JE, YESU KRISTO WA BIBLIA NDIYE MASIHI ISSA WA NDANI YA QUR-AN?

  Рет қаралды 23,904

NABII ELIYA ILYAAS

NABII ELIYA ILYAAS

Күн бұрын

Пікірлер: 155
@michaelkisangi
@michaelkisangi 23 күн бұрын
Hebu toa pepo kwa jina la isa uone kama litatoka. Kisha utumie jina la YESU. JESUS, YASU'U uone kama halitoki
@gichohiwaruhiu8517
@gichohiwaruhiu8517 5 ай бұрын
great teaching. keep it up
@MawazoMwamba-fz5hr
@MawazoMwamba-fz5hr Жыл бұрын
Umenena kweli Mtumishi wa MUNGU. Ahsante sana 🙏🙏
@fedelisyalbert
@fedelisyalbert Жыл бұрын
mwalimu MUNGU mwenyeezi akubariki natamani dunia yote tungekuwa kama unavyoelewa wewe ayseeeee YESU KRISTO angekuja kwa mara nyingine MUNGU akubariki Sana kwa kuendelea kuielimisha dunia
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Ameen mtumishi wa MUNGU Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
@selinapius7607
@selinapius7607 2 жыл бұрын
Amina.mimi nakuelewa sana
@judithkache5292
@judithkache5292 2 жыл бұрын
God bless you
@gichohiwaruhiu8517
@gichohiwaruhiu8517 5 ай бұрын
great explanation.
@shirikaniyonkuru6560
@shirikaniyonkuru6560 5 жыл бұрын
Barikiwa ndugu
@meisanmariah8993
@meisanmariah8993 3 ай бұрын
Ämen 🙏
@seifzongo320
@seifzongo320 5 жыл бұрын
Nimekusikiliza mm n muislam leo nimeelewa ,hongera Allah akuongoze ktk kila jema
@paulmkuki5638
@paulmkuki5638 5 жыл бұрын
Amen
@Millidady
@Millidady 4 жыл бұрын
unapotezwa ww uyo anajiita mtume .....
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@heriabudu3207
@heriabudu3207 2 жыл бұрын
Hyo anakudanganyeni Hana elimu kupitia maandiko
@heriabudu3207
@heriabudu3207 2 жыл бұрын
Nabii waliteremshiwa vitabu je?yy katermshiwa kitabu kipi?
@rialsgazelle9380
@rialsgazelle9380 3 жыл бұрын
Be blessed!
@linturenatus3549
@linturenatus3549 2 жыл бұрын
Balikiwa Sana shekhee
@nurumnyumba7964
@nurumnyumba7964 Жыл бұрын
Aamen.
@sambayametikana8682
@sambayametikana8682 4 жыл бұрын
Hapo umenena vema mkuu ubarikiwe
@linturenatus3549
@linturenatus3549 2 жыл бұрын
Sheheee nimekuelewa mzee wangu
@brysonpatrick6147
@brysonpatrick6147 4 жыл бұрын
Ubarkiwe
@jasonandjesuschrist4172
@jasonandjesuschrist4172 3 жыл бұрын
Asanti BWANA YESU KRISTO asifiwe MILELE MFALME WA WAFALME AMINA
@bahatijohn1958
@bahatijohn1958 2 жыл бұрын
Kweli kabisha nabii
@salimwheatgrass6711
@salimwheatgrass6711 5 жыл бұрын
Umesahau suratul Ikhlas.ALLAH SWT hakuzaliwa.
@jasonandjesuschrist4172
@jasonandjesuschrist4172 3 жыл бұрын
Kama MUNGU ALLAH hawenzi mambo mengine basi Sio MUNGU wa ukweli MUNGU wetu JEHOVAH YAHWEH asifiwe MILELE mfalme wa wafalme MUNGU mtakatifu alie MBINGUNI, alikunja duniani akaacha ufalme wake mukumbwa ili azaliwe duniani kama YESU KRISTO ❣️ iliaokoe watu wake kutokana na maovu na undanganyivu wa IBILISI , SHETWANI , LUCIFER 👹 AMA NJINA LINGINE NI ALLATAH ( ALLAH ) USHINDWE NA HUYO MUNGU WAKO FAKI YESU KRISTO NI JEHOVAH YAHWEH AKIWA NA MWILI WAKIBINADAMU ILI AZALIWE DUNIANI KAMA KAFARA KWA MFANO WEWE MTOTO WAKO AKIKOSA DAMU AMA FIGO UNAWENZA njitolea umpe njibu no NDIO , sababu no MTOTO WAKO Hivyo divyo MUNGU mtakatifu alie MBINGUNI JEHOVAH YAHWEH NJINA LINGINE YESU KRISTO ASIFIWE MILELE alikunja duniani kukuokoa WEWE endelea kundanganywa na ALLAH LUCIFER 👹 ALIYE HUKUMIWA ZAMANI ALLAH anasema KATIKA QORAN YAKWABA HAKIKA NYINYI NYOTE WAISLAMU ATAWACHOMA ATAWATESA SABABU AMEFAULU KUWAFANYA MUWE NA ROHO NGUMU ZAIDI ( KUTOAMINI YESU KRISTO MWOKOZI WETU NI JEHOVAH YAHWEH MUNGU MTAKATIFU WAUKWELI ) SURA 19: 15- 16 SURA 19: 16_17 SURA 19: 18_20 ALBERRY ( NAONA NASAHAU lakini angalia hapo )
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw Жыл бұрын
Ubarikiwe na BWANA wa majeshi, na ninakusihi endelea kuamini vivyo hivyo hadi KRISTO YESU atakapoludi amen amen
@salimwheatgrass6711
@salimwheatgrass6711 Жыл бұрын
@@jasonandjesuschrist4172Uislamu ndio ukweli.Umedanganywa na hawa fake pastors.
@nine....
@nine.... 9 ай бұрын
Tujuane apa✝️✝️
@biblefanatic2902
@biblefanatic2902 4 жыл бұрын
Amen nabii
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa mpendwa. Endelea kutumika katika kuelimisha wasio na uelewa wa kutosha. Wamegeuza dini ni chanzo Cha malumbano na ugomvi.
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Жыл бұрын
Mungu azidi kuku funulia
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Жыл бұрын
Kwa kupindisha Aya ya 55 hapo pana future tense kasome tena sifatilii tena
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 3 ай бұрын
Isamwana wamariyam ndie alietumwa kumwabudu allahpekee
@RynRobert
@RynRobert 2 ай бұрын
Na allah sio mungu
@PlickaChacha
@PlickaChacha 20 күн бұрын
Iko wazi watwambie huyo allah huwa ni wa wap n kwa nn anaelewa kiharabu tu
@jelwaslinje8603
@jelwaslinje8603 5 жыл бұрын
Ndiyo baba
@paulwanyama4610
@paulwanyama4610 4 жыл бұрын
Kweli kabisa nabii waislamu na wakristo hawapendani kweli wana uwadui mkubwa
@Kassa-fl3yh
@Kassa-fl3yh Жыл бұрын
Mwalimu.jitahidi utengeneze audio watu tununue.au flash
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Жыл бұрын
Aya ya hamsini na tano mwalimu kaisome vizuri kilicho andikwa Umenukuu vibaya sana Usipindishe hapo
@PlickaChacha
@PlickaChacha 20 күн бұрын
Imeandikwaje
@aminaisuja6081
@aminaisuja6081 8 ай бұрын
Unagroup😢😊
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Ila bwana Mungu anakufunulia mambo ya rohoni
@faithmatheka4358
@faithmatheka4358 4 жыл бұрын
Hapa kuna ukweli yaani kuna kitu huu ni mti una matunda mazuri.
@tonnyjames5050
@tonnyjames5050 3 жыл бұрын
You are special musliman
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 6 ай бұрын
Ongea ukweli juu ya tofauti kati ya yesu kristo na isa bin mariam sio mahala pa kuzaliwa tu na nyingine huzisemi.
@michaeljeremiah9811
@michaeljeremiah9811 11 ай бұрын
Ni kweli mtumish ila maji na mafuta ni vimiminika vyote lakini haviwezi kuchangamana ukiristo na uislamu haviwezi kuchangamana
@wizzahgfalme3874
@wizzahgfalme3874 3 жыл бұрын
Waislamu wote wangeukubali huu ukweli wangebatizwa woooote
@salimmwasene4473
@salimmwasene4473 8 ай бұрын
🤣🤣🤣 wewe na huyo kafiri mwezako nyote ni ng'ombe
@nyundomaster1541
@nyundomaster1541 2 жыл бұрын
Haya ndiyo mafundisho yanayotakiwa kuwaelimisha waumini kufika mbinguni
@nelsonkamba1897
@nelsonkamba1897 5 жыл бұрын
Issa bin mariam hakufa msalabani //yesu alikufa msalabani
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 11 ай бұрын
Ndugu zangu apa apana ugomvi wa Dini. ukweli Ni utofauti wa vitabu vyetu vya Dini. cc ndio tunajaribu kuvilinganisha Ila vyenyewe havilingani....
@martinmkoba361
@martinmkoba361 5 жыл бұрын
Maislamu hayapendi kweli unapomsifia yesu,kristo ndio njia ya kweli,
@fatmaismail13
@fatmaismail13 5 жыл бұрын
nyote makafiri nyie
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
@@fatmaismail13 pole sana baki na kichwa chako kigumu ila elimu ushapata kwa hyo utajibu peke yako kutokana shingo yako ngumu🙌
@desderiushaule4264
@desderiushaule4264 Жыл бұрын
YESU KRISTO na ISSA bin Mariam ni watu tofauti kabisa kwa kuzaliwa kutoka kabila mbili tofauti. YESU ni WA kabila la Yuda na ISSA ni WA kabila la Lawi
@biblefanatic2902
@biblefanatic2902 4 жыл бұрын
Sisi wakristo tumeridhika na yesu, isa hutumjui, na waislamu imani yenyu haituhusu wala hatuingilii
@halimaomar2986
@halimaomar2986 3 жыл бұрын
Sasa mbona umefatilia..kusikiza kama Isa akuusu😁😁😁
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Kataa na jisus sio yesu ? Mbona haukatai kuwa jisus kuwa sio yesu ?
@januaryyotham8652
@januaryyotham8652 5 жыл бұрын
Nimeuliza yasuhu Ali masihi ni nani? Kwan nikiarabuhicho mbona lugha moja lakin watutofaut?issa na yasuhu hawa watu nitofauti Kwan yasuhu ni yesu kwa kiswahili halafu issa sio yesu kwa kiswahili.nahatakama wote wangekufa na kufufuka bado mafundisho ya issa ni manyongesana tofaut na ya yesu ambae kwa kiarabu anaitwa yasuhu
@denismugisha2
@denismugisha2 Жыл бұрын
Nimekuelewa kwenye msingi wa kuzaliwa kwa BWANA wetu
@sirilimichaelpamojasana2033
@sirilimichaelpamojasana2033 3 жыл бұрын
We endelea kuchonganisha wenzako acha watu wamungu waendelee na maisha yao
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 Жыл бұрын
Jina issa halitoi PEPO ni jina la mtu tofaut msidandanye watu
@kelvinmichae728
@kelvinmichae728 5 жыл бұрын
huyu mtu najitahidi sana kumsikilza Nimegundua ilipokusudi la KiMungu ndan ya nafsi yake maana hivi vitu Havifundishwi makansan wala misikitin
@fatmaismail13
@fatmaismail13 5 жыл бұрын
wee ni huko kwenu kanisani sisi waislam tunavijua....
@MWAMALUMBILI
@MWAMALUMBILI 5 жыл бұрын
Fatma Ismail, Sauti huishia kila palipozibwa kwa kuta. Misikiti na Makanisa na majengo mengineyo ambayo sikuyataja ni kuta za majengo ya Ibada tu lakini Utakatifu wa mungu huishi rohoni mwetu nao hauna mipaka. Sote tu wana wa Mungu mmoja. Sote tu wa asili moja tamaduni mbalimbali. Imani moja nyakati mbalimbali. Ili tuelewane tunapaswa tuzungumze lugha moja - UPENDO. Mwenyezi mungu humshusha ajikwezaye na humkweza ajishushaye
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Жыл бұрын
​@@MWAMALUMBILI Good. Barikiwa na Bwana Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.
@melckizedecktemba5373
@melckizedecktemba5373 Жыл бұрын
Kumuelewa huyu baba,ni vigumu sana...ila wateule tunamuelewa
@stephanomaduhu5426
@stephanomaduhu5426 Жыл бұрын
Kuunganisha uislamu na ukristo ndio unamuelewa nini
@isaacjuma3846
@isaacjuma3846 3 жыл бұрын
Kabisa waislam ni watu wasioupenda ukweli.kama Quran ambacho ni kitabu chenu kinamkubali Yesu, Kwa nini nyinyi waislam manamkataa? Sasa nyinyi na Quran tuamini nani? Hii ni Kwa sababu ni kama hamuelewani na Quran yenu ama nini. Huyo Eliya amewambia ukweli usiopingika ila mnampinga ilhali anawasomea yaliyoandikwa kwa Quran. Hivi mbona mnaijukia kweli? Kumbe ni afadhali kufa kuliko kuwa muislam. Watu wasioupenda ukweli hata kidogo. Maandiko yanakubali nyinyi mnakataa. Sasa nyinyi na maandiko ya Quran ni nani msema kweli? Ahahahaaaa!!!! Kumbe kuwa muislam ni msiba mkubwa sana poleni. Ushauri wangu kwenu ninyi waislam, kaeni chini ninyi na Quran muelewane mkubaliane na mkuwe na neno Moja bure Kuna shida kubwa kwenu...
@espoirnshokanobat9891
@espoirnshokanobat9891 3 жыл бұрын
Acha uongo. Maandiko yanasema tusiongeze. Ni wawili tofauti
@newupdates6063
@newupdates6063 Жыл бұрын
Ni ukweli, Yesu sio isa, watu wawili tofauti😅😊
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 Ай бұрын
Yesu wa quran sio yesu wa bibilia ata punje
@hajihemedi5189
@hajihemedi5189 4 жыл бұрын
samahani Ustadhi Hamza hatukupata ufafanuzi wa hiyo aya hapo 4:157, maana ulituahidi.
@nabiiilyaaseliya2551
@nabiiilyaaseliya2551 4 жыл бұрын
Ipo katika darasa zingine tafuta kwenye channel yangu
@saidibuye8859
@saidibuye8859 3 жыл бұрын
Huyo mshamba tu alifuatwa na ma sheikh na kukiri muongo mkubwa Wala usipate tabu nae
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
@@saidibuye8859 alifatwa na mashekhe gani acha kueneza chuki na uongo kama ww hutaki kusikiliza acha hujalazimishwa coz wa kujibu cku ya mwsho n ww mwenyewe
@RashidiIsmaili
@RashidiIsmaili Жыл бұрын
Unacho hongea ndugu Saidi buye ni ushabiki unaho kusumbua
@deusisindwa616
@deusisindwa616 4 жыл бұрын
Shekhee dalasa zako ziko vizur ili tujifunze.ila unatoa nusunusu tunashindwa kifatilia kwa umakin.nkuombe uwe unaziweka kwa mbangilio wa sizon.make mafundisho unayoyafundisha niviongoz wachache ambao wanafundisha.mungu akubali ili tuendele kujifunza kutoka kwako
@espoirnshokanobat9891
@espoirnshokanobat9891 3 жыл бұрын
Kama Issa bin Mariamu, katika Quran hakufa, na waislamu wenyewe husema Yesu Kristo hakufa na kufufuka na wanasema kwamba kifo chake hakikuokowa mtu
@petromachanga29
@petromachanga29 5 жыл бұрын
Mtume Paulo alisema kabla yakuepo Quran, wala mhamad 2wakorintho 11:4 inasema maana yeye ajaye akihubili yesu mwingine au mpokee mungu mwingie au injili nyingine .(yesu mwingine ni isa, mungu mwingine ni Allah)
@ismamansour2620
@ismamansour2620 5 жыл бұрын
Wewe ni muongo mzee 1 Wakorinto:11.4 Kila mwanamume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa chake.
@williammadafu9518
@williammadafu9518 Жыл бұрын
@@ismamansour2620 wewe ndio muongo ni 2 Wakorontho 11:4 soma vizuri
@samuelmussa4809
@samuelmussa4809 3 жыл бұрын
Umechemka ndugu Bethlehem ya uyahudi ndiko Yesu alizaliwa isa huyo wapi kazaliwa? Na ulikuwa utimilivu wa andiko.
@salimmotila3887
@salimmotila3887 5 жыл бұрын
Mwenyezimungu anasema nabii issa bin mariam hakufa wala hakusulubiwa wewe unasema alikufa na alisulubiwa tufuate wewe au mungu😂wacha kuzikadhibisha aya za Allah motoni makazi yako usipotubu kama ni njaa muombe Allah atakupa
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 5 жыл бұрын
lakinj uzuri tu kuwa hata waandishi wa quran hawajui Yesu ni nani. kwa hiyo dhana ya kwamba Yesu hakufa ni waandishi wa quran ndio wamesema. lakini Mungu wa kweli alitabgaza kufa kwa Yesu toka kipindi cha musa. sas Mungu hana kigeu geu labda allah lakini kwamba Yesu alikufa ni ukweli. hakuna aya kwenye quran inasema Yesu hakufa. ni tafsiri mbovu na ushetani ambao mnao.mnataka watu wasiamini katika damu.
@biblefanatic2902
@biblefanatic2902 4 жыл бұрын
Mungu wa wakristo alisema alikufa na kufufuka😂
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
@@biblefanatic2902 Hakuna Mungu wa wakristu wala wa waislam Mungu n huyu mmoja tu na acha kejeli kwa Mungu utajutia
@livanofficialkenya
@livanofficialkenya 3 жыл бұрын
Kichwa maji
@remigimtenga7608
@remigimtenga7608 5 жыл бұрын
Simama upande mmoja acha kuchanganya watu!
@omarmgeni8782
@omarmgeni8782 3 жыл бұрын
We kafiri wadanganye makafir wenziwo
@victormtani7170
@victormtani7170 2 жыл бұрын
Wewe ndio kafiri wewe Omary Mgeni wachana Nabii Eliya awachane live juu ya Yesu kristo. Mtumishi wa Mungu ulijua ukweli ndio maana ukatoka kunako vuka moto kwenye Uislamu maana ni kaburi huko. Njoooni ninyi makafiri wa kiislamu wote wanaompinga kristo Yesu hao ni Makafiri. Sasa sisi na ninyi nani kafiri? Sisi hatumpingii ila ninyi mwampinga kristo Yesu ndio makafiri
@RashidiIsmaili
@RashidiIsmaili Жыл бұрын
Katika biblia akuna andiko linalo thibitisha Magali alipo zaliwa Yesu
@RashidiIsmaili
@RashidiIsmaili Жыл бұрын
Tena huyo mwalimu wako ni mwehu tena chizi haswa
@coffeetreetza9543
@coffeetreetza9543 3 ай бұрын
MARIAM wa BIBLIA na wa QURAN ndo inaonesha ni watu wawili tofauti. Swala sio wapi alizaliwa..
@becabonge463
@becabonge463 2 жыл бұрын
Yesu Hakufa Wala Hakusulubiwa, ALLAH S.W Alimnusuru Kwa Kuwafananishia Sura Yake Yesu(Isa) miongoni mwa wale waliotaka Kumsulubu Na Kumuua! Soma Surat Al-Nisaa 157-158.
@jumaomary9624
@jumaomary9624 2 жыл бұрын
Upo sawa.
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
Hata ktk biblia n same thing ila ktk macho ya kibinadamu ni yesu alisulubiwa ila ktk roho wa Mungu alimuepusha mwanae kwa njia tofauti ila andiko lilitimia coz ilikuwa ni lazima litimie✍
@designdesign4426
@designdesign4426 5 жыл бұрын
Sasa we nabii kinachokucheshachekesha nini? apo tu ndo unapoteza sifa zakuanabii ni njaa tu umeiamishia kichwani
@Millidady
@Millidady 4 жыл бұрын
HAKUNA AYA INAYOSEMA YESU ALIKUFA KWENYE QURAN
@heriabudu3207
@heriabudu3207 2 жыл бұрын
True 👍
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
Umemsikiliza mpaka mwisho?
@erthyatt6866
@erthyatt6866 Жыл бұрын
Ndo nyie hamsom vitabu nenda kasome Aya 19:32_34
@kelvinmichae728
@kelvinmichae728 5 жыл бұрын
Yaan wewe unaamin wazi Yesu ni Mungu lkn unaogopa.
@robertnkyalu3241
@robertnkyalu3241 5 ай бұрын
Wewe mwenyewe ni agent wa ibilisi
@makaramayatibamrmichaelkih3683
@makaramayatibamrmichaelkih3683 5 жыл бұрын
Shekhe nimeona uko vizur fafanua yasu amezariwa wapi
@pjones1035
@pjones1035 5 жыл бұрын
michael usifanye kosa ukawa muislamu utakuja kujutia baki kwenye ukristo Yesu ndo njia ya uzima
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 4 жыл бұрын
Sjajua kwanini YESU akitajwa watu wanakuwa na hasira sana na je siku akirudi watampiga mawe tena?
