Yafahamu makundi manne ya tabia za binadamu Kisaikolojia - 2

  Рет қаралды 12,916

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Mwanasaikolojia wetu, Jackson anatuletea elimu kuhusiana na makundi manne ya tabia za binadamu Kisaikolojia. Kwenye episode hii anaelezea kundi la PILI. Jackson ni mshauri wa masuala ya uhusiano na ndoa. Unaweza kufuata akaunti yake ya Instagram: @love_clinic_aristotle

Пікірлер: 17
@allykassim1455
@allykassim1455 6 жыл бұрын
haya ndo mambo ya msingi tunapaswa kufahamu.angalau nimefurahi kwa sns.maana niliona mahojiano ya kinje kuhusu tunda......daah imeniharibia siku sana.najuta kuisikiliza.ahsante bro.SnS
@priscajacob6359
@priscajacob6359 6 жыл бұрын
Asante sana japo nimechanganyikiwa
@mariammariam2475
@mariammariam2475 6 жыл бұрын
tunashukuru kwa kuyafahamu haya yana ukweli sana
@tahrinkessy7119
@tahrinkessy7119 6 жыл бұрын
Shukran kaka kwa somo lako
@aishamattar6381
@aishamattar6381 6 жыл бұрын
Asante kwasomo zuri
@isaackpatrick7053
@isaackpatrick7053 6 жыл бұрын
Naomba nikushauri unappelezea Aya makundi yalezee katika uelewa wa jumla, sio religious based.. Inshu za Phragmatic kuwa rahisi kuishiwa nguvu za Mungu hoja kama hii ni Labda katika mkitadha wa kidini, na katika forum ya kidini..
@mansourmakame355
@mansourmakame355 6 жыл бұрын
Najikuta nipo kwenye makundi yote Mawili kwenye baadh ya vipengele sasa sjui mm ni nani
@witnessmsemwa2606
@witnessmsemwa2606 2 жыл бұрын
🔥🔥
@sinatatizonamtu
@sinatatizonamtu 6 жыл бұрын
Naona hii ndo originally 🔥🔥🔥
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 11 ай бұрын
Hilo kundi ni la Waha mwisho wa reli
@aishamrisho9592
@aishamrisho9592 6 жыл бұрын
Hili kundi langu daa hatariii
@danielelwin1778
@danielelwin1778 6 жыл бұрын
nahisi lisu yupo humu
@josephinemlay626
@josephinemlay626 6 жыл бұрын
nilikua naisubiria sana
@dieudonnematabaro7144
@dieudonnematabaro7144 6 жыл бұрын
Uyoo ni tundu lisu
@lamwelibatoni1439
@lamwelibatoni1439 Жыл бұрын
Mb zangu hazijaniuma ata kidogo haya ndio mambo
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Uyu ni Anaejiita nabii Tito au SHILAWADU
@BenadictoMazua
@BenadictoMazua 3 ай бұрын
wewe nimuwongo
Yafahamu makundi manne ya tabia za binadamu Kisaikolojia - 3
5:27
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 9 М.
SAIKOLOJIA YA RANGI NA TABIA ZA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
11:06
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
YAFAHAMU MENO BANDIA
4:11
Alexia Hospital
Рет қаралды 5 М.
Yafahamu makundi manne ya tabia za binadamu Kisaikolojia - 1
8:11
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 37 М.
WAGANGA NA MAKABURI YA AFRICA | Aina 4 za watu na tabia zao
10:19
Drone iliyorushwa kutoka Lebanon yapiga makazi binafsi ya Netanyahu
1:45
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН