Рет қаралды 1,409,262
Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45.