@omaar5693
@omaar5693 4 жыл бұрын
No labda unawazungumzia wayahudi, lakini waislamu anapotajwa yesu tunasema PBUH
@nenolakristomaisha.5611
@nenolakristomaisha.5611 5 жыл бұрын
EMBU UZIDI KUWA NA NIA NJEMA YA KWELI
@tomasnoel4631
@tomasnoel4631 3 жыл бұрын
I know Im pretty off topic but do anyone know of a good website to stream new movies online?
@eastoncolten6666
@eastoncolten6666 3 жыл бұрын
@Tomas Noel Try flixzone. Just search on google for it =)
@dawazaasili5251
@dawazaasili5251 5 жыл бұрын
Uyu nabii na Titto sijui wanaundugu
@joshuatanzanite5871
@joshuatanzanite5871 2 жыл бұрын
Yaaan nakuelewa hata yesu aligoma kuwa hakuleta dini duniani aya mambo ya dindini haya wakati Mungu ni wa wote wenye miili na Makahaba watatutangulia kwenye ufalme tumesahau kazi udini tuuuu na ubinafsiiii
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 4 жыл бұрын
Hana lolote huyu zaid ya kuangamia tu mpuuzi huyu ikiwa ww waukubai uislam yanini kujita mtume watwambia vp tue sawa na wakristo wakati Allah kesha sema wao wana dini yao na sisi tuna dini yetu nenda katoe shahada ww ue muislam maana huna uislma kwa sasa
@biblefanatic2902
@biblefanatic2902 4 жыл бұрын
Mwache, akienda motoni ni yeye wala si wewe wala waislam ila roho yake
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
Huyo mtume wenu mwenyewe kwenye quran yenu kamkiri yesu wewe ni nan hadi upinge?
@robertambrose1231
@robertambrose1231 4 жыл бұрын
sasa wew unajiita nabii eliya je !! wew ni mtume??? gani umechanganyikiwa unatakiwa ukapime milembe.
@mcmc3445
@mcmc3445 3 жыл бұрын
Umekosea, ukristo ni ufufuo wa Yesu na kukiri kuwa ndio Bwana na mwokozi wetu. Ndio maana wasioamini ufufuo wa Yesu sio wakristo. Mbili Yesu wa bibilia ni tofaut na wa quran, mama wa Yesu kwenye bibilia anaitwa Maria na Baba yake ni Joachim Ila mama wa isaa ni Mariam ambae ni dada wa Haruni na Mussa (manabii wa kale Sana , hili ni kosa) pia Yesu wa bibilia anaongea Kwa mamlaka Ila kwenye Qur'an wamemfanya kuwa nabii wa kawaida kwamba kwamba ni mdogo kuliko Muhammad
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
Si kweli ndugu yangu mm n mkristu ila yesu ndo issa take it from me
@mcmc3445
@mcmc3445 6 ай бұрын
Wewe unajiita mkristo et, afu unasema Issa ndio Yesu unathibisha??😢 Kwenye bibilia Yesu amejiita Mwana Mungu, kwenye quran kakataa, had hapo hitilafu tayari
@hamisishemzigwa157
@hamisishemzigwa157 3 жыл бұрын
Binafs ktk maswala ya dini sinaga hoja dini zote ni fact
@espoirnshokanobat9891
@espoirnshokanobat9891 3 жыл бұрын
Kama ww ni mukristo amini kweli kweli. Tangaza msimamo wako.
@bonifaceirungu5594
@bonifaceirungu5594 3 жыл бұрын
Si wazungu wanasema bali ni Quran na Bible zinasema wacha chuki kwa wazungu
@princemahamba242
@princemahamba242 2 жыл бұрын
Sio bure umetumwa
@ashuraomar8809
@ashuraomar8809 5 жыл бұрын
Sema yote baba,merle ukweli kipenzi cha Mungu
@africrowd4559
@africrowd4559 2 жыл бұрын
We nae fatilia Dini yako
@newug3347
@newug3347 3 жыл бұрын
Kwani Shetani alihusika pia kuandika Quran?
