Nyimbo nzur Utunzi umetukuka Ina haki yakuitwa yanga-anthem Sio yakuchujua maan haina majina ya wachezaj wala viongoz Utaimbwa vizazi vyote💯💯💯
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
Shukran San ❤ blessed up kwa nyingi zaidi zinazokuja ingia kwenye chanel angu
@jacminjosefh4400Ай бұрын
Ahsante San mtunzi 💛💚💛
@HalimaKarmАй бұрын
Woooow hiii nyimbo kwaajli ya yanga hii ya Tanzania au ya ulaya🎉🎉🎉🎉
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
Yatanzania ili waulaya wawezeee kuelewana yanga yetu for our country
@jacksonmashauryАй бұрын
Ulaya kak
@mwambage97212 күн бұрын
Kweli ni ya mbele
@jullymoon-j1hАй бұрын
Hii ni yanga ya ulaya guys Makolo watusamehe kwa kweli💛💚💛💚
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
Nyaya yanga ya Tanzania tutapka mpaka nje ifike
@NatoSimchimbaАй бұрын
5000000% uwe wimbo wa yanga mtunzi ni hatari sana
@marcobulili4341Ай бұрын
YANGA Antheme "Champions never fail"❤
@barakamganga868318 күн бұрын
Nomaaa sna
@noelamkwala4462Ай бұрын
Good Job🎉🎉🎉. Nice song.
@justineAnyabwile11 күн бұрын
Wana yaaaàaanga oiooooye
@adammasalu502919 күн бұрын
Ooooh woooow beautiful YANGA antherm
@AngelKisotaАй бұрын
Good luck yanga on NBC PL 2024/2025🎉❤
@fatmaally7252Ай бұрын
Barikiwa sana
@MCP_COMPANYАй бұрын
Amyn
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
Amyn your welcome mengi yanakuja this is from Mwanzacreative
@ZulekhaBaksh-ii4fkАй бұрын
Waoooo nice song 💚💛💚💛
@mwakatimbamahenge319612 күн бұрын
This is next level 🔥🔥🔥🔥🔥
@AngelKisotaАй бұрын
Aliye tunga huu wimbo maua yake jamani🎉❤
@RosePetro-ck8ptАй бұрын
Its nice song for young African
@harunichambo4658Ай бұрын
Artificial intelligence 🔥🔥🔥
@sabrinafadhil8835Ай бұрын
Love it
@aishasaidmimo5239Ай бұрын
nice💚💛💚
@UwesuChilumbaАй бұрын
Very nice yangaaa
@respiciuspeter386Ай бұрын
Wimbo mziri sana unafaa kwa vizazi vyote na karne zote
@omaryshabani34808 күн бұрын
🔰🔰🔰🔰🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Swahilimovies-f1g16 күн бұрын
Ai haijawah kosea❤
@RazaqIssa-e8rАй бұрын
Nomasana 🤚
@MCP_COMPANYАй бұрын
Thanks
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
Thanks
@AtupeleFestoАй бұрын
utaskia majirani wanaandamana mmh🎉🎉🎉🎉🎉
@restomwaitamwa854318 күн бұрын
Huu ndo wimbo wetu sasa hizo zingine tunazipenda ila tunda kazipenda zaidi na msauti wake km debe bovu humu tu wanao unga mkono hoja yangu gonna like tujuane.😂😂😂😂
@rukiamadati336Ай бұрын
AI nooma🔥🔥👏👏
@yussufmikhi94Ай бұрын
Ngoma kali
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
Shukran sana nyingi zinakuja njoo kwenye channel angu tuzd kukuza taifa
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
Shukran nyingi zinakuja ingia kwenye chanel angu kwa nyingi zaidi
@nicodemuswidambe513213 күн бұрын
👍👍👍
@mariamemadoshi5540Ай бұрын
This is the best song in the world.
@ommyjh8225Ай бұрын
Who sing this song it's so nice Young African 💪
@StevenTaylorx11 күн бұрын
AI Haina mpinzani dunia imekwiaha maarifa yamezidi roboti wa AI amefanya maajabu katika huu wimbo
@HamisiHamisirasuliАй бұрын
Yanga kama yanga😂😂😂💚💚💚💚🖤🖤🖤🖤🎉🎉🎉🎉
@MWANZA_CREATIVEАй бұрын
❤ More love
@RamadhanJuma-n2yАй бұрын
We are the young African
@yangasconline21 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@haidhabushiri95587 күн бұрын
Bora nisikilize wimbo huu kupooza moyo wangu maana watu yanawatoka sana .ila naamin hakuna mua usio na fundo