Wale wananchi tuliokuja kuangalia 2023 tuweke like hapa
@nailaidd9591 Жыл бұрын
😋
@ahmedalsaadi7108 Жыл бұрын
Mimi huwa narudia mara kwa Mara yaani hawa mwaka huu wameyatimba tarehe25 ifike tu tukiwa hai na uzima
@Joshuajoshua-ix1cb Жыл бұрын
Tupo
@tiromagori803 Жыл бұрын
Hahaha kwel ehh
@AmaniJacob-w8k3 ай бұрын
Vcyfytryfttftftpr bbv 😊❤🎉😮😅😊
@jumambwana70744 жыл бұрын
Wanaongalia hii mechi 2021 gonga like twende sawa
@mariamsosten4265 Жыл бұрын
😝🤪🤩😉🙂☺😇🤗🤗
@allymaziwani5794 Жыл бұрын
Kwel kabis
@yudamagesa55942 ай бұрын
Mi naangaria leo 2024 mwezi wa 10
@RevithaRevitha-f5q2 ай бұрын
Me niko hapa 2024 October @@yudamagesa5594
@josephmbwana4483 жыл бұрын
Wanaoangalia kipindi rais wetu mpendwa katuaga naomba like
@fredmogha21383 жыл бұрын
KO hurt
@Zina-t5j9 күн бұрын
Mungu ni mwema sana leo 29 December 2024 niko hapa💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛🎉🎉🎉🎉
@asiaathuman1284 жыл бұрын
Km bado unaangalia hii gonga like hapa
@housnayousif7804 жыл бұрын
😂😂😂😂😂bado
@asiaathuman1284 жыл бұрын
@@housnayousif780 yn ilkua tam
@housnayousif7804 жыл бұрын
Sana tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shafymaghembe66834 жыл бұрын
😂😂
@onesmojustice23484 жыл бұрын
Yanga hii ndio ilikiwa fire sio ya sasa
@johnmkama5063 Жыл бұрын
Wale wananchi tuliyokuja kuangalia 2023🎉🎉🎉🎉
@njungujames7501 Жыл бұрын
Wanaoangalia hii 2023 gonga like apa
@nailaidd9591 Жыл бұрын
Tupooo
@daggerslick Жыл бұрын
Tupo😂
@AmaniJacob-w8k3 ай бұрын
Sbvcbcsb do m ahoyiytyt can you send batggdy
@jumasuleiman54434 жыл бұрын
Mashabiki wa yanga gonga like wa simba comment
@MenegatiImanani-ig1uv11 ай бұрын
❤
@AbdulRamadhan-oe1yc10 ай бұрын
🎉 vp
@AbdulRamadhan-oe1yc10 ай бұрын
❤😅
@Ndalami8 ай бұрын
Ndalami
@marthageorge50436 ай бұрын
😂😂😂😂
@peacemollel23474 жыл бұрын
Kama umeona wanacho mtendea morrsn gonga like hapa
@fabbymusic13 жыл бұрын
z
@husseinramadhan38743 жыл бұрын
P
@dembeherbert77504 жыл бұрын
Can't get enough of this Derby❤️🇺🇬The biggest Derby in E.Africa
@markomalimi8403 жыл бұрын
Together brother from 🇹🇿
@vivaanavery35713 жыл бұрын
I know im asking the wrong place but does anyone know of a way to log back into an instagram account?? I somehow forgot the password. I love any help you can give me!
