YALIOKA NDANI YA NYUMBA YA SAYYID MWENYE BABA 6 November 2024

  Рет қаралды 29,427

Abu Shuraim

Abu Shuraim

Күн бұрын

Пікірлер: 181
@kassimhassan8426
@kassimhassan8426 17 күн бұрын
MashaAllah, ALLAH ampatie shifaa mwanavhuoni wetu
@HudeinasaidAhmed-fg9us
@HudeinasaidAhmed-fg9us 17 күн бұрын
Mashallah Allah akueke afya na uzima amiin yarabbi
@MohammedIslam-t2n
@MohammedIslam-t2n 17 күн бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu mashallah mashallah mashallah Al babu Mzee wetu mufti watu maullana sayidi Ahmed Ahmed badawi Allah akupe umrimrefu akuhifathi Manisha yako pekeyake NI hilmu tosha
@hafidhsalim4039
@hafidhsalim4039 Күн бұрын
Allah amjaalie afya njema,sheikh alikuwa akija nyumbani kwetu tukiwa wadogo kila mwaka.kwa sheikh siraji almarhum pamoja na nduguye sheikh mahmoud nyambwa masjid Noor Arusha
@eshasaid3258
@eshasaid3258 14 күн бұрын
Mashaallah allah akupe afiya sayyid mwinyi baba kusosha ni imani na hikima mazezi mazuri unayo twambiya nakufurahikiya❤❤❤❤❤😅😅😅❤❤❤
@HuseniMasaka
@HuseniMasaka 14 күн бұрын
Shida ya watu Huwa ni Moja tu jambo hulitaki acha anaefanya muache afanye wew Fanya unayoona yafaa kwako wew hushushiwi wahyi wa kuharamisha mambo Allah atajaweka wazi qiyamani huko tuache kuwakosea heshima watu wakubwa
@JamilFadhil-fz3ri
@JamilFadhil-fz3ri 13 күн бұрын
Dini si hivyo bro dini kufata mtume sio kila mtu afanye atakavyo asante kaka
@ashrafkhamis1051
@ashrafkhamis1051 17 күн бұрын
Masha Allah mola amhifadhi
@ShamilaAbdul-n8b
@ShamilaAbdul-n8b 11 күн бұрын
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH, wanazuoni ndio warithi wa mitume
@milzamytv8575
@milzamytv8575 17 күн бұрын
Mashallah Allah atunufaishe kwa elimu yake
@AminaMsiyu
@AminaMsiyu 9 күн бұрын
Ameen
@khatramohamed3488
@khatramohamed3488 13 күн бұрын
May Allah guide all Muslims all around the world In Sha Allah.
@KhamisKisengh
@KhamisKisengh 13 күн бұрын
SHEYKH SAYYID MWENYE BABA NAOMBA UTARATIBU WAKULETA VIJANA HAPO MI NIPO TANZANIA MKOA WA SHINYANGA, WILAYA YA KAHAMA.
@KhamisKisengh
@KhamisKisengh 13 күн бұрын
Tafadhali naomba muongozo
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 күн бұрын
MASHA ALLAH 💚
@omytifa6403
@omytifa6403 17 күн бұрын
MashaALLAH MashaALLAH ❤
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 17 күн бұрын
Shukrn habib
@KlfPv29-td8df
@KlfPv29-td8df 17 күн бұрын
Masha Allah Allah amuhifadhi
@sein.208
@sein.208 16 күн бұрын
Masha Allah
@amneomar2303
@amneomar2303 16 күн бұрын
Sheikh niko na mtoto wangu anamiaka 16 namtakia kuleta kwa hiyo madrasa ya sheikh kwake hapo .nimependelea kumsomesha kwake .nitampataje sheikh ama niombee namtakia mwanagu apate ilmu yake
@fikratulmuhibbonlinetvismail
@fikratulmuhibbonlinetvismail 15 күн бұрын
Iko Malindi kenya
@WaziriQaadiriy
@WaziriQaadiriy 16 күн бұрын
Màashaallah
@abdallamohamedabdalla
@abdallamohamedabdalla 16 күн бұрын
Ma sha Allah
@eshasaid3258
@eshasaid3258 14 күн бұрын
Akuwezeshe allah amini kheri nduni na ahera una mazuri yaonikana lnshaalah❤❤❤
@abassmohammedmohammed5948
@abassmohammedmohammed5948 5 күн бұрын
naomba link ya kuweza kujiunga na hizo darasa za online pls kaka
@ibrahimwainaina3243
@ibrahimwainaina3243 13 күн бұрын
Maashallah!
@JamalMohamed-c8i
@JamalMohamed-c8i 16 күн бұрын
Kelele kamwambie baba ako na mama ako,tuachie shekh wetu.
@moralist6100
@moralist6100 12 күн бұрын
MWANACHUONI KIDEVU CHEUPE NA SHARUBU KAMA KAWA IDA INNA' LILLA'HI WAINNA' ILAYHI RA'JIUWN
@moralist6100
@moralist6100 12 күн бұрын
MWANACHUONI KIDEVU CHEUPE NA SHARUBU KAMA KAWA IDA INNA' LILLA'HI WAINNA' ILAYHI RA'JIUWN
@moralist6100
@moralist6100 12 күн бұрын
IMEKUPANIK KUNYQA BOGA
@ShamilaAbdul-n8b
@ShamilaAbdul-n8b 11 күн бұрын
​Ukamilifu ni wa Mungu, mwenyezi Mungu anaangalia moyo sasa sana,. Kama hukuona cha kukomenti. Bora usukutu
@moralist6100
@moralist6100 11 күн бұрын
MALIZA ANDIKO USIKATE NI TABIA YA WANAFIQ HIYO ALLAH MTUKUFU ANAANGALIA MOYO HALAFU MATENDO SIYO MOYO PEKE YAKE
@Masudshaban
@Masudshaban 16 күн бұрын
MashaAllah
@saidimbonde7463
@saidimbonde7463 16 күн бұрын
Asàlaam alaykum warahmatullah wabarakatu habariii,sis twaomba misahaf na majuzuu kwamwenye uwezo
@UbahIbrahim-j1o
@UbahIbrahim-j1o 16 күн бұрын
Waaleikum Salam mko wapi
@mohammedmbarouk1129
@mohammedmbarouk1129 16 күн бұрын
Kias misahafu mingapi.. Na upo wapi
@UbahIbrahim-j1o
@UbahIbrahim-j1o 16 күн бұрын
​. Brother mko wapi mnataka misahaf Allah atatuwezesha uwanunulie
@saidimbonde7463
@saidimbonde7463 15 күн бұрын
Karbun sana mutuchangie mahitaj hayo
@rahmasuleiman586
@rahmasuleiman586 15 күн бұрын
W,salaam Unatakiwa kutoa namba yako ya sim tafadhali na useme upo wapi uhitajia ni vitabu vingapi pia,
@w4058
@w4058 15 күн бұрын
Allah atamzindua
@abuusalmin9747
@abuusalmin9747 12 күн бұрын
Kwahio ric ross anafata sunna au?
@hajiomari6346
@hajiomari6346 14 күн бұрын
Maa Shaa Allah
@IddiHajikhamis
@IddiHajikhamis 11 күн бұрын
barkallahu inshaallah .
@akthehandsomeboy4909
@akthehandsomeboy4909 15 күн бұрын
Mwenye baba ndo rijal Kwa kuowa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 15 күн бұрын
Ana wake wangapi
@akthehandsomeboy4909
@akthehandsomeboy4909 11 күн бұрын
@Catherine-mh8sw eeeh usitake kujuwa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 күн бұрын
@@akthehandsomeboy4909 ok
@muqadam-mk5st
@muqadam-mk5st 16 күн бұрын
Uwajibu wandevu ni kwako kwasabu elimu yako ni ya juzuu ya amma acha kushobokea watu ww
@MuhammedMamboleo
@MuhammedMamboleo 13 күн бұрын
Mashallah
@aliramishsalim
@aliramishsalim 16 күн бұрын
Mawahabi utafuta utajiri wa dunia
@S.SWarfa
@S.SWarfa 15 күн бұрын
Una maana Gani? Kwani kazi anayofanya ni ya dunia? Kazi yake ni ya akhera
@Ismailguzel-yp8cr
@Ismailguzel-yp8cr 13 күн бұрын
Mola ampe afya
@nassorally8139
@nassorally8139 15 күн бұрын
tunaomba hiyo barnamij ya mwaka kwa sisi tulio mbali
@Tolman5189
@Tolman5189 9 күн бұрын
6:14
@abuusalmin9747
@abuusalmin9747 12 күн бұрын
Uchamungu upo moyon jaman weee
@Suleiman-v7v
@Suleiman-v7v 16 күн бұрын
Sijaiona matunda ya hao masufi katika kwa kusaidia mafukara na masakin, Wao ni kusoma maulid eti wanampenda mtume salalahu aleihi wasalam bila ya vitendo, Hata mwezi wa ramadhani hawajitolei kumaliza umasikini kama vile wakati wa zama za umar ibnul khatab na umar ibnul aziz.
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 15 күн бұрын
Tunaona matunda yanayotoka kwako kwa kusema "salalahu aleihi wasalam" Kisha masufi wanaona matunda yenu katika kusaidia mafukara na maskini kila mwezi wa ramadhani Al7amdulillaah zama tulizonazo maskini hakuna wala mafukara, Sio kila tunda unataka ulione, "Salalahu aleihi wasalam", sijui inamaana gani au ndo wingi wa matunda. Maskiiinii matunda yako yashaonekana
@aishathabit3732
@aishathabit3732 15 күн бұрын
Salaf munavituo vingapi vya kugawa chakula kwa masikini? Au unakusudia viposho tu vinavyo toka Saudia kwa ajili ya ujasusi?
@ThabitThamAlharthy
@ThabitThamAlharthy 15 күн бұрын
Kama huna la kusema kaa kimya..
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 14 күн бұрын
Nyinyi mawahabi kama mnafanya basi vizuri mnatuwakilisha
@SheikhHusseinMustafaParmar
@SheikhHusseinMustafaParmar 13 күн бұрын
Ally badawy na Baba yake walikuwa masufi wa kubobea sana na kwa aqidah Yao na Sheikh Khalfan alikuwa sufi wa kawaida na Abdulshakur. Wapo wanasaidia na bora ya wao kuliko Mashia. Wana mitihani tu baadhi lakini wanajitahidi sana katika khayraat
@HishamAdnan-d7s
@HishamAdnan-d7s 15 күн бұрын
Huyu mzee ako na talbiis na balbala nyiingi tu..lakini amna lolote apo😅
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 15 күн бұрын
Hata baba yako alivokuzaa aliona mapema tu kuwa utakuwa na balbala nyingi tu kuwa utakuja kukosoa wazee akaona kuzaliwa wewe itakuwa hamna lolote. Kwa hiyo tumeyaona hayo. Maneno yako ni kiashiria tosha kuwa hukulelewa katika maadili ya dini.
@HishamAdnan-d7s
@HishamAdnan-d7s 15 күн бұрын
@abdulkhaliqmuhammed456 kama mamako vile alivo mwanaharamu mbwa akakuzaa uwe mbwa mwitu..koo lako😅
@hafidhsalim4039
@hafidhsalim4039 Күн бұрын
hujitambui wewe sio bure kuwa na heshima
@wahabishabani9100
@wahabishabani9100 14 күн бұрын
Huyu mahatmohamed anaulizia habari za ndevu,, ama hakika hana aadabu kabisa, huwezi kumuita mwanachuoni mkubwa kama huyu eti mzee" chizi kweli wewe!! Tena mdogoe na ibilisi
@mirajimsagati6035
@mirajimsagati6035 14 күн бұрын
Asalam alykum naomba namba y Sharifu mwenye baba nina shinda nae nku tanzania
@mirajimsagati6035
@mirajimsagati6035 14 күн бұрын
Naomba kujiunga na darasa zake kwa simu
@KassimFakih
@KassimFakih 6 күн бұрын
Nami nipo Zanzibar nimevutiwa na darsa za shekhe wetu Allah amhifadhi naomba niunganishwe nae ili kuchukua urithi wa Mtume Muhammad s.a.w
@JamalMohamed-c8i
@JamalMohamed-c8i 16 күн бұрын
Wewe umeona ndevu tu, unahadabu hata kwa wazazi wako
@OmarMuhammad-h7l
@OmarMuhammad-h7l 16 күн бұрын
Aliekuambia kuweka ndevu ni wajibu wacha uboshosho ww kasome wacha ubahalulu ww
@HamisiNgonji-ft3ni
@HamisiNgonji-ft3ni 16 күн бұрын
Mbona huyu anaingia ktk majukumu ya mungu kuwa mtu maskini unapanga mtu mwenyewe kwani
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 15 күн бұрын
Soma maneno yako vizuri kisha kasome vizuri vitabu vya tauhidi, kisha uje kuona hilo swali ulilouliza ni la kisomi au la kukurupuka
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 16 күн бұрын
E makubwa kueka ndevu nifaradhitena. Kwaivo niborà wewe kufaradhisha kuliko mtumi
@adammahmood6928
@adammahmood6928 16 күн бұрын
Masufi ndevu Mtihani
@aidarusahdaly5516
@aidarusahdaly5516 16 күн бұрын
Elimu haiko kwenye ndevu
@darajanida
@darajanida 16 күн бұрын
waweza kuwa na ndevu na ukaenda motoni
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 15 күн бұрын
Wewe unaefuga tazama tu usiwe kama firauni
@adammahmood6928
@adammahmood6928 15 күн бұрын
@ Masufi kwa matusi tumezoea
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 15 күн бұрын
@@adammahmood6928 matusi hayana mazoea wewe vipi umeyazoea?
@HusseinMdee
@HusseinMdee 14 күн бұрын
Mawahabi kuna ulazima gani kuwafuatilia masheikh wetu ? Chukueni nasaha za matusi ya kassimu mafuta na barahiyani ndio fani yenu na ndio laana yenu tuachieni wasomi wetu
@KhamisKisengh
@KhamisKisengh 13 күн бұрын
Ndevu ni sunna sio lazima kunawatu hawana maumbile ya ndevu kwahiyo hawa watakuwa ktk kundi gani? Ndevu si wajibu kama unavyo dai.
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu 17 күн бұрын
lengo la huyu mzee ni kuzisoma sunna ili apate kuzikhalifu
@matanohassan9667
@matanohassan9667 16 күн бұрын
Lengo lako wewe Ni UJUHA Na ufusuka
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 16 күн бұрын
Hiv wew utakwenda kuulizwa kuhusu huyu mzee mbele ya Allah
@darajanida
@darajanida 16 күн бұрын
tuwambie kumsema mtu vibaya ndo suna
@AdamChogo
@AdamChogo 16 күн бұрын
Huna adabu
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 15 күн бұрын
Na lengo la baba yako kukuzaa ni ili uje kuwatukanisha?
@SaidKondo-i2t
@SaidKondo-i2t 14 күн бұрын
Ukisikia punda ndio hawa sasa,mzigo mkubwa hana matumizi nao
@w4058
@w4058 15 күн бұрын
Na wewe zimekushughulisha ndevu pengine hana jee tokea mwanzo basi kazi ni kutafuta kumtia mtu dosari huachi
@TajudinMohammad-hy1nh
@TajudinMohammad-hy1nh 12 күн бұрын
wewe umeona ndevu tu ndio sunna soma ndugu sunna ninyingi nawala sio lazima sunna unayo ifata wewe namm nikaifata
@aishathabit3732
@aishathabit3732 15 күн бұрын
Kosa lake moja tu kujitumbukiza kwenye mtego wa Amerka wa vita dhidi ya ugaidi Hajui kama hii ni vita dhidi ya uislamu? Jambo baya hili
@mahatmohamed8392
@mahatmohamed8392 17 күн бұрын
Nauliza huyu mzee vitabu hivyo vyote amesoma hakuna mahali ameona kuwa kuweka ndevu ni wajib?
@abdab8466
@abdab8466 17 күн бұрын
Mbona wauliza kiukejeli,tuwaihishimuni maulamaa,
@FaridAbdulkarim-v3o
@FaridAbdulkarim-v3o 16 күн бұрын
Na we mazuri yote hukuyaona umeona udhaifu wake tu
@jumafaki2891
@jumafaki2891 16 күн бұрын
hata firauni alikua na ndevu na huyo alokwambia ndevu ni wajibu ni nani jitahidi kama umeweka ndevu zisije kuwa za firauni ukahoji watu kama hivo
@matanohassan9667
@matanohassan9667 16 күн бұрын
TOA Aya kuwa kufuka ngevu Ni wajibu Aya YA Moja Kwa moja
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 16 күн бұрын
​@allybobsaithboss mtume muhammad akilala chini mbona unaongea kwa kukejeli utajiri wa dunia hauna faida boss
@IsmailMohamed-p7s
@IsmailMohamed-p7s 16 күн бұрын
WAZUSHI WAPOTOFU MADEBE MATUPU HAMNA ELIMU BALI KELELE NYINGI NA KUFISADISHA UMMA
@matanohassan9667
@matanohassan9667 16 күн бұрын
We Wacha kelele khawAriji wewe hauna tofauti Na walokele Mungu wako Ni 3 twahid 3 Mungu wako ako Na miguu aishi juu
@abdallahsaid4997
@abdallahsaid4997 16 күн бұрын
Ummah ulikuwa unakwenda vizuri sana kuja nini mafatani wa najdi . Soma tarekhe sawahil east african coast ya zaidi ya qarne 100 ujue ni nani waliofanya kazi kueneza dini na mapenzi baina ya watu
@ahmedriday892
@ahmedriday892 16 күн бұрын
Nyinyi mujiitao ahli Sunna hamuna heshima na mtumi asema si katika sisi aso heshimu wakubwa wetu na kuwahurumia wadogo wetu
@lalytele3353
@lalytele3353 16 күн бұрын
Kama ulienda madrasa ulisomeshwa SERAH....Nabii Mohammad(SAW) alipoingia Madina wakati wa Hijrah,alipokelewa vipi? Wakati huo huo...Baadhi ya maswahaba waliambiwa wakimbilie Habash(Ethiopia) kuepuka kuuawa na makureshi. Kulipotulia...wakaenda Madina na kusafirishwa na askari wa Habash. Mahabash hawa walimuimbia mtume na kumchezea. Mbona hawakukatazwa?
@darajanida
@darajanida 16 күн бұрын
wewe jahili kweli
@MfaumeAbdallah-cr4ye
@MfaumeAbdallah-cr4ye 16 күн бұрын
Maasha allah
@kondomrisho8776
@kondomrisho8776 15 күн бұрын
Mashaallah
SAUTI YA WANATI WA LAMU 23 November 2024
53:11
Abu Shuraim
Рет қаралды 513
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2 МЛН
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 8 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН
TAQWA  SACCO YAWAKARIBISHA  MIKOPO BILA RIBA 28 October 2024
17:59
SHEIKH  MUHAMMAD AYUBU
3:53
AHLUTWARIQA WALHAQIIQA ONLINE TV
Рет қаралды 3,4 М.
DUA TAWASUL ..SHEKH MAALIM SHEE
1:21:05
uraidhu shariff Alwy
Рет қаралды 68 М.
Matumaini wakati wa Dhiki | Friday 1446H | 2024M
55:15
Sayyid Aidarus Shariff Alwy - Mzee Mwenye
Рет қаралды 2,6 М.
IJUE AMALI ITAKAYO TAMANIWA NA KILA ANAEKATA ROHO / SHEIKH HASSAN AHMED
36:05
PESA YA LAMU YATAJIRISHA WASANII 20 November 2024
5:52
Abu Shuraim
Рет қаралды 3,1 М.
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН