufundisha story tu za hivi vitu ..je unavipataje, unachimbaje utatumiaje kutengeza hizi kuwa katik usable product , hamna 😂unajkuta unajua element zote 128 kwa majina tuh na story
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Ай бұрын
Africa ni gereza kuu waloliandaa watu weupe, na wakuu wa gereza hilo ni watu weupe,, wanaosimama kama manyapara ni viongozi wa africa,,, alitabili baba etu nyerere.
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Ай бұрын
Wenzetu wako seriously sana hawana undugu zembe kwenye maswala ya utawala
@GodfreyChalo-id4mi
@GodfreyChalo-id4mi Ай бұрын
hiv vtu waliumbiwa wazungu sis waafrika tuliwekwa juu ya ardhi kama mapambo2 hatuna uwezonavyo hata kama tukiwanyma tutavipeleka wap jaman? acha tuwauzie watupe vioo nas tuwape madin yote kwayote sis tuendelee kuwatawala ng'ombe,mbuz,kondoo,punda pamoja na ndge maana ndo uwezo wetu unapoishia🖐🖐🖐
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
We una akilii sasa awa wasomii siwanaenda kusomea au jitambue ww chizii Nye Lele alipeleka majeshii kwenda kujifunzaa namna ya mbinu zakijeshii walienda na wakaludii Sasa ww mweuuu una ongea nn
@HansChuma
@HansChuma Ай бұрын
Kwetu sisi Tanzania upuuz mtupu serekali hamna kitu hatufu chafu ya rushwa tamaa na roho mbaya juu
@mweupebrown3233
@mweupebrown3233 Ай бұрын
Sema Kuna mtu watu awamjui mtuambie adani ni nani maana anatajwa na bandari yetu
@RamadanPaul
@RamadanPaul Ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 shida nini?. Mbona tuna kila kitu?😮‍💨 Daah Mwenyezi Mungu ametuachaniza kabisa🤔🤔
@ibrahimgamba8053
@ibrahimgamba8053 Ай бұрын
Braza, Mbona umetudanganya 😮 kweli south Korea ikaizidi saudia kiuchumi.?
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Unajua uchumi nn kwanza na unajua uchumi unapimwa kwa vitu gani sikiliza kwa makini utajijibu
@abdallahngoe
@abdallahngoe Ай бұрын
Saudi arabia gdp ni 1.109 trillion USD 2022 Korea kusini gdp ni 1.674 trillion USD 2022
@exaudmphuru6172
@exaudmphuru6172 Ай бұрын
Waafrica tumelogwa hatujui tunaenda wapi
@dunialehani6188
@dunialehani6188 Ай бұрын
Shida ya Africa tumehasi asili yetu hatuwezi kuwa na maendeleo kama tuko busy na bible ukikuta mtu ana hogea na mababu mnamuhita mchawi siku mtastuka basi Africa tutakuwa matajiri
@user-yn7mt4mh8n
@user-yn7mt4mh8n Ай бұрын
Ndomana raisi wa Congo alikataa kwenda huko kwenye huo mkutano
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 Ай бұрын
Nimeisikia Tunduru hapo Ruvuma hiyo.
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Ай бұрын
Hayo yote nikuwa na li katiba libovu na laovyo
@mnaratailoring6346
@mnaratailoring6346 Ай бұрын
Kaka tueleezeee pia kuuusu mekiuri .
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
kwaiyo we kwa awa viongozi wa africa unataka uwe kama south korea 😁😁🤣🤣
@NuhuMohammed-nu6ni
@NuhuMohammed-nu6ni Ай бұрын
😂😂😂😂
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Sio magari na simu vifaa vingi Sanaa vya electronic wao Wana maono makubwa sio wajinga
@ntezealoyce7043
@ntezealoyce7043 Ай бұрын
Tatizo la viongozi wetu wa Africa hujali matunbo Yao tu,wewe ulishaona wapi viongozi wa ulaya wakatunza pesa zao Africa,viongo wa Africa tumelahaniwa na Nini hatuhulumie bas,
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Ай бұрын
Africa tukiamka sisi ndiomabilionea wamilele😅
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Viongozi wa Africa hawajielewi maana wenye shida ni hao lakini yanakusanywa kama mazao kuwafuata hao wenye shida kukopeshwa makaratasi wao wanachukuwa mali zetu....Mama yeye ni kukopa wala sio kusomesha watu ili waje kutusaidia kuunda viwanda lkn mikopo tu 😂😂😂
@kelvinkitego8471
@kelvinkitego8471 Ай бұрын
Mwanetuu MASUBII una umechukuaa degree gani chuo ...???? Maan unashushaa mamboo ambayo nilikuwa nayaona onaa tuu shuleee aisee 🤣🙌 extraction of metal yotee imelalaa hapaa leo 🤣🙌
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 Ай бұрын
Metallugy my brother.😂
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 Ай бұрын
viongonzi wetu wanatufanya tujutia kuzaliwa huku Africa asee
@omarybakari5812
@omarybakari5812 Ай бұрын
Sijajua Tanzania itachimba na kuwauzia malighafi au bidhaa zitokanazo na malighafi hizo JPM UNGE AMKA KDOGO TU
@abubakariali9848
@abubakariali9848 Ай бұрын
South Korea ni Miongoni mwa nchi za kuigwa duniani maan kwa sie tuliokua huku Korea tunajionea jamaa wanavyofanya kazi., pili siasa zao ni tofaut na siasa za Africa huku mpk raisi anapelekwa jela akifanya ufisadi is shot no one is above the law Mtu mweny PhD hapa hana tofaut na mtu wa darasa la 7 na Ile sera ya Magufuli hapa kazi tu kaitoa huku jamaa wanafanya kazi zaid ya Punda
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 Ай бұрын
Sana usisahau walikuwa na miaka ya kiza iliyojaa ufisadi mwingi baada ya ile vita ya korea hapo ndo wakajifunza kujitegemea.
@user-yr3yi2yr6i
@user-yr3yi2yr6i Ай бұрын
Why Saudi Arabia to Africa summit USA to Africa summit Russia to Africa summit Korea to Africa summit China to Africa summit Why why
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Ай бұрын
Ni aibu KWA kweli
@Badvoice707
@Badvoice707 Ай бұрын
Hata sisi tutabadilika soon mbele ya mama kiz mkazi tutaanza kukopesha nchi jirani
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Ай бұрын
😂😂😂😂 KWA hali hii mnavyokwepa kulipa kodi
@RamaTraceur
@RamaTraceur Ай бұрын
ule msemo wajinga ndo waliwao ndo huu. Unatoa madini yako unapewa karatasi zao.(Pesa). watu wa korea watakuwa na ajira za kutosha, Watu wa Afrika hatutokua na ajira bali tutanunua bidha za wakorea zinazo tokana na madini yetu,kwa kutumia makaratasi yao (pesa) walizotupa, mchezo ni ule ule faida itakua korea na africa tutabaki na Mashimo ya madini na Umaskini. ni Maoni yangu tu😂😂😂
@yusuphkapilimka
@yusuphkapilimka Ай бұрын
SNS❌ CNN✅. 🔥🙌🫡
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Ай бұрын
Dola billioni mbili mbona si nyingi sana? Wakorea wanataka rare minerals ambazo Tanzania inayo kama vile graphite, nikel, na lithium.
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Ай бұрын
Sasa wafanye nini nq africa ni shamba la bibi kila mtu ambaye sio muafrica anarubusiwa kuvuna kila kitu anachotaka kutoka shamba la bibi africa
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Korea kusini ni marekani damu damu....hapo tumepigwa changa la jicho
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН
BALAA: HEZBOLLAH waiteketeza IRON DOME ya ISRAEL, vita kamili vyanukia?
6:39
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
ПРОКАТИТЬ С ВЕТЕРКОМ?..💨
0:20
Хранилище Легенд
Рет қаралды 317 М.
Every car need this.#car #carhack #shortsyoutube
1:00
Chaudery Auto Traders
Рет қаралды 3,5 МЛН
🐷 на БМВ НЕ ОЖИДАЛИ ТАКОГО👊#shorts
0:59
Асфальта.нет
Рет қаралды 9 МЛН