@clayzakai82033 жыл бұрын
@Vivaan Avery instablaster :)
@vivaanavery35713 жыл бұрын
@Clay Zakai thanks for your reply. I got to the site on google and Im in the hacking process now. I see it takes a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@vivaanavery35713 жыл бұрын
@Clay Zakai It did the trick and I finally got access to my account again. I'm so happy! Thank you so much, you saved my ass :D
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Daah! Inaniuma Sanaa hii game😩 Ila ndyo hvyo mpra una matokea matatu kushnda, kushndwa,kutowa sare,,, Hongera Yanga na Hongeren sanaa Chama langu la SIMBA 🙏
@pcpoint12244 жыл бұрын
Kwa yanga Mpira una matokeo mawili kushinda ama kudroo
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
@@pcpoint1224 🙏
@moriskisaka7178 Жыл бұрын
Wanaoangalia hii mechi hadi leo 2023. Mungu anawaona 😀😀😀😀😀😀
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Hata wewe Mungu anakuona kwa unafiki wako
@congratulationmayunga4144 жыл бұрын
Kama unaipenda sana #Yanga kama mimi Gonga like hapa
@pastorsundaylloh49724 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348169781934 tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@shabymaji65154 жыл бұрын
Weacha yanga ikiamua akuna wakuweka mguu
@regiuscloud56784 жыл бұрын
Chama leo alikuwa anakanyaga watu tu 😂😂😂 miqson nae kumbe ni pimbi tu
@barakamollel91224 жыл бұрын
Vizuri Sana Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@murjijamal79944 жыл бұрын
Kagere bila power Bank ni nyuki wamashineni ty 🤗🤗🤗
@saadnahoda7074 жыл бұрын
Sawa sawa
@christianjohnmwalugaja80904 жыл бұрын
Bernard Morrison (BM33) - Ballistic Missile
@magdalenaandrew54574 жыл бұрын
Yanga yangu yaan nakupenda mpaka kufa wallah tareh8 nilipata raha Sana mpka leo ubarikiwe Sana Morrison pamoja na wachezaji wote was yanga ❤️❤️❤️
@nkurikiyeselemani57564 жыл бұрын
Yanga
@magdalenaandrew54574 жыл бұрын
Yaaap
@mambohadharanwakubwatu68934 жыл бұрын
masanja
@rehemaahmed22274 жыл бұрын
Collective Responsibility waliyoonesha Yanga imetupa Ushindi. Hongera sana kwa wachezi walimu, waamuzi na Mashabiki wote wa Yanga. Watangazaji mlitupa Burudani ya kutosha Hongereni sana.
@ireensimon82694 жыл бұрын
01st may 2020 bado naichek tuu..yanga baba lao👊
@florampeka2 жыл бұрын
Waliokuja kurudia kuangalia hii mechi, baada ya Azizi Ki kufunga free kick ya kibabe dhidi ya Simba 23/10/ 2022, gonga like
@maryberege30932 жыл бұрын
Naangalia kwa kweli maana hawa tumewafunga kwa Marais 2 magufuli na samia wanao kataa waje hapa
@jacksonmathayo65102 жыл бұрын
🤝👏💛💛💚🙏
@Fredy-oz5vu10 ай бұрын
😂😂😂
@willymtanzania53944 жыл бұрын
Yanga naipenda jmn daah👏🖒💪
@sleimanhero45824 жыл бұрын
Fei toto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥⚽
@swagaboy15394 жыл бұрын
yangaaaaaaaa
@Richyy_2574 жыл бұрын
Naipenda Sana yanga
@ayoubjoseph63023 жыл бұрын
Bigap can mwana yanga mwenzangu
@johnygerasi46094 жыл бұрын
Yanga fireee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rashidally42244 жыл бұрын
Leo wa Kwanza nipen like jman
@zahrasephu5 ай бұрын
Mwijaku ajiandaee
@habesha68832 жыл бұрын
I just googled every East African derby match and none of them impressed me like the Tanzanian league now I’m watching every match of these two teams
Jamani afadhali yanga wamexhinda manake kelele za cmba Leo mtaani cjui ingekuwaje
@princeelikana53454 жыл бұрын
Dah! Soka safi sana la kukonga nyoyo za watu vijana wa Yanga walionesha nimeipenda sana hiyo
@abeiddaudi4589 Жыл бұрын
2024
@frankoojumbe2466 Жыл бұрын
Woow
@hassanichijumba72224 жыл бұрын
Gonga likes hapa Kama unaikubali #YANGA
@kingmussa93804 жыл бұрын
Yanga
@patricessentongo68994 жыл бұрын
Naipenda yangaaa😍😍😍😍
@othmanmalongo44994 жыл бұрын
Wape Salaam🔥🔥🔥
@emanuelkasiano69344 жыл бұрын
Kidudeeee kimewanasaaaaa😆😆😆😆🙏🙏🙏
@humphreyalbert56714 жыл бұрын
Wanatapatapa
@katocephas10694 жыл бұрын
i love the way Tanzania support their football league ,in uganda even the top clubs like KCCA FC & VILLA cant get namboole stadium fill up at full capacity .
@cletusmubezi80684 жыл бұрын
Good day ,so why? Football is not agenda in Uganda?
@husseinndondole20613 жыл бұрын
Napenda sana yanga
@zubeirhabibu94014 жыл бұрын
Simba mama yanga👑 baba lao 😁😁😁😁😁😁
@ssaa74952 жыл бұрын
December 29 .2022 nimerudi kutazama 😊😊💛💚 Rest in peace Magufuli 🙏 🕊
@abdallahkumkana7124 жыл бұрын
Simba 2mekubali kuwa yanga ni mme we2
@ignatuspius75374 жыл бұрын
Abdallah Kumkana wee mjinga kufa na timu yako iyyo itayosikia tu kombe mbali mno
@hamisfaraji47254 жыл бұрын
Haaaa we kuwez
@adjussahkindamba31113 жыл бұрын
🇦🇪 Good Game congrats my great team Young Africans ❤️❤️
@jumangome64324 жыл бұрын
Happy yanga
@SLPSaid7 күн бұрын
Kama unaiangalia hii mech mpaka leo tareh 31 2024 mwez wa 12 gong like kesho tuingie mwaka mpya 2025 pamoja
@emanuelfrancis71714 жыл бұрын
Hiv hakuna audio ya huu mgoli nieweke rington?
@gracejoseph59894 жыл бұрын
Hahahahahahaha
@mgandotv4 жыл бұрын
Aisee yanga ni balaa sana
@edwadilwanda66004 жыл бұрын
Penda sana yanga tim yangu mungu ibaliki
@Samwelpissi4 жыл бұрын
Pamoja
@noelajohni31893 жыл бұрын
All the best my team YANGA
@georgekimambo20773 жыл бұрын
T
@princedullah68334 жыл бұрын
anaeangalia mda huuu naomba rike
@pekomisegese77244 жыл бұрын
Wakawa Wanauliza, Mbona Sare Nyingi Sana.!!!??? Tukawaambia Tarehe 8 Tunaoa. Ndoa Imeenda Vizuri. ALHADULILLAH.
@reginamzolo12914 жыл бұрын
Anamelemetaaaa alililiiiiii
@ahmedaliahmed12524 жыл бұрын
مباراه رائعه تحياتي ليكم زملكاوي عاشق لسيمبا
@samshelembi95284 жыл бұрын
Chimbi Mapinduzi na Nionzima leo mmefanya vzur xana
@sikulukanga60733 жыл бұрын
W. 😁
@bonykaro90974 жыл бұрын
Nimependa kile manula alimfanyia mkude kwa kumfokea kwa kucheza mazambi bila sababu ,mpira ni maisha kumvunja mwanzako makusud sio kitu kizur viva manula
@janengunguru47104 жыл бұрын
Naipenda yanga
@odirafranco28874 жыл бұрын
Nice Young African
@willymtanzania53944 жыл бұрын
Like za kutosha kwa METACHA MNATA😁😁
@nasrasuleiman25524 жыл бұрын
Piga kelele kwa yanga akeeeeeeeeeee
@alleymakoko71754 жыл бұрын
Oyooooooooooooo
@deotingo18124 жыл бұрын
Ndio timu ya wananchi hyo! Hongera Yanga!
@mwanakomba89824 жыл бұрын
Kabisa
@janemakoye39244 жыл бұрын
Yanga oyeeeeeeee
@nkurikiyeselemani57564 жыл бұрын
Jane Makoye oyeeeeee
@janemakoye39244 жыл бұрын
Nkurikiye Selemani ulakoze
@daudmwaipasi56723 жыл бұрын
Rest in peace mzee wetu Magufuli 😭😭 ktk mechi hii uliweka historia kwa Simba na yanga
@asumaandrew48724 жыл бұрын
Yanga dam naipenda mpaka nauwa
@OchuTv5 күн бұрын
January 2, 2025 mpo wapi?
@elizaatilio5274 жыл бұрын
Saaafiii Yangaaaa 2memfunga cmba mbele ya Marais wa3 Rais wa Jamhur ya Muungano wa Tz Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Baran Africa (Caf) Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (Tff) bila kumsahau Rais wa ZFA nae alikuwepo 😂😂😂😂😂 amakweli aliezoea kazoea 2 aibuuu hyo cc Wananchi ha2jawah kabsa kwa cmba ni kawaidaaaa yaoooo polen 2ndu fc
@steveprosper40844 жыл бұрын
Eliza Atilio. Na jumla walikuwa 6 pamoja na wakezao sema magu ilimuuma sana kashindwa kusema mwishoe akahisi tupo kwene kampeni eti kutunyooshea kidole gumba Bernad Morison akajibu kwa thereu kweli etitulia piga magoti shika chini kilichoendea mimi yewuuuuuwiiiii.
@RajeshChauhan-wb9pm3 жыл бұрын
Mechi hi namkumbuka marehemu Rais John Pombe Magufuli,your the best PRESIDENT
@henrickchambilo31194 жыл бұрын
Yanga raha sana
@yustomwaisomania2587 Жыл бұрын
Mwamba JPM on the stage RIP LEGENDARY JPM daima tutakukumbuka shujaa😭😭😭😭😭
@merymsigwa84384 жыл бұрын
Metacha mnata wow💓💓💓
@hassanirichard31824 жыл бұрын
Mnata noooooma
@josephusmatayo8 ай бұрын
Yanga raha
@issamatula98184 жыл бұрын
Mbele ya rais wa nchi Simba kwa mara nyingne wanatobolewa tena tundu
hongereni watani zetu yanga baada ya miaka mitano kupita mkiambulia vipigo na sare leo mmeshinda pongezi kwenu na mechi ilikuwa tamu
@fatmahissa30194 жыл бұрын
Msitushobokee hatutak shobo
@farajampenzwa79394 жыл бұрын
Pope Katalango miaka mitano ya bibi yako au hukumbuki 2016 tambwe na ngoma walivowanyoosha
@farajampenzwa79394 жыл бұрын
Pope Katalango miaka mitano ya bibi yako au hukumbuki 2016 tambwe na ngoma walivowanyoosha
@martintave50354 жыл бұрын
Mmepigiwa mpira mwing sana
@kenmtitu91374 жыл бұрын
Miaka mitano! Kwani ule msimu mnapigwa 2-0 back to back ilikuwa ni mwaka gani?
@msafitv86634 жыл бұрын
Yanga wangekuwa makini Simba wakepigwa sita hapa🤣🤣🤣🤣
@TINAMOLLELY10 ай бұрын
2024 mwezi wa 2 tar 19 nipo hapa
@chrifordcostantine84224 жыл бұрын
Yanga mmecheza vzur snaa hasa mlichokuja nacho cha kukabia mbele na kushambulia muda wote bek ya simba inajlikana haiwez kutuliza presha kama inashambuliwa...wale wanaokuja na matokeo uwanjan chungen sana mtakufa na presha! Yangaaaaaaaaaaaaaa💚💛💛💛
@AngelaNikson2 ай бұрын
Na angali tena leo tarehe17/10/2024
@kassimnassoro35264 жыл бұрын
Yanga piga kelele
@agnesschongolo45274 жыл бұрын
Oyoooooooooo
@nasrasuleiman25524 жыл бұрын
Weuuuuweee
@albertnestorylukoo97164 жыл бұрын
Yanga yangu jamani. Teheeeeee!!!
@chomajuma77184 жыл бұрын
Tyson
@catherinejoseph604 жыл бұрын
Yaani kiukweli wawa anatakiwa kupelekwa kamati ya nizamu anacheza vibaya sana
@azeezhmussa93424 жыл бұрын
Yan cjui kwann huwa schoki kuangalia hii highlights
@zafaraniissa1934 жыл бұрын
Azeez H Mussa tupo wote hata mie sichoki
@AmosBPeter4 жыл бұрын
Hahahahahha hauko peke ako mm nmedownload lkn nashangaa nakuja tena kuangalia KZbin
@azeezhmussa93424 жыл бұрын
Amos B. Peter yan haiish ham daily unaiona kma mpya
@fransiscodaud72434 жыл бұрын
Nan mwingine yuko anarundia hii mechi kama mm
@aboudaboud70114 жыл бұрын
Mimi hapa wala sichoki
@charitymkombozi18004 жыл бұрын
Npo apa leo
@henrickchambilo31194 жыл бұрын
Sichoki tu
@tunayekyando85214 жыл бұрын
Sichoki kutazamaaaa😘😘
@TrevaelNasar10 ай бұрын
❤🎉lov yuu yanga
@julianaluhende99644 жыл бұрын
March 8 2015 nilipoteza mjomba yangu kwa ajali ya agari na kufariki, akitoka uwanjani kuangalia derby ya simba na yanga Simba ilimfunga yanga 1-0 Mjomba wangu alikuwa shabiki wa yanga tarehe ya leo yanga wameifunga simba moja kwa sifuri kwangu hii ni zawadi kwa mjomba wangu.
@japhetamosi4734 жыл бұрын
Yunga baba lao
@japhetamosi4734 жыл бұрын
Yu
@merymsigwa84384 жыл бұрын
Thanks god nilikuomb na umenijibu so much lv uuuu
@kelvinmassawe90603 жыл бұрын
Mungu akupe makazi mazuri kiongozi wa wanyonge Dr John pombe Joseph magufuli we n shujaaaa kwangu wa muda wote katika historia
@odirafranco28874 жыл бұрын
Nice one Yanga
@mapete21544 жыл бұрын
Hii game ndio ilinifanya nitoke Simba na Kuhamia Yanga Shikamo Yanga
@selemanimohammed74894 жыл бұрын
Maku
@charitymkombozi18004 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ssaa74954 жыл бұрын
7 mwezi wa 5, 2020 💫 kesho wanayanga tunaweka kumbukumbu nyingine 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 tarehe 8 si ndio kesho!!!! 😂 😂 😂 😂 😂
@saadnahoda7074 жыл бұрын
Bernard Morrison
@kuruthumferooz60774 жыл бұрын
Bm baba laooooo
@didahtzonline37634 жыл бұрын
11:52 goooooal
@deogratiaselias32944 жыл бұрын
Yangaaa I love you too much
@mawazomgassa64004 жыл бұрын
Hii game haichoshi kuangalia
@fabianaloyce74274 жыл бұрын
axt yanga umeweka heshima mjini axt
@bahariboy60134 жыл бұрын
yanga inibalaaa jiji kimnya bumbavu
@AbduRahman-os2vx4 жыл бұрын
Yanga oyeee chama la wananchi...
@henrickchambilo31194 жыл бұрын
Tulicheki 2021 like apo ❤
@AyubuRamadhani-wz4gk2 ай бұрын
Naangalia tena leo Tarehe 20/10/2024
@mjitaidubyabato2 ай бұрын
We mpuuzi sana
@juliustibu4304 жыл бұрын
Pongez kwa mfungaji was goli BM doble three na pia kw wachezaji wenzake wote kwa ushiriano wao uwanjani?