@simonpure109
@simonpure109 Жыл бұрын
Sina uhakika,ni mtume tu alikiri kuongoza baadhi ya mistari... satanic verses 😳 ni story tu
@roggerrajab9782
@roggerrajab9782 4 жыл бұрын
Sasa wewe ni nabii baada ya Nani?
@omaar5693
@omaar5693 4 жыл бұрын
Paulo
@maspro6294
@maspro6294 5 жыл бұрын
Wewe mwenyewe shetani kafiri mkubwa laanatulah kafiri wewe njaa itakua nenda shamba kalime mpumbavu mmoja
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 5 жыл бұрын
Huyu jamaa hajulikani yuko wapi, naona kama anataka kuanzisha dini mpya, Ila hajui wakristo hawamtambui mtume Mohammad na quran kama neno la Mungu
@mansixgooseman8915
@mansixgooseman8915 5 жыл бұрын
Mpumbavu wewe masoud kubwa jinga hamza anainuwa waislamu wakings km wewe elewa kuwa ujitambui wewe mbwa masoud unamjuwa mungu
@maspro6294
@maspro6294 5 жыл бұрын
@@mansixgooseman8915 wewe na msenge mwenzio nabii feki wote wasenge huyo nabii wako anataka kifilwa
@mansixgooseman8915
@mansixgooseman8915 5 жыл бұрын
Allah hakai kwenye marinda ya baba Ako masoud
@cosmamosesmango1574
@cosmamosesmango1574 5 жыл бұрын
Sivizuri kuongeakufuru MUUMBAJI ukubariki
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 5 жыл бұрын
Njaa zinatipeleka pabaya sana endelea kula embii zawajinga kujiingizia kipato ila allah anakutazama tu sikumoja utaamka kipof wewe
@thomasphillo4896
@thomasphillo4896 5 жыл бұрын
Anafundisha ukweli
@swalehkiuga167
@swalehkiuga167 5 жыл бұрын
Wew unachanganya mandiko ya mungu na barua za Bible
@martinmkoba361
@martinmkoba361 5 жыл бұрын
Maandiko ni yapi sasa?waliomuona yesu wanasema kazaliwa ktk zizi la ng'ombe,wewe husio muona unasema kazaliwa ktk mtende,hapo ndio utajua pumba zipi maandiko yapi
@Leo-kg2lt
@Leo-kg2lt 5 жыл бұрын
@@martinmkoba361 hahaha waambie mkuu na huwa hawapendi kuambiwa wala kusikiloza kwel hao jamaa sijui wamelishwa nn kwa akil zao ase
@mwakajohn1819
@mwakajohn1819 5 жыл бұрын
Wewe hujui maandiko ya mungu, umekaririshwa tu. Eti ilitoka mbinguni. Tumia vizuri akili yako
@biblefanatic2902
@biblefanatic2902 4 жыл бұрын
Koran aliyopewa Mohamed huku akinyongwa na malaika nusra afe 😂😂,dini y'a majini, Ndio maana mwaamini majini na kuyafuga
@edwardmamuya8066
@edwardmamuya8066 4 жыл бұрын
Ni bora ukiwa mkristo. Hayo
@salimmotila3887
@salimmotila3887 5 жыл бұрын
Wewe na mtume s,a,w nani aliyefasiri quran vilivyo au fasaha,hakika wewe ni kafiri
@thomasphillo4896
@thomasphillo4896 5 жыл бұрын
Yupo sahihi iliasa
@mahmoudjuma6095
@mahmoudjuma6095 5 жыл бұрын
Kafiri mkubwa sna tena mungu akulali kwa kila wakat na maneno yako ya urongo
@biblefanatic2902
@biblefanatic2902 4 жыл бұрын
Mbona waislam chuki
@mohdkhamis6885
@mohdkhamis6885 5 жыл бұрын
Hakuna andiko kwenye biblia kwamba yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe
@joulecal7
@joulecal7 5 жыл бұрын
Wende soma bibiliya acha fujo
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 4 жыл бұрын
Ndugu umesoma biblia kweli?
JE, YESU KRISTO NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU? PART 3B
1:26:58
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 67 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
Sudden advance at the front / Rostov is no more
12:03
NEXTA Live
Рет қаралды 754 М.
ROMAN CATHOLICS
18:34
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 76 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН