Mtifuano Msikiti Wafungwa,Hali Si Shuwari Masjid Taqwa Familia Yaingilia Kati-Ustadh Shafii Afika

  Рет қаралды 9,417

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

Usisahau ku subscribe channels hii

Пікірлер: 56
@TwalibuJuma-ze9cs
@TwalibuJuma-ze9cs 3 ай бұрын
Subehaanallah Allah Akbar. Hii Dunia tunapita Akhera ndiyo yenye kubaki.
@NoraKedir
@NoraKedir 2 ай бұрын
Manshaallah tabarakallah mtoto ananiliza kwakusoma koroan
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 ай бұрын
MASHA ALLAH mtoto mdogo asoma quran tukufu kwa sauti mzuri💚💚💚
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 ай бұрын
Waislamu tunatia aibu, tunamfedhesha Mola wetu ambae yeye ndiye aliye tuchagulia UISLAMU ndiyo Dini ya Haki na akamleta Mtume Muhammad saw kuthitisha na kuwa ndiyo kigezo chema kwetu. Kuwaje sasa kila uchao magomvi misikitini. Hetu tuone aibu, tulipaswa sisi waislamu tuwe mfano bora kwa dini zingine, lakini tumehiari kuwa waovu hasa katika haya mambo ya misikiti , bila shaka tumemfanya shetani kuwa rafiki . hebu masheikh Maimamu badirikeni, tambueni Mwenyezi Mungu anawaandikieni hesabu mbaya. Msikiti nie nyumba ya Mwenyezi Mungu na kwa ajilk ya Mwenyezi Mungu ibada zifanywe humo, si nyumba ya kukaa watu na wake zao na watoto wao humo. Mwogopeni ,Mwenyezi Mungu, kuna adhabu kali. Kuna moto unaitwa JUNUBI huu moto unatokana na uji wa chuma, mtasiribwa nao. Huu Junubi huwal hasidinallah bishara nnari.
@samiukhamis2703
@samiukhamis2703 3 ай бұрын
Mashallah Allah akuweke shafii kwakwenda kuwasikiliZa familia ya mskiti
@rahimbablia8667
@rahimbablia8667 2 ай бұрын
Najizuia na hayo mengine, mana tumesikia upande mmoja tu....ila huyo dogo yupo vizuri mashallah
@TwalibuJuma-ze9cs
@TwalibuJuma-ze9cs 3 ай бұрын
Allah amjaalie huyo Mama yetu alietowa eneo la Msikiti Insha Allah.
@ArafatIsmaily
@ArafatIsmaily 2 ай бұрын
Mashallah! Dogo Yuko vzur
@saidburuji9984
@saidburuji9984 2 ай бұрын
Ostadh Shafii itakuwa umefanya insaaf pale utakapo wahoji na upande wa pili nao tuwasikie
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 3 ай бұрын
Subhanallah
@Salsabiil12
@Salsabiil12 3 ай бұрын
Subhanallah Allah awafanyie wepec
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 3 ай бұрын
Wenye msikiti wanachotaka ibada ziendelee lkn wale wavamizi wanachoka sio ibada ila lengo ni msikiti kama jengo liwe jengo lao, huku wakijua msikiti huo sio wakfu ila jengo lilitolewa kwa ajili ya kusalia tu
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 3 ай бұрын
Kama Msikiti Ulijengwa Kwa Ajili ya IBADA basi jua kuwa hiyo ni Nyumba ya Allah. Kwa hiyo Ibaki Hivyo.
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
Jamaani,Mungu ni Ni mmoja,maadamu msikiti umefungwa karibuni kanisani tusali maana,sisi Makanisa yetu tunajenga,wenyewe hatupewi majengo ya, bure Mungu wetu ,si,masikini hata tuombe ombe pa kuabudia karibuni Sana Wana,temeke ngieni Kanisa lolote mtapokelewa CVAmeen
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 3 ай бұрын
😂😂nyie amujengi nyumba ya Ibada Bali munajenga nyumba ya biashala😂ndomana kila MTU anajenga mwenyewe.ili apate faida pekeyake😂
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
@dulasele-ud8cw umesahau kuwa kuta za miskitini yenu imezungukwa na mafremu ya biashara je wazee wanu wa Kiisllamu waliotangulia mbele,ya haki miaka 50 iliyopita wakifufuka leo hawatatoa laana kwenu: waliacha,viatu vinavuliwa na kuachwa nje ya msikitii leo mnaingia navyo ndani ya msikitilni: waliacha mwezi wa Ramadhani,safu za futuru nje,za nyumba zenu leo mnafuturu kwa kujifungia ndami.ya vyumba,vyenu! naona huko mnakoelekea karibu mtafika karibuni sana kanisani Ameen
@Naw89
@Naw89 3 ай бұрын
Kunywa soda ntakuja kulipa 😂​@@dulasele-ud8cw
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
@@samsonhamery3809unaongea nini sasa? Ushaona masjid ndani mnageuzwa duka?? Kanisa hata mimi nikijisikia2 naanzisha napiga zangu pesa vizuri
@musarashid7873
@musarashid7873 3 ай бұрын
😂
@RmoShamte-h9f
@RmoShamte-h9f 3 ай бұрын
amina
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 3 ай бұрын
NDUGU YANGU....HUKO BAKWATA KATIKA NGAZI MBALIMBALI NA HASA HUKO WILAYANI KUNA UCHAFU WA RUSHWA NA UFISADI WA KUTISHA....VIONGOZI WAKO KATIKA MASLAHI YA DUNIA.
@noelnoel4916
@noelnoel4916 3 ай бұрын
Familia na waendeshaji sio familia na waumini na familia inaweza kuendelea kua na umiliki na madaraka kwenye msikiti hayo ni maoni yangu
@AzizihFarijala
@AzizihFarijala 3 ай бұрын
Shafiq usiongeze.maneno Wacha waseme wenyewe
@AbuuKinero
@AbuuKinero 3 ай бұрын
Hihihihih mbn haipatikan juu ......
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 3 ай бұрын
Nini haipatikani
@AbdallahSajiliwa
@AbdallahSajiliwa 2 ай бұрын
Familia kufunga mskiti sheria hiyo na ruksa hiyo wameipata wapi?
@hajjisanga789
@hajjisanga789 2 ай бұрын
Sheria ya dini iko wazi ni nani watakao ongoza msikiti kwa utaratibu tu sasa yoyote atakae kuta watu ktk sehemu ambayo inaendeshwa wale walio anzisha ndio wenye haki hao watakao kuja kuvamia wao ndio wenye makosa
@Freeedom-e4h
@Freeedom-e4h 2 ай бұрын
Hayo mambo ya kuachana ni yakifamilia.ulikuwa useme mali ya mama na mama walinunuwa
@Muktarybaweni
@Muktarybaweni 3 ай бұрын
mmm jamana tunaupeleka wapi uwisla sasa
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 2 ай бұрын
Hayo yanatokea kwa kuruhusu kila pesa ijengewe msikiti. Zamanı watu walikua pesa ya halali ndio inayojengewa lkn ssa kila mwenye pesa anajenga na wkt mwengine wanapita wkichangisha watu bila ya kujua mtu pesa kaichuma vp.
@habibumadege8187
@habibumadege8187 3 ай бұрын
Kunajaahao wanaoenda kuteka miskiti ambayo hata hawajaiasisi wao kwamadai eti wanataka kusimamisha Tauhidi lakini kumbe sivyo bali lengolao ni kuugawa umanwa kiislamu na kujipatia maslahi ya kidunia kupitia mlangohuo bila ya kujali maslahi ya uislamu aisee haojamaa siohapotu sehemunyingi wanafanya hivyo na kugombanisha waislamu bilawao kujali,
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 ай бұрын
Hawo mawahabi wanataka kuutawala msikiti kwa ajili waweke sera zao za kiyahudi wa saudia
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h 3 ай бұрын
Akili kisoda
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx 2 ай бұрын
Wewe acha fikra mbovu za kujazwa ujinga na watu wa bidah wasiopenda haki,wanaozusha mambo,Habari ya Wahabi umetoa wapi? Kaa chini usome dini iliyo sahihi,usibebeshwe ujinga ukapokea.
@allyamri5028
@allyamri5028 3 ай бұрын
kwa maelezo ya huyo bwana inaonekana wazi kua kunawatu wanatamani eneo hilo au msikiti huo na hao ni wavurugaji. Binafsi naomba busara za baraza la mufti isimamie jambo hilo
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 3 ай бұрын
Watu dunia imewavaa eti msikiti wa familia ukute hapo tayar wangombea maslahi
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 2 ай бұрын
Wacha kukurupuka sikiliza mpaka mwisho
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 3 ай бұрын
Kwa nini waislam kila siku mna migogoro tena mnapenda kuongelea matatizo yenu mitandaoni
@mohamedibrahim7732
@mohamedibrahim7732 3 ай бұрын
hapa naona familia hawana shida tatizo kubwa ni Hawa waliotaka kuteka msikiti
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 3 ай бұрын
Hamuijui dini iundani msikiti ni waqfuu kwanin mnarudia waqfuu!???! Waqfuu mkishaautoa hamtakiwii kuirudia tenaa
@zully756
@zully756 3 ай бұрын
Tangia lini msikiti ukawa mali ya mtu binafsi?
@RashidAhamed-kq6pt
@RashidAhamed-kq6pt 3 ай бұрын
Mm nina nia ya kujenga msikiti kwa nia ya kuswalia waislam lkn naogopa nikifa tu nitaacha ugomvi kwa waislam sasa msikikiti umefungwa hoa walojenga wanafidika nn
@abdallahhassan4163
@abdallahhassan4163 3 ай бұрын
Kama una nia Sheikh kuna maeneo waislam wanahitaji wapate uzuri huo lkn hawana wa kuwàsemea kujengewa msikiti kutoka a na háli zao
@ZubeirHamada
@ZubeirHamada 3 ай бұрын
Ukishajenga si kazi yako kwakua utakua umeshamkabidhi Allaah
@AbdallahSuleiman-vx6gp
@AbdallahSuleiman-vx6gp 3 ай бұрын
Ukishajenga kabidhi kwenye taasisi yoyote unayoiamini kuepusha migogoro ya mbeleni
@AbdallahSuleiman-vx6gp
@AbdallahSuleiman-vx6gp 3 ай бұрын
Usirudi nyuma
@ahmadabdallah6641
@ahmadabdallah6641 3 ай бұрын
Wanafaidika kwa nia yao walojenga. Hata ukifungwa bado wanapata thawabu. Uislamu ni wepesi
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 2 ай бұрын
Sio maSunni hao? Maana ndo watu wa vurugu
@martinmkoba361
@martinmkoba361 3 ай бұрын
Kwani huo msikiti ni wanani tuanzie hapo
@RashidAhamed-kq6pt
@RashidAhamed-kq6pt 3 ай бұрын
Msikiti ni wa Allah mwenyezi mungu
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 3 ай бұрын
Namjua huyo mzee muhuni tu mmoja huyo alikua bandaging mtu wa dunia tu huyo
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 3 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU NI MMOJA TU. NITAJIRI JUU YA WALE wanaojiona matajiri. Aliesema mungu wao ni tajiri kwa makanisa wanajenge wenyewe. Loo amepotea na asbr. Ataitafuta shilingi! Naasubiri. Mbona makanisa mangapi yanafungwa. Utulie!
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
MFAHAMU MWANAHARAKATI ANAYESEMA UKWELI MBELE YA WATAWALA (SEMA NASI)
35:50
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 21 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН